Kagera Sugar 1-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 12/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Simba imebanwa mbavu na Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba kwa sare ya bao 1-1, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara....
    Ladaki Chasambi ndiye aliyetangulia kufunga dakika ya 24 kabla ya Obrey Chirwa kusazisha dakika ya 62.
  • Sport

Komentáře • 102

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 26 dny +13

    mishamba sana michezaji ya simba. mechi mbili tu wamelewa sifa kjla mmoja anataka afunge yeye

    • @GagahWilsone
      @GagahWilsone Před 26 dny

      Hunaaakil ww haujui mpira unajua maana ya game,kama haujui maana ya game ni mchez unaohitj mbinu na ushndqni kwahiy hao kagera ni wat rafk

    • @johnmbise8996
      @johnmbise8996 Před 25 dny +4

      Mm nakusapoti michezaji ya ovyo hawatoi pasi mtu anangangana na chenga tu badala ampasie mwenzie

  • @charleskingimwakasagule5752

    Simba kinachokosekana tu nibahati tu kama wenzetu lakini nafasi zinatengenezwa sana jamani wala tusikate tama Simba Nguvu moja ❤️❤️❤️

  • @frenkmwatanyaga306
    @frenkmwatanyaga306 Před 25 dny +2

    Kabla ya kutoa lawama lazima pia tutoe credit kwa Kagera sugar kwa sasa nayo ni timu bora sana

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 Před 25 dny +2

    Barua, chasambi kuna sehmu ilikuwa ni za kutoa pasi tu lakin wao wanafosi kupiga mashuti yasiyo na malengo, been tryin to be hero of the match wakat inahitajika point 3

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 Před 26 dny +4

    Simba msimu huu ndio iliyonipa ubingwa imechangia Dabi point 6. Pia ilipunguza gape ilipocheza na Azam kutoka point 5 hadi point 4. Na leo wamemaliza kabisa na kuniambia kazi kwako.
    Sasa naazaje kuichukia simba labda sio mimi.😂

  • @user-rj3cd2lh8w
    @user-rj3cd2lh8w Před 26 dny +3

    Yanga hata isipocheza mechi zilizobaki tayari ni bingwa 2023 - 2024 kwa sababu hawa makolo hawatamaliza salama mechi zao zilizobakia

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 Před 25 dny +4

    Tuwe wakweli Yanga inaheshimiwa na timu zote ndo maana timu zinapokutana na Yanga zinacheza kwa adabu lakini wanapokutana na simba wanajua Kiwango kiko sawa ndo maana timu hazilindi

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 Před 25 dny +3

    Nadhani iwepo timu ya kuangalia comments za mashabiki, kwani tunacomment kila siku kuhusu wafungaji, hata Freddy tumemsema sana

  • @KamaraJoseline
    @KamaraJoseline Před 25 dny +3

    Yani hii Simba hakuna kitu kabisa Yani huyu Fred ni shati huyu balua chisambi wote Hawa ni wachezaji wa mafungu wanacheza mpira wa uswazi Sana wao wakipata mpira wanawaza kufungu tu na sio kutengeneza nafasi.

  • @user-hr8gi6kg1y
    @user-hr8gi6kg1y Před 26 dny +2

    😂😂😂 Kapiga nje kwenye mashavu ya nyavuuu😂
    Huyuu jamaa kibarua kilikuwa kishaota nyasii

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly Před 26 dny +1

    Asante mgunda

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před 26 dny +3

    Striker linakosa magoli kama senge

  • @user-go8lq7cl8s
    @user-go8lq7cl8s Před 25 dny +3

    Nakumbka msemaji baada ya ku win mechi mbili akaropoka kwa simba hii tunacheza na yeyote,,,,,haya tuimbe ule wimbo wa kiko wapiiiiiiii😅😅😅

  • @GraceRichard-gy9he
    @GraceRichard-gy9he Před 26 dny +2

    Uchoyo mmezidi, kila mtu anataka agunge yeye

  • @DBIRobotics
    @DBIRobotics Před 25 dny +1

    haatuchezi kitimu,Kila mchezaji anacheza anavyojua,nini maana ya timu Sasa?

