Rose Muhando - Waache Waende (official Video) FOR SKIZA TONE send 5969701 to 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 07. 2023
  • Hudba

Komentáře • 1,9K

  • @zipporaheric.
    @zipporaheric. Před 11 měsíci +86

    Nakuaminia mama!!!Hta mimi nimeshawaelewa......na nikaaaawaacha kabisa wacha waende......huyu mama ni unstoppable ♥️ wakenya Goga like tukisonga...mpka Katrend...No 1....

  • @user-gl3lh4ud6o
    @user-gl3lh4ud6o Před 10 měsíci +3

    Nakupenda saaana mama rose muhando wewe nanyimbo zakopia mungu akupe maisha marefu na nyimbo nyingine nyingi ili uendelee kuelimisha jamii love you so much mom❤❤

  • @verahmachuma8406
    @verahmachuma8406 Před 10 měsíci +1

    I'm a Kenyan but apparently watching from saudia,, Rose you are the best tangu nianze kuwatch nyimbo zako sijawai kujutia hata kidogo,,, but acha kufanya collaboration coz c wote wanaotafuta ufalme wa mbinguni wengine wako na agenda zao

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y Před 10 měsíci +1

    Ubarikiwe Rose hakuna wimbo wako hata mmoja usiokua namafundisho .live yanatutokea wengine baadhi wanayaona,daah mungu akuweke ,hata unapowaajili wattoto hao wanaotumbuiza shoo unazidishiwa aamin

  • @ruthnabie9547
    @ruthnabie9547 Před 11 měsíci +11

    Ah! Mama wewe Simba.....neema imekutosha🔥💯 utukufu kwa mungu #ajawaenda all the way Kenyan represented 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @judymoraamachongo99
    @judymoraamachongo99 Před 11 měsíci +213

    The queen herself you nailed it.. Team kenya wapi likes tukisonga🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PriscillaNgatu-go7rv
    @PriscillaNgatu-go7rv Před 10 měsíci +2

    The best and incompetable heroine Rose muhando ..as a mkenya I love your message through music..karibu Kenya nothing itafanya uokoke..hiphop ya gospel nkt!

  • @Smart5INFINIX-cq2cs
    @Smart5INFINIX-cq2cs Před 10 měsíci +5

    Si vizuri kung'ang'ania, wafagilie kabisa wengine watakuja wazuri kuliko huyo. Ukimlazimisha kubaki nawe, atakuua na kukuchimbia shimo akuzike kabisa upotee. Bora wakaribishe wapya wanaojua thamani ya maisha yako. Ubarikiwe sana mama Rose Muhando: japo ni ngumu, nikifikiria JUHUDI zangu KUPOTEA, nina IMANI KUBWA Mungu anaenda kuniJALIA ZAIDI ya yale siku kwa siku. Nisahau Maumivu makali niliyo kumbwa nayo katika upweke. AMEN AMEN AMEN.

  • @AnthonyNdolo-qb5ij
    @AnthonyNdolo-qb5ij Před 11 měsíci +220

    Hii nyimbo inafunzo nzuri tu sana, Rose Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakutambua.
    Wapi likes zangu❤❤❤

  • @sheilameg7038
    @sheilameg7038 Před 11 měsíci +5

    Wacha waenda wakanyage kubwa kubwa. Nate Mungu atakupatia wazuri. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💙💙

  • @henrymusyoki7016
    @henrymusyoki7016 Před 11 měsíci +12

    Simba wa nyimbo za injili amenguruma tena kwa utukufu wa Mungu❤

  • @judysondara7654
    @judysondara7654 Před 8 měsíci +2

    Queen of gospel tunakupenda sana frm 🇰🇪🇰🇪 our likes comes on to your way.........

