JINSI YA KUTENGENEZA MTINDI/YOGURT NYUMBANI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 02. 2017
  • Mahitaji
    Kwa kila vikombe 2 mpaka 3 vya maziwa
    Tumia vijiko 2 vikubwa vya mtindi
    Pasha maziwa moto kiasi cha kuchemka lakini USICHEMSHE
    Kama unatumia thermometer iwache ifike 180F/82C
    Ondoa kwenye moto halafu uwache yapewe kufika temperature 110-115F/43 - 46C ( yaani ni vugu vugu yasiunguze)
    Changanya mtindi na maziwa vizuri
    Funika, weka sehemu ya joto au weka ndani ya oven, washa taa ya oven umate umoto wa oven ( usiwashe moto wa oven!!)
    weka kiasi masaa 6-8 hrs
    Baada ya masaa 6 au 8, ondoa kwneye sehemu imoto mtindi wako utakua ushakua mzito , weka ndani ya fridge kiasi masaa 2/3 upate kushikana vizuri
  • Jak na to + styl

Komentáře • 80

  • @fatmazahra3980
    @fatmazahra3980 Před 7 lety +2

    Masha Allah Jazaka'ALLAHU kheyran sister,u make it easy for us,I gonna try it 😝

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 Před 7 lety +2

    shukran habibty Kwa mambo mazuri 😋😋

  • @tatu1530
    @tatu1530 Před 7 lety +2

    asante dada kwa mapishi

  • @sadakanjema7845
    @sadakanjema7845 Před 3 lety

    Mashallah nimependa kwa sababu ni natural hamna chemical 👌🏼

  • @subehaahaji1504
    @subehaahaji1504 Před 6 lety +1

    Shukran

  • @simplehomechannel
    @simplehomechannel Před 7 lety +1

    subhanaAllah umeeva ukatokota..nice presentation thumbs up...I love all your recipe simple and unique...

  • @anadoricekomba3064
    @anadoricekomba3064 Před 4 lety

    Nimependa sana, upo vizuri na unaeleweka sana💓💓💓💓💓

  • @Bella-eu6dy
    @Bella-eu6dy Před 7 lety +3

    Asante kwa kutupa hii recipe. Nimeshajaribu imetoka vizuri Sana. Mungu akuzidishie.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety

      Shukran kwa kunijulisha, nimefurahi kujua umefanikiwa x amin kwa dua njema

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 Před 3 lety

    Masha ma sha allah kwenye ricep zote za mtindi hii nimependa zaid💕💕

  • @ebitokeofficial3664
    @ebitokeofficial3664 Před 7 lety +7

    lah...asante Sana Dada..unanifanya nakua mke wa nguvu...yan skuiz nachange mapishi kwakujiamini zaman nilkua naogopa kupika tofauti na ugali wali na chapat za kumimina....asante Sana na Allah akupe nguvu uweze kutufunza mengi

  • @zuubyjamal7104
    @zuubyjamal7104 Před 7 lety +1

    maashaallah,,allah awazidishia,,ujuzi zaidi,,na akupea afia na umri,,shukran

  • @zawadisweetney4045
    @zawadisweetney4045 Před 7 lety +1

    shukran kwa recipe mpya. Mungu azidi kukupa ujuzi zaidi.

  • @nasekilemwaisaka7813
    @nasekilemwaisaka7813 Před 5 lety

    Dada kiboko❤❤❤

  • @user-sz2bh8es7g
    @user-sz2bh8es7g Před 7 lety +1

    Tunashkuru dear kwa kutupa mafundisho na mungu atakuongezea ujuzi zaidi inshaallah dadaa

  • @FarhatYummy
    @FarhatYummy Před 7 lety +2

    yummy

  • @tatu1530
    @tatu1530 Před 7 lety +1

    tuandarie Ramadan yaja

  • @jamilashee1052
    @jamilashee1052 Před 4 lety

    mashaallah

  • @ramilimohammed5265
    @ramilimohammed5265 Před 7 lety

    AROMA OF ZANZIBAR mm ndio maana nampenda anty yangu jaman maana ivyo ukipika km magic vile mashallakh mm najiamin kwa recipe zako

