Chege - Mama Feat. Christian Bella (Official Music Video)
Vložit
- čas přidán 31. 03. 2022
- Official Music Video for “MAMA” by CHEGE & Christian Bella
Listen to "Burudani" EP here: album.link/tz/i/1550313834
Subscribe to CHEGE: / chegechigundatz
Follow CHEGE:
Instagram: / chegechigunda
Digital Branding & Marketing: Mavin Inc.
Instagram: / mavinmagmt
Email: mavinmagmt@gmail.com
WhatsApp/Call: +255759628220
Chege ft. Christina Bella - Mama Lyrics
Verse 1:
Ulinigunza nikuskilize wewe
nisifate yaduniaa
Nikuskilize wewe tu
Nisije angamia
familia twakukumbuka wewe
twabaki kujiinamia
Nikikumbuka malezi yako mama tu
Nina baki ninalia
Ulinifunza tabia njema
haukunifunza tabia mbaya
Ulale mahala pema ah ah ah
Nakuombea niki lala
Wakati mama ndio nguzo ya dunia
Umesha kwenda sina waku jivunia
Bila mama mimi silolote
Bila mama sisi sichochote
Chorus:
Mama yangu ulale sama
Tutaonana usijali
Wasalimie akina nyerere mkapa na magufuli x2
Verse 2:
Mmmmmmmh mamaaaaa
mmmmmmh CBO
Kwenye safari umetangulia
Nasisi wote ni yetu njiaa
Ila taswira inajirudia
Mapema umeondooka
Nilizoweakudeka deka
yangu madhaifu uli yabeba
Nilipo dondoka ukaniokota
Ulale salaama
Naashindwa kuvumilia
Ooo mamaa
Taaswira kichwani unanijia
Ooh mama
Na na nazidisha duwaa
Ulale salaama
Na na manenyo yakoo
Nayakimbuka sana
Kama ningekua na uwezo
Ningekurudisha duniani
Walisema kua uyaone
Nimekua nina yaona Oiyee
Mama ungekuepo
Tena ninge deka
Mama nina lia
Mwanao nakumiss sanaa
Chorus:
Mama yangu ulale salam
Tutaonana usijali
Wasalimie akina nyerere mkapa na magufuli x2
#Chege #Mama #ChristianBella - Hudba
Pole kwa wote mliofiwa na mama zenuuuh one love🥰😭😭😭
Shukran tushapoa
🙏🙏
Ahsante Saaana 🙏😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭asante
Asante mpendwa
Kila nafsi itaonja mauti pole kwa sote tulio ondokewa na MAMA zetu na walio hai MAMA zao mungu awape umrii mrefu (AMIN)
nakumbuka baba alivyo kua akikulilia mama na hapo ndo ilikua mala ya Kwanza kuona baba analia kwa kias kikubwa ila yote ya mungu uliniacha bado mdogo na kwa taarifa mama huku kipenzi chako mumeo bado ajaowa tangu uondoke
nimekukumbuka mama imepita miaka sasa mama tangu unitoke nibola hata tungekua wengi kulikon kua pekee yang kwasasa mwanao na miaka 28 uliniacha na miaka 10 you love my modher
Pole sana ndugu yangu wewe na Mimi ni pacha bola wewe uliachwa na miaka kumi me mwenzio miaka miwili na nusu alaf peke yangu bila Kaka Wala dada😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥💔💔
Poleni aiseee
😭😭😭😭 Pumzika Kwa Amani Mama Yangu Kipenzi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Dah yan hii nchi unakuta mtu anatoa ngoma kali sana halafu haifanyi vizuri huu wimbo niwimbo mzuri sana
Harafu zakijinga ndo zinahit cjui nikwaninitu😭😭
Nainjoy kuona unautambua mziki mzuri.. Rushwa sana kwenye sanaa ya Bongo music ndio sababu
Poleni wote walioptezaa mama zao❤️Allah awarehemu na sisi wetu wenye wako hai Mungu awajalie umri mwema inshallaahhh na atulindie wamama wetu 🤲🏾
Mombasa wanamuita mtoto wa mama said #chege chigunda
MUNGU akupe maisha mareeeefu mama yangu kipenzi na wanawake wooote Duniani. Pia awawekee mwanga wa Milele wote waliotangulia mbele za haki 😓😓😓😓😓 Poleni sana woote mliowapoteza Mama zenu 🙏🙏🙏🙏
Allah akuondolee adhabu za kaburini mama yangu kipenzi, nakumiss Sana ma
Baba yangu umetangulia mbele ya haki mungu akuweke mahali pema 😭😭😭
Nairobi tunakukubali chege na bella embakasi namba 33 tupo washikaji wako wa nguvu tunaleta noma sanaaa
Happy Mother's Day to all Mothers & all Mothers who left us
Huu wimbo unanigusa sana mama lala salama
Polen kwa wote mlioondokewa na wazazi
vizuli kaka aujawaigi kuniangusha wew ni mwanamuziki bola wa wa muda wote
Pumzika kwa amani mama angu🙏💔💔💔💔
Pole sana
Maisha yetu nimafupi hufananishwa na maua leo yapo kesho huyaoni big up for your song brother
Kwel dunian tuwapitaji tu
This song Ipo na emotional Sana...braza chege Umefanya kweli ndani humu..
