ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA[Official Video] SKIZA send 5969698 to 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 01. 2023
  • Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
  • Hudba

Komentáře • 4,5K

  • @chachaali2255
    @chachaali2255 Před rokem +1549

    Rose Ni Malkia Wa Gospel Duniani
    Ukikubali Weka Like Tujuane✔️

  • @josephyofficial7772
    @josephyofficial7772 Před rokem +519

    Kama Unaamini Rose muhamdo ni Queen Kwa gospel dunia Mzima,,,weka like hapa,,,na share kwa mtu mmoja✔️✅

  • @emmakadi8534
    @emmakadi8534 Před rokem +21

    Kenyans in the house piga like tukisonga mbele...

  • @kennedykagotho5860
    @kennedykagotho5860 Před rokem +76

    Huyu rose muhando is on 🔥 fire. Hata Tanzania 🇹🇿 itie chuki, huyu ni wetu sisi Kenyans 🇲🇼. We already 👍 adopted her. Na hatumwachilii. Millions likes

    • @fj8317
      @fj8317 Před rokem +4

      haiondoi yeye kuwa mtz angezaliwa tz asingekuwa na kipaji hiki angezaliwa kenya angekuwa labda mwanariadha

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 Před 5 měsíci +2

      wakenya mnasema rose ni wenu lakini anayoyahubiri wala hamuyafuati nanyi ni mafisi tu..mpigwee🤣🤣..hata mlima kilimanjaro mlisema
      wenu

    • @JosephMukulo
      @JosephMukulo Před měsícem

      Kabisa,huyu mama nyimbo Zake inabariki sana ,Maulana ampe nguvu

  • @albertbyendatv7436
    @albertbyendatv7436 Před rokem +995

    Rose umekuja kivingine kabisa...🖐
    Kama kuna mtu anaona kama mimi ngonga like👍🏿

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 Před rokem +3467

    Wakenya kujeni hapa tufanye hii song I trend number one venye tlifanya secret agenda 🔥🔥 twende kazii🥳💓

  • @vanyactress1198
    @vanyactress1198 Před rokem +11

    Ooh my she is the real queen of gospel😊👸Kenyans in the house..... Any like nakam kuwatch tena please be my reminders by liking😅😘🥰🥰🥰love you all

  • @EdnaTwara1
    @EdnaTwara1 Před 27 dny +1

    What a song! Asante Yesu. It has been on repeat mode. Am here on 30/05/2024 and to me it's as if the song has just been released. Nitamwona Mfalme.

  • @Smithdaob1
    @Smithdaob1 Před rokem +289

    Kila ukinipa like narudi kuangalia Hii nyimbu nzuri❤️🥰✊🏼

  • @anitamwehonge8287
    @anitamwehonge8287 Před rokem +444

    Wangapi wamekuja huku baada ya kusikia kilio Cha Rose kwa Jose!!!! Songs mbele Rose wimbo mzuri sn! Mungu atakulipia

  • @tresorbetofe7348
    @tresorbetofe7348 Před rokem +17

    Mama mungu a kulinde sana kazi mzuri kabisa, pika likes apa juu ya yesu 🇨🇩✌️🇨🇩

  • @johnkiteme7580
    @johnkiteme7580 Před rokem +2

    Wakenya tutende mema ata tukilipwa na cheche za maneno 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️💪

  • @kebaroticatholicchoir4851

    Wa kwanza kuiona,wapi likes

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Před rokem +241

    Uuuuwi🥳🥳🥳👏👏. Malkia anahitaji nduru moja safi na makofi. Hii energy twanga like kama unamuombea asizeeke💪🏿😊❤️❤️

  • @theresathyaka7332
    @theresathyaka7332 Před rokem +51

    Kenyans are not jealousy .oneni jinsi tuna support waimbaji wa kila pande❤❤❤

  • @officialcantai5361
    @officialcantai5361 Před rokem +250

    Rose is more appreciated in Kenya than anywhere in the world....even when she was at her lowest point ...kenyans took her in like our own she is❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @redemptakimatu55
      @redemptakimatu55 Před rokem +6

