ANAPITIA MAISHA YA MAUMIVU SABABU YA KOVU LAKE | SCARRED
Vložit
- čas přidán 9. 09. 2024
- ⚠️CREDITS:
Watch Full movie on : PRIME VIDEO
Movie name : SCARRED
Genre : Drama
Year : 2023
Follow us :-
Instagram-www.instagram....
Tiktok- tiktok.com/@e7bits
Follow KONKA on Social :-
Instagram-www.instagram....
Tiktok- tiktok.com/@izkonka
Kama unamkubal e7-bits konkaa a.k.a zee la kuton zee la town... gonga like hapa tujuanee
Wuuuuuw🔥
Nnalo kubwa sana mpaka leo,halinitesi tena nimepata mume ananipenda sana na kovu langu kubwa.❤❤❤
0h naleo nimechelewa lisaa limoja t. Ila sio mbaya tunapata burdan na mafunzo ndan yake. Maua yako brother 🎉🎉 love you. Mwaaah.
Hii niya moto 🔥🔥 sana , naomba like zangu jamani 🇨🇩
Hii ni sauti ya naniiiiiiii aweeeee likes kwa huyo mwamba E 7bits siku tumshangazee kagonge like kama badoo hujafanya hivyo sidhani kama nahitaji kuangalia tena muvi yote, mzee kaikamua utamu wote 😍😍😍😍😍👏👏👏👏
Leo wakwanza me naomben like zang
🙌🙌🙌
Makofi mengi kwa KONKA👏👏
Asante sana
Sanaaaa boy
Hatri
😂😂😂wengine tuna makovi ya moyoni to😅😅😅mioyo inaumizwa kla cku😂😂
Nina kovu kwenye MDOMO wa chini karibu na kidevu sio rhs kuona dahhhh ni noma
leo like yangu ya kwanza bwn. kila siku nyie tu
🙌🙌
Jamani mpak nilikumic ❤😂 Wakwanz leo like zangu 😂
Chukua 🙌🙌
Tunaomb utuwaishie jomon zee la chui zee la town
Mimi je kummisije kama baby wangu😅
om i
hibbp5
i0😮l😮p
Mzur sanaaaaa
Yani ndani ya dakika 4, umesha Pata views 120 🎉🎉ongera Sana
Bro unajua sanaaa.... 👑
Kunamakovu mengine hayaonekani wazi bl yapo ndani yetuu na hatuwezi yaondoa japo tunajaribusanaa kufunikaa❤❤😂😊
Walete tuu 😅😅😅neno ilo ndo nalipendaa
Nina matatizo ya ngozi namshukuru Mungu amenipa mwanaume anaenipenda hivohivo
Shukrani sana❤movie nzuri ❤
🙌🙌🙌
Mm wa 32 jamn😂😂
🙌
me naisi Kwa tZ tuko tofaut snaaa yni mtu akiwa na kasoro Kuna Ile jicho Moja Tu umeangalia uka kausha ila uku ad mtu anajua kua wananishangaaa tusiishi hvyo ujafa ujaumbka
Kweli
@@hemedkadili6934 ww ndyo umekuwa mshindi kwangu
Ur no
@@hemedkadili6934 vip cjakufaham hpo kwenye hyoo sikwelii
Nayuu09@@hemedkadili6934
Uko vizuri sana na sauti Yako inabamba kinoma
Watu mko WA moto sana
🔥🔥🔥
Mchumber napenda sauti yko, like comment nijue km unanipenda pia
Vp
Hiii movie niliiyon niliitamni kuiyon kwako ❤😊
😂😂😂😂😂Apo Kwenye Walete Sasa 😂😂😂Ndio Napendaga
😢😢wezetu wapo mbele sana
Hatari
Bro Saiz unachelewa kutowa daaa tunaomba uwe unatuwaishia 🙏🙏🙏🙏
Jmn dj wetu🎉maan jana tuliboleka😊🤗
Oyaa Konka ulikuwa kimya sana kwema mzee fanya uzidi kuwaleta
Naomba uichambue movie inaitwa.. UNKOWN ya mwaka 2011 kaka unajua sana.
