Christina Shusho - Password (Official Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 05. 2024
  • #ChristinaShusho #Password #SlideDigital
    (C) Relax Investment
    Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/christinashusho
    Written & Performed by Christina Shusho
    For Bookings: cshusho@gmail.com
    Follow Christina Shusho on:
    / christinashusho​
    / shushochristina
    / officialchristinashusho
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • Zábava

Komentáře • 703

  • @elphas25474
    @elphas25474 Před 27 dny +10

    Shusho huku Kenya twakupenda ❤
    Vile unavyoimba nyimbo zako❤

  • @emmahmaina3537
    @emmahmaina3537 Před 12 dny +1

    Shusho alijua siri ya kutembea Scoan Nigeria...continue shining mama ❤

  • @jacksonluvanda6762
    @jacksonluvanda6762 Před měsícem +4

    Tangia nlivyokuwa mtoto we use to listen your songs. nimejifunza Mengi nimebarikiwa sana. 2024 still i cant get enough. god bless you "PASSWORD"
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MUNYASTEHHOFFICIAL
    @MUNYASTEHHOFFICIAL Před měsícem +17

    A great message here, don't let your enemies discover your point of strength, they will use it to destroy you. remember Samson and Delila.

    • @MUNYASTEHHOFFICIAL
      @MUNYASTEHHOFFICIAL Před měsícem

      @@James-Jabari I got you, Never judge, thou ye be judged. Tuwachie Mungu part yake, ama waonaje

  • @user-my4wu9hb4j
    @user-my4wu9hb4j Před měsícem +6

    Nyimbo za injili Sasa hivi nibiashala shetani Sasa hivi yoko laivu hofu ya mungu imetoeka shetani ndie anatenda kazi

  • @simonkatana3864
    @simonkatana3864 Před měsícem +10

    Who is here to give like for the song WAKUABUDIWA by this madam .

  • @FrancisKNgigi
    @FrancisKNgigi Před měsícem +13

    As usual kenyans here we are.. Supporting raw talent ❤️🇰🇪❤️🥰

  • @user-xw5nf6gs9w
    @user-xw5nf6gs9w Před 10 dny +1

    Password chunga sana,wow Hallelujah 🙏

  • @agathamarura2427
    @agathamarura2427 Před 29 dny +2

    Mtetezi wangu Yesu anaishi Leo...mtetezi wangu yuhai🔥

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Před měsícem +7

    Watu wa mungu liombeeni hili jembe jamani lirudi Kule kwa mwanzo uku kwenye wozaa kwa diamond atoke kabisa

  • @annastaziakilangi4552
    @annastaziakilangi4552 Před měsícem +12

    Hapa sijakuelewa kabsa dada angu, hta uwepo wa Mungu kwa upande wangu haujashuka, imba nyimbo kama zamani

    • @MessiJosph-yw9gc
      @MessiJosph-yw9gc Před měsícem +1

      Kiekie password kiekiekiekie hii nyimbo ainagani

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 Před 29 dny

      Mungu kesha muacha huyu

    • @sethnsohoye1220
      @sethnsohoye1220 Před 24 dny

      😆😆😆😆😆😝😝 sasahivi anaimba imba tu hakuna utukufu wowote
      Paswade ndo nini hizo mambo

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 Před měsícem +28

    Dah, upako wote kwisha. Sasa nyimbo zimekuwa kama za zuchu tu

    • @sarahamri1620
      @sarahamri1620 Před měsícem

      Mwambieni kashaisha

    • @anthonykangara8021
      @anthonykangara8021 Před měsícem +1

      Send us a playlist of songs ziko na Upako? And also enlighten people on how they can know songs that have upako.

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 Před 29 dny

      Yaani kama unasikila Kiduku

  • @isaya9613
    @isaya9613 Před měsícem +17

    Mbona wewehujachunga mafuta uliyopewa namungu yamwanzo acha kumzoea mungu umepoteza kibali haupo sawa

    • @user-hm3ky2us1h
      @user-hm3ky2us1h Před měsícem +2

      Waah ww ndo uajuaga wenye wameishiwa n upako

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 Před 29 dny

      Uko sahihi Mungu keshachukua kibali chake amebaki tu na kipaji ambacho hakitamsaidia

  • @kkj84249
    @kkj84249 Před měsícem +2

    "UNIKUMBUKE" NYIMBO AMBALO WAKUMUPITA HAJAPOKUWA. SALAMU ZA KRISTO KWAKO.

