ADAM NA HAWA : Ukweli Kuhusu Tunda,Usaliti Na Siri Zingine Nyingi !

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 02. 2020
  • #TheStoryBook Hadithi juu ya mambo mengi yanayosemwa kujificha nyuma ya maisha ya ADAM na HAWA: Tunda,Watoto,Adam kuwa na mwanamke mwingine kabla ya Eva.
  • Zábava

Komentáře • 2,4K

  • @assengakelvin4805
    @assengakelvin4805 Před rokem +19

    Guys let's be honest this guy knows how to tell story
    I love Jesus and Adam and eve

  • @suleyhamad8078
    @suleyhamad8078 Před 4 lety +28

    Mbona anasimulia vizur sana👍👍👍

  • @NiaKelly-sh4hj
    @NiaKelly-sh4hj Před 2 měsíci +1

    Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @joypatientmwangi6951
    @joypatientmwangi6951 Před rokem +2

    wow!!!!GOOD JOB.KISWAHILI CHAKO KINA PENDEZA.LUGHA YAKO KINANIFANYA NIANDIKE INSHA NZURI KWA KUWA NINAZOA ALAMA 34-36\40.GLORY BE TO GOD!!!!!!😇😇😍😍

  • @Dapeopletz7
    @Dapeopletz7 Před 4 lety +203

    Leo nimekua wa kwanza .gonga like km unakubali story book

  • @bobramatheking6526
    @bobramatheking6526 Před 4 lety +15

    Tumpe mda tu Jamal April tutamuelewa tu nipeni likes za Jamaaaallll

  • @weringaprince
    @weringaprince Před rokem +11

    I really like this guy ,always ready to follow his episodes.

  • @patrickpaul7468
    @patrickpaul7468 Před rokem +5

    Waah nimejua,,, ata sina lakusema hii DUNIA!!!! Jamal nipe tu like bro

  • @PreciousT10
    @PreciousT10 Před 4 lety +7

    Kiukweli tukiacha unafiki ukweli ni kuwa kila mmoja ana utofauti wake jamaa yuko vizuri sana katika utofauti wake hapa muhimu ni kupata maudhui mbona amewasilisha vizuri hata wewe hufanyi kama anavyofanya mwingine broo you are good keep it up kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa wengine siyo poa just imagine kile unachofanya wewe kionekane ni ujinga utajisikiaje afu huyu jamaa mbona sioni kama ana tabu yoyote voice projection is perfect

    • @zuchuwcb8655
      @zuchuwcb8655 Před 4 lety +1

      Tatzo la waTz wanataka wakikalili ktu bax kbak iyo ivo, yaan ukiangalia ata channel nyng za nje story znawasimuliaji wengi n akuna anaelalamika ktu, in short wasaf wacmtoe uyu kwnz tushamzoea

  • @allymohamed5328
    @allymohamed5328 Před 4 lety +7

    Huyu jamaa noma, stori kaandika mwenyewe na anasimulia vizuri kabisa

  • @joashochiche4250
    @joashochiche4250 Před rokem +16

    I really appreciate this guy because he always makes me discover more about life

  • @peterkerenge9207
    @peterkerenge9207 Před 2 lety +10

    Man stor zako zipo poa sana,big up,ila tu niwaelimishe kidgo watu,
    Adam haku ukumiwa sababu ya kula tunda bali sababu hakutii(OBEY) Mungu kwa mwanadamu anataka utii,yohana 14:15(mkinipenda mtazishika amri zangu), kwaio adam kula tunda ni kuto mtii Mungu ndiomaana ali hukumiwa,MSITENDE DHAMBI, ukiacha maana yake umetii,usipo acha umekaidi na mshahara wake ni KIFO.

    • @labanchayonga8103
      @labanchayonga8103 Před 2 lety

      vizur sana sheikhe

    • @petersila3009
      @petersila3009 Před 2 lety

      Kweli peter

    • @Teachercandle
      @Teachercandle Před rokem

      Kwa hiyo mshahara wa dhambi ni kifo?? Km ni kifo mbn watoto wadogo wanakufa na hawajafanya dhambii na je isipofanya dhambi ndio utakua hufi milele??

