UKHTY SAU - YALIOJIFICHA (Qasida Mpya 2023) Video_1080p
Vložit
- čas přidán 5. 03. 2023
- Welcome To The Official CZcams Channel For Ukhty Sau
📩 Do you need to make your celebration fun? this is the right time for you.
☎ Call / WhatsApp +255 779 354 988
📍Don't forget to - LIKE 👍 | SHARE 🤗 | COMMENT 💁 | SUBSCRIBE 🤓
Karibu Katika Chaneli Rasmi ya CZcams Kwa Ukhty Sau
📩 Je, unahitaji kufanya sherehe yako iwe ya kufurahisha? huu ni wakati muafaka kwako.
☎ Piga / WhatsApp +255 779 354 988
📍Usisahau ku- LIKE 👍 | SHIRIKI 🤗 | MAONI 💁 | SUBSCRIBE 🤓
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 © 2023 𝑫𝒊𝒓𝒆𝒄𝒕𝒐𝒓 𝑶𝒏𝒆.𝒕 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. - Zábava
Mashallaaaa!!!!hapa uliimba,ujumbe mzito mno,Hadi machoz wallaahi
Assalaamu alykum. Ukht sau uko vzr maashaallah kweny kaz zko
ما شاء الله تبارك الله مبروك الف مبروك
Mimi nataka unitolee kaswida mojakali nitakulipa
Ibakieee chuk na hasad tuu au km wako km iyo kasda piaa watajijuaa
Kazi nzri
mashaAllah ukhti sau
MashaAllah
Bismillah mashaalla mashaalla hakika ujumbe mzuri alla awahifadhi team ya ukhty sau
Shkrn sn kipnz
Nzur asante kipenz
Masha Allah ukhty sau wnirdhxha xna ktka kaswidah zko zote..Allah akuongze ktka njia zko zte...
Marshall
Hakika haya yapo kwenye familia zetu
Mashallah mashallah mashallah hongera san kwa kwel hun mpizan
Ujumbe umewafika jamia
Shkrn
Mashaallah kasda mzuriii ujumbeee mzr
Ukht sau namba moj na ukht dida kwa kucheka namba mbil🤣🤣🤣🤣
Siku nyingi namesbria ladha mpya..ila umekj na chombo
Maashaallah
Masha Allah ukhty sau nimekuelewa.
Asnt
Kasda imetulia mashallah namuina dida alivonenepa mashallah
Jazzakallah kheira ukhut sau ..
Ujumbe mzuri sana kaswida nzuri sana. Razd moja kali sanaa
Ukhti sau ww nizaid yawao wallah
Ww hatar mung akulindee tuuu .nataman sana kaz zak nazipenda sanaaaa
Asnt
Masha lwaah kasida tam sanaaa inaujumbe mzuri alwah ampe maisha marefu Sau imenigusa sanaaaaa#
Mashallah ukhpt
Mashallah
❤❤❤❤
Mashaallah hakuna hata msomaji mmoja anae kuweza Ukhty Sau more life kipenzi cha watu
Shkrn
Mashaallah kipnz ukhty sau ❤
Shkrn
Sau ww ni kiboko bwana watake wasitake we ni hiv 🔥🔥🔥💋💋🥰
Asnt
Following from Mombasa Kenya
Mashaallah ukhty sau
Shkrn
Mashallah
Allah akujaalie Uzma uendelee kutupa Raha inasisimua Sana hii haichoshi kusikiliza
Mashaala mdogo wangu uko vizuri kwenye usomaji wa qaswida
MASHA allah atusaidie kweli ndio mtupu haya kwa saivi ee mola tusaidie allah akulinde akupe umri mrefu wenye kherina faida kwako
Maashaallah kpz uko sawa ❤
Mashallah ujumbé mzuri saana wenyeé ukweli
Dad sau umependa unafanan na hiy nyimb yak jamn
mambo sau nakupeda
MASHAALLAH UKTY UJUMBE UMENIGUSA MOYONI UMENIUMIZA NA KULIZA KWANI FAMILIA NYINGI KWA SASA TUNAPITIA HAYA MTIHANI NAMUOMBA ALLAH ATUONGOWE NA KUTUONGOZA INSHAALLAH
asnt,,, inshllh kw ste
Ammin kwasote pamoja
❤
Masha Allah ukhty sau,Allah akzdxhie ktka mafnzo yko ujmbe umfkie kila alo muislm..pia nkuhmiza hifadhi qur'an tukfu kma unavyhfdhi hzo kaswidah..
Maa Shaa Allah wana wa Shamsia Mahonda.
Allah akuongozeni ktk kheir zake In Shaa Allah kwa kuendlea kutupa ilmu kupitia qasda zenu.
All in all,Ukhty SAU nakpnda sana kwa ajili ya Allah.
Mashaallah ukhty sau.