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 Před měsícem +16

    Nyimbo zinafanana zote cyo hit ni mama yangu ila hakuna jambo tena

  • @pastorjoshuakaloki7047
    @pastorjoshuakaloki7047 Před měsícem +2

    Japo wengine hawajakielewa dadangu lakini nakuelewa , jambo la muhimu ni tuchunge tulichonacho asije muovu akakitwaa.....God bless you.

  • @ElimwemaSarwat-nb2fg
    @ElimwemaSarwat-nb2fg Před měsícem +2

    Uwepo haupo kabisa duuh...hebu linganisha huu wimbo na ule wa wakuabudiwa duuh nothing else here

  • @miltonmawewe5248
    @miltonmawewe5248 Před měsícem +38

    Let's Give Christina Shusho Her Flowers 🎉🎉🎊🎊 Very Powerful Song indeed#Password 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-dh3id9vh5y
    @user-dh3id9vh5y Před 11 dny +2

    Najikupendea mommy❤

  • @jephtahlemayian5837
    @jephtahlemayian5837 Před měsícem +7

    Thank you Christine Shusho ,you are an inspiration to many ,May God bless you

  • @priscahnyamohanga5652
    @priscahnyamohanga5652 Před 13 dny +1

    Mungu akubariki sana

  • @annmwangi9454
    @annmwangi9454 Před měsícem +16

    Repent and come back to God, upako uliisha dada

    • @gladysmaitha5724
      @gladysmaitha5724 Před měsícem +1

      waah hakimu.

    • @charlesotieno6001
      @charlesotieno6001 Před měsícem +2

      Umeiskia Zakayo?
      Rebeca je?
      Labda wewe ndiye unapaswa kurudi kwa Mungu....dada upako anayo!

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi Před měsícem

      ​@@charlesotieno6001unatumia msisimko eti ni upako,upako hamna angalia na nzawise wanavyocheza

    • @VictisBukutsa
      @VictisBukutsa Před měsícem +1

      I think hizo majibu zimekutosha wozaaaaa😂😂

    • @HellenOuma-td5ty
      @HellenOuma-td5ty Před 13 dny

      Judgement is not for us...Ur are doing a good job shusho....

  • @user-vq4xy3os5u
    @user-vq4xy3os5u Před měsícem +2

    May Grace be upon you usije ukashushwa nyavu za kidunia...

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 Před 7 dny

    Hallelujah 🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @olivermusiq1758
    @olivermusiq1758 Před měsícem +2

    This song is simple and a blessing.....i short anamaanisha usiambie ambie watu Siri zako

  • @realmoisebaraka
    @realmoisebaraka Před 28 dny

    Huyu mama kabisa simuelewi tena, achague kimoja, yaani aimbe nyimbo zakidunia ama amuimbie Mungu, hawezi yachanganga yote

  • @HansJotham-ht1ul
    @HansJotham-ht1ul Před měsícem +2

    Tumuombe Mungu amkumbuke tena.

  • @mildrednyambeki5417
    @mildrednyambeki5417 Před 29 dny +1

    Wueeh! Hadithi na Samson na Delilah, iko na ufunuo kweli wa ajabu. Mzee shusho amefanya kazi nzuri ya kukuchunga. Mungu azidi kumbariki. Nasi tuliumbwa Kama wasaidizi . Kwa ivyo yatupasa kusaidia lakini kwa delila,,, alitumia siri ya mume wake kumumaliza. Husikubali shetani aje kukuiba ivyo na kukutumia kumuangamiza mumeo aliyekupenda vile jameni,,,, from Kenya

  • @valelianmbuma493
    @valelianmbuma493 Před měsícem +5

    Mrudie Mungu mama

  • @kingdavid8800
    @kingdavid8800 Před měsícem +9

    Password...... alooohhh 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌... Be blessed MAMA ❤❤❤❤

  • @SarahNyambura-co4hv
    @SarahNyambura-co4hv Před měsícem +4

    Almighty father he is a promise keeper if you have a covenant with him he will not break it unless you break it

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 Před měsícem +19

    Dada angu asaivi uko kidunia sana izo nyimbo zako azinibariki kabisa

    • @MessiJosph-yw9gc
      @MessiJosph-yw9gc Před měsícem +4

      Kiekiekie password hii ni injili gani. Tofauti na nyimbo zake zakale, wakuabudiwa wakulinganishwa na wewe
      Hii ni nini

