UTOFAUTI KATI YA DHAMBI NA MAKOSA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2020
  • DHAMBI ZOTE NI MAKOSA LAKINI SI MAKOSA YOTE NI DHAMBI.
    SIKILIZA HAPO JUU UPATE KUJUA.
    Subscribe to this channel for more videos.
    • TENZI ZA ROHONI NA KUA...
  • Zábava

Komentáře • 12

  • @peacedamaris2644
    @peacedamaris2644 Před 2 lety +1

    Nimebarikiwa sana Mungu akuzidishie Mtumishi wake imani yangu imepanda kiwango kingine Amen

  • @alexseve7720
    @alexseve7720 Před rokem

    Amen.ubalikiwe Mtumishi ni Mebalikiwa Sana kwama fundisho ya Roho

  • @merryeduward3028
    @merryeduward3028 Před 4 lety +3

    Ameeni mtumishi wa mungu

  • @msafirimhehe
    @msafirimhehe Před 2 lety +1

    Amen! The Spirit has spoken..

  • @hadijasalimu5481
    @hadijasalimu5481 Před 4 lety +3

    Nimejifunza kitu ubarikiwe kaka yangu DINU

  • @ebenezachoirmoshi4435
    @ebenezachoirmoshi4435 Před 2 lety +1

    Amen

  • @davidjasony8525
    @davidjasony8525 Před rokem +2

    Unafundisha vizur San ubarikiwe kaka

    • @DinuZeno
      @DinuZeno  Před rokem

      Bwana ni mwema na Bwana akutangulie.

  • @johnsamweltz6597
    @johnsamweltz6597 Před 3 lety

    Mtumishi apo uliposema hatuzaliwi na dhambi Bali tunazaliwa na uwezo wa kutenda dhambi binafsi naona umetupoteza!!..maandiko yanasema kwa kutenda dhambi kwa yule mmoja basi wote wametenda dhambi,na kwa kutenda haki kwa yule mmoja (kristo) wote wametenda haki . Neno (wote) halijatenga watoto wala mtu fulani kinachowafanya watoto waingie mbinguni hata kama hawajamwamini na kumkiri yesu ni neema ya mungu iliyo juu yao coz bado hawajawa na uweza kupambanua jema na baya.. Kwa ufupi wote tunadhaliwa tukiwa na dhambi ndani yetu.