Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 12. 2023
  • Get First Of All EP👇👇👇
    dplatnumz.lnk.to/foa
    / @dplatnumz
    Diamond Platnumz Booking Info:
    Email:bookplatnumz@gmail.com | sallam.sharaff@gmail.com
    Catch Up With Diamond Platnumz On:
    Instagram: / diamondplatnumz
    Facebook: / diamondplatnumz255
    Twitter: / diamondplatnumz
    #Diamondplatnumz #Wasafi
  • Hudba

Komentáře • 873

  • @user-hp6bf5lh2d
    @user-hp6bf5lh2d Před 5 měsíci +181

    Tulihisi tutaangalia kidogo alafu tutatoa Mara tumenogewa mpaka mwisho tujuane kwa like😂😂😂

  • @steveg9659
    @steveg9659 Před 5 měsíci +276

    Kama umegundua legend Mr blue kalewa gonga likes nyingi kwangu

    • @menad255
      @menad255 Před 5 měsíci +12

      Nilitaka kusemaaaaa 😂😂😂😂

    • @Izackim2005
      @Izackim2005 Před 5 měsíci +13

      Kalewa lkni ywapeana advice bado😅

    • @homeboy2307
      @homeboy2307 Před 5 měsíci +6

      Hadi mrblue anamuita diamond kaka duuu

    • @mohdnyambi7513
      @mohdnyambi7513 Před 5 měsíci +4

      Alikua anamwambia G bana mana yy ndo mkubwa watu

    • @fadhiliromwald
      @fadhiliromwald Před 5 měsíci

      @@homeboy2307wanaume kawaida hata kama mtu umemzidi umri

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 Před 5 měsíci +20

    Yaani me nimefrahi kuona wasanii kutoka nnjee ya wcb wakiwa pamoja kuhakikisha ngoma inataka ikiwa na ubora hongereni sana

  • @mikekally3188
    @mikekally3188 Před 5 měsíci +81

    From Nigeria I love the way that producer smile 😊 showing good vibe one love African ❤️

  • @SoudyBrown
    @SoudyBrown Před 5 měsíci +19

    Hii ngoma mliipania na imelipa its a anthem

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 5 měsíci +16

    Daimond anajua Sana kupangilia vitu,,na s2 kizz anamuelewa Sana daimond Yan wanaelewana kwakuwa wote wanavipaji na wamefanya kazi Kwa pamoja Kwa mda mrefu

  • @IbrahimAli-jr4gy
    @IbrahimAli-jr4gy Před 5 měsíci +50

    Diamond platnumz ft Mr blue fanya jambo platnumz will be 🔥 🇰🇪

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 Před 5 měsíci

      Baaaanaaaa❤ haraka harakaaaa

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce Před 5 měsíci +1

      Daaaaah itakua pw sana yaan wazo zuri sana litakua bonge la ngoma

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 Před 5 měsíci

      @@EzzyEddy-il3ce Sanaaaa 🙌🙌🙌

    • @IbrahimAli-jr4gy
      @IbrahimAli-jr4gy Před 4 měsíci +1

      Leo simba anaachia ngoma tumeomba na katusikiliza si mashabiki wake ❤ simba ft Mr blue 🔥

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Před 5 měsíci +36

    8:17 nimependa sana kuna verse alopita nayo simba big up sana simba la masimba dangote❤❤❤🎉🎉🎉

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 Před 5 měsíci +30

    Nimefurahi sanh kuwaona wasanii wengi tuhh mkiwa pamoja, big up wasanii ushirikiano zaidi unaitajika🙌

  • @cpapeter-paulley6013
    @cpapeter-paulley6013 Před 5 měsíci +11

    Aiseee!! Kumbe mondi habahatishi, he actually plans for a hit🔥🔥🔥

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +40

    Mondi mbunifu sana jamani
    Pia kaka yetu Mr blue katisha kutoa support ake
    Mondi mooooto fire 🔥🔥🔥🔥