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 Před 26 dny +1

    Hii ndio simba sasa

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Před 26 dny +1

    Sema tu lile gol la mwisho lile, sidhan kama offside

  • @user-el8pu9dm3r
    @user-el8pu9dm3r Před 25 dny +1

    Hawa fundi shiki hawo 1:22

  • @JuniorShadrack-iw9ru
    @JuniorShadrack-iw9ru Před 26 dny +2

    Uyu balua nae kashajiona super star kufunga tu ile faul ..kaona anaeza kila ktu

  • @saimonrodgers8262
    @saimonrodgers8262 Před 26 dny +2

    Simba hatuchezi kitimu

  • @TiffaMakamba-ml2ib
    @TiffaMakamba-ml2ib Před 24 dny

    Mm nilijisemea tusimsifie sana mgunda ngoja mech ya Kagera na Dodoma jiij ndio tujue tuko vizr

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Před 25 dny +1

    Hawa wanakitu mwilini simba

  • @EmmanuelCharles-wh3in
    @EmmanuelCharles-wh3in Před 25 dny

    😊😊😊😊😊mayu simba walijilipua sana kwa kagera

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Před 25 dny +1

    Wachezaji wa Simba leo hawakuwa makini kwa asilimia kubwa,hasa kwenye nafaci za mwisho.
    Kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kuvunja historian ya kagera ktk uwanja wao wa nyumbani

  • @Rufinwabenga
    @Rufinwabenga Před 25 dny +2

    Nita furahi niki ona YOUNG na AZAM waki akilisha TANZANIA 🇹🇿 mu CAF CHAMPIONSLEAGUE, SIMBA wa jeze confederation

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 Před 25 dny

    mgunda anajua kufundisha sana vijana wanatengeneza nafasi nyingi

  • @TiffaMakamba-ml2ib
    @TiffaMakamba-ml2ib Před 24 dny

    Mm naona mgunda mech za mwisho zote panga wazoefu

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před 25 dny +3

    😂😂😂😂tukiwaambia nyie nyie ndo mnawaaribu wachezaji mnazani tunawaonea wivu kuwasifia sifia vitu vya kaeaida ndo aya Sasa matokeo yao kila mtu anataka yey afunge asifiwe😂😂😂

    • @ElishaMgaya
      @ElishaMgaya Před 25 dny

      Umeandika kwa kutumia makalio si ndio

  • @enockm6101
    @enockm6101 Před 26 dny

    Kocha mgunda naye alifungiwa au??

  • @MachondaMtoto
    @MachondaMtoto Před 25 dny +1

    Comedy wa madunduka alisema fred vunjabei atakua top score 😂😂😂😂😂

  • @user-el8pu9dm3r
    @user-el8pu9dm3r Před 25 dny +1

    Hawa fundi shiki hawo

  • @meshacklucas7971
    @meshacklucas7971 Před 26 dny

    Camera mabovu uoni hafifu

  • @willsonmsuya9261
    @willsonmsuya9261 Před 25 dny

    Tatizo la wachezaji wa simba kila mtu anataka kufunga mwenyewe

  • @kimconscious5375
    @kimconscious5375 Před 25 dny +1

    duuu,goal la jobe ni offside 😀😀

  • @kazunguclaver2539
    @kazunguclaver2539 Před 26 dny

    Simba wakimleta kocha mpya akishindwa kupata matokeo mazuri utasikia timu apewe Mgunda!!!

  • @EmmanuelCharles-wh3in
    @EmmanuelCharles-wh3in Před 25 dny +1

    😅😅😅 matikiti kudodoka

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 Před 25 dny

    Alie iua Simba kwenye hii mechi ni Freddy kakosa nafasi karibu nne zawazi yani yeye na kipa na moja ni yeye na wavu. Mimi naamini jobe ni mzuri kuliko Freddy ni vile hapewi nafasi tu

  • @DBIRobotics
    @DBIRobotics Před 25 dny +1

    Haatuchezi kitimu

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Před 25 dny

    Fred simuelewi

  • @ANAFIMATUMLA
    @ANAFIMATUMLA Před 25 dny

    Polen maana mlikuwa munawaza kuwa yanga atapoteza match ngap ili mchukue ubingwa na mkasahau kuwa nanyi mnaweza kupoteza au kudroo

