Thee Pluto & Truth Watchdog Drama Takes New Twist - Are They Beefing??

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 11. 2023
  • #nicholaskioko
  • Zábava

Komentáře • 414

  • @TWDMEDIA01
    @TWDMEDIA01 Před 6 měsíci +6

    thanks Kioko for having me , its funny on Kenya ukweli iko na jina mpya inaitwa wivu especially from lowself esteemed Kenyans who have given up on themselves and rae left to watch and admire online lifestyle, kitu hamjui ni what goes on when cameras are off, wacha ni nyamaze

  • @Cedric72
    @Cedric72 Před 6 měsíci +10

    I used to hate him nikithani ni wivu but vile alianza kukuja na edivance this guy is born DCI I love what his doing

  • @sharonkhayosa162
    @sharonkhayosa162 Před 6 měsíci +27

    Huyu mzee nampenda bure , aliokolea madems wengi sana wa gulf

    • @EdithmumbuaKioko
      @EdithmumbuaKioko Před 6 měsíci

      True . nilikuwa namchukia lakini nikaanza kumtrust

  • @Bodyclean544
    @Bodyclean544 Před 6 měsíci +12

    Our CZcams DCI ❤❤ TWD we trust you men...tulikulwa pesa manze but alitusaidia

  • @lucywanjira5481
    @lucywanjira5481 Před 6 měsíci +25

    Watu waachane na thee Pluto, baba Zoey may God protect u from ur enemies 🙏

  • @loboi1042
    @loboi1042 Před 6 měsíci +24

    Let people live their lives, so you want the guy not to enjoy his money if he has it???

  • @janetmwende7988
    @janetmwende7988 Před 6 měsíci +19

    I like this guy but I just don't get why he choses not to monetize his channel. It is an opportunity to make money while sensitizing people, Like how does he benefit from not monetizing it?! Why sleep on the opportunity.

  • @faithkasweetie4661
    @faithkasweetie4661 Před 6 měsíci +5

    mimi siwezi comment kitu hapo juu ukweli wote Pluto ndio anajua whether he's faking or not nikondeshwe na kabedsitter kangu

  • @Antonysimiyu2
    @Antonysimiyu2 Před 6 měsíci +6

    truth watchdog forever madnze huyu jamaa amenihelp sana

  • @MungaiWinfriend
    @MungaiWinfriend Před 6 měsíci +8

    Inshort so long as your in this universe utaikua in peace people will always trying to conquer your feelings and happiness so its u to b across to God and tell Him to give u courage

  • @annahlivingstone7834
    @annahlivingstone7834 Před 6 měsíci +6

    Kila mtu ashughulike na maisha yake.. Mwenye anaumwa aende kortini lakini sio kwa media

  • @JoelNjane-gs3ij
    @JoelNjane-gs3ij Před 6 měsíci +7

    Keep exposin' em'!!...

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 Před 6 měsíci +48

    I just love the honesty with this guy ,keep telling them bro

  • @TheBarakas
    @TheBarakas Před 6 měsíci +4

    Wueh,with how things are going,we just let people do what they because trying to keep up is now a headache 😂😂

  • @reginaphilip2644
    @reginaphilip2644 Před 6 měsíci +11

    Napenda vile pluto ako busy na life yake ,🎉

  • @Evaseve
    @Evaseve Před 6 měsíci +10

    Mi Naona tu watu wamind their own biz and let others grow in peace.

  • @aceandfifi
    @aceandfifi Před 6 měsíci +13

    The growth is amazing for both of you guys., I just saw last year's video interview with this guy na nyi wote mlkuwa mmeslim mbaya sana lakini looking at how you guys look sai😊😊I pray mtaendelea kushoot more of these guys blessings

  • @allenmwiwawi1970
    @allenmwiwawi1970 Před 6 měsíci +31

    Now I understand why TWD hasn't exposed Thee Pluto "loyalty test" paid scripts.

    • @mwaukyalobrian6322
      @mwaukyalobrian6322 Před 6 měsíci

      but si ni Kipindi for enjoyment? ata Movies hukuwa scripted and we watch

    • @sitythadj
      @sitythadj Před 6 měsíci +1

      🤣

    • @SabrinaAyaan
      @SabrinaAyaan Před 6 měsíci

      @@mwaukyalobrian6322 but Kwa movie you know it is not real, the problem with this ones is deceiving people which is wrong.