      🤜🤛🇰🇪🇰🇪

    • @joygoko
      @joygoko Před rokem +7

      She is from Mt Kenya

    • @Theremazfamily
      @Theremazfamily Před rokem +5

      Perfecto! As they say kuteleza si kuanguka

    • @cindydaniel4086
      @cindydaniel4086 Před rokem +9

      She was completely let down by her country
      Kenya held her and gave hope , God made her stand and shine again
      The devil is a lier

    • @dadc
      @dadc Před rokem +4

      Rose, is most talented gospel artist. Amepakwa mafuta hang'ang'ani kuimba ju ya upako

  • @movierecapsswahili1042
    @movierecapsswahili1042 Před rokem +482

    Honestly .. Kenyans are the best fans and supporters .... Much love from tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @onyeomachinyeremaka6809
    @onyeomachinyeremaka6809 Před rokem +611

    *To that one soul reading this,GOD is preparing a table for you in presence of your enemies in Jesus Precious Name.Amen💗*

  • @betsydavid7788
    @betsydavid7788 Před rokem +1

    Rose umedumu kwenye injili... Neema izidi kukutosha mamangu😊✨💝💕

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 Před rokem +2

    Kanyaga Kanyaga adui woteeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @_mcmshindokei
    @_mcmshindokei Před rokem +44

    Huyu mama anaimba jamani duuuuh... Nilimiss sana hivi vitu vyake. Kama unamkubali Muhando Rosyyyyyyyy gonga like hapo chini kwenye comment yangu.

    • @sholapendo3807
      @sholapendo3807 Před rokem

      Yaaap

    • @Joymsaphie
      @Joymsaphie Před rokem +1

      ❤❤napenda Sana nyimbo za rose muhando....such a blessing❤❤from kenya

  • @Fondo0
    @Fondo0 Před rokem +71

    On board... Tubarikiwe sote. Team Kenya kujeni!

  • @user-fb4re9gw2o
    @user-fb4re9gw2o Před 8 měsíci +3

    Napenda vile huyu mtumishi anacheza na maneno.utukufu kwa mungu wetu ndio YESU

  • @ndanumwanziaj
    @ndanumwanziaj Před rokem +6

    Malika Rose, you quote bible so well, it reminds me of apostle Kyande. Taftaneni mtupee colabo injili isonge mbele kabisa ❤️❤️❤️❤️🙏

  • @samuelmwamba4825
    @samuelmwamba4825 Před rokem +138

    Kama mbaya mbaya acha itambe 🥳🥳🥳 Rose akiimba hata jua hutulia kusikiliza. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Joshua.Muia.TvShow
    @Joshua.Muia.TvShow Před rokem +93

    This Lady is on fire 🔥🔥🔥.
    Kenyans 🇰🇪 are camping here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @muiruribethuel2660
    @muiruribethuel2660 Před 11 měsíci +3

    Mungu azidi kumzidishia nguvu ya huduma

  • @mctikisa5316
    @mctikisa5316 Před rokem +46

    We Tanzanians 🇹🇿 loves the way kenyans are supporting our artists ❤️... We are in one ❤️

  • @ffflll6001
    @ffflll6001 Před rokem +70

    Wakenya wenzangu munipee likes za queen thanks be to God amerudisha nyota ya rose am blessed with your songs 🔥🔥❤️❤️ keep going rose

  • @victormatunda5013
    @victormatunda5013 Před rokem +314

    Us Kenyans approve that this is fire🔥🔥🇰🇪🇰🇪

    • @phoebeadikinyi3441
      @phoebeadikinyi3441 Před rokem +6

      Is this the video inasemekana ,meneja aliharibu ?sisi hata ikiwa giza,tutaifanya itrend,meneja,unayompangia mama wetu,back to sender,husikii akiimba,mungu ashughulike nao,atashughulikia walioenda kinyume cha huu wimbo,washindwe in Jesus name

    • @terencesang
      @terencesang Před rokem +3

      Wacha Mungu amshugulikie meneja

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 Před rokem +1

      @@terencesang amen

    • @annmulandi4842
      @annmulandi4842 Před rokem +1

      Sure!

    • @annmulandi4842
      @annmulandi4842 Před rokem +1

      Kenyans let's make this woman trend!!..