    • @sultanmswahilitv4864
      @sultanmswahilitv4864 Před měsícem +1

      Ebu tunga zako tuziskize

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x Před měsícem

      Hakuna kitu hapo

    • @neemamsanga253
      @neemamsanga253 Před měsícem

      wooozaaa🤣🤣🤣mwaka huu mpaka tuelewe

  • @TinaMwasekaga
    @TinaMwasekaga Před měsícem +3

    Bonge la ngoma wajina wangu❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @CANAANTZ_TV
    @CANAANTZ_TV Před měsícem +3

    Watumishi wa MUNGU tuendelee kuombeana, sio vizuri kufurahia mapito ya mwingine

  • @furahinisekumbo268
    @furahinisekumbo268 Před měsícem +3

    Password, Agano, Yote alimaliza, Hakuna na nyingine nyingi zilizopita tamu sana. Songs mbele ufalme wa mbinguni ni wa mtu mmoja mmoja. Be blessed more and more

  • @bembestarsedimonda2154
    @bembestarsedimonda2154 Před měsícem +6

    Ogera Sana dada yetu ❤❤ mungu hakubariki kweli nyimbo. Zuri Sana ni kwaniaba ya bembe capany tv online pamoja na bembe stars edimond 🙏 ✨️ 💖 🙏 ✨️

  • @faithmulandi9909
    @faithmulandi9909 Před 23 dny

    When God takes his holy spirit ,he never takes his talent... ENJOY

  • @elistarish
    @elistarish Před měsícem +1

    Wimbo uko vizuri sana,bg up

  • @user-do6ch1ti8b
    @user-do6ch1ti8b Před měsícem +1

    Barikiwa mtu wa mungu❤❤❤

  • @joyceshoo9822
    @joyceshoo9822 Před 28 dny

    Mungu wangu Hadi mashairi na kudansi kama Diamond! Bwana Yesu simama utetee watu wako.

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 Před měsícem +6

    Unaungana na diamond unapata Hadi wacheza step kwake. Wewe Dada unahitaji utubu urudi kwa Mungu, ulishapotea

  • @user-cr9ji3hv3t
    @user-cr9ji3hv3t Před 25 dny

    Mchungaji diamond kamharibu Sana dada etu,jaman hebu rudia kwenye mapito ya zaman naongea kwa kumanisha jaman hebu tusiwe chanzo chakumrudisha Tena yesu msalaban kwa Mara ya pili,mm nampenda yesu mm Ni msabato, MUNGU tuokoe Mambo ya utandawaz tuepushe nayo kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu,🙏

  • @kelvinsalasya8031
    @kelvinsalasya8031 Před měsícem +1

    Inapendeza hongera Sana 👏

  • @marynerima
    @marynerima Před měsícem +1

    Aty wozaaaa😮

  • @neemajohnson7508
    @neemajohnson7508 Před měsícem +3

    Woooozaaaaaaa😂🎉🎉🎉

  • @justinchengo4748
    @justinchengo4748 Před měsícem +7

    Chunga sana password 🔑...vitu zako za maana...usiambie watu hivi hivi... story ya samson na Delila 🎉🎉.. Barikiwa sana mtumishi wa Bwana.. Zidi kusonga mbele na injili ya Yesu Kristo 🙏🙏...wimbo mtamu sana

    • @MessiJosph-yw9gc
      @MessiJosph-yw9gc Před měsícem +1

      Injili iko wapi hapa, watu kuliko wayaongelee yale yesu kayafanya msalabana ati password kiekie

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 Před 12 dny

    Hallelujah 🙏

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi Před měsícem +2

    Christina Platinumz rudi kwa Yesu

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 Před měsícem +9

    Waah, password yenyewe,.. Na bwana Ana watch vedio zake kweli..... Amen ooo

  • @NestoryMisalaba
    @NestoryMisalaba Před měsícem +1

    uko nje ya reli dada!!!!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před měsícem +2

