Qur'an inataka heshima na kuizingatia, na sio kuisoma tu kama mnavyoimba mziki.. Allaah awaongoze nyinyi na mimi pia tuwe wenye kufuata sheria zake.. Hii Dunia ni fupi sana na inahadaisha sana.. Sijawadharau ila nawaombea Dua nyie nami na Waislaamu wote tumtwii Mola wetu..
It seems like you don't know Qur'an as Lavalava, coz he recites wrong but you have been just impressed by his voice without knowing that he is reciting wrong😢
Harmonize arudi madrasa ajui inakaa iko na mda mrefu asomi quran penye surat fatiah inamtatiza hali ningumu kwake alhamdulillah naona wengine wamejitahidi
MASHA ALLAH ❤,Kipindi kiendelee,Jambo la kheir haliwachwi.Allah atuongoze sisi na nyinyi.Muwache kuvaa Herini,Vidani wanaume,sio mapambo yenu ni ameumbiwa Mwanamke.
MASHALLAH . ILA HASARA YAKO UNGEKUA UNASOMA QRUANI KULIKO KUIMBA NAUNAJUA YAKUA KUIMBA NAUNAVO VAA NIKINYUME NA DINI. MNADANGANYIKA NA DUNIA MNASAHAU AKHERA. ALLA AWAONGOZENI
SUBHANALLAH HAWA WTE N WAISILAMU KISHA WANAIMBA NYIMBO WALLAH TUNAITHALILISHA DINI YETU TWAMUOMBA ALLAH ATUJAALIE TUWE WENYE KUFUATA MAADILI Y DINI YETU
Lavalava na jinifa kanumba mumewaoiga pin wenzenu wote akifatia zuchu jitahidini sana kukumbuka na ya akhera allah akusimamieni❤❤❤❤nimeshindwa kuzuia chozi langu nilipowasikia munavyosoma
Subhanah Allah ....kumbe wote ni waislam hawa...doh kesho kuna kazi..mbele y Allah.hujafa hujaumbika Allah awaongoze njia iliyonyooka.yarab haki muifuate...batili muiepuke.
Huyo lava kaharibu zaidi ya kuharibu konde ndo mpk aya anasahau ktk sura ambayo ni nguzo ktk swala vp akitaka kuswali swala itakuwaje?HUSSEYN MACHOZI NDIE ALIESOMA PMJ NA MDADA MMJ
Yaani hapo jenifa walau mashallah husein kama sio ulikua unafata record pia mashallah ila shost zuchu mmmmh na wewe harmonize qurani inasomwa hivyo wallah mtihani na kuna aya umeiruka basi sijui ndio umesahau kwa mbwembwe..... na kama suratul fatiha tu ambayo ni sura muhimu kuihifadhi mana haikamiliki swala yako bila ya suratul fatiha hali ni hiyo si mtihani huu eeh Allah tuongoze waja wako
"Inna shaytwana ala l-insani a'duwan mubin(Hakika ya Shaytwani kwa binaadamu ni adui mkubwa/ aliye wazi)." Lakini nyote nyie mlio jinafikisha kusoma Qur'an ndiyo wafuasi wakubwa wa shetwani. Mumekatazwa kuimba, mnaimba na kutunga tungo zenye kumomg'onyoa maadili mema kwa makusudi.. Huku viongozi wa nchi wakikuangalieni. Ni kama wanakuogopeni. Au sijui mmewazidi ukubwa kivipi?
