RUNGU ZITO KWA MWIJAKU, ATATAKIWA KULIPA BILIONI 5 KUMCHAFUA KIPANYA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 06. 2024

Komentáře • 110

  • @muddymiusic1624
    @muddymiusic1624 Před 8 dny +10

    Nimeipenda hii iwe fundisho kwa wengine kuropoka ropoka

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Před 8 dny +3

    Unaweza ukawa umesoma sana ukazidiwa na ambae hajasoma ukimwona mwijaku utajua hamna kitu kichwani Kwa sababu Mr kp ni mtu mmoja2 mstaarabu sana maisha haya yanaitaji kumueshimu Kila mtu na hekima na busara ni siraha tosha Bora at baba levo cio uyo chachandu mwekeni ndani azid kuwa kama mkaa awe na simile na watu cio Kila anaemuona ni boya kama yy kakutana mwamba kp

  • @Zenny89
    @Zenny89 Před 8 dny +8

    Mimi Ndo maana nampendaga BabaLevo…yeye ukimsema jibu lake ni “KWANI KUNASHIDA GANI!!?”🤣🤣🤣

  • @user-sc7ev1wh9u
    @user-sc7ev1wh9u Před 8 dny +5

    Mwijaku anamiliki nyumba ya bilioni 1.5 itabidi mwijaku amwachie nyumba masudi kipanya😅😅😅😅

  • @Mgema001
    @Mgema001 Před 8 dny +11

    Whozu ft mbosso and billnas
    Song; AMEYATIMBA
    😂😂😂

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 Před 8 dny +1

    Anapenda sn sifa,alianz kumchokonoa tajiri Mo,mamae zake alipe tu.Kubwa jinga linapenda sn sifa maku uyu

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 Před 8 dny +3

    Mwijaku wenu huyu nilisha sema njaa ndiyo tatizo na kujipendekeza ili aonekane anajua mimi uwa simpendi

  • @nizarmomo4293
    @nizarmomo4293 Před 7 dny +1

    Daaah bilion5😂😂😂😂
    Ivi lisu atalipa ngapi kwa rais?
    Kweli bong mpo vizuli kwa kujiongeza 😂😂😂😂😂

  • @samkoka3
    @samkoka3 Před 8 dny +3

    Hapa mwijaku lazima ulipe pakubwa ata kama wakikuonea huruma utatoa hela nying snaa kaka

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Před 8 dny +2

    Amezoea kumtukana Mondi anakaa kimya! Alijua atawachafua wote! Domo linaponzaga kichwa!😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 Před 8 dny +1

    Mwijaku ana msema sana dotto magari pia, Baba.

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 Před 8 dny +1

    Safi sana
    Peleka jela hilo kubwa jinga

  • @athumanimhanga2053
    @athumanimhanga2053 Před 8 dny +2

    Mwijaku amezoea kuropoka anajifanya kila kitu anajua 😂😂

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m Před 8 dny +1

    Mwijaku AISE umeyatimba kaka punguza sifa zako mwisho utakuwa mubaya shauli yako hivi familiya yako watoto wako watabeba nn kutoka kwako au watajifunza nn kwako punguza kulopoka

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 Před 5 dny

    Mtaka kutajirika mamae zenu😊😊

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 8 dny +2

    Tatzo amezoe sana uchawa alikuwa anatafta sifa serekalini

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 Před 8 dny +2

    Kumanina zake ameyatimba mwijaku

  • @filbertnyoni2352
    @filbertnyoni2352 Před 7 dny +1

    Tunaosema wakili anaenda mbele na kurudi nyumaa huku akijichanganya like za kutosha hapa

  • @WilliamZahabu
    @WilliamZahabu Před 6 dny

    Mungu ame mlipa hadija kopa alimzalilisha sana huyu mama 🙏

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 Před 7 dny +1

    Iwe fundisho kwa mwijaku

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 6 dny

    baba kp shikilia apoapo usipunguze spidi pita umoumo mpka ajambe mbuzi uyo. si kazoea kupalamia watu mara hii kapalamia mtubwi wa vimbwengo😅

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 Před 8 dny +2

    Masudi asante sana, kijana hana adabu kabisa na pesa zinapatikana kwa urahis... inampa nguvu sana kudhalilisha. masudi is so smart' na mwelewa sana.
    Kijana amekua too much.!