  • @RICHVLOGS257
    @RICHVLOGS257 Před 5 měsíci +75

    Diamond platnumz is always the best musician in Africa

  • @Raynize_Tv
    @Raynize_Tv Před 5 měsíci +15

    Diamond anaishi na wasani wote kama familia

  • @todaysmatches8697
    @todaysmatches8697 Před 5 měsíci +24

    Hizi studio session ni nzuri mno inaoneshwa kwamba hakuna kitu kinakuja kirahisi you can how they struggle to make good music diamond you have become more than artist you are influencer

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 Před 5 měsíci +23

    ❤❤ Pongezi kwa Tuzo Awards 2 leo🎉❤🇹🇿👍

  • @WilliamNyasulu
    @WilliamNyasulu Před 5 měsíci +19

    My best artist in the world Diamond platnumz ❤️💯🔥🔥

  • @shumamwinyikombo5981
    @shumamwinyikombo5981 Před 5 měsíci +70

    This is how tanzania artists should stand for each other...mambo ya CZcams 2achieni sie mashabiki..hii support ni kubwa na inanguvu sana..big work isay...

  • @Edsamnails5518
    @Edsamnails5518 Před 5 měsíci +19

    Big up platinumz for supporting your fellow citizens.. proud of you from Kenya

  • @stevjuniors1770
    @stevjuniors1770 Před 5 měsíci +35

    Dhhh so mchezo kaka kuimba kazi Simba ni perfect talented na unawatendakazi sahh sana kazi nzuri WE ZOMBIE🦁🦁🦁🦁

  • @carlyboytz
    @carlyboytz Před 5 měsíci +19

    Apo ni studio WCB WASAFI IPO MBEZI BICHI NAONA SIKUZI NI INAFANYA KAZI ZA WCB TU SO MTU BAKI 💥💥💥🎶🎶🎶

  • @inaugaasKh
    @inaugaasKh Před 5 měsíci +59

    The most hardworking artist for the last 10 to 15yrs

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 Před 4 měsíci +12

    Staying in the studio is how I feel good vibes sometimes..yes keep on moving young boys that's life never loose ur Hussle in what you have been talented

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +67

    Kaka Mr blue ahsante kwa mchango wako waushauri kwa nyimbo hii ili kutuletea mziki mzuri🔥🔥🔥🔥

    • @yaseenfiddu3094
      @yaseenfiddu3094 Před 5 měsíci +6

      Blue ana vibe kinyama 😂😂

    • @kijokaizah
      @kijokaizah Před 5 měsíci +2

      💀☠️☠️simba dangote

    • @user-vj1mo2uo8e
      @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +4

      @@yaseenfiddu3094 utadhani nyimbo yakwake ila kumbe ni yamadogo zake Mungu amuongoze 😂

    • @user-vj1mo2uo8e
      @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +1

      @@kijokaizah eeeee simba lamaaaa

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 Před 5 měsíci

      Mr Blue kamkuta G nako kwenye game kitambo..

  • @SimbaTiger-qp4ss
    @SimbaTiger-qp4ss Před 5 měsíci +18

    Simba asante sana kwa usaidizi wako mungu akubalie❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +23

    Mbele ya simba lamasimba hakuna kinacho haribika 🔥🔥🔥🔥

  • @leesibia2748
    @leesibia2748 Před 5 měsíci +45

    Wakenya 🇰🇪 wenye mme comment wa kwanza mikono juu🖐️

  • @boythenuru4125
    @boythenuru4125 Před 5 měsíci +17

    Daaah aiseee tuna jifunza vitu vizuri Sana brother jins tutakapo kuwa studio

  • @isodonaman254
    @isodonaman254 Před 5 měsíci +15

    PLATNUMZZZZZ MNYIIIIIIAAAAMAAAA🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 Před 5 měsíci +18

    Kumbe kurekodi kazi hivi!
    Usitamani hela za wasanii aisee!