  • @charitynkatha4711
    @charitynkatha4711 Před 6 měsíci +5

    Napenda interviews zako walai, good job

  • @STARCREATIONS-wo4df
    @STARCREATIONS-wo4df Před 6 měsíci +8

    Kenya sisi😂 sote 😂 tuko na kasoro😂 mahali kwa njia tofauti

  • @sharonwangui7786
    @sharonwangui7786 Před 6 měsíci +3

    Pluto forever wanaume nowadays hukua na wivu kama mabinti aibu!!! Na vile nikizee karibu akue agemate ya. Baba Pluto 🚮

  • @dorcusmutemi9902
    @dorcusmutemi9902 Před 6 měsíci +94

    Either rental or his house, he's living his best life, wachana na pluto kabisa

    • @nellyambogo4055
      @nellyambogo4055 Před 6 měsíci +10

      Kwani unataka thee pluto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @STARCREATIONS-wo4df
      @STARCREATIONS-wo4df Před 6 měsíci +8

      Na naona wewe pekee ndo unainsist this,, kwa kila platform😂,,, easy lady,,, maisha hupangwa na Mungu

    • @STARCREATIONS-wo4df
      @STARCREATIONS-wo4df Před 6 měsíci

      ​@@nellyambogo4055bhana😂 hebu muulize tena kwa sauti sasa😂

    • @lucywanjira5481
      @lucywanjira5481 Před 6 měsíci +6

      Waachane na yy kabisaa we love Pluto and he's sorrounded by the blood of Jesus

    • @dorcusmutemi9902
      @dorcusmutemi9902 Před 6 měsíci

      @@STARCREATIONS-wo4df hiyo yake pia imepangwa na Mungu, omba yako iwe salama na mwachane na Mambo ya watu

  • @user-yq3wp9cy2x
    @user-yq3wp9cy2x Před 6 měsíci +5

    Team Gulf tuko Pluto's team mate ata upanua kindomo aje nauwache kuharibu jina ya ubwa haina wivu Pluto dear we love you and what you have and what you do ❤😘 kisses to Pluto

  • @emmainyele2700
    @emmainyele2700 Před 6 měsíci +15

    Wapi likes ya Baba twins

  • @maninblack-to5uz
    @maninblack-to5uz Před 6 měsíci +11

    I've been against this guy but I now gat him 😂

  • @abbeypretty2196
    @abbeypretty2196 Před 6 měsíci +4

    Pluto and TWD I love you both. Please solve your differences 🙏🙏🙏🙏🙏❤️

    • @SumaiyaWambui3500
      @SumaiyaWambui3500 Před 6 měsíci +2

      Here no difference to be solved watchdog ajitume awache kuongea shit

  • @lizz6555
    @lizz6555 Před 6 měsíci +49

    ❤❤❤my trust for truthwatchdog is 💯 %

    • @STARCREATIONS-wo4df
      @STARCREATIONS-wo4df Před 6 měsíci +2

      ❤❤❤

    • @Bodyclean544
      @Bodyclean544 Před 6 měsíci +1

      TWD yeah ako Sawa kbsa 100%

    • @ezekielkiprotich1322
      @ezekielkiprotich1322 Před 6 měsíci +1

      I support you but Pluto never said I have bought any house alisema moving to new house

    • @DgccjPyijgf
      @DgccjPyijgf Před 6 měsíci +1

      I will still type Pluto ni scammer na groups zake za trading alinicorn 90k I have evidence hata mpesa messages,God will punish you Pluto

    • @lizz6555
      @lizz6555 Před 6 měsíci

      @@DgccjPyijgf 🤔🤔🤔🤔🤔ngai...am really sorry 🙏

  • @alekshaker7187
    @alekshaker7187 Před 6 měsíci +9

    truthwatchdog is always right ,,i always trust him coz anachunguza mambo before aseme.

    • @agnesjumajombo1774
      @agnesjumajombo1774 Před 6 měsíci +1

      Unatrust aje mtu mbona yeye asijijenge kama wenzake watoto wadogo wanamshinda hata kama ni scum na wanaisha better life

    • @benmotum621
      @benmotum621 Před 6 měsíci

      ​@@agnesjumajombo1774hey mum why are you protecting this guys so much,let them be exposed,si hao wenyewe wanajiparade social media

    • @sophiajuma6798
      @sophiajuma6798 Před 6 měsíci

      ​@@agnesjumajombo1774Pia mimi namwamini juu amefunguwa watu macho na mambo ya kujenga ni mipango ya Mungu juu uko na CZcams heti unadanganya watu na na vitu za scummmmmm