  • @kubornzadze6043
    @kubornzadze6043 Před 7 lety +2

    shukrn kwa mapishi nlikua naomba na skonzi cjui mwziitaje bt kwetu n ivo

  • @ummusahili2313
    @ummusahili2313 Před 7 lety +1

    Shukran mpenzi wangu Allah akuzidishie uzima na afya tele uzidi kutufunza

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 Před 4 lety

    MashaAllah hii ni plain yoghurt haina haja ya sukari

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Před 7 lety +3

    Dada angu Aroma of Zanzibar, hivi ulienda cookery school? Au ni mautundu tu? Your dishes are unique and amaizing!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety +1

      Hhaha, utundu ilinifanya niend culinary school mie napenda kujaribu vyakula vya aina mbali mbali

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 Před 7 lety +1

      Aroma of Zanzibar asante na hongera sana.

  • @sallynznas6461
    @sallynznas6461 Před 7 lety

    shukran sana habbity,alafu kwann hazitokei all of your videos ktk you channel?kuzipatazote ktk orodha.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety +1

      Nenda Aroma of Zanzibar, halafu bonyeza vieo utapata zote kwa pamoja

  • @christinahillary3417
    @christinahillary3417 Před 4 lety

    Naomba kuuliza kama mtu anapenda kuutia sukali anatakiwaatie sukali mda gani

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      Utaeka sukari wakati baada ya kuondoa kwenye moto kabla hujafunika

  • @dianasamson5038
    @dianasamson5038 Před 6 lety

    nice huo mtindi wa kuanzia ndio ile ya kwenye kopo la caravan au

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      Sawa ndio huo , usiwe na sukari au ladha ya matunda, plain

  • @emmymsangi7779
    @emmymsangi7779 Před 5 lety

    Asante sana dada. Zile yourgat za ladha mfano chocolate, vanilla, passion nk zinatengenezwaje?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Unatenegeza kama kawaida halafu wakati maziwa bado ya moto unaweka vanilla au utakacho penda

  • @nenentiritu1774
    @nenentiritu1774 Před 6 lety

    Hi,saw that you used plain yoghurt. How can I flavour the yoghurt?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety +1

      You can either add some vanilla pods or vanilla extract after heating up and let it set, or you can mix some jam of your choice once its cooled

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 Před 5 lety

    nimeitengeneza leo.in shaa allah ikitok kwny fridge ntakupa mrejesho.but naon ipo poa.

    • @alizahranmohd4095
      @alizahranmohd4095 Před 5 lety

      jamani mtindi umetika poa sanaaaaa.mashallah jazaaka Allahul kheir. yaan mlaini mtamu, mzur. una kila sifa. cnunuippppo tena

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety +1

      Mashallah nilikua sijaona hii comment , hongera

  • @Lucys_corner
    @Lucys_corner Před 7 lety

    asante Dada kwa video , . I tried to make a while a go using another CZcams video lakini nikashindwa , this time I'll use this video and I'm sure it will come out better. but kama nataka kufanya maziwa mgando , I think in English wanaita kafir milk , maana yogurt inashikana but maziwa mgando yanakuwa separate kidogo and more liquidy... how can I , while I was back in tz this was easy kwa sababu we use fresh milk from cows😊😊😊 haya maziwa ya dukani make the process quite different. help pls. thanks. PS I'm a pro at making maandazi now. thanks to you sis

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety

      Lucy ngoja nifanye research kidogo yaa hii kitu mie pia sijawahi kufanya nyumbani nina nunua, I will get back to you on this x have a wonderful weekend

    • @hailinhelen329
      @hailinhelen329 Před 7 lety

      Aroma of Zanzibar mwenyezi mungu akupe afya na furaha ktk maisha yako yote kwa kutundisha haya mola akupe alimu zaidi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety

      +Hailin Helen Shukran Amin

  • @sweetmozlin564
    @sweetmozlin564 Před 6 lety

    Naomba kufunzwa mkate wa sinia practically.kwa hisani

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      sweet mozlin sijui umekusudia nini practically receipe nilikua nayo no kwenye link hii , czcams.com/video/t7twccnSQ4U/video.html

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 Před 5 lety

    Asante sn Dd najigunza lkn cjaelewa hapo mwanzo ulichotia kwenye mtindi wako ni Maziwa ulichemsha ni mtindi pia ulitengeneza au siagi ya Maziwa???