  • @espoirsaidibullionvan
    @espoirsaidibullionvan Před rokem +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩Rose vita ni ya bwana Director huyo ameyakanyaga acha Mbingu zishugulike

  • @MissReen
    @MissReen Před rokem +1

    Thankyou mom for blessing us on the mega crusade at ngong from 13th to 16th April 2023. May God forever increase your territories. Kweli nilibarikiwa

  • @annina569.
    @annina569. Před rokem +99

    Hivyo hivyo hata kama producer alilipwa akuaribie huu wimbo tutaisikza bado na tutaifanya i trend..kama mbaya mbaya..Rose you are the queen of the gospel

    • @Gaviana_1
      @Gaviana_1 Před rokem +2

      Can't get enough of this song

    • @rebeccakamande6015
      @rebeccakamande6015 Před rokem +2

      Aki...ata hakuedit aki... Aki ajuwe Mungu si mtoto wake

    • @robertkilaa
      @robertkilaa Před rokem +2

      Huyo Jose producer amemkosea Rose na wakristo wote...Watu ni waovu kweli

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 Před rokem +1

      Producer anajikuta learner, sijui anabifu na wacheza kwaya mana amewaficha kabisa wasionekane

    • @joskamangondu6511
      @joskamangondu6511 Před rokem +1

      Mungu atashungulika kama venye wimbo imesema ana bahati

  • @stellalochodo9163
    @stellalochodo9163 Před rokem +5

    Wale wanapenda Mungu hamnipendi,jameni?Basi kwa sababu ya Rose Muhando si mnipe likes jameni ?

  • @helvetasswiss4638
    @helvetasswiss4638 Před rokem +2

    Wameyakanyaga wacha Mungu ahangaike naooo powerful message mama

  • @kiokomuthui4574
    @kiokomuthui4574 Před 18 dny +1

    Good job rose may the living God bless you abundantly.. Last year God shown to me even preaching to his people within Tz..keep the fire burning God loves you and He is with you congrates 🙏

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Před rokem +320

    DEAR ROSE MUHANDO
    YOUR SONGS WILL NEVER GET OLD
    IT WILL BLESS OUR GENERATION PLUS GENERATIONS TO COME
    KENYANS LOVE U SOO MUCH🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪
    NIFIKISHENI 1K PLZ

    • @lucywairimu9695
      @lucywairimu9695 Před rokem +1

      Menemene tekeli peresi Amina Rose umbarikiwe

    • @victoriamima2547
      @victoriamima2547 Před rokem

      @The ironlady 254 done dear
      I'm your no 569
      Hit the notification bell ndo subscription isitolewe

    • @victoriamima2547
      @victoriamima2547 Před rokem +2

      @@lucywairimu9695 nipitie plz

    • @victoriamima2547
      @victoriamima2547 Před rokem

      @The ironlady 254 done
      I'm your no 569
      Hit the notification bell ndo subscription isitolewe

    • @terryscoffer
      @terryscoffer Před rokem +1

      Pitia kwangu nipitie kwako

  • @adelaidechemutai6434
    @adelaidechemutai6434 Před rokem +6

    Rose ni mkenya,ni first born wetu😂Good job

  • @festomnyamili5246
    @festomnyamili5246 Před rokem +1

    Festo Mnyamili wa Iyumbu Dodoma hakika Rose Muhando Ni malkia wa nyimbo za injili

  • @VictorMusyoka-iz1lu
    @VictorMusyoka-iz1lu Před 5 měsíci +1

    Weeeee is the ending for me weeeeee ata shetani hawezi kukaribia ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @_JMK0133
    @_JMK0133 Před rokem +47

    Kenyans lets gather here.,🔥🔥🔥

  • @freddiethecomediantv.1467

    Huyu rose sasa ndio muhando ...huyu ndio ule nikizaliwa alikua anabariki watu sai ana bless dunia....u r a real talent...wapi likes zangu though let..