  • @evaristchriss8015
    @evaristchriss8015 Před 4 lety +6

    Upo vizuri sana

  • @raphaelmunanga
    @raphaelmunanga Před 4 lety +5

    Mtigaaaaaaaaaaa.....wapi like

  • @hindujuma6524
    @hindujuma6524 Před 2 lety

    Jamal unjua bna mtiga kutokuepo haimaanishi stry book haijpta msimulizi ur the best .mungu akupe more

  • @bryson0772
    @bryson0772 Před rokem +10

    Ila babu yetu adam ulijua kutuponza baba😭🚶‍♀️

  • @blessshakerz5965
    @blessshakerz5965 Před 4 lety +41

    Wasafi acha waitwe wasafi dunia inapenda stori sanaaa hiii iko vizuri sana

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 Před 4 lety +18

    Leo Umefanya Vzr.. Jamaa kila siku uwe mbunifu wa sauti yako.... Tutakupenda tuh...

  • @gabrielfurahas5723
    @gabrielfurahas5723 Před 3 lety +3

    Hii story nadhani ukasome tena maana haya hayana mashiko hata biblia peke yake ina story nzuri na za kueleweka juu ya mambo kadhaa uliyoyachambua. Umeenda kinyume saana ndugu yangu. Ninakupenda na ninabarikiwa na simulizi mbali mbali unazoweka hapa. Keep that up

    • @ramiahassani5603
      @ramiahassani5603 Před 3 lety

      Anatangaza story za kifreemason ndio maana maandiko ya Biblia kadonoa kidogo tu hakujikita kwenye Biblia,
      Na Qur'an ndio hajagusa kabisa,
      Na nistory ya kibaguzi kisha akajikita zaidi kwenye story za kifreemason zaidi

  • @emmanuelissack5493
    @emmanuelissack5493 Před 3 lety +5

    Vzur sana kaka nakubali wasaf media gonga like twend zetu!!!!!

  • @josephajosephat6179
    @josephajosephat6179 Před 4 lety +11

    Haahahah aya bhana hongera sana kwa story nzuriiiiiii

  • @derickclever6844
    @derickclever6844 Před 4 lety +10

    Mimi wa pili ila tunataka ananias edgar 🙌🙌

  • @rajabuomary9620
    @rajabuomary9620 Před 4 lety +3

    Unajua sana Jamal, wenye wasiwasi na wewe hebu wajifikirie kwa Mara nyingine, unajua kuandika na kuifanya hadithi kuwa hadithi ya kuccmua..

  • @sakandalinus3125
    @sakandalinus3125 Před 4 lety +1

    Ukatubu mkuu.Mungu hadhihakiwi hata kidogo.Usipotoshe watu kabsa! Angalia yuwaja na mawingu na kila mtu atalipwa sawa na kazi yake!

  • @abc-en3em
    @abc-en3em Před 4 lety +10

    Jamaa yupo vizuri

  • @amourboyall9485
    @amourboyall9485 Před 4 lety +109

    Tunao mtaka mtiga abdallah arudi kwenye the story book gonga like

    • @jacksonmunuo5232
      @jacksonmunuo5232 Před 4 lety +1

      🙏

    • @henrybandebe6383
      @henrybandebe6383 Před 4 lety +2

      Afu huyu ye ale wapi acheni ushamba

    • @rajiboy7599
      @rajiboy7599 Před 4 lety +3

      Waduanzi washamba sana mnaishi kwamazoeya uswahili mwingi mwajuaje mtiga ndo kawazingua wasafi Wambembeleze arudi ili ajione keki

    • @venantmhagama6776
      @venantmhagama6776 Před 4 lety

      Amour boy All mtiga yupo vzr sana na sauti yake ni taamu sana. Huyu wa sasa havutii masikioni mwetu.

    • @godymastermind9534
      @godymastermind9534 Před 11 měsíci

      Huyu ndo tunamwelewa zaidi. Huyu anatafuta story, anasoma vitabu mbali mbali then anatusimulia. Mtiga alikua anasoma tu kaz ya kuandika na kutafuta story ilikua ya Jamali. Sasa hivi tunapaga kitu safi sana maana anaetusimulia ndie alietafuta story na kuandika then anatusimulia. Very good👌😘

  • @joycengasa1326
    @joycengasa1326 Před 4 lety +51

    Tunao sikiliza uku tunasoma comment tujuane

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 Před 4 lety +89

    Wngp huwa tunaisubir the story kwa ham halaf ikija kama hv huwa tunafarijika gonga like twende sawa