    • @josephineaumamuhola1798
      @josephineaumamuhola1798 Před 6 měsíci

      ​@@agnesjumajombo1774😂😂😂

    • @Max254officialtv
      @Max254officialtv Před 6 měsíci

      Volume ❤😂😂 ata mimi namshinda kwa umbali na aliniongelea ety nakula pesa ya wasichana wa gulf as if hao wasichana wa gulf hawajielewi😂😂😂

  • @Kennedy122j
    @Kennedy122j Před 6 měsíci +2

    We are supporting rich people but they don't give out to poor ,muendele na beef yenu

  • @trendingnewsupdate4750
    @trendingnewsupdate4750 Před 6 měsíci +27

    I trust this man

  • @ebyanmohamed198
    @ebyanmohamed198 Před 6 měsíci +39

    Am a fan of thee Pluto forever ❤

    • @Wanairobi
      @Wanairobi Před 6 měsíci

      Pluto is an inspirational young Kenyan. Ninampeda sana kwa jitihada zake.

  • @demanhassan4953
    @demanhassan4953 Před 6 měsíci +2

    Is it a must to proof to people what you own or not😢

  • @films254
    @films254 Před 6 měsíci +18

    This guy looks honest.

  • @MercyChebet-pe9oi
    @MercyChebet-pe9oi Před 6 měsíci +4

    Wachana na pluto umbwa hii jiangalie kwanza kama umelemewa ma maisha nenda ukasikie vibaya na uko shenzi nkt

  • @covenante8070
    @covenante8070 Před 6 měsíci +1

    ata uambie watu wanaishi fake life... maisha ya watu inakusaidia aje... ndo maana ata hiyo KDF ulifutwa juu wee ni snitch... mbwa mtazamaji nonsense

  • @trizahkigoi9331
    @trizahkigoi9331 Před 6 měsíci +1

    Jealous dog ebu tufanyia house tuor ya kwako tuone your kipanda....
    Either the house is for pluto or rental he is living the best life 50 times than you work hard ufike hapo uwache kuwashwa na na maisha ya those who are winning

  • @sporttalent254
    @sporttalent254 Před 6 měsíci +2

    Thee keep winning man❤

  • @DennisNdege-mo5yk
    @DennisNdege-mo5yk Před 6 měsíci +1

    jezi kali mtu wangu, unang'ara kuliko wengine

  • @ruthwaitherasshhb9382
    @ruthwaitherasshhb9382 Před 6 měsíci +1

    OUR OWN DCI #Truthwatchdog ❤❤

  • @loyciousmapenzi
    @loyciousmapenzi Před 6 měsíci +1

    Pili pili uso ila inakuashia nn hii social media itaniua na presha

  • @kimfilmspromedia6138
    @kimfilmspromedia6138 Před 6 měsíci +4

    You saved my money TWD

  • @yvngtrayson
    @yvngtrayson Před 6 měsíci +3

    Goddaaamn

  • @alicekomu3852
    @alicekomu3852 Před 6 měsíci +3

    Whatever the case as long as sio ww unamlipia bona unawashwa

  • @user-pd3qu6xh3o
    @user-pd3qu6xh3o Před 6 měsíci +4

    Huyu tu ni GOAT

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 6 měsíci +2

    But kusema kweli pluto hakusema nyumba ni yake ama sio yake but alisema ameipea zoey wake as a birthday gift sasa sijui bona unamwanika na pluto huishi kuhama hama

  • @dorcusmutemi9902
    @dorcusmutemi9902 Před 6 měsíci +23

    Mbwa mtamazaji, plz learn to clap for others success, even if they're scammers, don't attack them, everything kenya is a scam, lakini uwache wivu, the people you're competing with are 20 million times ahead of you

    • @owenomwanawayesu6961
      @owenomwanawayesu6961 Před 6 měsíci +4

      Money isn’t everything…20 million times a head with rubbish and depression?

    • @bebzwakio4713
      @bebzwakio4713 Před 6 měsíci

      Wivu inamusumbua

    • @agnesjumajombo1774
      @agnesjumajombo1774 Před 6 měsíci +1

      Ako na wivu ndio maana hasongi

    • @dennisrutto7899
      @dennisrutto7899 Před 6 měsíci

      Who hurt you?

    • @SabrinaAyaan
      @SabrinaAyaan Před 6 měsíci +5

      You cannot clap for scammers. Do you know the meaning of scammer? It is another name for a thief. So you want him to clap for thieves?

