Wewe kisugu ukawe msemaji wa yanga kwa tumbaku hio hata mkeo na watoto wako hawawezi kukubali uwe msemaji wao,,leo unasema NBC ni njia wakati msimu uliopita mlikua mnaisema sio kitu
Wewe mzee wa Simba Saudi Arabia Kuna ngoro kante yuko pale si kijana sadio ni mzee watu wa Simba kuweni makini mpira ni sayansi acheni porojo mtale si mzee yule.
Jamani jamani mimi uyo kisugu wala simwelewi anachoongea
Kisugu bora aende kwenye siasa.
kisugu Apelekwe milembe halaka iwezekanavyo!!! hayuko vizur kiakili
Leo hii mnaagiza alafu mnafungwa
Wewe kisugu ukawe msemaji wa yanga kwa tumbaku hio hata mkeo na watoto wako hawawezi kukubali uwe msemaji wao,,leo unasema NBC ni njia wakati msimu uliopita mlikua mnaisema sio kitu
Mbona kisugu umevaa rangi za jangwani
Mzee Mpili kawasalimie hao wasemaji wa Simba.
Kweli lnjinia noma usajiliuo niliuona ngumu kwetu yanga
Bado ww kisugu ujitambui bado
Nandio akili zenu yanya kutowa watu akili mnajiona timamamu
Mwambie uyo kisugu yanga atutaki wapumbavu
Huyu kisugu nahisi anaumwa eti sisi tunahangaika kumsajilì yeye ananini huyu achunguzwe nahisi anamatatizo.
Ila harmonize
Maneno yakukwama ayo ongeeni ovyo chama kiswaliianakijua shauliyenu
Chakwanza uyo kisugu anakumbuka anadaiwa shamba ambalo alitoa ahadi ya shamba la minazi?
Eka 4 atoe wapi
Jicho la kishabiki halihitaji kuzidiwa na chuki.
UNATUPOTEZEA MUDA NA MB ZETU
❤
Wataalam kutoka wapi usajili wenu umefanywa na jopo la viongozi wenu .yaani mmeanza kufanya usajili wa wachezaji ndio mkaajili kocha 😂😂😂😂
Wewe mzee wa Simba Saudi Arabia Kuna ngoro kante yuko pale si kijana sadio ni mzee watu wa Simba kuweni makini mpira ni sayansi acheni porojo mtale si mzee yule.
Zima data
Wote hao mutawafukuza kwa pamoja
Baadae msije sema tumenunua mechi na Yanga tumeroga
Huyu kweli ni kichwa tenge😂
Utamwelewa tuu
Ngao yanga 6 vs simba I
Matusi fc mtaishia kutukana tu,hao rasta ndo mmewafukuza sasa hivi mmesajiri tena
Hivi Kisugu anaelewa?
Huyu jamaa anafaa awe mwanasia Tena chadema
Dou
Nimendo wa kupiga magoli to mtani kwa yanga yangu nimwendo wa kusuguato
Mbona kichwa tenge kavaa jezi ya yanga
Washabiki na wanachama matailaa wa simba
Nenda tena fanaya Haraka unachelewa
Kazikwenu
HAhahaaaaaaa ndoto ya mchana chuki fc mtapigwa 10
Kisugu amerewa uyo
aliye mloga kisugu nanii jaman????
Noise neighbors 😂😂😂😂
Hahahaha ila kisugu tahila San hiyoo jamaa
Yaani hapo badooooh
Bado hujasema
Yani wewe kisugu ukawe msemaji wa YANGA😂😂subutuuuu
Ila harmonaizi
Ila kuongea sio kazi
😂😂😂😂😂😂😂 tulia wewe
Yaga
KISUGU UJANJA WAKO TUMEUSHITUKIA.YANI WEWE UNAJARIBU KUUZA CV, ZA MO. BAADA YA MUDA MSIJE MKAANZA NGONJERA ZINGINE!
Ww ni ashuru
Tunawakumbusha rasta man Kibu aliwapiga vidole viwili sasa rastafarians wameongezeka mjipange kila mmoja atapiga vyuma
Tunakumbuka vizuri maana moja ni ile siku tumewapig 5 😂😂
Ngao ya jamii yanga 6 vs Simba 1
Disconect
kisugu Apelekwe milembe halaka iwezekanavyo!!! hayuko vizur kiakili