  • @halfanrangadim8764
    @halfanrangadim8764 Před 4 lety +38

    Mnao muulizia Mtiga huyu ndo boss wake sasa Program manager wa Wasafi aitwa JAMAL he s guud brooh yu hav a gud voic naelewa unachokifanya 💕

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 Před 4 lety +3

    SubhanaAllah...fuata vitabu vya dini utoe message ambayo haitakuwa na taashwishi miongoni mwa watu.Kwanza umesema Adamu aliumbwa na mwenzake mwishoni unasema aliumbwa peke yake hakuwa na mtu wa kupiga naye gumso kwa kuwa zamani hakukuwa na mambo ya kisasa(tekinolojia), usichanganye watu hapa fuata vitabu vya vya Mwenyezi Mungu Vinavyosema bali si kuzua mambo kutoka akili yako kaka.Cha msingi ni kuMwaabudu Mwenyezi Mungu...
    Kama kuna kauli yoyote katika comment yangu imemkwaza mtu yeyote naomba aniwie radhi kwani binadamu ni mwenye kukosea,..na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa hayo... Jazakallah Kheri.

    • @arafamangijas3503
      @arafamangijas3503 Před 2 lety

      Ujumbe umefika baba

    • @allyciza
      @allyciza Před 2 lety +1

      Huja mwelewa Jamal , amesema kwakunuku vilivyo andikwa katika vitabu tofauti ndiyo anatufikishiya.
      Bimaana anatuuliza je nikweli ?

  • @kelvinchisongela870
    @kelvinchisongela870 Před 2 lety +1

    Asante kwakutuelimisha pia nikama vptabu vyadini vinatuvurugatu

  • @jacksonduma9259
    @jacksonduma9259 Před 4 lety +50

    Tulioanza kumuelewa msimulizi gonga like twende sawa

  • @hughoalmasi6224
    @hughoalmasi6224 Před 4 lety +4

    Ila jamaaa anasautii nzuriii bhnaaa🙋‍♂️🙋‍♂️

  • @jalalenitz
    @jalalenitz Před 3 lety +1

    Nakupongeza jamali mustafa hii ni the storybook kweli na sio maandikoatakatifu kwa hiyo hii ni biashata lakini ukweli upo kwenye maandiko matakatifutu kwasababu mungu ndie mwenye kuweza kutuelezea histori yakweli kama wewe ni mmoja ulie furahiya hii hostori na sio maandiko matakatifu gonga like yako hapa

    • @yonasimbo2945
      @yonasimbo2945 Před 3 lety

      Wasafi tv hongeren Sana maana napata vitu. Vipya kutokakwnu

  • @stayonlinetv3692
    @stayonlinetv3692 Před 3 lety +32

    Tumwache Mungu mwenyewe hakuna anayejua ukweli brother

  • @braizerdylan940
    @braizerdylan940 Před 4 lety +386

    Jamani tunao mpenda mtiga gonga like🤭

  • @youngsonmuyombe3905
    @youngsonmuyombe3905 Před 4 lety +5

    Bring back Mtiga ana jua kuimiliki story,yaana anasimulia kama yamemkuta yeye

  • @_Shinebeat
    @_Shinebeat Před rokem +3

    Knowledge is the power.
    Big up man

  • @SamsonMakori
    @SamsonMakori Před rokem

    waaah iiiii nao ziii but i realy like this guy anajua kuelezea story iwish ungekuwa mwalimu wangu tym nilikuwa shule singeanguka ivi mtihani

  • @raphaelmunanga
    @raphaelmunanga Před 4 lety +9

    254 Kenya ...like mnipe

  • @elizabethraymond8535
    @elizabethraymond8535 Před 4 lety +3

    Mrudishen Mtiga Abdalaah wetu jaman mbona mnakuwa hvyo 😭😭😭😭

  • @lukusam8990
    @lukusam8990 Před 2 lety +8

    History imekaaa vizuri ila tuu kuna marekebisho kama vema ingefanyika kwa kumbukizi nzuri,NYOKA HALI VUMBI KWA TAFITI ZETU,ila anatambaaa katika miendo zaidi ya mitatu sehemu tofauti tofauti.Ila Hongera sana kw a kutunga story book.Anakuala panya,mijusi,kanga,kware,kulingana na aina ya nyoka akiwa mkumbwa zaidi anakula mbuzi,sungura,swala,nk

  • @user-js8dw8jf8l
    @user-js8dw8jf8l Před rokem +1

    Kama unamkubali Jamar, ponya like hapo

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 Před 4 lety +49

    Mchukueni Dogo mmoja anaitwa "FELiX Mwenda"" kutoka Simulizi mix ,kijana ni very talented sana katika usimuliaji wa stori mbalimbali, pia ana sauti ya kitofauti sana.

