UCHAMBUZI wa ALI KAMWE: SIMBA vs YANGA - "SIMBA WANA HOFU, YANGA HAWANA cha KUPOTEZA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 05. 2021
  • UCHAMBUZI wa ALI KAMWE: SIMBA vs YANGA - "SIMBA WANA HOFU, YANGA HAWANA cha KUPOTEZA"
    GLOBAL TV imepiga stori na Mchambuzi wa soka hapa nchini, Ali Kamwe, kuhusiana na Derby ya Kariakoo kati ya SIMBA vs YANGA, utakaochezwa Mei 08, katika dimba la mkapa jijini Dar.]
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • Sport

Komentáře • 77

  • @amanimwankotwa7634
    @amanimwankotwa7634 Před 3 lety +1

    Yanga lazima afe leo

  • @bugdadiajm1832
    @bugdadiajm1832 Před 3 lety +3

    Sio kweli, mfano mdg simba inapoint 4 juu hofu itoke wapi

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 Před 3 lety +1

    Dada mtangazaji uko vzr.
    Nimependa maswali yako.
    Kilango weee bravo

  • @emmanuelwilliam9882
    @emmanuelwilliam9882 Před 3 lety +1

    Safi sana kamwe

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 Před 3 lety +1

    Ni kweli kabisa. Big up Kamwe

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Před 3 lety +3

    Yanga ni kama Ruvu Shooting tu. Wakishinda wamebahatisha.

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 Před 3 lety +5

    Umekazana tu yanga hawana hofu kocha wao hana hofu ubingwa hawautaki tena?

  • @micdantv1911
    @micdantv1911 Před 3 lety +3

    Team inamuunganiko imepata matokeo mazr club bingwa ndo Mana ina wasiwasi na Yanga
    Bro.mbona hujui kuchambua soka

  • @mgeningogomeloathuman7230

    Oooh. Utopolo hawana presha eeeeh. Sawa.

  • @shaabanimakamae46
    @shaabanimakamae46 Před 3 lety +5

    Ali huwa nakubali katika uchambuzi wako Ila kwa hii mechi siioni sababu yyt ya Yanga kushinda nakubali Derby huwa haina mwenywe Ila kwa hii sijuwi

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 Před 3 lety +1

    Ali Kamwe uchambuzi mzuri but please keep distance from that queen before i cross border uniambie why🔚

  • @Boaz22
    @Boaz22 Před 3 lety +1

    Mwandishi wa habari she is very beautiful kwakweli

  • @franshyera8970
    @franshyera8970 Před 3 lety +2

    Uyu dada mtangazaji naomba namba yako ya cm.

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Před 3 lety +5

    Mechi ya SIMBA NA YANGA AINA MFUMO UKITEGEMEA HILO UMEUMIA..

  • @eliasnyondo5528
    @eliasnyondo5528 Před 3 lety +5

    Smb hatuna hofu itakuwa mech Kama zingine wachezaj wa smb mkapambane Kama kawa hakuna hofu. Hatuzalau timu yoyote tutapambana

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 Před 3 lety +1

      Arafu wewe mdamwingine unakuwaga napointi,

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Před 3 lety

    Hapo kwenye confidence nakataa....yanga ndio wanapresha maana wanajua wakipoteza ndio wameliaga kombe msimu huu

  • @krispinkisanga3261
    @krispinkisanga3261 Před 3 lety +1

    huyu jamaa ana akili nyingi sana🔥

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 Před 3 lety +2

    Simba baba lao

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Před 3 lety

    Very good

  • @magrethandrew681
    @magrethandrew681 Před 3 lety +2

    Ali umeng'ang'ania sana kuwa simba ndio ina pressure nani kakwambia yanga hawana pressure wakati kumfunga simba ndio kombe lao

    • @ezzyphilipo4357
      @ezzyphilipo4357 Před 3 lety

      Anamaanisha yanga wao hatawakifungwa hawanachakupoteza maaa wanaamin watafungwa2

  • @bekawizzy7778
    @bekawizzy7778 Před 3 lety

    Nic

  • @syksyk7295
    @syksyk7295 Před 3 lety +3

    Ila refa n waamuz wafuate Hak n sheria z soka kwny Penat itoke penat kwny faulo itoke faulo co kubebana bebana n kuonean Aibu

  • @emanontkijanga5532
    @emanontkijanga5532 Před 3 lety +7

    Hofu ya nn acha uxenge

  • @makoyerichard5937
    @makoyerichard5937 Před 3 lety +2

    💥💥💥

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Před 3 lety +1

    Na Tutawafunga Simba ,then presha hadi game za kimataifa, Simba anaanza kutiwa Gundu trh 8.