  • @watsonkenny-uz5jf
    @watsonkenny-uz5jf Před 5 měsíci +15

    This guy so called Simba has what we call limbic -pineal high up knowledge ...naona umewateka tz artist and keep it up ur .HOV in Tz

  • @prosperabison1368
    @prosperabison1368 Před 5 měsíci +18

    Na Simba la masimba DANGOTE 🔥🔥

  • @claudiancostantine4446
    @claudiancostantine4446 Před 5 měsíci +8

    daaah simbaa🦁🦁🔥🔥🔥🔥

  • @numbachogo
    @numbachogo Před 5 měsíci +10

    Haujui 😂😂😂 Mr blue umepigaje apooo😂😂😂😂

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +13

    Mondi fundi sana jamani ani utadhani g nako anafundishwa. Mziki abhatii kumbe g nako kasaidiwa na mondi jamani duh moto mondi🔥🔥🔥🔥

  • @erickmrema6850
    @erickmrema6850 Před 5 měsíci +10

    Diamond never do wrong....genius of making gud muxic....watakuweza kwel😂😂

  • @tafboy9146
    @tafboy9146 Před 5 měsíci +19

    Mr blue alikuwa hamjui D voice😂😂 gonga like km umeona

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Před 5 měsíci +12

    Wajna haujawai kuniangusha am proud of you #Nasibu

  • @dr_ridhiwan
    @dr_ridhiwan Před 5 měsíci +7

    Much love from USA🇺🇸 ila Mondi kaua wana wa USA RIVER Tunamkubali🔥🔥🔥

    • @chibufashion938
      @chibufashion938 Před 5 měsíci

      Hi Brother may I have ur contact number please

  • @michaelbwire4889
    @michaelbwire4889 Před 5 měsíci +9

    Mr Blue amanibamba big time. He made the room lively. Would like to hear a collabo Blue ft Diamond.

  • @IbreezyOneWay
    @IbreezyOneWay Před 5 měsíci +52

    That's why you make big things there are many different ideas 🔥🔥🔥🔥

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga Před 5 měsíci +14

    Wara ni Simba wa maSimba wamazombie🦁🔥🔥🔥👊🇲🇿

  • @irenesalumu
    @irenesalumu Před 5 měsíci +13

    Namuona chibu na last born wake dvoice. Big up🎉

  • @dodoclassic6771
    @dodoclassic6771 Před 5 měsíci +72

    It's Mr blue's vibe for me, Big up sana Mr blue 🔥🔥🔥

  • @sylivesterkasomambuto6683
    @sylivesterkasomambuto6683 Před 5 měsíci +6

    Daah hii love nilion hp sichk kutzm hii session 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @wycliffefreeman
    @wycliffefreeman Před 5 měsíci +34

    We are really proud of you Simba. We zombie 😂😂😂

  • @racheljohn2216
    @racheljohn2216 Před 5 měsíci +6

    Mimi nmepend kweny eeeeeeh😂😂😂❣️🙌

    • @ahmedsabu7660
      @ahmedsabu7660 Před 5 měsíci +2

      Haswaa nami nimecheka saana

    • @roi2554
      @roi2554 Před 2 měsíci +2

      Eh 😂😂😂😂

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej Před 5 měsíci +4

    Nimependa ushirikiano 🙌

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Před 5 měsíci +19

    Nimeamini hakuna kitu rahisi hapa duniani.
    Kama Mondi ana practise kiasi hiki wakati ni Dude la uimbaji. Mimi nilijua anatereza tu kumbe ni kazi.

  • @Mtm_300
    @Mtm_300 Před 5 měsíci +34

    Big brother we can't let you down ❤❤

  • @edwardokumu8453
    @edwardokumu8453 Před 5 měsíci +9

    Kumbe haikuagi rahisi..🔥🔥🔥

  • @user-vj1mo2uo8e
    @user-vj1mo2uo8e Před 5 měsíci +12

    Ani mondi anaipambania nyimbo kama yakwake
    Kweli jamaa kaamua mziki uwe kazi ake
    Heshima kwako mondi

  • @yaseenfiddu3094
    @yaseenfiddu3094 Před 5 měsíci +8

    Familia imekua kubwa kazi kali kila kukicha

  • @ATM_FAMIL
    @ATM_FAMIL Před 5 měsíci +5

    LET'S GO [bin simba sultan]
    I like this....🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Před 5 měsíci +5