  • @eliasedward5184
    @eliasedward5184 Před rokem +2

    ❤❤moto unarudi mahali pake ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu

  • @alicemucharia6538
    @alicemucharia6538 Před rokem +63

    Our Queen 👸 👑 has done it again 👏 👏👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Simba wa Gospel 🎵🎵🎤🎤

  • @munguanaishitv
    @munguanaishitv Před rokem +5

    Walio kuja hapa baada kuona TikTok Rosa muhando akilia video kuwa mbaya na watu kutoonekana piga like twende

  • @fransiscahenry3968
    @fransiscahenry3968 Před 4 měsíci +1

    Mama rose nakupenda sana sana sana yani naona hata maneno hayatoshi kuelezea vile nakupenda nataman Mungu wambingunu apande hii mbegu ndani yangu au hata kwa kizaz changu uko vizuri sana ❤❤❤❤

  • @iamnkirote
    @iamnkirote Před rokem

    Wenye walifikiri Rose ameisha , wako wapi sasa, wako wapi, wako Wapiiiiii?
    Rose amerudi kama radi. Kenyans love you sana Rose 🫶🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gracenekesa4858
    @gracenekesa4858 Před rokem +72

    God continue to lift you more high and you continue to bless our soul,Rose we Love you soo much us Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @manuellloy1661
    @manuellloy1661 Před rokem +214

    Rose is the only Gospel minister that will NEVER lose her relevancy. She's such a blessing to the old and young generation 💜💜💜

  • @mosjany
    @mosjany Před rokem +1

    Hapa kenya tunapenda Rose since 2000 we have loved her songs,,,,i love her bible knowledge

  • @bettykajuju6982
    @bettykajuju6982 Před 8 měsíci +1

    Dancers wa Rose muhando wamekanyanga vilivyo...wee❤❤❤😂😂😂

  • @enriquekings9099
    @enriquekings9099 Před rokem +183

    Born in TZ 🇹🇿 Adopted by Kenya 🇰🇪
    Much love and support from Kenya 🇰🇪

  • @rehema657
    @rehema657 Před rokem +136

    To those who will be there 2070 ,,just know that Rose Muhando was the best gospel artist ♥️♥️ during my childhood and now am all grown 😁🙏☺️

  • @valeriebunyoli126
    @valeriebunyoli126 Před 10 měsíci +1

    Ndio nimeskia leo kwa mix flani . Hii inafaa kutrend haki 🔥 🔥.
    Wacha iwe mbayaaa

  • @mdnt100
    @mdnt100 Před rokem +1

    Hata producer akuharibie video message ishafika na wimbo unabariki tena zaidi. It's inspired
    Mungu akuinue kiwango kingine servant of God Rose

  • @arnestnamayi2285
    @arnestnamayi2285 Před rokem +79

    My best song kwa zote, Rose has done it again 🔥🔥🔥🔥

  • @dvd1978
    @dvd1978 Před rokem +201

    99% of Kenyans will go to heaven.
    We are the promoters of Tanzania gospel songs.
    Nani wa kupiga?

  • @thengaruiyas8684
    @thengaruiyas8684 Před rokem

    Hivyo ndivyo tunavyo kanyanga mapepo ya magonjwa ya saratani, ukosefu wa fedha, umaskini, laana, uchawi, maroho ya mikosi, mauaji ya kihorera horera, maroho ya depression na kadhalika mwaka huuu 2023💪💪 ubarikiwe Rosii

  • @peninamanama8996
    @peninamanama8996 Před rokem

    I love Rose so much 🇰🇪🇰🇪in Bahrain 🇧🇭🇧🇭🇧🇭 🇧🇭 ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥 gulf unapendwa mama

  • @fiderismwendemwende5586
    @fiderismwendemwende5586 Před rokem +4

    Uuuui our mum rose amefanya Ile kitu, guys let's make it trendhere in Kenya, if you love the song gonga like tukisonga🔥🔥🔥🔥💯

  • @danielsosi1536
    @danielsosi1536 Před rokem +4

    Nimeamin naeza dance dancer ya madancer wa rose wanacheza God is good 🙏🙏🙏turinge na Rose kama wakenya

  • @waithirairungu6817
    @waithirairungu6817 Před rokem +4

    👍👍👍👍kama mbaya mbaya this will trend more than your other songs,,,,,,mama wacha mungu......tunasikiza message na sauti picha wachia producer ajipambe nayo

  • @WalterGwonda-tu3qu
    @WalterGwonda-tu3qu Před 9 měsíci +1

    Rose muhando is a servant of God, may God protect her and family too

  • @chosenfelixofficial8723
    @chosenfelixofficial8723 Před rokem +3

    Mama yetu heeee,wacha iwe mbaya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️🥰😍😘#TRM

