Nampend baruti km mdog wang yani wanafanana sn weupe sura mpakakimo dah kaise duniani wawili wawili kwele utafika mbali my kaka 😍😍✌🏻✌🏻👌pia nawakubali wote tim nzima 🤗💕💕👌
Duh hii muvie imenigusa san yaan naona kabisa kama nimetungiw mm duh jojo nikipengele kwakwel tunamajojo wengi sana uku mtwara nawakubari sana kaka zangu😰😰😰😭😭
Huyu Mkojani anaeza kufanya ukasahau stress zote wallai....hongera sana😂
Tin bhana eti mimi nimepanda ndege bule daah nyie noma aise big up
Nzuli San kamaunamkubali kojan like zako
Baruti hujawahi kunikosea hata siku moja kwa nyimbo zako ,,,hasa ileee nimefeli wapi daaah 💖 piga kelel TINY and mkojani
Brother km unayo ile nyimbo nitumie
Nampend baruti km mdog wang yani wanafanana sn weupe sura mpakakimo dah kaise duniani wawili wawili kwele utafika mbali my kaka 😍😍✌🏻✌🏻👌pia nawakubali wote tim nzima 🤗💕💕👌
Uza ule kopesha ulale njaa daaah,,!!misemo ya nagwa noma
Oyh powa sana
Mchakamchaka chinja alisema hadija
Aisee mumetisha sana waun wa nagwa mumependeza movie kinoma
Wasanii mpoo tusiwo wajua na hamtaki kaz nyengne
Njoo mwanangu nagwa DURBAN NATAL 🇿🇦 wanao tupo 🤟
Uzur wa movie zao unaweza kuangalia hata ukiwa na family 😂😂😂
Kunywa soda ulipo 2ma namb nikuwekee unajua kutoa point sana nimekukubali100%
Kiukwl huyu barut anajua kuimba San.... Mtoen awe star nyimb zke nzur san
Nqkubar mwamba yupo vizur
*FROM MOMBASA KENYA KAMA KAWA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰
Nawependa jmn nyie ndo mmenifanya nianze kuangalia movie za kibongo Mungu awainue
Mpoooo vizuri Sana Sina budi kiwasifia wote
Aise brdha njgwa nkukbar sana kalbu mwanz
Uza ule kopesha ulale njaa like it
Mtu mpak mam yake anauza chini gong like
Hahahaah waliuza maji ajentinaaaa unauponza ww
Mmetufany turudie Tena kuangalia movie za kibongo wallah mko vzr tunawakubalii
Nice movie! Nimeipenda.
Wataalam wa hizi kazi
#100%
nakukubal bro kwaku litangaz kabila let wakojani 💕💕💕💕💕
Nmekubali.. Nmeanza kukufuatilia Mkojan.. Umepevuka sana ktk uchekeshaji
Na mfike mbali zaidi
😂😂😂😂😂😂😂Eti harmonize kanguka na kamba 🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah baruti nakupenda bure
Sana mabrouther achien vyuma mi nakubal kazi zenu mafundiiii
Duh hii muvie imenigusa san yaan naona kabisa kama nimetungiw mm duh jojo nikipengele kwakwel tunamajojo wengi sana uku mtwara nawakubari sana kaka zangu😰😰😰😭😭
Endeleeni Kukomaa Mpaka Bongo Movie Ipotee Kabisa Wazee Wa Kiki Wale Kaz Mbovu.
Nagwa kafunika sana humu
"6 na 9 zote namba foyauti mageuza" 😊
😊😊😊kweli Tin nimekuona Copenhagen kipindi ulichofika Danmark adi Aalborg umefika.
Nkubar san mkojan
Dah movie kali sana nmeipenda kwakweli akina harmonize wameanguka nakamba
Tini kwa uongo nakubali
Nmekaa sana mauholanzi
Nawakubali sana
Mko vizur nakubali
Hii ngoma inaitwaje
Nawakubali sana Allah awasimamie wallah🙏🙏🙏
Nawakubali sana mkojani....tin white na nagwa....muko juuu🥰🥰🥰
Poreni na kumutaja diamond saaana na hawezi kubasapoti 🙈🙈🙈🙈mutegemeye mungu tu atawabariki musitegemeye binadamu mwenziyo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi nzuri
Mambo
Nakubali baluti
Dah hh mkojan unaongea 🤣🤣🤣
Mkojaniiii dah! Umeuw
More bless blood @nagwa ckuping since day 🇿🇦
Filamu nzuri Sana nimeipenda
Nakubali mkojani
Xaf xana
Jaman mkaka anaimba huyu😋😋
Hey
Nipo Kama kawa
uyo kijana❤huimba bahna
Waooooii Quality Nzur I Sana Mmejitaidi
Noma sana👊👊👊💯💯
🔥🔥🔥👌
Barut unajua kuimba
Ila JoJo mzuri sana
Kama umesikia mwanza Kuna satu gonga like 😂😂😂😂😂😂
Umefany nirudie kusikiliza 😂😂😂😂😂😂😂😂satu hiyo kwiyo
Jaman tiny white, mkojani nagwa na naruti nawakubalii from mexico
Wa kwanza leo
Nice work
Harrier lexus ile nyuma yenye kijiburuji 🤣
🔥🔥🔥
Jamn mm naitwa shaban naomben angalau nifanye kaz nanyny mana mm napenda kuigiza plz naomben sapot yen u. Ila barut m nmemkubal huy nizaid ya daimond
Barut zaid ya diamond ? ww acha kuzingua ww ximba unamjua ww
Kwakweli nimeimenda tu sana👌👌
Yaani nawakubali sana nyie ndo mmebaki wenye bongo movie yenu hapo tz
Sharaut sanaa kwen
Nice
Mkojani balaa
Duuh mkojani noma San big up
Hahaaaaa akin harmonize mara waanguk na kamba dah huy kibok mkojn 🤣🤣
Iko Sawa
Dahhhh Dogo Anaimbaaa Utaam Sanaaa
Tin ni muongo haraf yuko serious
Nakwambia mbingun haendi huy🤣🤣🤣
Daaa\aaah jamaa ni muongo sana alaf uongowake upo kama ukwel hyo ndio tin bhn
kalii
Kali sana
#imeweza sana
Sure mwana kulifind mwana kuliget .
Nimejua kucheka eti kwetu kuna weusi watupu😅😅😅
Mkojani Kenya tunakumaind sanah
Move akiwa Mkojani na Tin haiboeshi kabisa
Baruti mwenyewe mwee😋
BARUTI NAOMBA COLLABO NA WEWE ASEE UNAJUA
Big up mpo vizuri vipi chocho ame olewa
Nahic mkojan ni Zaid ya president king majuto
Upo juu San mkojan
Ngoma nagwa mhuni haswa😁.. ula ula usambe mbelenye miaka mingi hatujafilimba ulembe...
msela ni wewe
Nzuri Sana
Safi sana quality nzr big up kwenu wote
Panga kwetu toy tu😁😁
Safi sana iiii
Yaani huyu mkojan mim namkubali sna anajua nin anafanya
Poa sana
Mkojani ananipa raha Sana wallah 🤣🤣🤣
Nakubelieve mpk naumwa 😂😂😂
Mkojani upoje lakini
Barut big up unasauti Kali duuh
Baruti anajua nahii movie inamuhusu sana
Et Mara waanguke na kamba😆😆
Weken basi na hiyo ya Mkojani,Tin na Mau
Eti sikapend😀😀😀😀
Dub domo la tin white bange bange. Anamoka sana.
Mkojani umetishaa