Dotto Magari ashangilia kesi ya Mwijaku kwa kumchafua Masoud Kipanya, ampa maneno mazito

Sdílet
Vložit

Komentáře • 187

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 Před 9 dny +44

    Dotto Magari nampenda bure jamaa hajui unafki anaongea kilichokua ndani yake big up bro

    • @saidipara4134
      @saidipara4134 Před 9 dny +2

      Zima tv inanimalizia Ume🤣🤣🤣🤣

  • @user-dy8yc5ml1p
    @user-dy8yc5ml1p Před 8 dny +10

    Amezidi mwijaku amlipe masud anamdhalilisha sana hata diamond tena akome kumtaja mola hapo katika upumbavu wake.

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 Před 9 dny +25

    Mwijako ana mdomo mchaff sana

  • @user-qt8eh6ug2l
    @user-qt8eh6ug2l Před 8 dny +3

    Mimi shabiki wa dotto from europe

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 Před 8 dny +5

    Doto nakupenda Sana bro aunaubaya na mtu dazaini kama unamuombea msamaa mshikaji Yani inaonyeshakama aunachukinae wewe ni mcheshi Sana sio wakuja awanaadabu Tena malimbukeni wamaisha Asante kaka endelea kutetea wanyonge

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 Před 9 dny +13

    Mwijaku bila kufungwa gavana /kidhibiti mwendo hata kuwa na adabu wacha ashikishwe adabu kwanza Masudi fika naye mwisho huyo mpuuzi

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 Před 9 dny +17

    Ametaja hadi majina yake ya NIDA

  • @emanueldrancula
    @emanueldrancula Před 9 dny +23

    Sasa dotto unatutukana sisi unamtukana mwijaku au unatukana TV😂😂😂😂😂

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy Před 8 dny +6

    Doto nakukubali Sana,pia umenichekesha sana😂😂😂😂

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 9 dny +16

    Mwijaku atiwe adabu, bundi huyu

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Před 9 dny +14

    Anataka contanti huyooo ila doto wee kiboko 🙌🙌🙌 hii contanti lazima ipandee🤣🤣🤣

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před 8 dny +5

    Mwijaku anampenda sana kuongelea watu na kuwatukana

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 9 dny +18

    Nimecheka mbavu zangu jamani, Mwijaku kayatimba

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 Před 8 dny +4

    Mpe ukweli kabisa Mwijaku ana tabia mbaya sana.Alishamtukana Hadija Kopa na Mke wa Ally Kiba na Maua Sama ashikishwe adabu ili awe na nidhamu

  • @brightonvictorkimsehyeon7892

    Mwijaku ana mdomo mchafu sana

  • @user-qk4lx4hg7g
    @user-qk4lx4hg7g Před 8 dny +5

    Bora kweli mwijaku ni ana mdomo sana Bora atiwe Adabu

  • @oyay2821
    @oyay2821 Před 8 dny +4

    Hata mimi nimefurahi kushitakiwa Mwijaku. Huyu Mwijaku atabidi afungwe miaka sita gerezani

  • @warrenkilimber4013
    @warrenkilimber4013 Před 8 dny +3

    Mwijaku anakera sana mbwa huyu akome

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 Před 9 dny +9

    Mwijaku anatangaza kamari then anasema Pessac zahalali humm

  • @kabelwasalim6305
    @kabelwasalim6305 Před 7 dny +3

    Blaza anabishana na TV 😅😅😅😅

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo Před 8 dny +3

    Amezidi!

  • @Laviviva
    @Laviviva Před 9 dny +8

    Diamond naelianjishee amtime mwijaku anazinguaaa 😂😂😂

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk Před 8 dny +3

    Apelekwe mahakamani tu huyo maana kazowea sana kuchafua watu. Kila mara anamsema vibaya Diamond na haieleweki kamkosea nn! Kaingia pabaya

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 Před 8 dny

      Diamond na mwijaku wanajuana wote wanatoka sehemu moja kigoma😂

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o Před 8 dny +1

    Dotto magar yuko sahihi kabisa big up

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 Před 9 dny +4

    Safi Sana dotto

  • @PiusremigioalyuduleMueda

    Alipe tu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ByaombeBilesukuJacques

    Hasa sana kwa diamond platnumz

  • @eliasinyaonge4187
    @eliasinyaonge4187 Před 8 dny

    Doto nakupenda sana wewe ndugu yangu

  • @ByaombeBilesukuJacques

    Kama kweli tz kuna sheria basi mwijaku afungwe kwanza kwa sababu hanayo ongea zidi ya wezake ni mbaya zaidi

  • @user-qt8eh6ug2l
    @user-qt8eh6ug2l Před 5 dny +1

    Watching this from germany but i hate mwijaku and you should leave dotto alone cuz we love Dotto magari