    Respect bro diamond platnumz simba 🔥 🔥 🔥

  • @wahidymrosso1894
    @wahidymrosso1894 Před 5 měsíci +7

    Mr blue anamchango mkubwa san kwenye kuwafundisha wasanii mzikii mzurii

  • @josephmollel4526
    @josephmollel4526 Před 5 měsíci +27

    Ni simba la masimba dangote 🔥🔥🙌 so talented

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 Před 5 měsíci +4

    Diamond ni Music Genious.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 5 měsíci +2

    Yani kwajins ninavyoona daimond ndo crietar anabuni Sana Yan,,nimbunifu Sana bigap daimond

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 Před 5 měsíci +13

    Unyamaaa wazeee wa Vpensi🔥🔥

  • @darlingtoneballer8617
    @darlingtoneballer8617 Před 3 měsíci +5

    The guy at the keyboard is just killing me 😂

  • @user-mz1gz2rl1q
    @user-mz1gz2rl1q Před 5 měsíci +5

    Wee zombieeee aujuii❤❤ Nasimba la masimba dangotee 🙌🙌🙌

  • @Asidijomba
    @Asidijomba Před 5 měsíci +3

    studio raha bwana ,,I really miss this kind of feelings with my team....

  • @almasially6509
    @almasially6509 Před 5 měsíci +10

    "Oya Huyu dogo tolu nae kumbe kiungo huyu" 😂😂😂😂😂

  • @KankuliNsumbu
    @KankuliNsumbu Před 5 měsíci +10

    Ila naomba papa T Simba Dangote please 🙏🙏🙏 fanya nyimbo yako na Blou blou Baisa Babylon yani Master bloue Trust you guys.❤❤❤ I will be thenk fully understand that Tanzania songs or Swahili song's please 🙏 and don't forget We zombie🎉🎉🎉

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn Před 5 měsíci +6

    wasanii bwana unaweza ukaambiwa mr blue haivi na mond kumbe ni tofauti ......,,

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Před 5 měsíci

      😂😂😂 yeah watu huongea tu hovyo maana maisha yao ya chini chini hawayajui

  • @kisatusamweli3263
    @kisatusamweli3263 Před 5 měsíci +12

    We Zombie Haujui 😎 Unajua Mpaka Basi 🙌🙌

  • @nyunyaboy9523
    @nyunyaboy9523 Před 5 měsíci +16

    Mr bluee is genius😅❤🔥

  • @philo_the_barber
    @philo_the_barber Před 5 měsíci +5

    Kumamake was just chilling!😂😂😂then boo...

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 Před 4 měsíci +3

    Ka biser! Ngoma imempagawisha vi noma!! Ngoma imeshika vibaya..! Big up producer s2kizzy wewe genius Kwa mambo Yako.💪💪🔥🔥🔥

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies Před 5 měsíci +8

    Bonyeza kushoto kwenye nembo ya sanau Swahili movies uende kutazama filamu mpya za bongo movie

  • @abdallahsalehstar8221
    @abdallahsalehstar8221 Před 5 měsíci +2

    mtu anatumika ivi kisha nyie mnamuita FRIMA Allah akuzidishie sana mmamyema mwenzangu kazi inaonekana kaka acha wakuite watakavyo we piga kazi tu

  • @martinonetv
    @martinonetv Před 5 měsíci +11

    Hakuna kazi rahisi duniani walai. 😂🎉🎉🎉 daa!

  • @mr_yassinofficial
    @mr_yassinofficial Před 5 měsíci +9

    Walah nimependa sana big up legend Mr Blue Kabaysa

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Před 5 měsíci

      😂😂😂 nino hose urahashika 😂

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 Před 5 měsíci +18

    hii safi, naona na Kiba huwa anatuletea hizi behind the scenes🤛🏾

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Před 5 měsíci +10

    😂😂hiyo kumamake chibu kumbe naww unaipenda 😂😂😂😂😂sanaaa 🙏🙏🙏🙏nakukubali sanaa mzee wakazi ww ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hiyo heee 😂😂😂😂😂😂😂

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 Před 5 měsíci

      @@Swahili14 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Swahili14
      @Swahili14 Před 5 měsíci

      @@chusseboywcb2808 what's your fb or ig name kaka?

