Wengi Hawajui Nilikua Muislam, Rehema Simfukwe
Vložit
- čas přidán 10. 06. 2021
- Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
CZcams : czcams.com/users/ChomozaTV?su...
#ChomozaTv#2021 - Zábava
Mungu aendelee kukuinua hakika unanibarik Sana na kupitia nyimbo zako nakua kiiman ❤️❤️
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Umenigusa sana na nyimbo ya fungua neema yako watu wakujue Mungu. Haleluya
Very humble and annointed woman of God.. you songs are really annointed, zinatouch souls.❤
Barikiwa sana sana
Endlea kunyenyekea hivo hivo ili Mungu akuinue zaid ya hapo usikubar kushare utukufu na Mungu siunajua Mungu alivo na wivu
Mdada aliyepakwa mafutaa very anointed, humble, respective
Ubarikiwe Zaid dadaangu
Yan nakupenda bule dada lehema naliaga nikiweka nyimbo zako
Mungu akubariki dada
Wow! Kigogo KKKT! Awesome!🎉
Nilishausikiliza huo wa chanzo chauhai wangu niwimbo mzuri sana ata hizo zingine zipo vizuri
Pokea upendo kutoka Nairobi Kenya. Mwenyezi Mungu akuzidishie neema.
Nyimbo lako lime vunja mipaka, na mabano.
Ume sababisha sifa kwa Mungu kwa wakati mgumu, kutoka roho wangu wa ndani.
Ubarikiwe Kwa kazi njema na utumishi.
hongera Sana Rehema simfukwe.
kwa kumtumikia Mungu kwa kiwango hicho, mimi ni Simtowe nipo Sumbawanga kwenu
Amina rehema yani Mungu kaku rehemu kweli kweli
Barikiwa sana Rehema nyimbo zako zinanipa nguvu ya kusimama katika uimbaji...karibu kenya sana
Haleluyaaa
Njoooni Kwa Yesuuu
Yesu ni njia
Hongera sana Mungu ni mwema zidi kumtumikia
barikiwa saana madam Mungu azidi kuinua
Mungu akubariki sana Dada rey
Nampenda sana Rehema
Dada yangu kweli mungu akupake mafuta san tumatoka wakina sifmfukwe
I've come to love this girl God bless u
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua mtumishi wa Mungu. Nyimbo zako zinabariki sana!
Sasa unauelewa ule wimbo wako mimina neema yako familia yanu ikujue
Ana sauti sana
Hongera
She’s humble
Moja kati ya wimbo wangu pendwa
Barikiwa saanaa
Wewe nishuja
Ubalikiwe rehema mama umenikumbusha mbal kigogo luhanga kanisan
Amen
Oh. Wow
Mom
Rehema
Mtangazaji jifunze kutofautisha R na L inakera
😅
Hatunaga waislamu kwenye kabila letu kama hilo...
Wapo bhn ila ni nadra sana kumkuta mnyamwanga wa dini tofauti
Mm mwenyewe nilikuwa sijui kwamba kuna wanyamwanga waislamu
Sasa nikitu gani kimebadilika kwa mwili wako au ndani ya roho yako ili tujuwe kwamba kweli umeokoka??wanapenda kusema Yesu alakini ndani ya moyo hawana uwo Yesu😏😏😏😏
nani alikueka uwe unaangalia ndani ya roho za watu au miili yao kuwa mtu ameokoka au lah? Focus on your heart and spirit kama huyu Yesu yupo ndani yako au hayupo, acha kusumbuka na roho za watu!!!!
Je hapa wokovu wako wewe umefanya nn ?Yeye ameimba ninibada tosha na wengi tumebarikiwa.Wewe unaye sema nn kimebadilika umefanya nn?Biblia inasema hata mjinga akikaa kimya huesabiwa hekima.Learn to shut up if you don’t have anything important to say.Kaaa Kimya.Mithali 17:28.