  • @edithwanjiku2859
    @edithwanjiku2859 Před rokem +15

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪uibaji wako Huwa unanibariki sana♥️♥️

  • @Amjoyjoy
    @Amjoyjoy Před 11 měsíci +3

    Rose muhando the all world 🌎 loves you, am singing this song like crazy, barikiwa sana. Love from USA 🇺🇸 ❤️

  • @johnsonngumbau6130
    @johnsonngumbau6130 Před rokem +1

    Mambo yewezekana, yakiwezekana na bado yawezekana. Amen

  • @doreengakii7464
    @doreengakii7464 Před rokem +8

    Kenyans let's gather here like comments,The queen 👑 of gospel Rose muhando 🔥🔥🔥 hata wahiaribu we love her music so much, more Rose 🌹

  • @michaelmick3033
    @michaelmick3033 Před rokem +6

    Rose muhando you are blessed. Hii wimbo ni kazi kubwa ya mungu. East Africa you are the top. Watching from Qatar 🇶🇦

  • @user-py3nr2xo6m
    @user-py3nr2xo6m Před 8 měsíci +1

    Kabsa mtumishi wa mungu "Nami ni mwimbaji natamani nikutane nawe tuimbe nawe ntafutahia sana, je ntakupataje?

  • @Mwangangis
    @Mwangangis Před rokem +1

    Nilipenda nyibo za rose tagis utotoni Asante mama umenitia moyo kabisa Kwa viwago naigia pale

  • @nancyatieno9905
    @nancyatieno9905 Před rokem +3

    Tushaaanza Kenyans we love you so much Rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @tembarooney7899
      @tembarooney7899 Před rokem

      Wakenya nimewapenda mnapenda sana huyu mama yetu...mbarikiwe sana

    • @nancyatieno9905
      @nancyatieno9905 Před rokem

      Amen Amen nanyi pia mubarikiwe zaidi

  • @susangathogo1781
    @susangathogo1781 Před rokem +84

    This woman is back bigger and better. God really restores.

  • @NYOTAKUBWAOFFICIAL
    @NYOTAKUBWAOFFICIAL Před rokem +2

    Aki,wacha Mungu Ashughulike nao #maadui.Mungu Akubariki sana Malkia wa Injili!!!

  • @marywanyoike9790
    @marywanyoike9790 Před rokem +1

    Nipo saa hii huu mwezi kenya 🇰🇪 🔥

  • @PaulMuange
    @PaulMuange Před rokem +90

    Rose Muhando, you're a blessing to Africa... especially Kenya 🇰🇪 in particular...May God promote you from one glory to another...Be blessed!
    Love from Kenya 🇰🇪

  • @pearlynina7597
    @pearlynina7597 Před rokem +149

    This woman is underrated! Her passion for Christ.....is inspiring!!

    • @rakelwanjiku4843
      @rakelwanjiku4843 Před rokem

      Underrated?

    • @emmaamanda39
      @emmaamanda39 Před rokem

      Rose is not underrated at all by who she's among the best gospel artists in East Africa

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 Před rokem

      underrated???, then who's the best gospel singer of all time in east Africa??? , what is wrong with you??

    • @catherineloko923
      @catherineloko923 Před rokem

      She's not she's some few east Africa musicians signed by Sony in the past

  • @denommoja3536
    @denommoja3536 Před 6 měsíci +1

    Walai Rose mhando Mungu akubariki sanaaa na uzudi jutukuza Mungu🎉...l wish me piah ningekuwa na talent ya kuimbia Mungu❤❤

  • @gloriamrema425
    @gloriamrema425 Před rokem

    Tanzania wakiimba gospel kenya wananiambia ni mwaka wakupanuliwa 😅😅😅😅 much love rose 🌹

  • @godwellmudaki6429
    @godwellmudaki6429 Před rokem +16

    Another time I say rose muhando is a goat 🙏🙏🙏 I respect you more ✌✌ mummy💙

  • @mercybii4612
    @mercybii4612 Před rokem +6

    Eagerly waiting momma🥰🥰May God expand your territories,

  • @evajoyentertainment5395

    Jose alitumika kama ngazi ya Huu wimbo, itavuma kuliko penye mnatarajia!!
    Mungu Ni Nani!! Rose hii wimbo usilalamike tena, Mungu atainua kwa kiwango kingine!