  • @teddymusic66
    @teddymusic66 Před 5 měsíci +24

    Legend always be focused

  • @Pwizza_Tv
    @Pwizza_Tv Před měsícem +1

    Nakubali mjomba yangu s2kizzy

  • @IbrahimAli-jr4gy
    @IbrahimAli-jr4gy Před 5 měsíci +1

    Diamond platnumz fanya collabo moja y nguvu na Mr blue itakuwa 🔥 sanaaaa

  • @jamalmdugi6458
    @jamalmdugi6458 Před 5 měsíci +9

    Mr. Blue byser is all the vibe✔️🔥

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral Před 5 měsíci +12

    I APPRECIATE THE WORK OF SIMBA DANGOTE, WARAAAAAA.!, MRBLUE AND DVOICE.! KIJANA ANAJITUMA DVOICE...! BIGUP..! TUSIMSAHAU LAIZER KWA KAZI NZITO YA PRODUCTIONS YOU ALL GUYS DID A WONDERFUL...! MARVELOUS.!❤🎉

  • @thomasnzioki2027
    @thomasnzioki2027 Před 5 měsíci +8

    Kazi Safi 👍 bro

  • @eddy-poletntwaru8350
    @eddy-poletntwaru8350 Před 5 měsíci +8

    Washaaa 🔥 🔥

  • @davidnyerere2016
    @davidnyerere2016 Před 5 měsíci +2

    Ile story ya sauti sol walisema ukweli ndani ya hit moja huwa kuna wadaui wengi wenye hadhii tofauti kabaisa nimemushangaa hapa ndani big up guy's

  • @user-dz3rw5ec8c
    @user-dz3rw5ec8c Před 5 měsíci +6

    Zombie uko vzri bana ukimaliza kuangalia hii video tafuta hio nyimbo

  • @mariamkizango6421
    @mariamkizango6421 Před 5 měsíci +41

    Nice to watch this recording session
    Proud to be Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-ly9lp2ed4m
    @user-ly9lp2ed4m Před 5 měsíci +5

    Mr blue 😂 hahah anasema et sawa nimewakubalia

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 Před 5 měsíci +1

    Kuimba. Mna umiza akili ni fundi kama. Ufundie! 🎉🎉🎉🎉❤

  • @VisionVibes8
    @VisionVibes8 Před 3 měsíci +1

    S2kz ni 🔥🔥

  • @AntonySwedi
    @AntonySwedi Před 4 měsíci +2

    Nangoja Mr blue na cmba ❤

  • @Fanna_tz
    @Fanna_tz Před 3 měsíci

    Daaah! Legend baisa yupo tungi knoma yan 😂😂😂

  • @kimah9855
    @kimah9855 Před 5 měsíci +8

    Noma😍good job

  • @VelosoMadjane-yn8ft
    @VelosoMadjane-yn8ft Před 5 měsíci +3

    Diamond mkali sana baba, endelea na kupambana.

  • @modeystaraxy3440
    @modeystaraxy3440 Před 5 měsíci +4

    Nimependa mpiga kinanda hanashobo anawaza wali wake home

  • @DaudiVinya-zq2kt
    @DaudiVinya-zq2kt Před 5 měsíci +30

    This session was absolutely hard bt the outcome was very nice....much love to my fellow comandos....254 is watching....

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs Před 3 měsíci

    Dah brother mondi kwa matusi nomaaaa sanaa

  • @derrickorlando
    @derrickorlando Před měsícem

    Napenda wanavyoshirikiana...Umoja nguvu💪. Matokeo ya uhusiano nzuri... Star anaponyenyekea ustar unazidi

  • @qingbusiness6713
    @qingbusiness6713 Před 3 měsíci

    I love this vids, motisha kweli esp kutoka kwa OG wa industry

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir Před 5 měsíci +5

    Kikosi Kazi ✊✊✊✊✊

  • @PeterDevid-bw9gx
    @PeterDevid-bw9gx Před 5 měsíci +4

    Mr..blue hata akiongea tu ni vibes..watu kama hawa they have lots of vibes safi kaka diamond u have the rights crazy company on studio,plus the calm producer safi kaka kip itup(kiprapmen)

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 Před 5 měsíci +8

    ❤❤❤❤❤Nomaaaaaa G nakooo Vs Simbaaa❤