  • @user-dp1fj9dw9r
    @user-dp1fj9dw9r Před 8 dny +3

    Atoe tu mkono WA Nyan maana inaonekana Hua anatupa matango Pori nawaza siku mond aseme nazima data😅

  • @kiatu
    @kiatu Před 9 dny +11

    Na yeye anataka kuingia kwenye mtego uleule. Hajui mwenzake anatafuta kila chanzo cha kulipia faini

  • @user-px3po9lt8g
    @user-px3po9lt8g Před 6 dny

    Dotooooo mbavu sina

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 Před 7 dny

    Nakukubali doto magari

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 Před 8 dny +3

    Sio milioni ni billion tano

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Před 8 dny +2

    Wamezoea kumtukana Diamond 😅😂

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Před 9 dny +9

    Doto, kesi ya kudhalilisha itakugeukia na wewe kutoka Kwa Mwijaku 😂😂

    • @Zuu673
      @Zuu673 Před 9 dny

      Kwani aliyeanza siyy? Mwijaku

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Před dnem

    Nyie nanyi mna shadadikia vitu vya hovyo

  • @furahaseth1215
    @furahaseth1215 Před 9 dny

    Duuuun!! Doro!! umetapka aisee

  • @ZaitunidismasiZaitunidismasi

    Doto ww ninoma sana mpaka nachekatu

  • @jihalethegreat8807
    @jihalethegreat8807 Před 4 dny

    Dotto bwana

  • @JudithFrad-nk1di
    @JudithFrad-nk1di Před 6 dny

    Doto nakupendaga bureeee

  • @SelinaChares
    @SelinaChares Před 9 dny +5

    Hahaha ila dotto unanifany nicheke kila siku

  • @stewardlwimbo3944
    @stewardlwimbo3944 Před 7 dny

    Mwijaku lopo lopo

  • @GOODLUCKGodwell-bm4br
    @GOODLUCKGodwell-bm4br Před 9 dny +1

    Kama doto magari anavyosema huyu jaama ni mtu wa ajabu sana kunawakati alionywa na Mimi nilitaka kumuonya sikufanikiwa alinizarau ila kwa kweli inatakiwa iwe mfano maana bado inaonekena bado hana utulivu wa kuomba radhi kweli

  • @newgreeneaglestudio3089

    Mimi napenda comments tuu dotto nampenda kwajiri yeye ni Really

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před 5 dny

    Kipanya usimuache hy faraaaaa

  • @AmirAbdallah-pr4uq
    @AmirAbdallah-pr4uq Před 8 dny +1

    Hana mood ya kidunia 😂😂😂😂😂

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 Před 7 dny

    Mwijaku anafikiri Uhuru wake ni mpaka kuwadhalirisha watu.Masoud give him a lesson.

  • @ce-08
    @ce-08 Před 9 dny +4

    et unamtaja Mola wa nini kwenye ujinga wako huo😂😂

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t Před 8 dny +1

    Ila hawa machawa Wana kaz😂😂😂😂😂😂

  • @FadhiliMnyonge
    @FadhiliMnyonge Před 9 dny +3

    Nimefurahi jinsi anavyobishana Na TV

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 Před 8 dny +1

    Malapa oyeeeee

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t Před 8 dny +1

    Et bichwa km box jmn doto😂😂😂😂😂😂😂

  • @pditanzania7764
    @pditanzania7764 Před 9 dny +3

    Hili nalo litapita salama.

  • @saleheabdallah5461
    @saleheabdallah5461 Před 8 dny +3

    Eti bichwa kama box😂😂😂

  • @jade75798
    @jade75798 Před 8 dny

    Mwijaku kakosea hapo kutusi Kipanya .ila huyo Kipanya atuache na pombe zetu sisi ndio starehe yetu tafadhali .kila binadamu ana starehe zake na muache watu wafuate mioyo ya starehe zao

  • @azizaali687
    @azizaali687 Před 9 dny

    Ni kweli ameyatimba doto umenichekesha mdomo uliponza kichwa

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 Před 8 dny

    Amezid

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před 9 dny +2

    Doto huna mbamba

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw Před 9 dny +15

    Tuko na doto hadi mwijaku afungwe

    • @Esquire266
      @Esquire266 Před 8 dny +1

      Mwijaku hapelekwi popote, subiri utaona😂😂

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo Před 8 dny +1

      Hata asipo pelejwa kokote ila jasho la kwapani litatoa povu la njano. Masoud ni bilonea.😂😂😂