    Wimbo mzuri cha msingi ni ujumbe mungu akubaliki

  • @jinxwill-kk9dl
    @jinxwill-kk9dl Před měsícem +2

    A very good song. May God continue to shine His face on you Christina

  • @julyanashedrack2725
    @julyanashedrack2725 Před měsícem +11

    Watanzania mna kiwivu Kenya mpo vizuri sana Mungu awabariki

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Před měsícem +1

    Kristian ujawa kuniangusha ii Password nikali Sana🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏

  • @Cool-qj4rb
    @Cool-qj4rb Před měsícem +2

    Nguvu za diamond kamgawamyia na bado shusho Waja Kali mtaona kwa kipindi kifupi kijacho

  • @furahakabuje5422
    @furahakabuje5422 Před měsícem +2

    Very Powerful Woman Of God

  • @buildology101
    @buildology101 Před měsícem +2

    Hatari sana🔥

  • @Vinnyog873
    @Vinnyog873 Před měsícem +2

    Naipenda hii password ya Shusho 🎉🎉❤

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 Před měsícem +2

    Gospel of another level

  • @samkimani5426
    @samkimani5426 Před měsícem +1

    Mungu apokee sifa. Wimbo una ujumbe mzuri sana

  • @sueomondi
    @sueomondi Před měsícem +1

    ❤❤❤❤❤🔥🔥 Password

  • @fadjoskis7180
    @fadjoskis7180 Před měsícem +5

    Wa Kongo Lubumbashi, mupo 🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🔥❤️‍🔥🔥🔥 Nipeni like zangu ✊

  • @INSTANTREPOSTTV
    @INSTANTREPOSTTV Před měsícem +1

    waait, kwan ume reduce bodly kidogo au naona zangu, GOD BLESS ANYWAY

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 Před měsícem +1

    Marahaba dadaetu amewakilisha nchi yake 🇨🇩🙌🙌

  • @georgekaisha4628
    @georgekaisha4628 Před měsícem +50

    Ladha ya mziki wa kitambo ilienda wapi jameni?

    • @dfremac
      @dfremac Před měsícem +11

      Hapo nakusapoti Huyu MTU SKU hizi anaimba viti hazieleweki sasa password Kwa bibilia iko wapi KHA

    • @chrisbertrandnyamusa9549
      @chrisbertrandnyamusa9549 Před měsícem +12

      ​@@dfremac inaelewe vizuri tu , password ni ile siri ya nguvu za Samson .

    • @user-fe5ep7ff2o
      @user-fe5ep7ff2o Před měsícem +3

      Mungu atuonee huruma..huduma kwa Mungu uliisha

    • @faithkirsten5227
      @faithkirsten5227 Před měsícem +11

      I was looking for this comment,nyimbo zake za siku hizi hazina upako kabisa.

    • @user-sk5cq2wk3w
      @user-sk5cq2wk3w Před měsícem

      😢

  • @neattea6471
    @neattea6471 Před 20 dny

    Ni kama wakenya pekeee ndio tunaapreciate huku wimbo. Very strong and powerful message.....only the chosen few will understand.
    Keep going Shusho 🙏🙏 . Let them judge

    • @Kagomix
      @Kagomix Před 16 dny

      Mmmh chosen!!! There is Nothing to understand there

    • @neattea6471
      @neattea6471 Před 16 dny

      @@Kagomix okay Mr. Perfect

  • @sarahamri1620
    @sarahamri1620 Před měsícem +2

    Eshapotea mama sana rudi kwenye mstari

  • @salessliquor9519
    @salessliquor9519 Před měsícem

    Next ni amapiano big up producer teddy b

  • @Ngalaldos_dancers
    @Ngalaldos_dancers Před měsícem +7

    Kenya ndani ya password ❤❤😂😂😂😂

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Před měsícem +4

    What have I just hear woza" or what😢 huyu mwanadada nilpenda nyimbo zako za awali jameni rudi uimbe ulivyokua ukiimba huu mtindo wa muziki sio wako

  • @PacohMedia
    @PacohMedia Před měsícem +1

    Wooozaaah!!!!!

  • @juliusmakula1659
    @juliusmakula1659 Před měsícem +1

    Hongera sana Christina kwa wimbo wako.