  • @tintin0019
    @tintin0019 Před 25 dny +1

    UBINGWA WETU BAADA MECHI YA MTIBWA TUNA NYANYUA KWAPA😅😅😅😅😅

  • @user-dg2lt8wo7z
    @user-dg2lt8wo7z Před 26 dny

    😢

  • @hamidghaleeb5467
    @hamidghaleeb5467 Před 25 dny

    tumpe muda kocha Mgunda mafanikio ni process na siyo vinginevyo

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Před 26 dny

    Huo ubingwa ulio pewa na simba kauweke kwako

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg Před 24 dny

    Yaani simba ni kama baiskel ya kunolea visu makelele kibao alafu ipo palepale!.

  • @abdallahmohamed7166
    @abdallahmohamed7166 Před 26 dny

    Simba kwa omary wameliwa😅

  • @nasibshabani7740
    @nasibshabani7740 Před 25 dny

    Mgunda kocha buf mabek wametuangusha

  • @franciskayanda7884
    @franciskayanda7884 Před 26 dny

    leo ndio nimejua wale wazee wa wa kwanza kuona wanavyojisikia 😂😂

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 Před 25 dny

    Wti Mugunda amzidi Benchika hahaaaaa

  • @sophiamkinga1640
    @sophiamkinga1640 Před 26 dny

    Wakwanza leo

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny

    Hahaha sema bado

  • @mtumeananiasjohachim8760

    Ukimbiaji na utembeaji wa fred sielewi mimi

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Před 25 dny

    Uyo shemalon nae nishida sana kwetu akae benchi ikibid

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 Před 26 dny +2

    Hidaya football club😅😅😅

  • @user-iw6mx2zf6e
    @user-iw6mx2zf6e Před 26 dny

    Waishe maagap

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny

    Ahmed Ally akapimwe akili naona huyu jamaa ni MDUKULE

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693

    Jamani kwahiyo simba wasipokuwa mabingwa ligi imeshuka ubora yaani mashabiki wa simba hamna akili badala yakuzungumzia makosa ya waamuzi na ubovu wa simba yenu mnaleta utoto🤔🤔

    • @AbubakariMussa
      @AbubakariMussa Před 26 dny

      Kwa SIMBA hii ya sasa hakuna Cha kuisikitikia , hicho Ndo kiwango Chao. Hakuna Mgunda Wala Matola,tafuteni COACHER mzuri na wachezaji wazuri wa AFRICA Pesa mnayo Au la ,na Mwakani mtaendelea kulia tu .

  • @user-su7np6sn7s
    @user-su7np6sn7s Před 26 dny +3

    Eti offside jmn walishalala chuma mbili
    Wamebebwa na kupakatwa😂😂😂😂

  • @heiskeedkrs6810
    @heiskeedkrs6810 Před 26 dny +4

    MAKOLO 😂😂😂HAKUNA KLABU BINGWA MSIMU HUU UMBWA NYIEEE!!!

  • @drisackkalindi3846
    @drisackkalindi3846 Před 26 dny

    😅😅 Simba wameisha

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Před 26 dny +1

    Kwa mpira huu wa Simba, wasijidanganye, warud chin tu wawabembeleze kina chama warud wamalizie mechi. Sivyo mabingwa wanaikosa

    • @marysaimon2213
      @marysaimon2213 Před 26 dny

      We bado unandoto za mchana kweli bado unawaza ubingwa?

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je Před 25 dny

      Hat akina chama wakirudi haisadii hapa hata ushibde mechi zote point zinabaki 66 sawa na azam na azam ana idadi kubwa ya magoli kwa hiyo nafasi ya pili mshahahu

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 Před 25 dny

      I mean CAF wamalize nafas ya pili

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Před 26 dny

    Miutopolo hii inateseka na simba kweli

    • @AnnoyedBreakfast-zn2bo
      @AnnoyedBreakfast-zn2bo Před 26 dny +1

      Acha umama umetoa sare 😮😮😮

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s Před 26 dny +2

      Sasa Kwa ubora upi WA mikia madunduka fundenge Simba jike
      Mpaka YANGA Teseke Kwa ubora Gani makolo ambao mnaonyesha hapo uanjani
      Azam si aliwapa point tatu Tu kwasababu Ni shangazi yenu😂😂😂😂