Surah ya 2 Aya ya286 inasema ""Mwenyezi Mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyho. Faida ya iliyo yachuma ni yake, na khasara ya iliyo yachuma ni juu yake pia. (Ombeni:) Mola wetu Mlezi! Usituchukulie tukisahau au tukikosea. Mola wetu Mlezi! Usitubebeshe mzigo kama ulio wabebesha wale walio kuwa kabla yetu. Mola wetu Mlezi Usitutwike tusiyo yaweza, na utusamehe, na utughufirie, na uturehemu. Wewe ndiye Mlinzi wetu. Basi tupe ushindi tuwashinde kaumu ya makafiri."" 🙏
Mtu hnapokosea. Uomba msamaha kwa Allah n usirudie... Tena Allah umsamehee mtu uyo ss Kuna mwengine waomba msamaha leo kesho wamevaa uchi. Wamerudi kule kule uko n kumchezea Allah ndugu zangu.... Km Kuna mahali nimesem vipaya anhaswifaah. Waislam wenzangu
Huseni lava lava jenifa wamesoma kama inavyo takiwa bt wote wamepata thawabu hata walio kosea Bora zaidi kuwarekebihsa Allah Atuonge wote mm na nyinyi Amn
Subhanallah nyie watoto nimekwambua na nini na sauti zeñu nzuri kusoma Quran kuliko hayo mashetàni ya nyimbo hebu Rudi kwa mola wetu I'll nipate raha ya akhera
Maashallaah mbona Hussein na lavalava mnajua kingine nawausia Nafsi zenu na kuiusia Nafsi yangu kumuogopa allaah maisha ya dunia yasiwatoe Iman zenu kwasababu dunia nistarehe kidoogo naniyenye kuisha kunamaisha yaakhera hayahitajii pesa ispokuwa amali njemapale kaburini kunamaswali hautoulizwa uliimba nyimbo ngap wala nyimbo gani Bali utaulizwa tofauti na hayo
Mtu akiwa bado hajafariki anaweza kubarika na kua mtu mwema au muovu Allah anazingatia sana namn tulivohitimisha uhai wetu *Ewe mwenyo kuzi badili badili nyoyo thibitisha moyo wangu katika dini yako na katika nyia iliyo nyooka*
Assallam alaikum warahmatullah wabarakatu wakati munasoma Quran katika mitandao kuweni makini na kusoma mana munakoseya sana au mutafute mtu anaejuwa awasomeshe
@@faithmapondo7370 qur an in utaratibu wake wa kuisoma na hilo halina mjuzi zaidi ya kujifunza ukikosea lazima uambiwe hautaonewa aibu kama fasheni za nyimbo zao.
Subhana Allah mmedhihirisha sababu tosha mbela ya Allah kukutieni jahanama milele kama mtakufa bila kutubu mkafaia huko katika ibada yashetani miziki nini mtakacho jitetea nacho mbele ya Allah Wakati mmeuonesha ulimwengu kua mwajua kusoma quran ingawaje mnachapia chapia ila mume soma na mmesikilzika.kazi kwenu fanyeni hima kabla pumzi zenu hazijakata.
Qur'an inataka heshima na kuizingatia, na sio kuisoma tu kama mnavyoimba mziki.. Allaah awaongoze nyinyi na mimi pia tuwe wenye kufuata sheria zake.. Hii Dunia ni fupi sana na inahadaisha sana.. Sijawadharau ila nawaombea Dua nyie nami na Waislaamu wote tumtwii Mola wetu..
Kwanza hapo wamesoma makosa kibao kwnye matamshi
Kama konde ndo amezidi kusoma gani qur'ani huku jmn khaa!
damn true
Subhanna Llah... Ameen yaarabb
Ameen🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Husen machozi jenifa na lavalava ndo 3 bora wengine wamepuyanga wajifunje kuisoma quran na sote tuisome na tuizingatie InshaAllah ❤❤❤
Kabisa
Na uyo machozi pia co sauti yke hpo ni lavalava na Jenifer tu
Lavalava ndio hayumo kabisa anasoma ndivyo sivyo, sauti ndio yawakoroga
Kweli kabisa
@@fathiyamohamed7919lava lava kasoma nn wakat anakosea kusoma ana makosa kibao
Hussein machozi
You killed it man🙌🙌🙌🙌
i admire Lava Lava recitation of Qur'an. It 💪really touches my heart... I wish he could continue reciting more of it. Big up bro✌✌
It seems like you don't know Qur'an as Lavalava, coz he recites wrong but you have been just impressed by his voice without knowing that he is reciting wrong😢
@@abdulmohd6880sure once I heard people said, he recite well I was so interesting to hear what he recite but, I could realize that he recite wrong
Mashaallah lavalava anasaut nzur yakusoma Qur an kuliko kuimba
Allah awaongoze kuifuata haki
Wote ni mahafidh Quran
Hakika huseni machozi allah kakujalia sauti yan unapo isoma quran inakuwa niyenye kupendeza sana.tumuombe Allah atusamehe makosa yetu tuwe niwenye kulejea kwake tukiwa tufitiwa madhambi yetu Ameen.