  • @bahatideus8237
    @bahatideus8237 Před 26 dny

    Wee anayepondea nyimbo hii🎉 hajuwi mziki nyimbo hii nikali❤❤ mnoooooo yaan amebuni vinzr mnooo pastor christna piga kazi mama nakuelewa leo hadi kesho❤❤❤

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza Před měsícem +7

    Sawa mke wa Mond ngoma Kali inaburudisha ila haibariki

  • @annberry532
    @annberry532 Před měsícem +3

    Amen 🙏

  • @magga_v
    @magga_v Před měsícem +1

    Ngoma nikali love you shusho nita kuowa

  • @BukuruRusi
    @BukuruRusi Před 29 dny

    Duuuuh bado nashangaaa mim mwenzenu mungu atuhulumie wakristo wa leo😣😣😣

  • @MamadembeleLadouce
    @MamadembeleLadouce Před měsícem +4

    Waoooo nyimbo nzuli

  • @user-kr2mf8qi5t
    @user-kr2mf8qi5t Před měsícem

    Woozawooza, bachwee

  • @caromutia8738
    @caromutia8738 Před měsícem +1

    Wimbo mzuri sana christina♥️

  • @flavianndambuki86
    @flavianndambuki86 Před měsícem

    Mti wenye matunda upigwa mawe.....you are that tree keeping on pressing on
    The ways of righteous are full of obstacle
    Listen not to the voice of sonballat &Tobias .....God in the Heaven will give you success

  • @user-lu3zl9ty6f
    @user-lu3zl9ty6f Před měsícem

    Mwimbo nzuri sana

  • @kidotanne429
    @kidotanne429 Před měsícem +11

    Hapo kwenye Woozaaaa mh,jamani Album ya unikumbuke naielewa sana

    • @bonsondavid5756
      @bonsondavid5756 Před měsícem

      Kwan lugha inayotakiwa kuimba kwenye biblia ni ipi,kichina,kizungu au kiswahili?Wozaa,mbona neno lakawaida Kwan ametukana?????

  • @73nai
    @73nai Před měsícem

    Much Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-xw6uk9dc2i
    @user-xw6uk9dc2i Před měsícem +3

    ❤❤❤❤❤ From burundi munipe lik hapa

  • @busian5760
    @busian5760 Před měsícem +48

    Kenyans let's show our love❤

    • @CarolineNerima-bg1nh
      @CarolineNerima-bg1nh Před měsícem +2

      Are you mad, plz don't drug as in platinum bzness, ati Kenyans, unatuona wajinga sindio

  • @jenniferkimanzi1507
    @jenniferkimanzi1507 Před 27 dny

    Beautiful singing 🎉

  • @annnyambura4283
    @annnyambura4283 Před měsícem

    Powerful message.

  • @officialYvaH3232
    @officialYvaH3232 Před měsícem +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nyimbo ni nzur ujumbe pia kwakweli nimebarikiwa sana

  • @joanne3df
    @joanne3df Před měsícem +1

    Shusho ni vibeee🎉🎉🎉 zakayo Bado haijaload pia but wueeeeh hii mwaka❤❤❤

  • @user-wq2np3dm3d
    @user-wq2np3dm3d Před měsícem +4

    kiukweli nyimbo za zamani ndizo zinazonibariki sana🙏 wacha kwanza nikasikilize hizo then nifanye na maombi sasa🤗

  • @benjaminndonga5908
    @benjaminndonga5908 Před měsícem +3

    My password,my secret❤❤❤

  • @user-td3py9cv6m
    @user-td3py9cv6m Před měsícem +1

    Unaenda kubaya mungu akuokoe

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 Před měsícem

    Chunga sana Password.... nimeielewa sana hii nyimbo MTUMISHI... TUPE TUPEE DADA

  • @israeljacobz8349
    @israeljacobz8349 Před měsícem +3

    My all-time favorite good job Christina Shusho. #Password

  • @muasyairene7626
    @muasyairene7626 Před měsícem +8

    Sauti pekee imebakia but upako wa wimbo ziii.bure kabisaa 🎤🎤🎤🎤

  • @hellismtotowakifalme4009
    @hellismtotowakifalme4009 Před měsícem +2

    Hongera mama hii ndio password 🔑

  • @SylviaMwasaru-sd9ss
    @SylviaMwasaru-sd9ss Před měsícem +2

    Hit song

  • @Mercymagie966
    @Mercymagie966 Před měsícem +1

    Wow very strong 💪 and amazing massage about samson from kenya 🇰🇪 much ❤

  • @F.S.L.C.
    @F.S.L.C. Před měsícem +1

    WOW - VERY NICE DONE - THANK YOU GUYS.