Tafadhali ndaro nakaka stivu shikamoo natumai my salama alimini ni damage mweusi naomba kuungana nanyi katika comedy zenu tafadhali ndaro Nazi nzuri hiyo from Kenya
Yote tisa kumi hao wadada wakikosa kidawa na mwenzake tutapungua wengine..😂😂najua wako wengi tu hapa hawataki kufungua roho nishawasemea nipeni like zangu tafadhali
wela bhagosha steve na ndaro ni mbwa kweli kweli from USA Marekani nawapata vyema sana 😂😂😂
Ila nyie watu munafuraish sanaaa can't stop watching
Hahahahahaha kiekiekiekiekie hatari sana ndaro na Steve 😂😂😂😂😂 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 .
Napenda hiyo combination ya Steve na Ndaro banaaaa 😂😂😂 humu Kenya hatuachi kucheka
Bana wehu😂
❤❤❤
Pia Kenya Hawa watu ni wasanii sana kucheka itaua
Nawapena xana
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka mpaka nimepaliwa Steve mweusi na Ndarooo 😂😂😂
Wale watu twawapendaga Sana💃💃💃
😂😂wapambanaji Steve na ndaro .. nipewe like zangu jamani
Uyo dada anaitwa nani?
Nakukubali ndalo na steven😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣Nawapenda Sn Ndaro & Steve Bg Up👍
😂😂😂😂😂😂😂nawapenda bure my friends ndaro na Steve mwafurahisha nyiee mbavu zangu zaimiaa jamanii
Mwenye maziwa kajichanganya sana,steve na ndalo hawana akili ya biashara😂😂
Hawana nyota...ya biashara😂😂😂
Naomba liké zangu minjo wakwanza kutoka Congo DRC 🇨🇩
😂😂😂Machachari watu wa nguvuu 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Steve Hamadi kijicho mbona hatumuoni😂😂
Mko sawa mabroz wangu
Wakwanza mim from Rwanda🇬🇦🇬🇦 nipen like zangu, love you sana 💞💞💞
Hawa watu ukiwa na stress wanamaliza kabsaaa 😂😂😂😂
From mozambique.naipenda sana waskaji wangu sabubu Awa ni mapuzi.sempre vou acompanhar a vossa paulada
Steven na Ndaro Mbwaa nyinyiiiiii😂😂
Umetaka kazi zingine styve😂😂😂
Hahahaha 😂😂😂😂😂 ila Steve unaniflahisha sana ndaro mha mwenzako nakusalimua mwakeye ndaro
Nime penda sana werutwe kutoka Burundi.🇧🇮🇧🇮
Nimeshangaa waana we gitwe
Tanzania ❤❤❤ good jobs wakubwa
Waziii Steve na ndaro kazi safii watu wangu, tunaifurahia Hulu kenya
Ndaro mm nampenda sanaa ufanikiwe ww mbunifu
😂😂😂😂 yaan ndaro na Steve ni kama vichaa waliokutana
Tafadhali ndaro nakaka stivu shikamoo natumai my salama alimini ni damage mweusi naomba kuungana nanyi katika comedy zenu tafadhali ndaro Nazi nzuri hiyo from Kenya
Shikamooo ndaro na kaka steve
From Kenya show imeweza sana
😅
Fatuma kafanyaje tena sasa😂😂😂😂
Kazi nzuri
Sema stivini fala sanaaa😂😂😂😂😂😂
Maziwa mazuri,mazito,original from Ng'ombe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maziwa ya papa 😂😂
Steve na Ndaro 🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu jaman😂😂😂😂😂 kotaka Rwanda 🇷🇼 we love you continue raising East African flag
Matumizi mabaya ya kipara 😂😂😂🙌
