Raia wa kwanza kutoka Ngorongoro kwenda Handeni akabidhiwa nyumba | Shuhudia hapa kinachoendelea

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

Komentáře • 25

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Před 2 lety +3

    Shukran mama Samia na jopo yako ya kazi na maendeleo.

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 Před 2 lety

    Nzuri

  • @JoseoneTv
    @JoseoneTv Před 2 lety

    Jaman Muogopeni Mungu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Před 2 lety

    Subhanaallah kuna binadamu tunapotoshwa na nani hivi unaweza kusema kuwa wana tumia pesa za wa inchi kujenga nyumba hivi nahuyu anaejengewa nyumba sio mwana inchi tumekwenda shule bado akili zetu zimeganda 💔💔💔

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 Před 2 lety +1

    Wanatumia pesa za wananchi wanyonge kuwajengea watu nyumba nahukuwakiwafukuza waksifanye kazi Mungu anawaona hatunaserekalik kwasasa

    • @chrissjapheth2803
      @chrissjapheth2803 Před 2 lety

      Unataka pesa zifanyiwe nini..?? Zirudishwe au kwasababu hapo wanaiokoa Ngorongoro ili kuifanya iendelee kuzalisha pesa

    • @allymadunda7931
      @allymadunda7931 Před 2 lety

      @@chrissjapheth2803 hajielewi huyo

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 Před 2 lety

    Ok

    • @hashamadewa6451
      @hashamadewa6451 Před 2 lety

      Hehehehe uuuiiiii kwani serekali ya awamu gani haikutesa watu

  • @edwardoskayanda6193
    @edwardoskayanda6193 Před 2 lety +1

    Achan kudanganya watu ngorongoro

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 Před 2 lety

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏

  • @rumasoloongoswani7362
    @rumasoloongoswani7362 Před 2 lety +2

    Hawa ni matapeli wakubwa na wanafiki kabxa na sii mwana Ngorongoro kabsa halihama kitambo kwa iyo ni mchafusi tu

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Před 2 lety +1

      Peleka wasiyo matapeli ili roho yako iwe sawa na kumbuka kuwa serikali huwa inakuja kwa maelewano wakiona umekaidi kitakachofuata utakuja kuniambia

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 Před 2 lety +1

      Hao sio watu watu waliokuwa ngorongoro hiii inatengenezwa tu ili kuonekana watu wametii amri bro? Hao sio watu wa ngorongoro hao ni waarusha wa ngaramtoni ? Huwezi kumtoa masai kirahisi hivyo ? Watu Watership miaka nenda rudi na miaka mingi walisema hawataama never sio kirihisi hivyo hao ni waarusha wamechukuliwa tu basi kuonyesha

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Před 2 lety

    Bass haya

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Před 2 lety

    Huyo muwekezaji wamupeleke huko handeni

  • @charlesmelami8028
    @charlesmelami8028 Před 2 lety +1

    Tullikua.tunakkutegemea.kumbe.nawe.nimbwa.mwitu.umejifalishagosi.yakoodoo

  • @bakaribwata3669
    @bakaribwata3669 Před 2 lety

    We mtangazaji acha mambo yako

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 Před 2 lety

    huyo muwekezaj sio mtanzania. asijichagulie pakukaa. asisababishewatu wateseke. yeye ndioaende huko tanga. asituletee usenge hapa. yaan kimtu siokizawa kitusumbue wazawa.

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 Před 2 lety

    Mnataka kutuambia mnyama anathamani kuliko binadamu?! angali binadamu aliymbwa atawale Kilakitu ikiwemo wanyama, iweje Leo binadamu anatakiwa aporwe makazi yake iliapishe kinachoitwa eti niuwekezaji Tena mbugani!🤔🤔

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 Před 2 lety

    Never maasai haiwezekani kuondoka ngorongoro wameishi hapo zaidi ya miaka 7000 hivyo nikwao na wanyama niwakwao hadi wamezoeana kwahiyo tafuteni ardhi nyingine lakini sio ngorongoro

    • @davidtuya9586
      @davidtuya9586 Před 2 lety

      Ni kweli hiyo haijakaa sawa

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 Před 2 lety

      Wewe umesoma wapi historia, eti Masai wamekaa ngorongoro miaka 7000 Iliyopita? Ngoja nikupe maarifa kidogo.Masai wameingia Tanganyika miaka 358 Iliyopita waliwakuta waikoma na wasonjo wakiwepo. Waikoma waliishi mbuga ya Bumari maana ya jina bumari ni kukroo au mbuga ya kunyatia wanyama,kutokana na mbuga ile kuwa tambarale wawindaji iliwabidi kuwinda kwa kukroo chini yaani kunyatia vinginevyo wanyama waliwaona wakakimbia. Masai walipoiona mbuga ilivyo kubwa na pana wakaiita "siringiti"yaani mbuga kubwa isiyo na mwisho. Kwa kuwa waliishi maporini wazungu waliofika mbugani kwa uwindaji na utalii Masai waliwatambulisha wageni kwa jina hili la "siringiti"kwa hiyo utaona kuwa ukisema hii in mbuga ya Serengeti unakuwa hujaipa jina maana yake unasema hii ni mbuga ya mbuga.Serikaki ya mwingereza waliwahamisha Masai toka Serengeti kwenda ngorongoro mwaka 1959. Utaona kuwa masai wana karibu miaka 63 tu ngorongoro. Mwaka kama 250 Iliyopita kulitokea mapambano makubwa kati ya waikoma na Masai vita hii ilipiganwa katika eneo ambalo kwa sasa panaitwa Nabi gate. Nabii ni neno la kiikoma lenye kumaanisha " Balaa au mkosi" kwa Kiikoma hutamkwa hivi: "Ino Nabi ke ighatubhona" hii balaa gani imetupata.Katika vita ile watu wengi wa pande zote mbili walipoteza maisha. Baada ya vita hiyo waikoma wakaigawa mbuga ya Bumari(Serengeti) kuwa mbuga mbili mbuga ya Bumari (Serengeti) na mbuga ya Nabi (Ribhara re'bhumari na Ribhara re'Nabi hadi leo Waikoma huzitambua hizo mbuga mbili.Kwa hiyo kusema Masai wameishi ngorongoro miaka 7000 Iliyopita si sawa.Wala usifikiri kuwa mafuvu ya binadamu wa kale pale odvai ni ya Masai hapana.