Nakusuport wallah yan nimependa usomaji wa Husseni
Hussein jazzakallahu hairan.Allah awafanyie wepesi ya dunia yatapita muda mfupi sana.
Harmonize arudi madrasa ajui inakaa iko na mda mrefu asomi quran penye surat fatiah inamtatiza hali ningumu kwake alhamdulillah naona wengine wamejitahidi
Alie soma Qur'an vizuri kabisa lava lava
Pamojaa Hussein machozi Masha Allah
Mashaallah! Achaneni na muziki wa duniya murudi kwa Allah
Hussen machozi ndo ameua sana❤🎉🎉🎉
Hossein machozi, lavalava, Jenifer 👏👏👏👏👏 🔥🔥🔥
Naam
MASHA ALLAH ❤,Kipindi kiendelee,Jambo la kheir haliwachwi.Allah atuongoze sisi na nyinyi.Muwache kuvaa Herini,Vidani wanaume,sio mapambo yenu ni ameumbiwa Mwanamke.
Hussein machozi upo vizuli ningekushauli uludi hapo ndio sehem sahihi kwako Allah akufanyie wepesi inshallah
Laiti wangelijifunza qur - an kama wanavopigania mziki basi wangepata faida kubwa Sana, Allah awaongoze wote
Hakika
ameen
Mashallah Hussein machozi, Jennifer kanumba na Bi zuhra
MASHALLAH . ILA HASARA YAKO UNGEKUA UNASOMA QRUANI KULIKO KUIMBA NAUNAJUA YAKUA KUIMBA NAUNAVO VAA NIKINYUME NA DINI. MNADANGANYIKA NA DUNIA MNASAHAU AKHERA. ALLA AWAONGOZENI
Moment soma vzr mashaallha Mungu awazidishiee amini
ماشاء الله تبارك الله lavalava na huyo bint alie vaa hijabu ya kijivu allah awabarik mnasoma vizuri
mashaalllah ila namuomba alllah atulinganie kweli kweli tuachane na mahaba ya dunia . amen
SUBHANALLAH HAWA WTE N WAISILAMU KISHA WANAIMBA NYIMBO WALLAH TUNAITHALILISHA DINI YETU TWAMUOMBA ALLAH ATUJAALIE TUWE WENYE KUFUATA MAADILI Y DINI YETU
Àmiiin
Hawa watoto wote llaana tu lwa
waaache wamdhahaki Allah ipo siku yao
Bas kazi
Omba mwisho mwema hujui mwisho wako vipi nawao vipi
Lava lava,Hussain Machozi, Jennifer Kanumba&Zuchu mnajua kusoma Qur'an kwa ahkami zake,naomba Allah awaongozeni inshaAllah !.