E seven bits you were born for this nina soda yako🎉
Nina kovu mkono wa kulia niliungua chai nilivo kua mdogo na halijaisha mpaka leo hii 😢 hua navaa nguo za mikono mirefu ili kulificha mana kila anae liona ananiulza nimefanya nini
Duuuuh poleee saaanaa but badooo we mremboo saaanaaaa
Kwaiyo
Pole dear
Kama mm
Hi
Kwakwer cna kovu ila nmejikuta nmepTa kidoti y ukubwani ju y jicho nakipenda atr❤❤😂
Nic movie tia taree bas
Nilikumiss konka😊😊❤❤
Am back
Umetixh❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
Jmn pitapitq yangu nimekutana na hii story uwiii nimeipenda mpk nimesabscab hii chanel❤❤
msijali jaman kama muonekano wako unaona unakovu au sura unaona mbaya muonekano sio uzuri moyo ndio kila kitu maana hata fenesi topetope stafeli na doriani jinsi yalivyo hayo matunda huwezi dhania kama yatakua ni matamu kwahy jiamini
🎉🎉🎉🎉
Leo nimekuwa wa wakwanza 😂😂LIKE LIKE 10 asante mwamba tunainjoi tuuu unajua sana ❤✌️✌️✌️
Wuuuw🔥🙌🙌🙌
Ya moto😍
All the way from TikTok ❤
Nice
Hatari sana
Unajua san
😂😂😂😂😂nnalo kwenye kalio dahh linaniboa ila ni la urithi🤣🤣🤣
Keep going my brother and sister
Unacherewa ku2pa utamu bro❤❤❤❤
Oi umechelewa kinoma man adi Kuna mtu anajiita E7max😂😂😂😂
Hongeraaaa unawezaaa sanaaa
Wa Kwanza mm leo
🙌🙌🙌
Sina kovu ila mwili wanipa insecuty nikiwaza kitambi na manyonyo 😢😂
Jiamn mum kuna wengne wanapenda vbonge kkubwa subra tu
Usijali mpenzi mm pia kibonge nyonyo hilo ila napendwa acha na ninajiamini❤
😂😂😂😂safi sana@@user-ge7jy1cm1m
Napenda unavyo sema walete tu😂😂😂😂
Wa kwanza
Hongera
Kaz nzuri
Unalaza sana kaka alaf ukija kutoa unatoa moja tuuu
Inyam xan bro
Mzur
Kali kinoma zela
Nimekumiss pia
#Kimu_Dalla hapa all the way from KIGAMBONI tupo pamoja kaka…
Kuna majamaa wanajita E 7 max hawakufiki mjuba bro salute sana
Wale ni wapumbav
Nakubaliana na ww bro
Me wa kwanza naomben like zanguu❤❤
Jamn nimekua wa mwixho😢
😂😂amara wa Paula na marioo
Acha nilieee tu maana kuna sehemu umenigua mpaka sasa nalia tu Dah maisha hayaaa
Siaminiiiii mimi leo
Mnachelewesha Sana wazee
JAPO KUWA NIMECHELEW LAKIN NIPENI LIKE ZANGU 🙏
Hongera
Sema bro me nakubali sanaa kazi zako
Wa 98 naomba like😊
Nzurii hii stor
Wow
watu ni noma jaman mie nimechelewa
🙌🙌
Nina kovu Shavun sipendi kila mtu anavyoniuliza ulikuwaje au wanadhani ni ugonjwa but nipo Sawa nimelizoea nimeishi nalo miaka mingi
Ninamshukuru mungu sinaga kovu ila nna kialama cha kuzaliwa mkononi na sio rahisi kukiona
Shukran
Kali sn
Keep going
🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉
Unyama kweli kweli konka
Naomba like
Wow nimependa msaada movie inaitwaje
Walete2 na kovu lake😂😂😂😂😂
Daaah nimechekewa sana leo😅😅😅 ile bonge la story
Oa e7 bits unajua bro
Jamani jina la movie
Milikua nakovu mkononi niliungua na uji watu wengi walikua wakinishangaa
Hata mm
Pole amara
Mitihani ya maisha
Brother @konkaa Naomba unipigie huu mzigo wakuitwa (INCARCERATED) wa 2023
😢😢😢😢na sisi tulio zaliw na kizaliw tunatowaj kinaniumiz san af kip us mzm 😢 cheus
Waka.nzwa frim kenyaa
Waoooo Mee apaa kwenyee nyusii ninaa kovu niliangukaa mtonii jiwe likanikataa ila alionekani kiivyo😊
Matatizo kila binaadam anapata pole amara❤
Jamani pole sana dada
god
Hadi raha