  • @victoramanindeti5104
    @victoramanindeti5104 Před 11 měsíci +26

    Wow we are happy of you rose,,, always in Kenya tukisikia sauti yako tunapona 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samsonsibora8334
    @samsonsibora8334 Před 11 měsíci +70

    Wataumiza akili yako na kuchimba kaburi lako...Wooow!! what a message. Much love from Kenya. Likes za malkia zije.

  • @Murhabazizihalirwa-sb5vn
    @Murhabazizihalirwa-sb5vn Před 10 měsíci +2

    Mama Rosa unastahili kabisa sijawai kuona anae nibariki kama wewe ,Mungu akuzidishie kipawa

  • @dianaokenyuri7015
    @dianaokenyuri7015 Před 7 měsíci +2

    I love you mama 💞I don't how I can explain my love upon you I do love your voice ulibarikiwa nayo I believe one day tutaimba nawewe in Jesus name 🙏🏻

  • @esthertungani676
    @esthertungani676 Před 11 měsíci +4

    Amen mama i cnt trust anybody ...God bless you for good advice

  • @winnynangila9591
    @winnynangila9591 Před 11 měsíci +6

    ❤ eh on time, imagine kuna jirani alijifanya rafiki nikamtobolea siri zote nikawawapeleka hadi church sikujua ni wapelelezi, eh baba unikumbuke kwa jina la Yesu amen

  • @rizikilubula4078
    @rizikilubula4078 Před 10 měsíci +2

    Ubarkiwe sana Mtumishi wa Mungu Alice juu ! Sivizuri kungangania ! Wa acha waende Kabisa! Mungu ataleta watu wa takeover kufaa .
    1 john 2:19
    They went out from us, but they did not really belong to us. For if they had belonged to us, they would have remained with us; but their going showed that none of them belonged to us.

  • @madammartha
    @madammartha Před 11 měsíci +24

    Huwa naccomment but sijawahi ona mkinipa likes jameni..wapi likes Jameni ..hongera mama yetu Mungu akuongezee miaka mingi uishi Amina

  • @pamelamulongo2608
    @pamelamulongo2608 Před 11 měsíci +4

    Rose Muhando looking young and beutifull. Aki she is a living testimony. Wakenya tuko nyuma yako .

  • @Misheckjimmy
    @Misheckjimmy Před 11 měsíci +16

    Neema ya mungu izidi kukubeba Dada Rose Muhando,na huduma yako ipanuke zaidi👏

  • @noorksa6212
    @noorksa6212 Před 11 měsíci

    Nimependa hii ngoma waah God bless you so much rosemuhando you are search blessing watu wengine wanapata Amani wasikiza ngoma hii 🙏🙏🙏🙏

  • @user-qr7vb9vn2v
    @user-qr7vb9vn2v Před 10 měsíci

    Bigup Rose mhando nko Kenya bt Gospel Tz ndio zangu twende nalo mhando

  • @dangotekilonzo2632
    @dangotekilonzo2632 Před 11 měsíci +5

    Kusema kweli Rose Muhando ndiye Malkia wa nyimbo za injiri katika Afrika Mashariki❤❤❤❤

  • @dominicdomii3200
    @dominicdomii3200 Před 11 měsíci +3

    Nani atakubaliana Na Mimi kwamba mwamba Huyu can be a good actress of bongo movies🥰🥰🥰

  • @tonnyndundahse69
    @tonnyndundahse69 Před 11 měsíci +2

    Neema ya Mungu ikiwa juu yako hakuna wa kukuweka chini, zidi kupaa mama Mungu azidi kuinua, tunakupenda

  • @valentinawanza5347
    @valentinawanza5347 Před 10 měsíci +1

    Barikiwa sana mama unayewainua wengi. Na wambea waende kabisa

  • @tiboruhanga258
    @tiboruhanga258 Před 11 měsíci +18

    I thank you so much our mother for the great courage you have, every song of yours teaches me every day and listening to your songs I have learned so much 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @yvonnejoyce
    @yvonnejoyce Před 11 měsíci +12

