Mauno ni asili ya kuzimu. Ndio maana kukawa na miziki ya kidunia,na miziki ya Mungu. Maana sana wa Mungu sio wa dunia. Hata hivyo kucheza miziki hiyo,unaotumika ni mwili. Ila inategemea unachezesha kiungo gani cha mwili ili kuashiria muziki hii ni waasili gani? Kucheza viuno kunatumika blub maana ya club ni mlango wa kuzimu. Je! Oliva wema Nyimbo zako zina uhusiano na club? Kweli unaimba vizuri,ila angalia namna uchezaji. Pia kaa ukijua kua kila kiungo kwenye kucheza, kinatoa ujumbe kwa mtazamaji. Barikiwa.
na kweli shetani ana tabia ya kukumbusha maovu yaliyopita na ashindwe Kwa jina la yesu
Danlod
Awesome
Mmh hii ku copy Rose hata hai sound poa
😂😂😂😂 hehehe eti biti yenyewe haivutii
You inspired Olivia just like your mentor Rose Muhando. God bless you abundantly.
na kweli shetani ana tabia ya kukumbusha maovu yaliyopita na ashindwe Kwa jina la yesu
rose Dada yetu Mungu ako.pamoja na wewe amini utapona
Love tht small kid ......in 10yrs to come atakua like Oliva
Thats a talent,,oliva keep it up,,may almighty uplift you
SIKU HIZI SIBARIKIWI JINSI WANAOIMBA ZA INJILI WANAVYOCHEZA
tulia zama kwenye Biblia unapotunga nyimbo
Wanaotembelea nyota ya Rozy wamuone meneja Wa Rozy awanyooshe...Rozy juuuu
Mauno ni asili ya kuzimu. Ndio maana kukawa na miziki ya kidunia,na miziki ya Mungu. Maana sana wa Mungu sio wa dunia. Hata hivyo kucheza miziki hiyo,unaotumika ni mwili. Ila inategemea unachezesha kiungo gani cha mwili ili kuashiria muziki hii ni waasili gani? Kucheza viuno kunatumika blub maana ya club ni mlango wa kuzimu. Je! Oliva wema Nyimbo zako zina uhusiano na club? Kweli unaimba vizuri,ila angalia namna uchezaji. Pia kaa ukijua kua kila kiungo kwenye kucheza, kinatoa ujumbe kwa mtazamaji. Barikiwa.
Du! Maneno yako yana ukweli haswaa, nakubaliana na wewe
Yesu Kristo nakutama uje ndan yangu
Wewe no lutu katika maisha ya rose muhando we we na producer wako
Kazi nzuri, angalau tutaendelea kupata ladha hii kwa muda mrefu zikiwa pamoja na ya Rose
Nashukuru kwa kazi yenyu na kuendeleza injili lkn uko na kombe na dadako Rose pia ktk Tanzania nawasii mtoe kanda pamoja
Mimi namtambua Rozi hawa wengine ni kupe na kuiga mifano za wengine mbona usitafute kipaji chako acha kunyemelea talanda ya mwenzio
😂😂😂😂 hehehe 😅
ikiwa umeshaokoka shetani atakukumbusha muda saa ngapi hayo.Jazwa roho Mt.utashindaaaaaa
Unilete
ndugu hata kama umeokoka majaribu yapo,,,,na mengine sio ya kukukuza kiroho ni kukuangusha
Am from kenya I love ur song GOD bless u, second rose muhando keep up
Liz Mass
God bless you all 🙏🙏🙏
tunakatika ndan ya yesu katika mama
tukatike ngoma ya Yesu. hongera dada
Deborah Agerech
Namtaka Yesu maishani mwangu.
shetani usinikumbushe
jaman huyo na rose maneja wao ni mmoja
mm nashindwa na waimbaji wainjili wanamuingiza rose kila mtu atoe dizaini yake hamtamweza rose
Edna Da Sipendi mtu anapotembelea nyota ya roz.si wajipange kivyao jamani!!!!!!
Edna Da wanacheza Kama bongo fleva jamani tunaenda wp???
@@hechihechie5558 Kweli kabisa.
Du unaweza haswaa ubarikiwe mdogowangu
ASANTE KWA UJUMBE DADA GOD BLESS YOUR SO MUCH
Hongera sana Dada,safiiii,mungu akuinue
Hadi mavozi jamani yangu macho lakin kuni za jehamu iyo
rose nmtu wa peke yake kuimba na kucheza kwakuwa aliitwa wengine wanaiga tu
Blessed song
Dada kwa rose kasome
Ww na manager wako Nathan wapumbavu tuu, mnatak kumroga rose at, ww mwenyew shetan mkubw
Nice I love Gospel
Style and all like Rose Muhando...!,,
Ubarikiwa oliver
pambana dada IPA roz msingemruhusu arudi wislamu
ww hats saut huna acha kukopy si barikiw kabisa na nyimbo zaki
Be yourself stop copying Rose
Tanzania we to niriminati weyeusiyende
nce songs
Mmmm!
Nice
nyimbo nzuri sana
yuko vizur
Niki subscriber m naumwa kwa kutukatia viuono
huyu alikuwa muimbaji WA Rose muhando na sio ndugu yake
chonjo sana
ikiwa umeshaokoka shetani atakukumbusha muda saa ngapi hayo.Jazwa roho Mt.utashindaaaaaa
Jose ole Samato
danieli Thomas ibada njema
Dada kama umeokoka kweli punguz kukatika me si barikiwi kabisa na kukatika kwako
ubalikiwe sana
Gorodiyno Girabatwarr
She sings like rose muhando.. Is she her daughter?
Even the dance
She was ones of her dancers
Esnath Chimuly really? In which album does she dance?
It's my first time I heard this story. Thank you for your info.
mauno ni asili ya kuxmu ww bira uimbe singel aise nyimbo za injir zmeingiliwa kabisa
Is this rose muhando?
Rose Mohando is her mentor.
No talent here.Ni kuiga kazi Mum Rose.
The song and the Dance makes no sense. The devil himself is Dancing for this song