  • @kelvingeorgefido7814
    @kelvingeorgefido7814 Před 4 lety +10

    Uko vizuri bro keep up sisi tunaopenda the story book tuko Pomoja

  • @mohammedsalum793
    @mohammedsalum793 Před 3 lety +19

    Mungu ñdio anaejua ukweli kuwa makini mzee baba unakufuru sana

  • @gasirigwaaloyce8739
    @gasirigwaaloyce8739 Před 3 lety +1

    Soma vzr biblia tunda hilo ni la mti wa ujizi wa mema na mabaya na hii ndomaana tunajitambua kumbukeni kuwa Kuna mti mwingine umetunzwa kwa ulinzi mkali mti wa uzima ambao huu hakuna binadamu aliyewahi kula tunda lake Bali wanao mkili Kristo kuwa ndie bwana wa maisha yao hao ndio watakula tunda la uzima nao wataishi milele ktk ufalme wa MUNGU baba mbinguni amina

  • @fredychaless7719
    @fredychaless7719 Před 4 lety +18

    Nyie mnae sema mnataka mtiga wanafiki kwani shida yenu story au mtiga mkamfate alipo

  • @farajastanley3480
    @farajastanley3480 Před 4 lety +5

    dah hakika nime enjoy the story nakuelewa sana jamal you are somethin else asee

  • @onniboy2342
    @onniboy2342 Před 3 lety +2

    Yakaisali mpeni kaisali na ya mungu mpeni mungu

  • @hadijaissa4974
    @hadijaissa4974 Před 2 lety +1

    Wew n nomaaaa

  • @ligikuutv5309
    @ligikuutv5309 Před 4 lety +20

    Hiii ni moja tu ndani ya wasafi tv n fm

  • @salimmatalamoma8673
    @salimmatalamoma8673 Před 4 lety +9

    Kamaunafaham tunda alilokula mzee baba gonga like yko hapa

  • @innocentkakamba2225
    @innocentkakamba2225 Před 4 lety +1

    Nomaaa sana

  • @shabanimwinchea2696
    @shabanimwinchea2696 Před 3 lety +5

    We get you professor Jamal April

  • @baroamani4420
    @baroamani4420 Před 4 lety +20

    Story inatisha kweli vitu vingi hatuvijui

  • @amonmwakyeja5219
    @amonmwakyeja5219 Před 4 lety +3

    Comments namba 1

  • @saytharnasr2277
    @saytharnasr2277 Před 3 lety +6

    Sub Hana Allah
    Makosa chungu nzima kwenye story

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 Před 3 lety +1

    Ndio angesubiri kwanza maana si kwa timbwili hili kaingizwa choo cha kike adhabu imezua mengi nabii kito Juma lokole na carry mastery Asante

  • @aeromedaaviation1837
    @aeromedaaviation1837 Před 4 lety +6

    tuna mtaka mtiga abdaallah maana anasimulia vzr sana na hachoshi
    mpaka unapata hamasa ya kusikiliza the story book ijayo

  • @wisenewz2137
    @wisenewz2137 Před 4 lety +6

    mtangazaji upo vizuri ...

  • @anuaritemanegabe955
    @anuaritemanegabe955 Před 4 lety +2

    Leo ni mefahamu mengi sikukuwa najuwa kweli. Nasema asante

  • @shukurumusitafa4867
    @shukurumusitafa4867 Před 4 lety

    Napenda story book sio sauti yamtangazaji ivo tupo pamoja JAMALI

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 Před 4 lety +10

    Asante bro! Good job, tuko pamoja, I'm your big fan now, yengine acha ibaki story, kalisha sema mwana muziki umoja wa zamani

  • @ashurahussein9748
    @ashurahussein9748 Před 4 lety +5

    Haya ni ya uongo😰 subhanallah ni uzushi huu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Před 3 lety