Zuchu jamani hat amma lavalava good na jeniferchukua maua yako🎉 but all in all mashallah❤❤
Inshallah Allah awaongoze zaidi ili mzid kujifunz qur,an na kuzid kufa yaloo mazur
MashaAllah lava lava Allah akuongoze kwenye dini
Lavalava na jinifa kanumba mumewaoiga pin wenzenu wote akifatia zuchu jitahidini sana kukumbuka na ya akhera allah akusimamieni❤❤❤❤nimeshindwa kuzuia chozi langu nilipowasikia munavyosoma
allahuakibar nyie watoto huyu Alie fata baada ya lavalava subhanallah
Hussein machozi uyo kama cjakosea
Mashaallah kaka hussen Allah akuzidishie
Husein machoz ameisoma qur ani kwaunyenyekevu sana mungu atuongoze katka njia ilonyooka tusiwemiongoni mwa waliopotea
ivi mkisoma kur an na kuimba ipi bora msipende sana dunia mukumbuke alla.anawasubiri ishallah mungu akushushieni neema zake
Kwa usomaji huu wa maneno ya allah mumetukosea sana waislam ila wapo baadhi wana muelekeo allah awaongoze inshallah
Lava lava masha'allah Yuko street ❤❤
Subhana Allah akuongoze Rrabbi sisi nasi na akutoeni huko mliko si kwema njooni huku ktk kheri mtajuta mkiwa huko hadi umauti ukikufikeni
Subhanah Allah ....kumbe wote ni waislam hawa...doh kesho kuna kazi..mbele y Allah.hujafa hujaumbika Allah awaongoze njia iliyonyooka.yarab haki muifuate...batili muiepuke.
We ndo mtu
Hussein Machozi Masha'Allah ❤️💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 jazzakallahu heir
Lavalava killed it ❤❤❤🎉🎉🎉 wengn wanaimba
We ata hujui skiza Hussein machozi
@@yogwemwakulola1634Hussein Machozi alisoma vizuri kisha kwa umakini
Huyo lava kaharibu zaidi ya kuharibu konde ndo mpk aya anasahau ktk sura ambayo ni nguzo ktk swala vp akitaka kuswali swala itakuwaje?HUSSEYN MACHOZI NDIE ALIESOMA PMJ NA MDADA MMJ
Yaani hapo jenifa walau mashallah husein kama sio ulikua unafata record pia mashallah ila shost zuchu mmmmh na wewe harmonize qurani inasomwa hivyo wallah mtihani na kuna aya umeiruka basi sijui ndio umesahau kwa mbwembwe..... na kama suratul fatiha tu ambayo ni sura muhimu kuihifadhi mana haikamiliki swala yako bila ya suratul fatiha hali ni hiyo si mtihani huu eeh Allah tuongoze waja wako
Hosseni machozi namekuelewa shekh wangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁
😮😢😢😅😊😮🎉❤kgdfnj
"Inna shaytwana ala l-insani a'duwan mubin(Hakika ya Shaytwani kwa binaadamu ni adui mkubwa/ aliye wazi)." Lakini nyote nyie mlio jinafikisha kusoma Qur'an ndiyo wafuasi wakubwa wa shetwani. Mumekatazwa kuimba, mnaimba na kutunga tungo zenye kumomg'onyoa maadili mema kwa makusudi.. Huku viongozi wa nchi wakikuangalieni. Ni kama wanakuogopeni. Au sijui mmewazidi ukubwa kivipi?
Allah awaongowe awajazie nuru icho kidgo walichonacho kiwe ni ukombozi kutoka kwenye giza la sheitwani hadi kwenye Qur ani ya Rahmani
@@kassimiddi5294amiin😂
Awa ni manafiki majubwa wanajifabya wayisaramu kumbi madui ya uwuyisaramu
Hussein machoze all the way🙌🏽❤️
@Hussein Machozi, Rudi mtumikie Mungu!