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 Před 3 lety +3

    Hapo umechemka Simba tunahofu Nini?tutawapiga kwa aibu Sana hao!

  • @ahsanteamedson4132
    @ahsanteamedson4132 Před 2 lety

    naitakia Simba uxhindi

  • @saidfod3376
    @saidfod3376 Před 3 lety

    Simba wanapresha sana

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Před 3 lety +3

    Hatuwezi kutumia nguvu kubwa kwa utoporo sisi tuna Mechi za kima taifa

  • @adammj6258
    @adammj6258 Před 3 lety

    😁😁😁😁kocha wa Yanga :mi mgeni jaman nisingeweza kuandaa timu muda mfupi '😀😀😀😀😀

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 Před 3 lety +3

    Mfumo gani atutakubali kuchezewa tena wanamsimbazi tarehe 8/ mje mkapa studium muone

  • @alimasauni7896
    @alimasauni7896 Před 3 lety +1

    utembwele siblis fc wanauona wembe wa Mapinduzi unageuzwa wanaanza kuhaha sasa ns ndipo kidomo cha mpepechengo kitakapokatwa

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 Před 3 lety +4

    Pulesha unayo wewe sio simba

  • @naybyz4892
    @naybyz4892 Před 3 lety +2

    Dada Huyo anaitwaje Instagram account

  • @syksyk7295
    @syksyk7295 Před 3 lety +2

    Marefa jamaan
    Marefaa
    Marefaa jamaaan tutakj kuuana pal uwanjan marefa waw
    Makn sn n waspendlee tim yyte ile wafuate
    Hak /sheria jamaan
    Waamuz jamaan

    • @emmanuelmasele8734
      @emmanuelmasele8734 Před 3 lety

      Unajitahidi,lkn Yanga washabiki ndani wanayo majibu tarajari.

  • @suleimanathumani8345
    @suleimanathumani8345 Před 3 lety +3

    Kwan wewe mchambuzi umeambiwa Simba tuna chakupoteza? Peleka utoporo wako kule!!!

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Před 3 lety

    Gari ya nan hapo

  • @nurdinmzamilo9886
    @nurdinmzamilo9886 Před 3 lety +1

    A K A MAGOLI YAMBALI DEREVA BAJAJI KWADIWAN KIPUNGUNI UKONGA ALI KAMWE ANAWAZA MUNGU AMTANGULIE HUYU NI KASHASHA WA BAADAE

  • @abubahamis1111
    @abubahamis1111 Před 3 lety +3

    We .ni utopoloooo t una lolote simba amna cha. Kupoteza yanga ndy. Wanaofuuuu sio simba we uchambuz. Wako ovyo KBS kelele. Huko

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 Před 3 lety

      Hebu tupe uchambuzi wako na wewe

    • @mustafakarib4947
      @mustafakarib4947 Před 3 lety

      Presha co km unavohis wewe maanayakw kuutaka mchezo zaid kuliko yanga

    • @abdalajuma8163
      @abdalajuma8163 Před 2 lety

      Unashindwa kuelewa nin maana naya presha embu tulia hapo

  • @daudinyenye6875
    @daudinyenye6875 Před 3 lety +2

    Huyu mwehu utopolo mtu

  • @sadromsemwa6507
    @sadromsemwa6507 Před 3 lety

    Nae si shabik wa yang tu

  • @allyshafih4913
    @allyshafih4913 Před 3 lety +2

    Mechi ya simba na yanga amna mwenye uhakika wa kupata matokeo na amna timu mbovu tu subil dakika 90 sawa mikia nadhan tumeelewana.

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 Před 3 lety +3

    Duu aliiii bintii mnaendana huyu changamkia fursaaa

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 Před 3 lety +3

    Mechi iliyopita morrison alicheza against yanga lakini bado walitoka sare ya moja moja!

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv Před 3 lety

    Huyu jamaa fundi wa mpira

    • @mustafakarib4947
      @mustafakarib4947 Před 3 lety

      Yap

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 Před 3 lety

      Kwahiyo simba yenye kuongoza kwa points 4 mbele na michezo 2 mkononi wao ndio wanapresha kuliko wasionachochote kweli huu ni uchambuzi

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 Před 3 lety

    P