    Amen 🙏 nice song waache waende much love from kenya 🇰🇪❤️

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Před 10 měsíci +1

    Msanii wa kwanza kupotea kwenye gemu afu kaludi Tena nakuongoza maan saiv Tanzania wote wa kike awe wa bongo freva au injili wawili tu ndo wnakimbiza chati zote zuchu na rose mhando 🔥🔥

  • @JOZ_WYNE_FOUNDATION
    @JOZ_WYNE_FOUNDATION Před 6 měsíci +6

    I started following your music since when I was a kid, and I grew up listening to your music.
    Though my Kiswahili is limited, your music still inspires.
    Blessings follow you...
    One love from South Sudan 🇸🇸 and Northern Uganda 🇺🇬

  • @reds8650
    @reds8650 Před 11 měsíci +10

    Loooveeee Rosie music 💃💃💃🥳🥳🥳! To God be all the glory 🙌🙌🙌! New revelations all days long! The beauty of having Our Lord Jesus Christ as your best friend 🥰

  • @margaretuno6225
    @margaretuno6225 Před 11 měsíci +4

    Kabisa waende,,singanganii tena...🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @selinaphilibert2023
    @selinaphilibert2023 Před 11 měsíci +4

    Rose mama yetu kazi yako njema kaza mwendo sisi ni waimbaji tuliozaliwa sasa tuko nyuma yako

  • @moreenoyugi2473
    @moreenoyugi2473 Před 10 měsíci +2

    Naomba nipate neema kama ya huyu dada jamani Mungu atukuzwe

  • @akanunukaihoora9673
    @akanunukaihoora9673 Před 11 měsíci +9

    Much love from Uganda 🇺🇬more yrs to serve God l have to keep this song on replay my neighbors has to listen it either by force or by peace ❤❤❤

  • @benjaminphilip1217
    @benjaminphilip1217 Před 10 měsíci +19

    This song touched my heart, wakenya wapi likes zangu🌹😍

  • @ateenyilarry2023
    @ateenyilarry2023 Před 8 měsíci

    Rose muhando u are always on top. Be blessed. Every time u come up with a soul touching song. Asante sana mama wangu

  • @michaeljuma5136
    @michaeljuma5136 Před 11 měsíci

    Ni kweli ukô Mujakazi Wa Mungu maman basi ubarikiwe tena Yesu a nakupenda sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🌹

  • @NjoroKare-ik8zu
    @NjoroKare-ik8zu Před 11 měsíci +8

    Muoto ka pasi, this woman of God never dissapoints, God bless you morewapi likes za kenyan first comment,,

    • @vansclassic2131
      @vansclassic2131 Před 11 měsíci +2

      Kiswahili back nduguzangu sabu nyimbo ya kiswahili

    • @pamelamulongo2608
      @pamelamulongo2608 Před 11 měsíci +1

      @@vansclassic2131 Wakenya Kiswahili Kilituramba. Tuvumilie Kaka.

  • @jolyne2008
    @jolyne2008 Před 11 měsíci +18

    Right music at right time queen of gospel she did it again much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @leasebariana
    @leasebariana Před 11 měsíci +1

    Cette chanson parlé par quoi je passe en se moment Même cause de mauvaise amie merci rose la chanson 😢😢😢😢😢 Mungu a kubariki saaa nawa acha kabisa

  • @CheerfulHighway-op8tf
    @CheerfulHighway-op8tf Před 5 měsíci

    ❤ amen 🙏🙏🙏 mungu akulinde mutumishi rose.umekuwa baraka katika maisha yangu nimejifunza mengi kupitia nyimbo zako.

  • @susanslife123
    @susanslife123 Před 11 měsíci +5

    This time round rose muhando it's your season God has really remembered you so big...bless the Lord

  • @nahumjohn6835
    @nahumjohn6835 Před 11 měsíci +16

    May this mom live longer to bless us with more songs❤❤

  • @johnmutiso6718
    @johnmutiso6718 Před 11 měsíci +3

    If given chance to choose my next generation artists and singer , then Muhando Rose 🌹 you will be the only I can choose , wapi likes za mama Rose !