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny +1

      Yaani Masoud sema chochote nitakupa! Kwa hili umenifurahisha, kumbe ndio maana limekimbilia kuomba msamaha, mtie adabu huyu pimbi

    • @mr.yahzadochuno7914
      @mr.yahzadochuno7914 Před 8 dny +1

      Huyu mwijaku anatia aibu nchi yetu yaan anabwata sheria ichukue mkondo wake iwe funzo

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Před 6 dny

    Mwijaku ame zidi shenzi sana huyo

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Před 6 dny

    tuko pamoja baba kp. tumnyooshe uyo kinega. mfute kabisa kwenye ramani ya ulimwengu tusijue kabisa kama kuliwai kutokea kijusi kinaitwa mwinyaku. mmyeeeeee

  • @abdallahkambangwa7215

    duuh kaz kweli kweli

  • @stevencharles-di9yc
    @stevencharles-di9yc Před 8 dny

    uyo mwijaku mwongo m naimani amezidisha ujuaji ila najua ata yeye alop anajutia

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Před 7 dny

    Acha kuatarisha Mwijako pesa hana yeye njo wakwanza kukosewa acha mitisho TZ inchi ya sheriya

  • @jacksonmasoud3205
    @jacksonmasoud3205 Před 8 dny

    Saafi wakili Msomii,ila the fact that it is libel does not accrue from the written form of statements rather the permanent form of them.....

  • @samkoka3
    @samkoka3 Před 8 dny

    Hapa umeyatimba kwa kwel mwanasheria yuko seriously sana yaan hapa hakuna maigizo kabisa kijana mwijaku sema mama atakusaidia

  • @macroziannalyimo1808
    @macroziannalyimo1808 Před 7 dny

    Msm seand kumbe ndio jamaa yuko hivyo

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Před 7 dny

    ile house imeend

  • @judithtitomalyeta4000

    Mzee anataka apate pesa patanisha acha kukuza jambo wangapi wamesemwa vibaya hutukisikia Kigomaa

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Před 8 dny

    Ukiweza kuthibitisha Mahakamani kuwa maneno ya udhalilishaji yamekupa hasara ya kifedha ukiachilia mbali athari zingine, bila shaka Mahakama itatoa hukumu kuwa umedhalilishwa na hatimaye utapata fidia. Hivyo Mwijaku ajiandae kufilisiwa.

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 Před 8 dny

    Bwana masud nipigie simu mimi mwijaku simpendi nimuongo sana

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny

      Yaani nimefurahi sana, hili pimbi little adabu

  • @RoseMtupa
    @RoseMtupa Před 8 dny +3

    Yeye mwenyewe chawa atazitoa wapi hizo b 5

  • @doreenkweka3869
    @doreenkweka3869 Před 8 dny

    Hapo hapo sawa

  • @user-sc7ev1wh9u
    @user-sc7ev1wh9u Před 8 dny +1

    Masudi usipo mlipisha mwijaku bas takuchukia Sana😅😅

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking Před 7 dny

    Kwani Kipanya aliongea kitu gani kibaya kuhusu Mwijaku mbaka Mwijaku kumsema maneno mabaya kiasi kile? Mbona kp aliongea maneno mazuri tu 😢😢😢 imenisikitisha sana aisee

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 Před 6 dny

    anafkir kila m2 ni diamond
    SIMBA yeye hua anapuuza lakin wengne
    wako serious😂😊

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 Před 8 dny

    Mwijaku amezidi kuropoka ropoka yan utadhani sio mwanaume.)))Kwa maua sama ulifanya uropokaji ambao baadae ukakucost ukaomba radhi yakaisha saivi tena kwa masudi duuhh ujifunzi wewe ushughulikiwe Asa kwa mujibu wa sheria