    Noma sana. Hongera

  • @geofreymapoya6994
    @geofreymapoya6994 Před 3 lety +1

    Jamaa anajua sana daaah

  • @eddydanie814
    @eddydanie814 Před 4 lety +22

    Mtiga Abdallah aysee anafeet sana kuhadithia

    • @bugalirecords4862
      @bugalirecords4862 Před 4 lety

      Kabisaaa huyu hajanivutia

    • @EMMANUELCHINE
      @EMMANUELCHINE Před 4 lety +1

      Ninyi mkipewa mnaweza? Achen ujinga na umasikini wakiafrica..nyerer alisema tuna maadui wa3: ujinga,umasikin na maradhi...sasa hili LA ujinga naona ndio baba wa haya ma2 yalobak...think big ..

    • @bugalirecords4862
      @bugalirecords4862 Před 4 lety

      Mtiga ndo habar ya mjin!!

    • @eddydanie814
      @eddydanie814 Před 4 lety

      EMMANUEL CHINE mbona unapanik wewe kitu bora kinaonekana Jamal ni mwandishi mzuri ila kwenye kusimulia Hapana afuu kama ni ndugu yako au kuna kitu unataka umwombe useme tuu usijikute mwelewa kuliko watu wote Hawa Mtiga anajua Mzee

  • @baroamani4420
    @baroamani4420 Před 4 lety +19

    Leo jamal ametulia sana nice job

  • @jumasalum5769
    @jumasalum5769 Před 4 lety +15

    Bro umeelezea vzur sana story hii lakini Story ya leo imejaa Uongo ulio vuka kiwango cha Barabara 🙌🙌🏃🏃🏃🏃

    • @athumanizaidi8560
      @athumanizaidi8560 Před 2 lety

      jamal leo umeingia chaka,rejea katika QURAN utajua ukweli mwanamke wa kwanza wa Nabii Adam ni HAWA AU LILITH?

    • @theofridmtulima3666
      @theofridmtulima3666 Před 2 lety

      Wewe ukweli unaujua? Tuambie basi tujue!

  • @erickmollel598
    @erickmollel598 Před 3 lety +2

    Tunakupa sana broo good job

  • @zainabrasool5784
    @zainabrasool5784 Před 4 lety +5

    Umejitahidi cna ❤️

  • @hassanhamis4514
    @hassanhamis4514 Před 4 lety +34

    kama unaamin mtiga ndo baba lao gonga likee.....
    MTIGAAA FANYA UKUJEEE HUYU HAPANA

  • @gerrykipkemoi8566
    @gerrykipkemoi8566 Před 23 dny +1

    Jamal April,kindly allow us download your videos for later reference🙏

  • @enosmdaho1811
    @enosmdaho1811 Před 3 lety

    Uko vzr kaka piga kazi wanaomtaka mtiga achana nao uko ndyo kula kwa jasho mtoto wa kiume unamtaka mwanaume mwenzako ili iweje tunataka kibass chako kizidi iko damu yangu..safiii

  • @tawaloharuna4885
    @tawaloharuna4885 Před 4 lety +13

    Bravo bro,,,,,the story is fabulous

  • @teimohamed5096
    @teimohamed5096 Před 4 lety +6

    Wewe uko unakoelekea sasa unataka kuporeza watu, unayakosowa maneno ya Mungu Inna Lillah Wainna Illaih Rajiuon

    • @wibaboy8515
      @wibaboy8515 Před 4 lety

      Tatizo letu ndo hilo' wew umezaliwa ukarith dini' jaribu kuitafuta elimu" wenzako wanatafuta elimu Alafu wew umekariri"

    • @robinrobert5993
      @robinrobert5993 Před 4 lety +1

      Tei Mohamed ndo mana ikaitwa the story Book it means ni story tuuh Kama story nyngne za ku reflesh mind but x real

  • @elizabethnzuki6509
    @elizabethnzuki6509 Před rokem

    Kaka unasimulia vizuri sana,, lakini Nina swhali,,,Kwa ufahumu wangu,,,je wakati mungu alimpata Adam wamekula like tunda,, ninaamimi hapo ndipo mungu alimlaani shetani kuwa nyoka"""kumaanisha shetani mwanzo hakuwa nyoka????

