Haya nimaombi yangu kwa Jehovah Mungu wetu kwa ajili ya wale wote wampendao Jehovah Mungu Baba yetu. Kristo Yesu tutiye nguvu nyakati zinakuwa ngumu😭😭🙏 big up Pascal cassian wetu. Tusisahau ku like na ku share na wengine unaeneza injili bila kujuwa please tu share na ku like kwa utukufu wa Mungu Baba yetu.
Mungu ndie nguvu yetu na msaidizi wa kila kitu. Bila Yesu hakuna lolote linalowezekana. Mungu atutie nguvu tuweze yote kwa uweza wake. Ubarikiwe mtumishi kazi njema
Please can you always translate you songs in English for your none Swahili fangs? I love your music too much and I only enjoy the rhythm and not getting the message that you are transmitting. Please also preach to us through this music by writing the meaning or the message on the screen so we can follow as we watch your music. Thank you for such good sounds of praise.
Bila ww mungu mm siwezi nisaidie nishike mkono uniongoze hatuwa zngu ❤ barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunakupata loud and clear.
Usijali ndugu yangu yatapita maana niliyo yapitia mwaka 2021,hadi 2023haikuwa rahisi kwangu nilijuwa huu ndio mwisho wangu, kumbe yuko Jehovah Mungu ambaye hakawii wala hachelewi hayo nayo yatapita amini tu, hakuna marefu yasio kuwa må mwisho.
Nakuombea ulinzi wa kimungu kwako mtumishi wa MUNGU maan hapo malaika walioko zamu na wale wasikuwa zamu wakulinde na roho mtakatifu kiongoz na msaidiz awe nawewe daima maan wapo wanaokuchuki ila naamn baba wa yote anakupenda namm pia nakupenda
Ameen mtumish wa mungu Linda Sanaa kusud la mungu lillo ndan mwako ,,,, paschal endlee kuisema kwel . Me naitwa pascal mwabila kutoka shnyinga nafatlia sana nymbo zako naahubr yako
Haya nimaombi yangu kwa Jehovah Mungu wetu kwa ajili ya wale wote wampendao Jehovah Mungu Baba yetu. Kristo Yesu tutiye nguvu nyakati zinakuwa ngumu😭😭🙏 big up Pascal cassian wetu.
Tusisahau ku like na ku share na wengine unaeneza injili bila kujuwa please tu share na ku like kwa utukufu wa Mungu Baba yetu.
Yehovah munguwakweli anayekujuwasana ndaninainje na asikiekiliochako .na akupe yaleunayohitaji yamsigi ili uzidikuwa nanguvu yaku pazasauti kuwa ambia watu. Asante
Mungu ndie nguvu yetu na msaidizi wa kila kitu. Bila Yesu hakuna lolote linalowezekana.
Mungu atutie nguvu tuweze yote kwa uweza wake.
Ubarikiwe mtumishi kazi njema
Please can you always translate you songs in English for your none Swahili fangs?
I love your music too much and I only enjoy the rhythm and not getting the message that you are transmitting. Please also preach to us through this music by writing the meaning or the message on the screen so we can follow as we watch your music.
Thank you for such good sounds of praise.
Haleluyaah!!
Ubarikiwe sana mtumishi kwa wimbo wa kutia na kufariji moyo
Nisaidie Mungu wangu
Amen. Atusaidiye kweli.
Ubarikiwe sana mtumishi , huduma yako izidi kusonga mbele Kwa viwango vya juu zaidi
Amen mungu akubaliki sana mtumish nyimbo zako zinanibaliki sana❤
This my situation God nitie nguvu , l sung this song and started crying 😢 😢😢 oooh God bless us all
So powerful wimbo muzuli sana Mungu nipe mwoyo mwenye ngufu na sbila❤❤❤🎉🎉🎉🎉 from 🇺🇸🇺🇲🇺🇸🇺🇲🇺🇸
Powerful song be blessed bro amen 🙏🙏
mtumishi wa mungu simama tu na mungu hivo usirudi nyuma Wimbo za huwa zinani nipa nguvu may God bless you
Niliisubili sana hii nyimbo hatimae leo ❤❤❤🎉
Hata nami moyo wangu umetulia sasa.