😂😂😂😂 we gitwe😂😂😂😂 dadek Steve siku izi unajua kiha
Hapo ni kopo na mfuniko😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila nyie jamaaa mmeshindikana 🤣🤣🤣🤣
Ndaro iko ndii ukimukamua nimaziwa inamutoka😂😂😂
First viewer noma sanaa
Yote tisa kumi hao wadada wakikosa kidawa na mwenzake tutapungua wengine..😂😂najua wako wengi tu hapa hawataki kufungua roho nishawasemea nipeni like zangu tafadhali
Shadiraçk,kinyua
Wew gitwee hahaha nmepanda Steve mpka kiha unajua
Wanaburudisha Steve na ndaro wakipiga pamoja kazi
Stevi ❤ wegitwe,,,,
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣🤣🤣
👍
Kali
😂😂😂Steve kashindikana😂😂😂
Kazi zuri vijana kama unawakunbali weka like
Hahaa nyi watu kuna siku mtafanya nkufee ju ya kucheka mambo yenu hayo haha
Appreciate sana talented brothers
Nawakubali
m uyu mwenye chunusi kidevuni daaa yani nimempenda daaaaa❤❤❤❤❤❤
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 watu wa dar wanaogooa sumuuuuu😁😁😁😁😁😁😁😁😁 jamaniiiii stiveee
One love from nigeria even though i don't understand the language but i love you guys
Nigeria ya konyooo 😂😂😂😂😂
Watching from London i like u guys
Nawapenda sanaaa, ❤❤ Steve na ndaro
🤣🤣😀steve wee gitweee😀😀
Maziwa tu😂
Nc zuri San ❤❤❤❤
Kenya ni TT Comedin hukonTZ twapma STV na Ndaro wakiwa pamoja
Daah😂😂😂😂
Tuwape tu maua yenu kaka mnajua Hadi bac❤❤
Sichoki kuangalia clip zenu😂😂
Walete😅😅😅
Et ahooo❤❤we jamaaa
The best 🎉
hahahahahah ndaro usibadiriki kobedi yako nduri sana, yaani uko sliasi lakini kikomed. "watu wengine siyo waaminifu, unaonja hawanunui" stive nice broo
😂😂😂😂😂
😆😅😅😅😅😅😅😅 mjee nakwanguu mkaniuziee maziwaa
The best
Jamman mtatuvunja 😂😂😂😂😂mbavuu
Dah 😂😂😂😂
Fundi ndaro ❤
tuta kukamuwa maziwa kipara🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndaro 😅
😜😜😜 ndaro na stiv
Machizi kweli hawa
Ndaro to the world 🗺 🔥 🔥
My favorite comedians🔥🔥🔥🔥🔥
fatuma wewe !!🤣🤣
huyu steve jamani!!
Mmeskia kenya kuna maandamano kweli
😂😂😂Ila nyi mbwa mnajua Sana
😂😂😂😂😂
Hayo ni maziwaa au ujii😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hahaha hivi vichwa vinovu mno.🤣🤣🤣🤣
Mnaweza
Ukinikamua tu mama maziwa😂😂😂😂😂❤❤❤
Ahoooo!! Ndaro bana😂😂😂
yaaani haya madishi kweli yaani😂😂😂😂
Hii shida yooote ni CHEBUKATI UMBWA YEYE
Wauza maziwa Safi sana❤❤❤
😅 wauzaji maziwa hawa😅
Nakubali sana😊😊😊
For real Steve and ndaro are my fav❤..
Nampenda sana ndaro na steve❤
Noma bro from burundi 🇧🇮
Nawakubali sana stive na ndaro
Love Ness yuko wapi jamani?
One love from 🇲🇿
Tutarajie shows wapi? Nanyinyi na steve
Jmn aliemsikia ndaro akikamuliwa ni ng'ombe tu apo😂😂😂😂
Hiiiooo nyimbo tuu...kwishaaa Mimi Stivo.Love from Kenya🤣🤣🤣🤣🤔
Hajra kaamua kuua ety na hizi suit zao unaweza sema hawa watu walifiwa wamelala apa matanga 😂😂😂😂😂