  • @chire4574
    @chire4574 Před 8 dny

    Iyo ni cinema tu....nothing more

  • @omarikhalfan1079
    @omarikhalfan1079 Před 6 dny

    Nitashangaa kesi ikiishia hewani😂

  • @user-tl6zt6dv3c
    @user-tl6zt6dv3c Před 8 dny

    Ame yatimba yaani mpka akome msenge sana mwija

  • @user-tl6zt6dv3c
    @user-tl6zt6dv3c Před 8 dny

    Uyu mwana sheria hata mfunga mtu ...na uyo mwijaku aki logwa aombe lazi.....kaisha

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 Před 8 dny

    Saf sana.na mlipe bila kusamehewa

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y Před 8 dny

    lisemalo lipo nakama alipo basi linakuja inaweza kua kweli au uwongo sisi atujui ila labda ana ushaidi maana mpaka mtu mzima afikie kusema ivyo maana yake anajua alicho kisema awezi sema maneno kama hayo bila kujua ukweli

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 Před 6 dny

    anafkir kila m2 anapuuza kama diamond😂

  • @saidimega9615
    @saidimega9615 Před 7 dny

    Huyo jamaa anaejita mwanashelia ni mpuuzi tuu anazani ndio itakuwa njia sahihi ya kupata utajili

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd Před 8 dny

    Yaan apo ni swa uwambiwe unafungwa miaka 300 ila sio kifungo cha maisha😅😅😅😅

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Před 8 dny

    Ndio akome kamzidi sana

  • @babuwajinaommy725
    @babuwajinaommy725 Před 8 dny

    Acheni njaa nyinyi mawakili njaa nikweli or sio kwel masud my brother for given him please

  • @issapagali1330
    @issapagali1330 Před 8 dny

    Kwa kusemasema wanaume wenzake hivyo sasa huko Makkah alifuata nini😮

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Před 7 dny

    Huyo kipanya tangu azaliwe alishawah kuiona au hata kuigusa tu kwa vidole vyake hiyo billion 5 mxuuuu😏

  • @djmaxmnyamaglobal7744

    Laaaana izo za kuhama hama media

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Před 8 dny

    Hakuna suala ilo njaa tu wameona kile kijumba ndio anakinyemelea tu. Hakuna faini hiyo Bilioni 5

  • @geographyteacher.2961

    Tunapokuwa katika taasisi moja si kigezo cha wewe kunishushia heshma. Funzo tuheshimu kila mtu kwa nafasi yake na hata mawazo yake ilhali tu aliyoyatoa hayakuathiri, KP nampa hongera kwa hatua hii na naendelea kujifunza mengi kupitia yeye.

  • @jeremiahmsangi8215
    @jeremiahmsangi8215 Před 8 dny

    AKIIJIBU HIYO BARUA HASA HAYO MASWALI YALIVYOTEGWA,NA AKAKIRI NI UZUSHI,BAASI HAPO UCHUNGUZI NA UPELELEZI HAUTACHUKUA MUDA,HUYU JAMAAA ANGEPASWA HATA VYOMBO VYA USALAMA,VINGESHAANZA NAYE KULIKO WALE WANAOZUIA MAANDAMANO YAKINA LISSU , MWABUKUSI NA KINA ASKOFU MWANAMAPINDUZI.

  • @danielKitomary
    @danielKitomary Před 8 dny

    We mnasheria unachelewa usiongee na mwijaku tena panda kizimbani

  • @Worldunite
    @Worldunite Před 7 dny

    Hata billion 6 atalipiwa, sbb ni chawa wa watu maarufu😂😂😂😂

  • @user-qk1iv2is9f
    @user-qk1iv2is9f Před 8 dny

    Wakili naomba namba zako unisaidie

  • @injili90
    @injili90 Před 8 dny

    Apunguze mdomo Sasa maana anaongea bila kutazama nni anasema

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp Před 8 dny

    Mfungeni amezoea ujinga mwanaume mzma kushobokea wanaume wenzake kazi yake kumsema kila mt km vile shoga alokosa soko