Surah ya 2 Aya ya286 inasema ""Mwenyezi Mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyho. Faida ya iliyo yachuma ni yake, na khasara ya iliyo yachuma ni juu yake pia. (Ombeni:) Mola wetu Mlezi! Usituchukulie tukisahau au tukikosea. Mola wetu Mlezi! Usitubebeshe mzigo kama ulio wabebesha wale walio kuwa kabla yetu. Mola wetu Mlezi Usitutwike tusiyo yaweza, na utusamehe, na utughufirie, na uturehemu. Wewe ndiye Mlinzi wetu. Basi tupe ushindi tuwashinde kaumu ya makafiri."" 🙏
Mtu hnapokosea. Uomba msamaha kwa Allah n usirudie... Tena Allah umsamehee mtu uyo ss Kuna mwengine waomba msamaha leo kesho wamevaa uchi. Wamerudi kule kule uko n kumchezea Allah ndugu zangu.... Km Kuna mahali nimesem vipaya anhaswifaah. Waislam wenzangu
Rr
Ameen
@@siti3197, ni kweli kabisa
Amiin
Huseni lava lava jenifa wamesoma kama inavyo takiwa bt wote wamepata thawabu hata walio kosea Bora zaidi kuwarekebihsa Allah Atuonge wote mm na nyinyi Amn
Naelenizako kma jagwa Masha allah mnasoma vzr atamicjui allah awajalie mtoke mlipo
Lavalava ,,husein machozi ,, Jennifer Mashallah ❤❤❤
Wapo vizuri hao uliowatag ila huyu wa mwisho na harmonize ni msiba mzito kwa kweli
@@maryamhawai4287 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lavalava hussein machozi na zuchu wameenda vzr msodoki kuna namna herufi anazikosa kidogo harmo anafanya kama anaimba na ameruka aya moja
Lava lava umetisha san saut pia mashaallah ushaur achen mizik mrudien mola, allah awafanyie wepes inshaallah Amiin 🙏🙏🙏
Lavalava , Hussein machozi and jinifer😢😢😢😢😢😢
Jenifar anasoma vizuri sana..
Mashaallah ninawaombea muachane na mbo ya kishetwani muwe wenyekukisona kitabu Cha allah
Hussen machozi lavalava jenifa Mashaallah nyieee mumejuwa kuitendea haki quran
Husen machoz good
Hayuko siriazi kusoma harmonize wengine good
Mtihani ila binaadam chakuomba ni mwisho mwema Allah atujalie mwisho mwema sisi navizazi vyetu amn
Subhanallah nyie watoto nimekwambua na nini na sauti zeñu nzuri kusoma Quran kuliko hayo mashetàni ya nyimbo hebu Rudi kwa mola wetu I'll nipate raha ya akhera
Lava lava na jenifer kiboko❤
Harmonize babake shekhe na karuka hapo Ayah moja 😢😢🥺🥺
Mungu awasamehe make ni uzunii mnatia huruma amna hata eshima kwa mwenyezi mungu😢😢😢
Hamonaze jitathimini,hata Alhamdulilah haujui kusoma,hii ndio sura ya msingi ktk kusali,bado hujachelewa,Allah atakuongoza,Amin
Jenifa kanumba na Hussein machoz ndo wamesoma hao wengine mwenyez mungu awalainishie ndimi zao wawe ni wenye kuisoma Quran kwa ufasaha zaidi
Waliotenda haki kuisoma vzr 1 Hussein machoz na jenifa k
Hussein machozi Jennifer na lavalava Allah azid kuwabless ❤
Youngkiller anajua wallah maskin af nlijuaga youngkiller mkristo duh kumbe muslim
Mungu awajaalie khaki kuwa ni khaki uifwata namebatwili kuwani jambo baya muweze kuepuka
Una sema mashallah ume msikiliza vzr lkn hvo anavo soma hizo ayya
Mashaallah Allah atuhidi kwa sote yaa raab Amiin
Lavalava hosen machozi mashallah 🎉🎉🎉
Hussen machoz Mashallah 😮
Hussein machoz, lava lava, Jennifer na young kila kdgo❤❤❤❤ mnaisoma qur an Mara kwa mara, inaonekana
Lavalava na Hussein wanasoma vizuri na kwa kutulia sio harmo anasoma kama anaimba bongo fleva. Allah atunusuru
Mashaallah ila kijana TOA HIYO HERENI UNASOMA QUR AN AN HAIFAI UNAJIPA LAANA
Mna zani nimijimbo 2 kuna mungu mm nawaombeni mungu awaongo namipia
Ustaa wa Akhera ni Bora kwenu kuliko mnachokifanya Duniani. Mcheni ALLAH.