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 Před 8 dny

      Watu😂😂😂

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o Před 8 dny +1

    😅😅😅😅 kaikanyagaaa mzeee waaaa migebukaaa

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j Před 8 dny

    Mwinjaku akomeshwe kbsa anamuoneaga daimond ivi smears wasawa yke

  • @user-dp1fj9dw9r
    @user-dp1fj9dw9r Před 8 dny +1

    Kumbe mwijaku anaitwaga baton😅😅

  • @Black-sound24
    @Black-sound24 Před 8 dny +1

    Anamalza umeme😂😂

  • @ramarashid4572
    @ramarashid4572 Před 8 dny

    unatumalizia umeme

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Před 9 dny

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před 9 dny

    Tena uyo ndo afunge mdomo...elimu hana kichwani,,kimungu mungu...na huu wakat wenu msipokaza nyie hii dunia ndogo sana....

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 Před 8 dny

    Mwijaku kampa prom Doto Magari

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 Před 9 dny

    Mwaka wake

  • @arthurherman-rn8ko
    @arthurherman-rn8ko Před 7 dny

    ( Machawa WA Tanzanian )

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Před 8 dny +1

    Ila dotto bwana 😂😂😂😂😂

  • @saudatoller642
    @saudatoller642 Před 8 dny +1

    😂😂😂😂😂maaanina dotto
    Oy dotto anakera acheni masihara

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Před 9 dny

    Mwijaku kayatimba

  • @user-nz5nk9pm8w
    @user-nz5nk9pm8w Před 7 dny

    Bundi kweli hilo

  • @ibrahmpinga380
    @ibrahmpinga380 Před 8 dny

    kayatimba sana

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974

    amemdhalilisha kiukweli,mi nadhani iwe dunzo maana hana mipaka ya kuongea
    Na jambo km hili linamchafua kipanya maana jamii inamuheshimu.

  • @Zuu673
    @Zuu673 Před 9 dny +1

    Contanti😂😂😂😂dotto niache mimi😂😂

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Před 8 dny

    Mwijaku mkewe ni advocate lazima amemshauri kua hakufanya vizuri na atapatwa na mkono wa Sheria ndio mana amepatikana 😂

  • @kizitoleons6291
    @kizitoleons6291 Před 8 dny

    Kipanya kiongozi

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx Před 8 dny +1

    😂😂😂Tina December mimi hoi doto😂😂😂😂

  • @mcsam254
    @mcsam254 Před 8 dny +1

    Anamaliza umeme😂😂😂😂😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 8 dny

    Jaman ebu mwangalie mdomo unaponza kichwa...asije mwa fulan akaja kutafuta sababu na mtu Ili apoze machungu yaaaaaaake

  • @ramadhanismtamboz
    @ramadhanismtamboz Před 7 dny

    atakoma huyo fara

  • @mwikwabematiku379
    @mwikwabematiku379 Před 8 dny

    Kaka doto bhana

  • @vero57
    @vero57 Před 8 dny

    Mwijaku inabidi uombe msamaha kwa dotto magari na sisi wanaichi

  • @user-zk5pk7vl3q
    @user-zk5pk7vl3q Před 9 dny +1

    😂😂😂😂 dotto magari

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Před 8 dny

    Mwijaku amezid jmn afu hajifunzi tu huyu toka alipata ajar akaumia kichwa kuna nati zilikatika sio bure

  • @jumaswedy5131
    @jumaswedy5131 Před 8 dny +1

    9 disemba ,mtu yupo anachola vikatuni wewe uogopi

  • @jumaibrahim9773
    @jumaibrahim9773 Před 9 dny

    Mmeandika kipanga

  • @mamilafx1225
    @mamilafx1225 Před 7 dny

    Unamaliza umeme 😂😂😂😂😂😂

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 9 dny +2

    Sakokwabako

  • @joshuason557
    @joshuason557 Před 8 dny

    Jama leo amekubali wasomi 🫣 vijana muechimiye kusoma kwa kisasa ✌🏿🇺🇬👏🏿😂😂😂😂

  • @hafeedhzahor8903
    @hafeedhzahor8903 Před 9 dny +1

    Eti "Unanimalizia Umeme"🤣🤣🤣🤣

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc Před 8 dny

    Ajifunze kukesha kuchafua watu muda wote

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Před 8 dny

    Hamsa 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️😂😂

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 Před 9 dny +2

    Doto kiboko😅😅😅😅

  • @ClemenceStanley-bc8mx

    Sasa doto ivyo vidole vp kaka😅

  • @shd12m55
    @shd12m55 Před 8 dny

    Aya SKY umejisikia sauti yako ilivyokuwa ni moto wa kuotea mbali kwa utangazaji ???utafika mbali sana broo utafika mbali

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo Před 8 dny

    Watu wa bukavu