Kichekesho kizuri; maudhui yana ladha mbaya inayoweza kuathiri biashara ya mishikaki; *wapo watakaoogopa kula hiyo mishikaki kwa kufikiria, huenda, ni ya nyama ya paka!* Kichekesho kizuri; maudhui yana ladha mbaya.
Mnacheza kilocal sana kuweni serious mfano huyo dada hapo hakuwa serious na hata alipoondoka akaendelea kuwepo kwenye camera hata uongeaji, utokeaji wake na uondokaji haujakaa kisanaa.
Mm pia nimewai naomben like jama ata tano
HAya nipeni like hata 2 kwa kuchelewa😆
Wazee wangu mnaweza sana
Team #kuryaboy vs #bambo and #mtanga nyie ni on fire🔥🔥
Kurya na mtanga na bambo nyie fanyeni kazi pamoja
Watano leo like zangu
nimeanza kula mishikaki mwaka mzima ndo maana nakonda😂
Moshakiki ya nyau tena wah hio kali
Os melhores de Todo tempo 🇲🇿 Mozambique
Antiguidade é um posto... vocês são donos disso... One love diretamente de Moçambique 🇲🇿
Huyu jamaa anajua Sana mwenye suti ya blue 😀😀
Ujakosea ndugu
Unavyogeuza maneno bambo 😂 🙌🔥
Chacha wangwe boy sirari talime Mara safi sana
Namimi kutoka kiribo
Umeua mzee baba
Okay mkurya mwenzangu umetisha sanaaaaa❤❤😢😢😮😅😮😅
Hata Moshi nao nautamani niule 😅😅😅
😅😅😅
Nakubal
😅😅😅😅😅😅nitaunguzi nyamo
Ausyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kichekesho kizuri; maudhui yana ladha mbaya inayoweza kuathiri biashara ya mishikaki; *wapo watakaoogopa kula hiyo mishikaki kwa kufikiria, huenda, ni ya nyama ya paka!*
Kichekesho kizuri; maudhui yana ladha mbaya.
Hii ni darasa huru maana kiuhalisia wapo wanaouza nyama hizo so ni funzo kwa walaji na kuwa makini
Kwani awapo watu wa hivyo kibaha aliwai kukamatwa mtu anauza nyama ya mbwa
Watoto tena
Kazi zenu nzuriiii we
Warioba ni nooma baaba😅😅😅😅
Chukua izo apo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba laik
Ata moshi niulee 😂😂😂
Kazi njuriiiii saana watalam
Daaaah yaani nyie hii nairudia saiv mara zaidi ya kumi siichoki safi sana tengenezeni nyingine ya samaki nchangaaaa😂😂😂😂
Ongera saaan
Kweli kiboko
Ya leo noma
Baba😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaaaaa kina baba robi na baba boke hao noma sana Rafudhi yake
Nyauuuuu
Kurya 😂 boy
Kurya boy tujuane
Naitaka pia na mm hiyo mishikaki
❤😄👍
Mnacheza kilocal sana kuweni serious mfano huyo dada hapo hakuwa serious na hata alipoondoka akaendelea kuwepo kwenye camera hata uongeaji, utokeaji wake na uondokaji haujakaa kisanaa.
Upo sahii
Wamechemka
Hyo dada hajui kuigiza kaka kizembe sana
mtanga kapungua😪
Fuciane, boss wa ukerewe
Dah ndg yangu mtanga unashida gn
Waze wametisha sana
Salut
Hakuna kumtoa Chama😂😂
👍✌️👊.
😊💥💥💥💥
Utaunguzi nyama😂😂😂
😘😘😘😘💯
baba mwaja...bu😂😂
😂😂😂😂
Nzuri
Mtanga amezeeka
❤❤❤
❤
😂💦yan bambo anavyo ongeaga
Limpo mtamga
VP
Umekula nyama
Umrisya aleye inyamu bhamule
ila kulya boy namkubali sana
Weweeeeeeh mishikaki ya nyau ? Hata niny wa Tanga pia hahahahaha hahahahaha kazi ipo mkimaliza iyo tafuteni ya panya pia Yan watanga duuuuh
Hehehehehehehehehheehehehe
Camera man tatizo nini mbona unashindwa kutendea haki kaz yako.. au mnatumia simu kushuti. Alafu upande wa comed mnatumia muda mwingi hadi mtu acheke.
Jamani hujamaa bado yupo
Hiyo mishikaki ya nyau nikama mavi mtakula na mavi walafi nyie ee😢😢😢
Nakubalo
Hahahahahaha
😂😂😂😂❤❤
Atari saaana kurya boy
😂😂😂😂 ataarii sanaa
Mkurya nomaa mtaniua 😂😂😂😂
Hehehehehehehehehheehehehe
Baba mwajaku 😂😂😂😂
Ila mtanga umepungua asaa shida nini au kuumwa
Dah nimecheka kise
Fundisho kubwa saana
KaMtanga kamekonda sana
😂😂😂😂😂😂😂😂Ila nyie
😂😂kuriaa
Naombeni like Ata mbil nimechelewa
Mtanga hajawahi kua na siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa kila Sikh bambo achomewa na mtanga
😅😅😅
najitafu ta
Mtanga anaumwa au
Bambo mwisho wa mambow
Baba Mwajabu 😂😂😂
Mura weito unatuwakilisha vema sasa mtafute na yule kijana wa tarime ana KENGE WEWE UMLISYA WA BHAGHAYA ALATALA NA MOKANE
😂😂😂😂kudadeq
Kuli boy nakuona na wakongwe
😅😅😅😅
😅😂😂😂😂
😅kula chuma icho
Mtanga kumbe unamuogopa Sana Bambo, umempiga 4G uwanja wa Mkapa A.K.A Lupaso unaogopa kumpa Mineno yake?. Choka Sana Mtanga kwa Sasa.
Sikupingi kaka
Hhh😄 INAWEZEKANA MAMBA KUINGIA MKENGE 🙄
😂😂
U😅😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Ubwedoubwedooooo