Mashallah Huna mbaya
Asnt
Mashallah ukhty sau
Shkrn
Ver nice
Wew n shabki mkbw w kwnza ktka kuckiza kaswidah zko..thn wpi ukhty diyda mwpza xna ktka sauti zenu na pia mnao mvto w asli masha Allah❤❤❤
Good
Bismillah Mashallah
Shkrn
MashaAllah Allahu bakir Ukhty 🥰🥰🥰
mashaAllah ww ndie ukty ninaemfwatilia kwa umakini maana qaswida zako ziko na mafunzo Allah akuzifishie InshaAllah
Mashallah nice qaswida na ujumbe mzuri kwa familia shukran Mungu akuzidishie na kukulinda na hasad In Shaa Allah
Amiin Amiin Amiin kw ste
Mashallah ukht wng💋
Asnt kipenz
Mashaallah ukhti sau, hakika kaswida Ina ujumbe
Ukht sau huna mbambamba
🎉S
Mashallah Allah awajalie kher msomaj ,director na mtunzi yupo makin Sana kila mda antupa kitu roh inapenda hongera kwake 🥰
Asnt... amiin amiin yrbil alamin
Mashallah pongezi kwa ujumbe mzuri
Mashaallah nimeipenda ujumbe umetufika
Mungu awape kheri kwa kaswida nzuri
Hii kaswida haipiti siku cjaiskiliza😋
Sad reality
Ukhti sau nimevumilia kwakwel huna Baya ukifa huozi dah mashallah🥰
Masha Allah ukthy sau mungu akubareke❤❤❤❤
Asante sau
Mashaallah daa sau mwenyezi Mung akuzdishie kipaj chko
Mashallah ukhty wetu kipenzi allah akueke uendelee kutuelimisha
Asnt... amiin
Mm ni shabiki mkbw xna wko ukhty sau,😂kwng wew no 1 thn nxt ukhty Didya Allah awaongze nyte n mfaulu ktka ylomema
ukhty saw upo tayari nikuchukuwe dubay ukafanye shoping ya unachokitaka . kwa kweli nakukubali sn mamyy wangu.
Ahahah asnt .npo tyr
hongera yko dad umejitahid sana by shayukha from konde PBA
Ndugu zanyu
Ukhty sau Kama ukhty sau hii qaswida nimeingoja sana jamani finally😍😍😍🥰👌
Ahahaha asnt
MashaAllah 😍Nakupenda ukthi sau
Asnt
Nakuupenda sau mno
ASNT
Mashaallah ujumbe mzito Allah atufanyie wepesi kwa kweli
amiin amiin amiin
Mashaallah imenigusa Sana hiyi qaswida umetufikishia ujumbe tutaufanyia kazi ushaallh
Dah yaani ukhty sau ,kwahakika napenda sana kaswida zako kwasababu zinaendana na yaliyomo ktk jamii yetu .Yani unafanya vizuri sana kwakweli hii kaswida imenigusa sana Allah atufanyie wepesi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
AAAAASAAAAAAAANTEEEEEEE JMNIIIIIIIIII WEEEEEEE
Nawe pia ukhty endelea kuifunza jamii tarajia malipo kwa allah s.w
Kwa hakika ukhy Sau wewe daima unacho kifanya unakijua. Na ndie msoma kasida pekee kwangu mimi ambae nakupa heshima ya kipekee kwa sasa nafasi yako ni kubwa na ukumbuke mtu mkubwa ndio hukumbwa na makubwa ila nakwambia ukikumbuka ulipo toka na sasa ulipo utagundua kua uzidi kua mkubwa
Asnt sh issa #nmekuelew
mashallh mashallh laza ya kaswida na ujumbe mzto allh akukinge na hasad
Mashaallah habiby wa moyo wngu ujumbe wako umetufikiya Na Inshaallah tutaufanyiya kaz hongera sana ukhty sau nakupenda hadi bas jaman kila sekunde ya uhai wangu nakuombea dua Allah akuweke akuzidishiye maujuz uzidi kuukumbusha umma na kwa uwezo wa Allah atakulinda na kukuepusha na kila aina ya husda atakae kukusudia ubaya utamrudia mwenyewe na utazidi kung'ara na kipaji chako🤲🤲🤲🤲💗💗💗💗🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Asnt tukopmj
Ishallah usijali tuzidi kumuomba Allah atuletee wepesi haya yapokwetu soto ila tusichoke kumuomba Allah
Inshallah tumeguswa mola ewe nawe awe nanyi amain
Mashaallah ukhut sau
Maashaallah hakika ni kaswida bora na niyenyekufunza weng ktk family zetu
Yaaan sau mashaallah huna baya mama nakupenda buree yaan ww unajua mashaallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asnt
❤❤ mabrukh ! Mabrukh !
Ujumbeumenigusa kwenye kidonda mimiiyo mitihani ninayo wezanguhawakonamimi
Iwtkia mapma sauum makbul wa Ramadhn kareem insha Allah ❤❤❤
Mashaallah ukhty sau kaswida pambee mungu akupe afya njema na akulinde na shutma zote za walimwengu saut pambeeeeeee my
asnt,, #ashura inshllh kw ste
Mashallaah ila kaswda nyingne musiimbe kama taarabu hazina hata utulivu hii yaleo iko vizur
Yani kama ume nisome yamie
Mashaallah, shukran Sana ujumbe umeufukisha kwa saa na wakati, Allahu Hafiz you and your team.
Assalam Alaykum Warahmatullah wabarakatuh Ukhty Sau.. Ukweli Huu Ujumbe Umegonga Nyoyo Na Hisia Ya Kila Mwnye Imani..
Hii qaswida ni nzuri Sana kwa kweli,,, na pia ni ukweli MTUPU, hakuna udugu tena sikuhizi ni majungu matupu ktk Familia za Sasa,, kwa kweli ni mtihani, Allah atusaidie na mitihani hii ktk Familia zetu
Nikwel kbsa
Mashallah nampenda sana huyu ukhty
MAASHAALLAH UKHT SAU
Shkrn
Mashallah iko vizur ujumbe umefika
Mashaallah nimeikubali hii na inatuhusu sana
Mashallah hakika ameimba vizur sana
Mashallah qaswida nzr. Sauti ya taratibu 💖
Mashallah maneno ya qaswida quantu kweli kabsa
Masha Allah ujumbe mzuri
Masha Allah Sau you are always maintaining your stand and originality...you are really the mentor to be admired ...May Allah bless us....#Your brother from Kenya🇰🇪
🙏🙏🙏
Asante bro upo kenya sehem gan
Mombasa mostly