  • @beatricekitapk2265
    @beatricekitapk2265 Před 11 měsíci +3

    I love this Woman since my childhood nishachezaga shoo kwe harusi. Wimbo wake wa Yesu nakupendaa, Amebarikiwa na hachoshi

  • @user-wg3ym9ov3j
    @user-wg3ym9ov3j Před 11 měsíci +34

    🇰🇪 kenyans show your love as usual

  • @Klein_klein254
    @Klein_klein254 Před 11 měsíci +27

    I just love how our beloved Rose Muhando present the gospel message...
    Usiwe na uwoga wa kumwacha aende... Pengine yeye ndio anablock your success...
    #waache waende

  • @israelmwakifwamba9393
    @israelmwakifwamba9393 Před 10 měsíci +1

    Israel mwakifwamba mwimbaji gospel mama Mungu azidi kukupa uzima ujumbe mzuri nime pata pia natamani sana siku moja niku shilikishe kwenye wimbo wangu maana nimuda sana natamani iwe hivyo je nita kupata je

  • @Alpha-lm5vd
    @Alpha-lm5vd Před 11 měsíci +5

    A million Subscribers, congratulations 🎉🎉

  • @tuliansibula4859
    @tuliansibula4859 Před 11 měsíci +17

    Rose you are a queen of gospel music ❤❤love from Kenya 🇰🇪

  • @dannykalex
    @dannykalex Před 11 měsíci +4

    First one here❤❤❤❤nipewe likes🎉🎉
    Tunafagia kwelii

  • @cypriankioko
    @cypriankioko Před 9 měsíci +1

    I think rose. Is the greatest gospel musicians ever existed in East Africa in 21st century

  • @mosesmwanzia8843
    @mosesmwanzia8843 Před 10 měsíci

    I like the song mama wetu rose tunakutakutabua mama hapa Kenya,wewe ni wetu kabisa

  • @mwendeessy8310
    @mwendeessy8310 Před 11 měsíci +28

    This is what we call good music always speaks of reality💓💓💓congratulations mum👏👏👏👏👏👏

  • @AliceLamwaka8672
    @AliceLamwaka8672 Před 11 měsíci +3

    Wish i would like this video more than once
    Wacha waende🎉🎉🎉🎉🎉
    Watching from UGANDA.🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @nzobendogeorgelucas3363
    @nzobendogeorgelucas3363 Před 9 měsíci

    Rose muhando Niko USUKUMANI nyumbani wamependa nyimbo hii ina inspire saana .

  • @PastorEmmanuelM
    @PastorEmmanuelM Před 7 měsíci +2

    Just with only 69 videos, she has a more than million subscribers, njooni watu wote muone vile mungu amefanya kwa malkia wetu rise muhando

  • @RoseNjau-fe1fv
    @RoseNjau-fe1fv Před 11 měsíci +5

    It's more than fireworks 🎇

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 Před 11 měsíci +6

    *Mungu ni Mwema Bwana Yesu Asifiwe*

  • @G.S985
    @G.S985 Před 10 měsíci +6

    Barikiwa Mama Rose,wimbo mtamu sana kuuskia ,nakupenda mpaka basi❤

  • @JacklyneOkumu-xz3xn
    @JacklyneOkumu-xz3xn Před 9 měsíci

    Aki queen 👑👑 hii ni funzo kabisa ..huwa wanibariki sana more gress mum🙏🙏🙏

  • @justinasyokau2020
    @justinasyokau2020 Před 11 měsíci +6

    BIG TUNE congratulation❤🔥🔥

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 Před 11 měsíci +14

    My Queen 👑 Of gospel music My Mother #RoseMuhando 😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @miltonkenga1497
    @miltonkenga1497 Před 11 měsíci +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪...lazima ipenye pasipo sababu...umepatia hapa mama...masinich niwengi tu

