Mimi Hili jibu kama mumewe ni ayub mbona ayub mkewe alikuwa anaitwa Rahman yule aliye muuguza yale maradhi na watoto walikufa woote uyu ni yupi na rahma ni yupi? samahani na taka nijuwe
Ndo uyo uyo jina lake kwa kiarabu ndo rahman kwa lugha ya kwao ndo ilya na inasemekana nabii ayoub alipopoa alizaa watoto wepya mmoja wao ni huyo nabii dhulkifli
We nawe kwani mariam aliolewa?😂kisha mariam hana kk kazaliwa peke yake Mariam kazaliwa na mtume iran mtoto wake ni mtume issa ila yy hakuwa na mume wala na kk
Iliya bint yakub aliolewa na Nabii Ayoub na kaka yake ni nabii yussuf na mtoto alomzaa akaitwa zulkifli
Nzr mashaaAllah
Mashallah tabarak Allah
Mashaallah
shukran sana kwa elimu mnayotupa tunakupendeni sana kwa ajili ya allah
اليا بنت يعقوب واخوها يوسف وزوجها أيوب و ولدها ذو الكفل عليه الصلاة والسلام
Shukran akh
babake ya'qoub kaka ni Yousuf mwanae dhi kifl Na mumewe ayoub ..babu zake mitume.isihaaq..ibrahim na esmaeel ni ktk mababu pia
Alaaaaa shukran!!
Bi layyah bint yaaqub or Dinah bint yaaqob
Baba yaaqub
Mume ayyub
Kaka yussuf
Mtoto dhulkifli
Ma Sha Allah Tabaarakallah Allah Awatangulie kwa kila hatua bila kumsahau Sheikh Nurdin kishki hafidhwahullahu taala kipenzi changu🤝💗
Ma shaa Allah sheikh Allah akujalie kila la kheiri kweli wewe ni mwalimu
Allahakbar mwenzimungu awazidishiye kila la kher
Walaykum salaam warahma tullah wabarakatuh
Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh
MashaAllah TabaraqaAllah 💖🥰🥰
Swali pambee 👌🥰
Nzr mashaaAllah
MaashaAllah sheikh Ismail Allah akuhifadhi tunaelimika sanaaa
Masha Allah hongera brooo utofyoro
Waalykum salaam warhamatullah wabarakatulh sheikh ismail Muhammad
MashaAllah MashaAllah 🥰🥰
waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
I love it keep it going
Anaitwa Ilyaa au Bi Rahila Bint Yakoub Mtoto wake ni Dhulkifli n Kaka yake ni Nabii Yussuf Mume wake ni Nabii Ayoub
ALLAH barik
Zanzibar dah raha sana
Mashaallah Jazakallah khayran
Mashaa Allah tabarakallah
Shukran sana kipindi kizuri
Kwakaaa km kwetu lamu tamu
Kaka Allah akubarik akujalie afia njema akuzidishie
سبحان الله شكرا جزاك الله خيرا
Mashallah Mashallah Mwz Mungu amiithaz in-Ashallah
Iliy bint yacuob baba yke n yacoub kaka yke yusuph na mume wke ayubu n mtoto wke n dhulkifli
Walyekum mssalm warrahmathullah wabarakathu weeh kweli swali la leo pambe kweli
ALLAH AKBAR
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah
Mashallah
Mamake ndo yupi katka wake wa nabii ayub ..mmi nilizani mmake nabii yussuf
Nimefika huku kuona jibu ..lkn yaonesha hakuna ajuaye..🥰🥰trick sana
Assalam alekum warahmatullahi wabarakatu jina lake bibi huyo LAYYA YAAKUB
Mashallah jazakallah kheir
Waalykum salam warahmatullah wabarakatuh
Walaykum msalam warahmatullah wabarak
Mashaallah
Mashallah mashallah
mbona kule dar .huwa munawapa maswali mepesiiiiii.
بارك الله فيكم
Asalam aleikum wa rahmatullahi wa barakatu jina la huyu binti ni Ilya binti yaaqub
Maa shaa Allah ❤
Iliyà bint yakoub A.S mumewe Ayuob A.S kaka ake yussuf A.S na mtoto wake ni zulikfl A.S
وَعَلَيْكُم السَّلَام وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
Masha Allah, Allah awahifadhi ma sheikh wetu
Flana huuzi ustadhi
Hakuna bint huyo.!
masha Allah shukurani
Iliah) kiarabu ni.Rahma.)