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      ndio kwenye maziwa niliweka mtindi huo ni wa kuanzia

    • @saumukaisi3996
      @saumukaisi3996 Před 5 lety

      Asante sn Allah azidi kukujalia mema kwa kutufundisha vitu km hvyo je km oven cna naweza weka wp??

  • @happynesslema7885
    @happynesslema7885 Před 6 lety

    hi?? naweza kutumia mtindi wa kawaida badala ya huo wa dukani?? na huo wa dukani unaitwaje??....asante

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety +1

      Mtindi wa kawaida ndio gani, mtindi ni mtindi tu kama wa kutengeneza nyumbani au wa dukani wotw ni sawa , unaitwa yogurt kwa ki engereza

    • @happynesslema7885
      @happynesslema7885 Před 6 lety +1

      Aroma of Zanzibar asante

  • @salmaally877
    @salmaally877 Před 6 lety

    naomba utufundishe mkate wa mchele ambao upo laini Kama siponji

  • @OmarOmar-ch4qd
    @OmarOmar-ch4qd Před 5 lety

    Dada samahan mm ndo naona leo ili somo ila naomba kuliza mana kidigo umenichanganya hapa vinatakiwa vitu 3 yaan maziwa ya ngombe maziwa wa kulala na iyogati si ndio au ni vipi naomba unieleweshe dada yng plz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Nimetumia vitu 2 tu maziwa ya n'gombe na maziwa lala ndio yogurt kwa kiengereza ni kitu himoja tu

    • @OmarOmar-ch4qd
      @OmarOmar-ch4qd Před 5 lety

      @@aromaofzanzibar asante sanaa shukran

  • @emmanuelimushi7413
    @emmanuelimushi7413 Před 6 lety

    Dada nimejaribu kugandisha ila yanatoka mepesi mno sijui nitakua nakosea wap na ninatumia maziwa ya dukan ya azam na mgando n tanga fresh

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      Emmanueli Mushi pole sana kama mtindi unatoka mwepesi itakua kujaweka kwenye joto la kutosha kama sii umoto wa kutasha itabidi uweke mda mrefu ili upate kuwa mzito

  • @mariamsadick9325
    @mariamsadick9325 Před 7 lety

    A.aleykum dada, vipi kama sina yogurt yakuanzia naweza kutumia nini?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 7 lety +1

      Tafuta japo kidogo japo kijiko tu, kwani live culture zinapatikana factory au laboratories tu, njia hii ni rahisi zaidi

    • @sitihassan9439
      @sitihassan9439 Před 4 lety

      Culture kama upo tanzania kenya zipo

  • @sweetheartschannel7120

    Assalam alaykum ilikua nauliza huwezi kufanya kwa maziwa ya unga?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Unaweza kutumia maziwa ya unga lakini mimi sijawahi kujaribu

    • @sweetheartschannel7120
      @sweetheartschannel7120 Před 5 lety +1

      Ok shukran sana Allah akibariki azidi kukuweka uzidi kutufunza tusoyafaham❤

  • @subehaahaji1504
    @subehaahaji1504 Před 6 lety

    Asalamalaykum mie nataka kujua kama yale maziwa ya ngombe lazma uchanganye na uwo a mtind mwengne ili uwe mtindi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 6 lety

      Subehaa Haji ndio unahitaji mtindi wa kuanzia kutengeneza,

  • @Tratembea
    @Tratembea Před 6 lety

    Mtindi ni nini

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 Před 6 lety +1

    Shukran