#AfyaKona

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • Wataalamu wa afya wameonya wazazi kuanza kuzungumza na watoto wao kuanzia umri wa miaka tisa hadi 10 kuhusu masuala ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na mimba za utotoni, kubakwa, kulawitiwa, magonjwa na ugumba.
    Miongoni mwa mambo yaliyotajwa kuwa hatari zaidi kwa vijana hivi sasa ni matumizi yasiyo sahihi ya njia ya uzazi wa mpango ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba maarufu P2.

Komentáře • 1