Masha Allah
Mimi Hili jibu kama mumewe ni ayub mbona ayub mkewe alikuwa anaitwa Rahman yule aliye muuguza yale maradhi na watoto walikufa woote uyu ni yupi na rahma ni yupi? samahani na taka nijuwe
Ndo uyo uyo jina lake kwa kiarabu ndo rahman kwa lugha ya kwao ndo ilya na inasemekana nabii ayoub alipopoa alizaa watoto wepya mmoja wao ni huyo nabii dhulkifli
Mashaallah kipindi changu pendwa
Masha'a Allah
Mmekosea jina ni leah au rahma...inandikwa kiarabu..ليا
Duuu mashaAlha
Me nina swali hapa sijaelewa kidogo kwani nabii yousef kwa walizaliwa wangapi
Nyumbani banaa 😂😂😂
KWA HAKIKA NIMEJIFUNZA MNASTAHIKI PONGEZI KWA KAZI MLIYOIFANYA
Maa shaa llah ichikipindi raha sana Wallahy
lkn uyo hanifii mgemmpa kwa kazi na juhudi ya kutaka kujua jibu mashallah baraka rhman mmekapenda Bure kwa busara zake
Swali la leo ni gumu
Mhh swali gumu sana
mashallah
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹😘
Iliayya bint Yaqub
Oi
Iliya bint yaquub kakak ni Yussuf mume wake ni ayoub na mtt wake ni dhulkifli
Rahmaا ( kiarabu) ni leah sio ilya
Ilya...ni Palestine
A'allykum naomba kuuliza swala y Magharib unawez kuipat Tahiyyatu 4 cjafamu pls naomba kufahamishwa pls
Assalam alaykum tunaomba muje mtaa wa Mombasa Unguja muje mutuulize maswali na sisi tupate elimu
Kuna giza vyoo
Wallah suala ni ligumu mno
Nam
Shukran. Niliijua ukoo ni wa Nabii Yakub lkn jina la huyo Binti ckulijua
Anaitwa LAYYA BINT YAQUB, jina nalo limenivutia na nalipenda sana Tuma😊
Ismaïl assalam alaikum warahmatullah
❤❤❤❤❤🙏🙏
Huyo ni Bibi ghaliyah
utofyoro
Leyla bin yacquub
Ilya bint Yaqub kaka Yusuf mtoto Zulqif Mume Ayub
Mashallah
Khadija we umerauka au umekopi
@@radhiaoman9828 nmekopi ili nikalili vzr
@@khadijahali4837 😅ni vyema
@@radhiaoman9828 my dear kuna watu wamekaa darasani wakatulia.
Haya watu wa Sirra 🙄
🙂🙂
Anaitwa ilya bint yaqub baba yake ni yaqub kaka yake ni nabi yusuf mumewake ni nabi ayub mtoto wake ni thulkifly
N .Nan
Layya bint Yaqub
Asalam alykum
Mariam mama Issa( A.S)
Mhhh umeenda mchomo hapo mariam hakuwa na mume
We nawe kwani mariam aliolewa?😂kisha mariam hana kk kazaliwa peke yake
Mariam kazaliwa na mtume iran mtoto wake ni mtume issa ila yy hakuwa na mume wala na kk
Ili swali ni 🔥🔥
❤️❤️❤️❤️
🤣🤣🤣🤣 Hanafii bana
Mariam
Vijana ma sha allah wanaruka na kuogelea ktk maji hongereni
💞💞💞💞
HAKUNA
Forodhani hapo kunatamanisha udabwi dabwi
Kaolewa na nabii Ayub na mtoto wake anaitwa zurikifri
Jifunze quran kusoma kwa hukmu gusa picha yang hapo kama hautojl
Ok
mam hsuk
Leo mumewachagulia swali gumu
Iliya binti yaqubu
Eva
Kirabu jina lake ni Rahma
Iria binti ya kubuu dada ake na yusuf