Diamond, Zari waingia location SA kwaajili ya Season 2 ya Young, Famous and African ya Netflix

Sdílet
Vložit

Komentáře • 29

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 Před rokem +9

    I can’t wait 😊💃🏾💃🏾💃🏾🙌🏽. Tuseme ukweli I love this series but sikumaliza last series because of Brother sky how he explained everything thereeee .. yan mpaka rahaaa sns hamuachi kitu .... let gooo guys zari na daimond ndo wanaifanya itrend trust me

  • @zaytonaloqman1448
    @zaytonaloqman1448 Před rokem +2

    I can't wait to see this omg ❤❤❤❤❤

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty Před rokem

    Kiukweli nzuri sana Naipenda zari anajua kuact nilimwonea huruma pale Diamond yuko ndani na yule mwanaume rafiki yke kagonga kaingia ndani ajui diamond yupo ,zari anavyogombana sasa na mke wa 2face 😁

  • @tinashesved1598
    @tinashesved1598 Před rokem +1

    Hebu wamlete Akothe aungane na zari. Walimtesa sana läst time.

  • @emmanueljonas84
    @emmanueljonas84 Před rokem +1

    Mdogo mdogo mondi anakuja kuhamia bongo movie👏👏

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Před rokem

    International levels is for Diamond Platnumz

  • @subraissiaka6440
    @subraissiaka6440 Před rokem

    🔥🔥

  • @saumusalimuhassan2499

    We wait inshallah

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 Před rokem +1

    2baba na Oskido washea kwa hiyiiii young femasu

  • @franksimon2406
    @franksimon2406 Před rokem

    Kaka unapata like nyingi na wadau weng kwasababu unajua sana kutoa maelezo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před rokem +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 Před rokem +2

    Kunangoma Apo inakita kinoma daah Kama inakuwa na diamond uyu jamaa aishiwag

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 Před rokem +1

    Awa c waowane tuu wanaendana afu nyota zao pia zing'aa sna

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Před rokem

    Nakuamini sana SNS ukinena yanatimilikika

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 Před rokem

    Sky umeongea birthday ya tiffa itakuwa Netflix

  • @newking6497
    @newking6497 Před rokem +6

    Mbona sielewi ni scripted au reality!!!? Sa location imetokea wapi sasa wakati ni reality😊

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Před rokem

      Kaa kmya ndo bongo tunavyoita utaelewa tu as siku zinavyosogea

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Před rokem +1

      @Juakali Tamthilia kwani si alitumbuiza kwene Singida Boys club

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 Před rokem +1

      @Juakali Tamthilia 🤣🤣🤣🤣

    • @svt3
      @svt3 Před rokem

      @Juakali Tamthilia Harmonize na kajala wana subiria Lamata awape script

    • @aminaabdallah3644
      @aminaabdallah3644 Před rokem

      I think sikama zila the real housewives reality shows 🤔

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Před rokem

    Maisha ya Simba ni content tosha

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz Před rokem +1

    Diamond platnumz 🔥🔥🔥🇹🇿czcams.com/video/XTyrqyX30Vg/video.html
    czcams.com/video/XTyrqyX30Vg/video.html