Hapo mi walofanya vizuri nii husen"jenifa"zichu"kwa maoni yangu
Lavalava pia
Maashallaah mbona Hussein na lavalava mnajua kingine nawausia Nafsi zenu na kuiusia Nafsi yangu kumuogopa allaah maisha ya dunia yasiwatoe Iman zenu kwasababu dunia nistarehe kidoogo naniyenye kuisha kunamaisha yaakhera hayahitajii pesa ispokuwa amali njemapale kaburini kunamaswali hautoulizwa uliimba nyimbo ngap wala nyimbo gani Bali utaulizwa tofauti na hayo
Kassim mashallah unajua kinoma
Zuchou mbon anajuw vizur nampend zuch❤❤❤❤❤❤
Mashallah khaniffa❤❤❤jami wafwasi wa Jennifer tukusanyike apa kma mwampenda
Lavalava killed it😂😂😂🤞
Hapana kama unaijua qur an ni Jennifer na hussein
@@hassanissah7141kweli
Hussein machozi ....you have made it bro...nice tone 😅😅
Lavalava and Hussein hiyo tajwid ameweza
Hatuwakatii tamaaa InshaAllah siku moja kabla ya kifo mtarudi katika njia sahihi
Husein machozi na hanifa bad mupo vzr rudini kw mola we2 bad hamjachelew
Lava lava nailed it
Lavalava ❤❤❤
Huyu ni UJINGA nyie mashekh mko WAPI ?
Lavalava you are the best
Jeniffa mashaAlah
Kwan huyu Jennifer wa kanumba
Inshallah Mungu atujaalie mwisho mwema🙏🏻🙏🏻
Mtu akiwa bado hajafariki anaweza kubarika na kua mtu mwema au muovu Allah anazingatia sana namn tulivohitimisha uhai wetu
*Ewe mwenyo kuzi badili badili nyoyo thibitisha moyo wangu katika dini yako na katika nyia iliyo nyooka*
Killa,lava lava, Hussein 👍👍👍🙏
Safi sana hussein mungu akupe umri kaka❤❤❤❤❤❤
Aliyesoma vizuri ni Husen machozi
Lava lava, Hussein machozi and Jennifer kanumba are the one who resited the Qur'an but others were just having fun with whatever they were pronouncing
Assallam alaikum warahmatullah wabarakatu wakati munasoma Quran katika mitandao kuweni makini na kusoma mana munakoseya sana au mutafute mtu anaejuwa awasomeshe
Wallah mtihan mkubwa sanaa wao wanadhan ni zile nyimbo wanazo tunga.
Yaan waislam haya somen nyiny mnaojua
@@faithmapondo7370 qur an in utaratibu wake wa kuisoma na hilo halina mjuzi zaidi ya kujifunza ukikosea lazima uambiwe hautaonewa aibu kama fasheni za nyimbo zao.
Subhana Allah mmedhihirisha sababu tosha mbela ya Allah kukutieni jahanama milele kama mtakufa bila kutubu mkafaia huko katika ibada yashetani miziki nini mtakacho jitetea nacho mbele ya Allah Wakati mmeuonesha ulimwengu kua mwajua kusoma quran ingawaje mnachapia chapia ila mume soma na mmesikilzika.kazi kwenu fanyeni hima kabla pumzi zenu hazijakata.
Na maheni masikioni mh sawa bwana ipo siku mtaiheshimu Qur an mkitaka msitake.
Husein machoz 🎉🎉
Hussein pia wow.❤
Wallah machozi yamenitoka nikiskiliza qur an roho yangu inaskkia raha adi natokwa na machoz
hkk allah hachzew shere😭😭
Harmonizee suraty fatiha kasomà ovyoo ihdinaà sijaskiaà
Kuwen Makin mnaharibu
hamonazi umeulluka aya zuchu lludi darasani lavallava mlluduye allaah uko siyo asili yako machozi tawaqarilillaah
Subhana Allaah Kweli ni dhahiri kuwa qur'an na miziki havikai sehemu moja.
Alhamdullah
Allah guides whom he wheels may Allah guide us all ❤
Asalam Alykum
Uyo Amonize hajuwi kusoma Qur Ani mtoto wakiislam