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews Před 8 dny

    CCM kesi hana mwijaku

  • @YangaNews
    @YangaNews Před 8 dny

    Wakili mwenye unang'ang'ania nn sasa

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před 8 dny

    Maskini mwijaku ndio tumemkosa hivo

  • @user-mf9bj5uo8b
    @user-mf9bj5uo8b Před 8 dny

    Atauza banda lake analoringa nalo na bado deni

  • @dianafredrick8830
    @dianafredrick8830 Před 8 dny

    Duuuh

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 Před 8 dny

    Bwana alipe iyo billion 5 ili tuone

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Před 8 dny +2

    Kipanya usichukulie poa. Issue alizoziongea ni hatarishi au dangerous kwa Taifa. Inatakiwa atiwe adabu kama Siprian Msiba alivyotiwa adabu na Membe kwa kuropoka yasiyofaa. Asicheze na Maisha ya watu. Imeniuma sana kwa Ally Masudi kupoteza deal mbalimbali.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 8 dny

    Hivi Msiba aliishia wapi

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Před 8 dny

    Kumamayo b5.unazijua wewe kpanya ata m10 hana atamweza chawa wa taifa analipwa hadiii na nchi huyo panyaa aache hiyo kaziiii yakuiba unga

  • @SEBASTIANIMAZIGO
    @SEBASTIANIMAZIGO Před 8 dny

    Kiukweli simzungumzii vibaya mwijaku wala simuombei mabaya hila msingi awena mipaka kwenye uchawa wake maana hata maua sama aliambiwa ni malaya

  • @YangaNews
    @YangaNews Před 8 dny

    Kwahyo hizo bilioni 5 mnataka za nn

  • @user-vz4xj2ci2w
    @user-vz4xj2ci2w Před 8 dny

    bilioni tano jamani mbona rungu la kimataifa jmani hahahahah uwiih

  • @Kibudu
    @Kibudu Před 8 dny

    Kayatimba😂😂😂

  • @DoroselaBijandi-os9bn

    Kutoa bilioni tano si bora tu mninyonge

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Před 8 dny

    Sasa izo bilion 5 atatoa wap golofa lake bilion 1

  • @vintz338
    @vintz338 Před 8 dny

    Mwijaku kayakanyaga😂😂😂😂

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu Před 8 dny

    Uchawa umezidi mipaka.

  • @damasmassawe3601
    @damasmassawe3601 Před 8 dny

    upele umempata mkunaji

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 8 dny

    Anajifanya mjuaji sana! Mshughulikieni pimbi huyu!

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Před 8 dny

    Akome kuropoka

  • @vero57
    @vero57 Před 8 dny

    Akauze gorofa lake

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 Před 8 dny +2

    Kwa mnavyoona Mwijaku ana hiyo B5???

  • @Esquire266
    @Esquire266 Před 8 dny

    Si Jana Tu ameomba msamaha au kumekuaje?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před 8 dny +1

      Kuomba radhi ni kudhibitisha kosa. Acha tuendelee nae.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny

      Baada ya kuandikiwa barua

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny

      Aliambiwa aombe radhi kupitia maandishi!

    • @Esquire266
      @Esquire266 Před 8 dny

      @@judyngowi391 Ila hawawezi kumpeleka Mwijaku popote.Anajuana na wakubwa serikalini.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny

      Kwahiyo hao wakubwa serikalini wataenda kumtetea mahakamani!

  • @vero57
    @vero57 Před 8 dny

    Mwijaku, anapenda kuongea sana kujisifia vitu vya kijinga, utakoma sasa Mwijaku una muiga mange kimambi????

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 8 dny

      Yaani walikomeshe hilinpimbi silipendi

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 Před 8 dny

    KAMA UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKE
    Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara
    Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanaume mwengine. Wanaume wengi huona kama hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache nayo ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali, au kuwahi haraka kufika kileleni yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu.
    Sasa kama unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipaniki nimekuandalia Elimu nzuri ya kufanya utatuwe hiyo aibu hapo hapo nyumbani kwako bila ya kwenda hospital
    Katika somo hilo nimeleza jinsi ya kufahamu saikologia ya kufanya kuwa mshindi mechi zote kitandani nitumie ujumbe
    Tuma ujumbe neno AFYA BORA kwenda whatsApp namba 0784161431 nitakutumia Audio ya suluhisho bila malipo yoyote.

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Před 8 dny +1

    Hapa mwijaku kayatimba