  • @brigidnaomi2786
    @brigidnaomi2786 Před 11 měsíci

    Rose dadangu nilipenda kibali Mungu aliweka ndani yako hadi leo hii na mimi ni msanii, Brigid Naomi

  • @mevinekerubo
    @mevinekerubo Před 11 měsíci +11

    More grace to our queen of the gospel mum Rose🙏🙏am real blessed with your songs,,,more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mercychepngeno4015
    @mercychepngeno4015 Před 11 měsíci +10

    Waacha waende kabisaa wanakuumiza bure.... Our great gospel artist from Tanzania we love you so much Rose Muhando...wapi likes from Kenya🎉🎉🎉

  • @berylnelima6078
    @berylnelima6078 Před 10 měsíci +2

    If vita za Kiroho was a person...hit after hit this one...🎉❤

  • @beatricegembo5452
    @beatricegembo5452 Před 10 měsíci +1

    Waaa ...nimekubali wee ni Simba jike👩‍🚒

  • @blesshenry713
    @blesshenry713 Před 11 měsíci +4

    Indeed cha Mungu hakipingikii. Neema imekubeba mum since day one. Praying for more grace ili uzidi kutubariki Nasi piaa.

  • @rajabmugo3882
    @rajabmugo3882 Před 11 měsíci +10

    Hallelujah hallelujah waache waende si vizuri kungangania, kama kweli unaamini Rose ni malkia, pita na like, wakenya hoiyeeeeeee 🇰🇪🇰🇪....

  • @stevemwaskenya9416
    @stevemwaskenya9416 Před 10 měsíci +2

    Huu ni uuku wa mbingu unafasiri siku tulizo...ni vywema kufahamu mnaokaa nao...Baraka ikufuate Rossy...KENYA

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Před 10 měsíci

    Jamani wewe mmama so amazing, Tanzania yetu jamani tuwenaupendo,Mungu ibariki Tanzania

  • @mercykamau4360
    @mercykamau4360 Před 11 měsíci +183

    This woman never gets old.... always the young Muhando.❤🇰🇪🇰🇪

    • @gladdyswakesho954
      @gladdyswakesho954 Před 11 měsíci +4

      Wallai tena. Ni Neema Ya Mungu. Ukimutumikia Mungu Hutazeeka 🤲🤲🤲💪💪💪

    • @catherinesarah6933
      @catherinesarah6933 Před 11 měsíci +4

      Kwa yesu hakuna wazee

    • @isacksimonmahungilo
      @isacksimonmahungilo Před 11 měsíci

      Mda utafika kuzeeka kupo

    • @isacksimonmahungilo
      @isacksimonmahungilo Před 11 měsíci +1

      Nyie tusilishane matango pol kama una nguvu mtumikie mungu kabla hajaja siku zilizo mbaya(uzee) uzee upo

    • @mosesmsigwa6272
      @mosesmsigwa6272 Před 10 měsíci

      Alikua hajamaliza kuleta kilichondani yake... Maradhi na binadamu walimrudisha nyuma. Amepona Sasa. Ataendelea alipoishia Hadi atakapozeeka. Kwa Sasa anaendekea alipoishia umri ni Namba TU. Akimaliza Kila alichotumwa duniani atazeeka. Kwa Sasa bado analipa madeni

  • @judiemem-dd9sd
    @judiemem-dd9sd Před 11 měsíci +3

    Be blessed mama for more years... Umetufunza mengi kupita manyimbo zako🙏🙏naomba utoe moja ya penda wazazi mwaka mpya 2024❤❤❤❤

  • @ElsieMakena-pf6wy
    @ElsieMakena-pf6wy Před 10 měsíci

    Rose nyimbo zako zinanibeba....wen am down ur song strengthens me sister...unajulikana mbinguni.