Kazi nzuli sana hujawahi kosea umenibaliki wimbo huu
Moja kati ya watumishi wa mungu wanaonipa furaha kusikiliza nyimbo za mungu barikiwa sana
Unajuaka imba vizuri mtumishi, uko toooop
Hii nzuri sana nimeipenda imetulia sana ❤❤❤ like naombeni jamani
Siwezi peke yangu Mungu
MUNGU WANGU BABA YANGU nitie NGUVU Kwenye jaribu hili siwezi MUNGU WANGU 😭😭😭
Oh yes napita kweli menitia moyo song in season I'm passing thr lord help me amen
Uwa nazikubali sana kazi zako sana aisee kenya ipo nyuma yako 🇰🇪🇰🇪
Barikiwa Sana mtumishi Wa Mungu MUNGU akutie nguvu
Amina.. 🙏🙏🙏Nimeshindwa bila wewe Mungu wangu nami nionekanie lepo hii n huonekanie watu wako
Best song ila kiapo cha damu hatuioni jmn
HAKIKA NGUVU YETU NI MUNGU TU.. UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU. AMEN.
Much blessings.
Powerful song.
Nimekukubali mtumishi nyimbo imeturia sana iyo
Bila ww mungu mm siwezi nisaidie nishike mkono uniongoze hatuwa zngu ❤ barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunakupata loud and clear.
Muñgu akubariki mtumishi wa Mungu, ni wimbo mzuri wa kutufañya tusongembele ktk nyakati ngumu tukiwa na Kristo. Umenibariki
amen amen nitie nguvu nami Mungu wangu univushe kwenye hili pito gumu ninalo pitia🙏
Usijali ndugu yangu yatapita maana niliyo yapitia mwaka 2021,hadi 2023haikuwa rahisi kwangu nilijuwa huu ndio mwisho wangu, kumbe yuko Jehovah Mungu ambaye hakawii wala hachelewi hayo nayo yatapita amini tu, hakuna marefu yasio kuwa må mwisho.
Nakuombea ulinzi wa kimungu kwako mtumishi wa MUNGU maan hapo malaika walioko zamu na wale wasikuwa zamu wakulinde na roho mtakatifu kiongoz na msaidiz awe nawewe daima maan wapo wanaokuchuki ila naamn baba wa yote anakupenda namm pia nakupenda
Ameen mtumish wa mungu Linda Sanaa kusud la mungu lillo ndan mwako ,,,, paschal endlee kuisema kwel . Me naitwa pascal mwabila kutoka shnyinga nafatlia sana nymbo zako naahubr yako
Blessed 🙏 song man of God and God bless you 🙏
Powerful song 🙏🙏
Huyu mtumishi kwangu ninamba moja♥️♥️♥️
Ameen mungu akutie nguvu katika huduma uliyo nayo
Mwimbaji na mpiga vyombo wamekutana❤🎉🎉🎉
Amen, Nitie nguvu Mungu wangu.
kali tamu kama MUNGU
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
AMEN MUNGU nitie nguvu MUNGU nishinde vita hii.
Amen amen ubarikiwe mtumishi
❤❤❤❤❤ kweli naitaji msada wa MUNGU WANGU
Ubarikiwe mtumishi🎉
🙏 🙏
Very powerful and full of anointing ❤
Amazing job God bless you man of God🎉🎉
Kweli wewe nimpakwa mafuta wa mungu bro
Amen pia ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
swezi Jehovah bila wewe
Amina mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Mungu atakushindia
God bless you man of God
Amina Baba angu nisaidie
Barikiwa
Good song
Amin , il mtumishi umenenp san
Naamini mtumishi wamungu
Vmungu ndie anayetupingania Kwa kila hali tumtumainie yeye ttuu tutashinda
Good job
Amina mtumishi
Eee MUNGU majaribu ni mengi ninayo pitia naomba nitie nguvu hakika huu wimbo umenigusa naomba iokoe familia yangu
Hivi kiapo cha damu mpaka sasa video Hakuna Kwli Mtumish 😢😢
Kazi nzuri sana
Amen Amen🙏🙏
Amen Amen Amen
Barikiwa sana, Mungu atupe kuishida vita hii
🇰🇪🇰🇪 Amen 🙏
Ubarikiwe sana kwa jina lake yesu 🇲🇿🇲🇿
Tunapozidiwa na kuishiwa nguvu MUNGU wa mbinguni ukimwomba anatutia nguvu ili tushinde vita iliyo mbele yetu barikiwa mtumishi
Uimbaji ndio witowako sio uinjilist
Hapana, yote katika kristo yesu yanawezekana,ako safi kotekote.
Aliitwa akaitika ...maan anamwamini yy anaye mtia nguvu
Ee Mungu wangu siwezi bila wewe..
Oh yesu !!!🤦♂🤦♂🤦♂
Tutashinda
Amen
Baba nisaidie😢
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Mungu akutiye nguvu mtumishi!
Amena ❤❤❤much from Canada 🇨🇦 😊
Ubarikiwe sana
Very nice
❤
Ameena, Ameena
AMINA
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
Amen
❤
Amen
❤