"NAMPENDA SANA PAULA, SIJAWAHI KUPENDA KIASI HIKI" - MARIOO
Vložit
- čas přidán 29. 08. 2024
- "NAMPENDA SANA PAULA, SIJAWAHI KUPENDA KIASI HIKI" - MARIOO
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Napenda hiii Couple, Mwenyezi Baba GOD aendelee kuwalinda.....
Ni vizuri mfunge ndoa ndio muanze kuishi pamoja. Lakini Nawashauri muokoke, mmpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu nanyi mtakua salama..
Yesu anawapenda!!..
WWE nawe hawa n waslamu
Mungu ayalinde mausiano yenu 🙏🙏🙏🙏♥️
Marioo yuko in love bana nyiee achani makasiriko kila mtu anapitila na pia akuna mwenye hana ex ❤❤❤❤
Waoooo couple yenuuu idumuuuu Sana mnapendezanaaaa❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤Paula mashallah .
Waah marioo sawa baba nakuombea mudumu asikumwage na ww cheza part yangu ikiicha mshikaj mwengne ataingia Kwa mechi paula tulia n marioo usiwe kama mpira Kila mtu anapepeta
Kawaida sana na ndo maisha ya kibongo wanawake wetu tunawaburuza me namchukua nampa mshikaji wangu we unamchukua na wewe unampa mshikaji wako yani poa alafu bahada ya mda tunawakanyagia
Nawapenda sana marioo na paula
Congratulations ❤
Nampendaga uyu kaka wallah ❤❤❤❤❤
Maisha yakisanii nimaisha ya hovyo sana,,,
Marioo usishindwe mkazie mtoto huyo akikukimbia utakuwa chizi kinoma mpe vitamu❤❤ paka ajione kwenye yupo peke yake nakukubali mtu wa show
Wah that's great you tow lovers
Wasanii wetu wa bongo hawana ishu zaidi ya hayo 😂 yani wanaboa🇨🇵
mahusiano Jambo la kawaida hata huko ulaya wapo hivyo
Sio wasanii wote wana mambo hayo wako walio makini
Marioo hicho chombo lazma uzdishe upendo ❤
Vzr good
Mariooo katekwa ,WE uledipu kbs🎉
Marioo nawapenda sana Allah awape killa lakheri
Unaombea zinaa iendele kwa Mungu
Mungu awalinde mweee mufike mbali
Mungu awabarki mfunge ndoa
Nyinyi wabongo acheni kuhadaika na Dunia kumbuken mungu ndyo Kila kitu siyo munapost upumbavu tu juweni Kuna mungu ndyo Kila kitu
Mario na paulla ❤
Ila muacheni kwasababu hata akiachwa ndio ataandika vizuri kabisa kabisa kwenye nyimbo
😂😂😂😂dah ila nimecheka ahahahahahahaha n kwel atuandikie vizur nyimbo za kutufariji ahahaha
Hhhhhhhhhh
😂
😂😂😂ukweli mtupu
Marioo❤❤❤
Dada Yupo Kazini Uyo atafuta Hela ..Ampede tuu ...Mwenye Mkono Mrefu Ndo anokula
Woow .marioo usimuumze paula bac
Thubutu yy ndio ataumizwa subiri uone
@@lulually5209 alishaumizwa na mimi mars alipoenda kwa daimond,ashazoea
Baaad pau❤❤❤
Napenda couple yenuu 😍
😂😂😂😂 ah Yani Paula huyu huyu wakumpeleka hivi marioo 😂
Apige mistari kali,ataweza paula
Nawapenda wote💕💞
Vizuri saaan Allah awa lindie penzi letu
Ayo mahusiano n ya mdaa TU
Wasafi mnapenda mushenee
Uyo marioo mshamba
Mungu.alinde.penzi.lenu
Mungu awalinde
good nice
❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Kwaiyo marioo anamuita harmonize babamkwe sio
Wakiachana hii itakuwa vibu kubwaaa 😂😂😂
Marioo wewe kwa sababu sio handsome kumpata mtt mzuri km Paula lazima uchachawe kwa sababu hukutegemea
Jmn 🤣🤣🤣pesa inamfanya mtu awe handsome bhna
Ni handsome Mario sana
Duuuuh zamu yangu akitoka marioo
Nakubali Mimi shabiki yako
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
The BADDIES ❤❤
Aya na mkiachana usiache kuja fanya interview hpa😅😅😅😅
😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊umenichekesha sana yaan
Zinaa mnaitangaza live
Ahahahshahaha nmecheka sana yan ila weee kaka mungu anakuona
😂😂😂😂😂weeeeh
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Marioo
wasanii wa bongo washamba sana
Uyo marioo utakuja kujuta baadae unafanya utoto kwenye watu wanapenda feza
❤❤❤❤❤❤
Tó assistindo o programa direito de 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Niitieni Baba Levo December inakaribia😎🙎♂️
Mmependazan jaman
❤️❤️❤️❤️
Hahahaha hao madem zao wakupokezana hahahah
Mmm yetu 😮😮😮😮
Sisi tuliopitia mahusiano mengi tunaijua ihii ya mariooo
Mmbwa ww Siku ukiachwa n izo nyimbo zako z mapenz utaimb mwaka mzima bila kupumzika
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasanii wa bongo mafala sana
💖💖💖💖👄
Acha apende jamni
Mmhhh pumbafu zako ww marioo bado una mapenzi na mim mars ila baada ya kukataliwa kule na ulivyo mbaya kuweka vipini puani kma mwanamke sas umempata paula apo kajikuta mwamba saaana mbwa wewee😅😅 nasubir siku utaachwa na hio team mother and daughter njo utatuimbia wimbo mzuri saaana tena kwa hisia za kweli hapana kuigiza
Mama mtu ajielew mtt nae ajielew apo apo uyo marioo ankj ebu jitambue
Paula usimfanye mtoto wa watu kuwa chizi mapenzi
Na ashatimiza
Ikekua wewe watongoza Paula unge ficha Paula mzuri jamani
me nachekaga tu😂
For life 😂😂😂 isn't which 😂😂😅
Mario jichunge na waizi kuwa kama Achraff hakimi
Mario jichunge kwa paola na mama yake hao ni hatari kuwa kama Achraff hakiki
😮
Nkpnd sanapaula
SI aliolewa au ilikua kiki sijaelewa
Ilikuwani tangazo
Kiki tu🤣🤣🤣🤣🤣
Bro ukiishiwa hela utaniambia.
Mfunge ndoa sasa
Unahaki manaake nae kakukubali bila kufanananae
Keshazoea vizee mara hii machel ajiachie
Mmmh bongo noma duh
Unafiki tu😂😂😂
Gisi ameanza kuja huko hakiamungu atabaki nawatu waukotu anaisha kupata upepo mkibiaha mniite lucifer nipo nawasubiria hanzeni kueaabia leo
Hakuna mapenzi wala kupendana hapa stop fooling people.. anaependa wala hatangazi.. kwani mapenzi yamekuwa mziba?? 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoja wwkufilisi hao na mama yake na hapo mamaake nae utampenda
Uupuzi tu
TAFUTA HELA UTAMBE,,,HATA HUYO HAKUWA HIVO
❤❤❤❤🔥
Kiki iyo
Umepelea Dogo kabisa
Uongo huo hakunaga mapenzi ya gafra hivyo yakadumu ngoja nyege ziishe na mihemko ya hisia ikate uone kama hayo anayoyasema kama yataoneka kabla hujmla demu unakuwa na maneno mengi matamu ili aingie king tu
Muongo anampena mimi mars huyo..ni kisasi tuu
Hakui kupenda MTU ety Na wakati ulee alikua akiimba nyimbo za kulia vile akiachwa atalia Zaidi hahaha mariooo
Toto jinga sana hili, unaenda date kicheche, vipi wewe dogo!!
Asa we marioo si under dog tu wewe ndio maana imepagawa na paula rayvanny ana pendwa na hao wayu warembo usipime huyo paula kwani maye mrembo c kaibuliwa na vanny boy
Wasamiii wa bongo wanakiki za kijinga Tena wakisha sifiwa kuwa wamekuwa wakubwa nyooooo
Mhhh kiki hizi huyu ninavyoona Mimi huyu Paula SI mwanamme wake isipokuwa ni kiki Paula kashachuwa chake mapema anawaachia wadadisi wa mitandao wamuongezee views hongera Paula kwa ubunifu wako mjini
Kwan jaman huyo anaehoji ni zuchu au ni nan? Kwaiy na yy anahoji?
Bongo sihami wee sio Kwa mapichapicha haya
Wakwanza