    • @user-hl7gh8ph8u
      @user-hl7gh8ph8u Před 26 dny

      Simba Haina tofaut na movie za kingwendu,,, wakina lingo tin white yn Wana 😂😂 wanafurahisha kuwataza

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před 26 dny

    Minziro na mgunda
    Wanafaa kupewa Tim ya taifa watafika mbali

    • @user-hl7gh8ph8u
      @user-hl7gh8ph8u Před 26 dny

      taifa gani

    • @saidmansoor8528
      @saidmansoor8528 Před 26 dny +1

      Shida yetu hatuamini wazawa au hata kama taaaluma zao ziko chini TFF haiwez kuwadhamin waka bukue hapo france or German japo ka mwaka hivi

    • @FatmaJumawazir
      @FatmaJumawazir Před 25 dny +1

      Tatizo sio kuwaamini tatizo wao wanajiaminisha

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny +1

    Mngekoma Leo mlikuwa mgingwe mnabebwa kila siku

  • @DinoOneTouch7626
    @DinoOneTouch7626 Před 25 dny

    Yani kolozidad bana au nguruwe fc mechi moja mmeshinda sifa tele mjuwe tu timu yenu mbovu jipangeni kwa mwakani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 24 dny +1

      NGURUWE MLA MIHOGO TOPOLOKWINYO WEWE 😂😂😂😂😂 MACHOGO FC 😂😂😂

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa Před 25 dny

    Niliwambia huyo mgunda atahakikisha hamshiliki Ligi ya mabingwa

    • @brianbatoleki6531
      @brianbatoleki6531 Před 25 dny

      Mbona we ni mjinga kiasi hiki? Ulitaka mgunda ndo akafunge kwenye nafasi za wazi alizokosa Fredy?

    • @EmmanuelNyinyigwa
      @EmmanuelNyinyigwa Před 24 dny

      @@brianbatoleki6531 kwani kazi ya kocha nni wewe kenge

  • @AnnoyedBreakfast-zn2bo

    Hatumutaki mgunda kolo kula chuma😢😢😢😢😮

  • @user-uu7pv6ps6g
    @user-uu7pv6ps6g Před 25 dny +1

    Laana ya mchome Kampala mafuta

  • @jseventz
    @jseventz Před 25 dny

    kocha hatuna match kama hii unaacha kupanga wachezaj wenye uzoefu me naona mgunda bado

    • @brianbatoleki6531
      @brianbatoleki6531 Před 25 dny

      Wenye uzoefu ni Akina nani? Asilimia kubwa ya wachezaj ni majeruhi alafu ampange nani? Kweli huna akili maana unashindwa kufikiri hata vitu vidogo

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693

    Yaani vunjabei na jobe ni pipa na mfuniko hamna wafungaji pale wale hawawezi hata kuisaidia mbeya city kupanda daraja yaani hawa wanabahatisha hawastahili kucheza simba

    • @SparksGrey
      @SparksGrey Před 26 dny +1

      Kabxaaaaaa

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d Před 26 dny

      Utashangaaa msimu ujao Simba itaendelea kuwaacha​@@SparksGrey

    • @user-princs
      @user-princs Před 26 dny

      😂😂😂😂😂😂

    • @SparksGrey
      @SparksGrey Před 24 dny

      Tusubirie lakn team yetu hyoooo ckuiz dah YA ALLAH atusaidie na viongozi wenyew haoo mana Amna ktu kbxaaaaaa

  • @user-el8pu9dm3r
    @user-el8pu9dm3r Před 25 dny +1

    Hawa fundi shiki hawo

  • @ericksonodhiambo9964
    @ericksonodhiambo9964 Před 26 dny

    Utawasikia wendawazimu wakisema ni ligi ya tano kwa bora,bure kabisa

    • @RamadhanIddyWalolo
      @RamadhanIddyWalolo Před 26 dny +1

      Mkikosaga matokeo mazuri hua hamkosi yakuongea hovyo sana

    • @johnjay721
      @johnjay721 Před 26 dny

      Wewe ulitaka ligi ipi iwe ya tano kwa ubora
      Mkataa kwao mtumwa pole