  • @amsodaddy0073
    @amsodaddy0073 Před 3 lety

    Jamali hongera sana watanzania wamekubali kazi zenu ila fursa zinakosana vijana wapo wengi hawana la kufanya zaidi ya kufatiliya vipindi.. Vyenu

  • @ankyelileanyitike7209
    @ankyelileanyitike7209 Před 4 lety +5

    Hii Umeua mzeee🙏🏽

  • @rafiki3433
    @rafiki3433 Před 4 lety +5

    Subscribe kwenye channel yetu tafadhali, kila wiki tutaanza kutuma video, tunakuahidi hautajuta. Asante kwa wale Watakaofuata

  • @gilbertandayi2570
    @gilbertandayi2570 Před 4 lety +2

    Wow napenda sana uchanganuzi wako

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 Před rokem +6

    Mungu anapenda tuwe na maarifa, ila tunaposikiliza hadhiti za kuvutia tumuombe ili atupe hekma na busara ili uenende katika mapenzi yake na kujua kweli

  • @hallahboe7999
    @hallahboe7999 Před 4 lety +85

    Nakubarrr now ushaanza kutuvutia brow just keep it up

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 Před 4 lety +34

    Nliiskia kwenye redio nikawa naisubili kwa hamu you tube ,kama na ww umeisubili hii story kama mm gonga like tujuane

  • @jumazwili8560
    @jumazwili8560 Před 4 lety +2

    Makini sana kwa kutuletea mambo kama hayo ambayo wengi hawayafaham

  • @francerock8162
    @francerock8162 Před 4 lety +1

    Kwll kaka

  • @methodisrael914
    @methodisrael914 Před 4 lety +100

    Unasaut nzr bro achana nawanao kupinga ni vile wamezoea aloanza ila uko vzr

  • @verokigabo9570
    @verokigabo9570 Před 4 lety +4

    kama umeona msimuliaji kabla hajamaliza hili anadakia lingine gonga like hapa

  • @MohamedMpenda
    @MohamedMpenda Před 2 měsíci

    Nimependa sana Nimependa sana ❤❤❤

  • @saidikayanda3041
    @saidikayanda3041 Před 2 lety

    Nakubali Sana profeser Jamal april

  • @raphameck1299
    @raphameck1299 Před 4 lety +515

    kama ulimiss the story book na mtiga Abdallah gong lik twnd xaw

  • @erickndano217
    @erickndano217 Před 4 lety +5

    Dah hapa wasafi mzimezingua mm sifuatilii tena the story books

  • @julietjotham8812
    @julietjotham8812 Před 4 lety +5

    Tunda halina thamani Kama mtu MUNGU alimuhukumu Adamu kwasababu hakumtii,nabaada yakula tunda Adam akuomba msamaha ila alimlaumu MUNGU kuwa mwanamke aliempa ndiye aliemshawishi kutenda dhambi.Soma maandiko vizuri

    • @josephkenneth1718
      @josephkenneth1718 Před 3 lety

      Tunda gani

    • @isackmuganda1025
      @isackmuganda1025 Před 2 lety

      Hawa alifanya mapenzi na nyoka kisha akafinya Adam ..kwa nyoka aimzaa Kaini na kwa Adam akamzaa Abili

  • @judithnyaitondi4592
    @judithnyaitondi4592 Před 4 lety

    Napenda sna kufatria history.zenu penda san jama'aly mungu atulinde sote in sha allah.

  • @rahimudanga2273
    @rahimudanga2273 Před 4 lety +4

    Mi hata simuelewi huyu jamani daaah kwani mtiga Abdallah yupo wapi kama umemmis mtiga Abdallah gonga like

  • @robinrobert5993
    @robinrobert5993 Před 4 lety +21

    Jaman mazoea yanatabu mnaomtaka mtiga mtafuten Instagram wasafi wanaenda na wanao enda cz hamna anae lazmishwa jaman afu mxela yuko bomba tuuh mtamzoea taratib tuuh......

  • @linetchebet8184
    @linetchebet8184 Před rokem +1

    Hiyo ni simulizi tu... Mungu ndiye mjua vyote ... Haya mengine hayatuhusu.

  • @muhamedsamtero2367
    @muhamedsamtero2367 Před 4 lety

    Nakubali haya mastory

  • @captainswaicomedian8484
    @captainswaicomedian8484 Před 4 lety +3

    Upo vizur bro lete v2 Roho inapenda