  • @gospelmissionsads2136
    @gospelmissionsads2136 Před měsícem +2

    Rose is the Queen of Gospel worldwide.🎉

  • @bronzehke
    @bronzehke Před 11 měsíci +10

    kama unakubali waache waende , bonyeza likes from 254

  • @dantan704
    @dantan704 Před 11 měsíci +19

    This woman amazes me everytime. How much talent is you Rose muhando coz you have my respect

  • @martinyahaya331
    @martinyahaya331 Před 10 měsíci

    😢 machozi ya furaha. Kazi nzur sana MADAM ROSE. MUNGU ALIYEKUINUA MIAKA 20 ILIYO PITA AKUZIDISHIE VIWANGO

  • @tarasila6148
    @tarasila6148 Před 5 měsíci

    Hallelujah..waache waende kabisa..God bless you mamaa..a powerful message kwa wambea wote🙏🙏

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 Před 11 měsíci +23

    Hii imeeenda viral wakenya au sioooo?💪🥳❤️🔥let's gooo!

  • @VinnieLagz
    @VinnieLagz Před 11 měsíci +4

    You are back after your collabo with SHIRU WA GP hapa Kenya🔥🔥🔥hi ni Moto❤ like za KENYA 🇰🇪

  • @Bensonmusyok38
    @Bensonmusyok38 Před 10 měsíci +4

    Muhando will never fail in everything she does,, she has been doing great in gospel industry,,hasizeeke nanamuhitaji Kila siku huyu naye ni bingwa yaani wa mabingwa wote

  • @trissahlwane9062
    @trissahlwane9062 Před 11 měsíci +2

    Support mama,hamna kama yy,, malkia mwenyewe❤❤❤❤

  • @josphatosodo5943
    @josphatosodo5943 Před 11 měsíci +3

    #TRM Good work rose..finally

  • @monicahpeter5978
    @monicahpeter5978 Před 11 měsíci +4

    Wuuuui woo congratulations mum let's gather here and give mum likes it's good to be friendly kuliko wanadamu unawasaidia wanakusengenya

  • @salientbeauty
    @salientbeauty Před 8 měsíci +10

    I've always listened to rose since I was a kid , Im so glad she's still singing may God continue to use you Amen !

  • @AnethEdward-nf6sc
    @AnethEdward-nf6sc Před 11 měsíci +2

    Nampenda, anajua kumchapa vibao shetani na mawakala wake.

  • @brianmutuku5648
    @brianmutuku5648 Před 11 měsíci +3

    Uuuuuwi our queen again 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤more love from England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

  • @christinemuhonja1186
    @christinemuhonja1186 Před 11 měsíci +8

    Wooow,nimekua nikiingoja hii video sana . congratulations queen 👑

  • @Annettepolomor254
    @Annettepolomor254 Před 10 měsíci +2

    Women in tuktuk just finished me😛, lessons learnt from the song..barki waende..POLOMOR🙏

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 Před 25 dny

    Amina dada Rozi wimbo upo na ujumbe mzur,,mbarikiwe wote tunaouskiza

  • @mr_kavila254
    @mr_kavila254 Před 11 měsíci +33

    Rose Muhando Is The Best there was. A talented song writer and a favored woman of God

  • @AliceLamwaka8672
    @AliceLamwaka8672 Před 11 měsíci +3

    Yes ma🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    This is timely😢😢😢
    I badly needed this after being disappointed😢😢😢😢
    God bless you mom🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mariajackson9558
    @mariajackson9558 Před 10 měsíci

    Aisee rose nakupenda sana hii nyimbo Dah umetufundisha sana 🙏🙏ubarikiwe

  • @charlesogolo4747
    @charlesogolo4747 Před 11 měsíci

    The song is really tough I like the song so much endelea kubariki wakenya, East Africa na hata ulimwengu mzima Rose muhando