Respect to you 💪 bro
Pumzika kwa Amani mama yangu.
Dar sawa bana mmenikumbusha mbali😭😭😭😭
Allah akuweke pahara pema peponi Mama ang inshAllah 🙏 😔😔😔
Ulale salama Mama
❤️❤️❤️🌹❤️💕❤️🌹❤️💕❤️🌹❤️🌹❤️Mm nko apa
HAKUNA KAMA MAMA.
Listening from Westlands Nairobi Kenya.....Chege you are always my Mentor, stress killer wallahi 💕
Kwa ajili ya babangu😭 nilivyokupendaa bado nakukumbuka. Ulale salama❤️
R.I.P Mao, I did loose you 2 months ago and for real I'm now experiencing the genuine life lessons you were nurturing me with.... "Nani kama Mama - Alikiba ft. Christian Bella" truly hitting me now. Continue resting easy Mao. I'll forever love you with passion Mao and still shaken
It's a sad song wallahi always respect all mothers in this world 🌎🌎🌎🌎 they did a lot for US
Congratulations 🎊 my brother nice 👍 songs 🎵
Mtoto wa mama saidooo ze son salute sana kaka🙏🙏🙏
King of the best melodies, did it again...
#ChristianBella
Pole kweli kwa wale wenye mama Zao wamesh waacha😭😭
I love my Mother ❤️❤️🇨🇩
Heshimaaa song
😍 😍 😍 😍 😍
Sisi wote tz
R.i.p mama
Kisiki haking'olewi Kwa Mkonooo
HAKUNA KAMA MAMA IN THE WORLD 🌍🔥🔥🙌🥵
RIP mama🔥🔥🔥
Xanah Chege kibunda 💯
Pole kwa my just Darling SAK kupoteza mama. Be strong my man.
Mama Tunakuombeaa
Pumzika kwa amani Mama yangu😢
Brother CHEGE all the way from United States 🇺🇸
😭😭😭😭😭😭🙏🏾❤️my favorite song
R.I.M 🔥
Ngoma inasikitisha sana hii
Bella we ni nyoko kaaaaa jamaa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
dah nimeli aisee na ukamanda wangu
#Nice message to our departed Mothers..Big ups to your nice work bro.
Love from
💪🥰
I love you mama 😭😭😭
Wa kwanza
R.I.P mum😭😭😭😭
R. I. P mama😭😭😭
Chege mzee baba
Rest easy,my momma Regina🙏🙏
chege fundi🇹🇿
No one like your maman❤
Mama my best 🥳
Mad🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
Uwezo xn
Aky pole sana chege
Safi chege,,,💯💯💥😭
I love the song👏👏👏✨✨✨✨
Bella the vocalist
Original sound. Good music always
So sorry touching vocal
nice song🇨🇩
Good luck
Tisha sana brother
#Mama
a a a aaaam Records 💪💪💪💪
💥🙏🔥
🌑
🙏🙏🙏
Rest in peace mum😭😭😭
🙏🙏👌
😥😥😥😥Painfully true lyrics😥😥😥
Rip
Good
Rest peace Mama Salma Bakari
Salute chigunda
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
So sad really
♥️❤️❤️🤩🇹🇿🦿
My cat is named Bella
Painful
Ngoma ni kali tu kama ambavyo zipo nyingine kali kama hizi swala ni moja, what the matters cbo kuwa collaborated kwenye io ngoma? Atleast ungefanya cha tofauti kidogo.... You did something same like three, two others did before.... Yuko featured kwenye ngoma za mama kama tatu so it makes sense like he's the only one artist who match in this type of songs bout "Mama" so yeye kuwepo kwenye ngoma imefanya kuonekana ya kawaida na sio kama hajui wala hajafanya poa, bali ni choise of artist for collable imekuwa wrong....ameshafanya zaivo kama tatu sjui mbili ivi ka skosei......POSITIVE COMMENT" Ukichange to "NEGATIVE " Niwewe, Yeye ama Nyie,
Tatizo ni unafki Tu zinaweza kuwa hatakumi wala sio tatizo
This is what we call dream killers in the society.... Waswahili Husema msunguti mgomba wa doti,ukiingia hautoki,unafiki kwako ndio chanzo chako kutokuwa msanii...Angalau Kaka Chege na wenziwe wamefanya kazi ya maana sana kwa wale waliofiwa na Mama zao wazazi,kinachokufanya uropokwe hivyo ni wewe kutoskia ule uchungu wa kupoteza,Yakikupata utajua maana ya Kaka Chege Kwa huo Wimbo ..Rip Ma lovely Mom
You don't know the value of "mama" that way you are talking like idiot braza.. acha nongwa ngoma Kali hii wewe.
😭😭😭❤️