Makonda Alivyokosa Penalti Mechi ya Wabunge Vs Mabalozi Usalama Barabarani

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 08. 2017
  • SUBSCRIBE NOW / uwazi1
    Katika tamasha la usalama barabarani lililofanyika hapa katika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar kumekuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii mbalimbali pamoja mchezo wa mpira wa miguu ambapo wamechuana mabalozi wa usalama barabarani na wabunge na hadi kukamilika kwa dk 90 hapakuwa na aliyefanikiwa kuchungulia lango la mwenzie, kilichofuata ikawa ni mikwaju ya penati ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alaikosa penati. na hapa tumekuletea ilivyokuwa.
    Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .
  • Sport

Komentáře • 38