  • @PaulSabayo
    @PaulSabayo Před 11 měsíci +2

    Huyu mama Ako pwa sana jitaidi kufany ikae pwa 🎉🎉🎉❤

  • @yazzagboy5443
    @yazzagboy5443 Před rokem +106

    The only gospel musician whose taste doesnt change... Rose Muhando is a genius songwritter and singer

  • @AncientWord1
    @AncientWord1 Před rokem +63

    From generations to genetations. God has restored you Rose for the glory and honour of his mighty name🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mwangipeter6786
      @mwangipeter6786 Před rokem

      so many , wrote her off from the gospel music but she came back strong 💪, continue blessings us

    • @margretnjambi6657
      @margretnjambi6657 Před rokem

      IT'S time to take action kama mbaya mbaya🤪🤪

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Před 6 měsíci +1

    shout out to Kenya..hawa watu walipewa jmni..its inborn which hasnt been corrupted; kindness. Mungu aibariki nchi yao jmni. ni watu wema mno. wakampenda mtu wetu na kumchukua kama wakwao

  • @robi7printing291
    @robi7printing291 Před 7 měsíci

    Thanks Go on MAMA maneno yako yanatenda! pia iwe nyo kwa kila mgeni ajaye africa kutenda ukatili kuwarubuni waafrica waendelee kukanyagwa mpaka watutupu

  • @christinahcutie688
    @christinahcutie688 Před rokem +6

    Rose amekuja na full force hit after hit 🙌 ✨️

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942

    Rose Muhando is indeed a hardworking artist. Ngoma safi! Kama mbaya mbaya! Wapi likes za Rose? #emmanuelbrownke

  • @7thestate777
    @7thestate777 Před rokem +1

    Please Malkia Rose redo this video to the standard vision God had placed in your heart and spirit.. let director jose atome🙏🏾 wacha Mungu ahangaike naye🙏🏾 this song was for Jose and other pepo like him

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 Před rokem

    Kama mbaya mbaya, wacha Mungu ashughulike nao, we 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love you mamaa, you're blessed ❤️❤️💃💃💃🔥🔥🔥🔥

  • @brianmusumba3969
    @brianmusumba3969 Před rokem +8

    I thought secret agenda is the best..only to watch this masterpiece 🔥🔥...oyaa... makofi kwa Rose🌹...afu Kenya twakupenda yetu yote

  • @Smithdaob1
    @Smithdaob1 Před rokem +4

    We love you from Nigeria 🇳🇬 sister sister🌹

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 Před rokem

    Rose huu wimbo wako wausadifu kile Yesu alichokisema! Maandiko Matakatifu yanatuambia usilipe baya kwa baya! sasa wewe unasema kama mbaya acha iwe mbaya, kama mbwai mbwai! Hiyo ni mipasho ya wadada wa mitaani wahuni wasommjua Mungu

  • @vincentmaluki9709
    @vincentmaluki9709 Před rokem

    Huyu Rose, acha tu. Tangu Nipishe Nipite hadi Kama Mbaya Mbaya 🔥🔥 she never disappoints. I love her songs. God bless and keep on uplifting this lady she is a blessing to many.

  • @janemarwa3023
    @janemarwa3023 Před rokem +3

    Hata kama Jose ulitoa video mbaya....bado nabarikiwa na wimbo....kama mbaya mbaya....Dada Rose God bless you never give up because of enemies

  • @eunicefavourofficial7725
    @eunicefavourofficial7725 Před rokem +87

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪 much love to the queen of music from Africa to the world .

  • @evanscalvine4637
    @evanscalvine4637 Před rokem +1

    Ci Uongo I love that woman others walikuja but went down hatasijui walienda wapi rose you're a strong woman who is protected by blood of Jesus y

  • @elizabethgichaga7511
    @elizabethgichaga7511 Před 11 měsíci +3

    Its beautiful. Keep hitting Rose

  • @florencemunyao4968
    @florencemunyao4968 Před rokem +3

    Wow I like it ❣️much love queen 🇰🇪🇰🇪