  • @azol7
    @azol7 Před 6 měsíci +2

    Truth watchdog ameamua kusema "Unaget alot of tax" instead of attacks(8:56)😂😂😂

  • @DorrisKathini
    @DorrisKathini Před 6 měsíci

    Kioko umetoa uyu mama mwezangu wap?mwambie watu wataendelea akikataa ju mungu ndie anapeana riziki❤

  • @magicalfootbalworld
    @magicalfootbalworld Před 6 měsíci +5

    Huyu mjinga ni attention anadai amesota

  • @philicemaradi
    @philicemaradi Před 6 měsíci +1

    Uyu jamaa na vile anajifanya kujua maisha ya kila mtu ,,, Let pple learn to mind there own business

  • @user-ns3ew7nn4j
    @user-ns3ew7nn4j Před 6 měsíci

    Pluto all the way we ❤ you wivu ya nn jamani

  • @lydiaodero-8878
    @lydiaodero-8878 Před 6 měsíci +15

    I just hate this man ,awachane tu na maisha ya wenzake,atafute content yake. Leave alone Pluto family

  • @abedmutuku9479
    @abedmutuku9479 Před 6 měsíci +7

    Thee watchdog 💪🏻

  • @GGman751
    @GGman751 Před 6 měsíci +1

    Pluto ,ame make it

  • @okutebettina2509
    @okutebettina2509 Před 6 měsíci +2

    This watchdog person anakaa mwaume wa mshenee sana give us your content don't tell us about other people

  • @carenkyumwa3454
    @carenkyumwa3454 Před 6 měsíci

    If the the house is he's or NOT issue ni?????
    Uyu mwanaume dog akona mdomo sana shida yko n nini...
    Kioko be careful with who ur interviewing
    Issue of scamming if ur not scammed shida yko iko where kasikilie vibaya n ukooooo

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 6 měsíci +2

    Haha watchdog tulizoea kitambo hizo new houses every month noma

  • @Gprince520
    @Gprince520 Před 6 měsíci +14

    This guy is very intelligent

  • @Djezra254
    @Djezra254 Před 6 měsíci

    Guys huyu msee ata haja monetize channel yake if you watch no adds he is enlightening you people from scammers

  • @fidelkips9498
    @fidelkips9498 Před 6 měsíci +2

    Wacha maisha ya watu

  • @linu0720
    @linu0720 Před 6 měsíci

    Acha Kila mtu ajienjoy bro maisha ya watu achana nayo. Tafuta content ingine ya kueka kwa CZcams Kioko huyo jamaa anakiharibia channel Yako

  • @wycliffmarando6258
    @wycliffmarando6258 Před 6 měsíci +11

    The guy is very honest, i love it .

  • @emmanuelkipngetich8453
    @emmanuelkipngetich8453 Před 6 měsíci

    Shughulika na maisha yako

  • @eunicechege6839
    @eunicechege6839 Před 6 měsíci

    Bro shughulika na maisha yako Wacha wivu mtu aishi maisha yake kubaff

  • @SumaiyaWambui3500
    @SumaiyaWambui3500 Před 6 měsíci +1

    Shida yacwatchdog hukua nini😂😂😂mara aite watu wezi mara aingilie Pluto mara cjui nn watchdog mind your business tafuta kazi ufanye stop missleading others stop blocking baraka za watu,,,,you should be doing something sensitive ,,,,,,nkuremind WACHANA WATU WA BEYOND SERVIVAL COMPAIGN na FOREX tafuta kazi ufanye😢😢

  • @trendingnewsupdate4750
    @trendingnewsupdate4750 Před 6 měsíci

    Kioko Concentrate
    I like the way truth watch dog was not inturupted

  • @celestineete6425
    @celestineete6425 Před 6 měsíci +3

    Watchdog husema ukweli, so akiwambia mnaona vibaya, people are used to cone other na online business, Forex scam

    • @duncankamasi9668
      @duncankamasi9668 Před 6 měsíci

      Anafunza poa

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew Před 6 měsíci +1

      Huoni vile wanamtusi ati ana wivu wengine tumesaindika sana kutoka na videos zake

    • @sophiajuma6798
      @sophiajuma6798 Před 6 měsíci

      ​@@Edgybhthjklewtrue ameseidia wengi sana mpka sahii watu wameanza kuchangisha kwa what's app group 😂😂

  • @martoo539
    @martoo539 Před 6 měsíci +2

    Unfortunately😅😅😅

  • @denmac9321
    @denmac9321 Před 6 měsíci +1

    Huyu anaingilia wasee clean n mascammer wamejaa huku nje😅

  • @JescahMutwiri
    @JescahMutwiri Před 6 měsíci

    Talking to him as who??? Jealousy kills oooh,,, wachana na thee Pluto he is living his best life look for your own life

  • @ckube-iu4cr
    @ckube-iu4cr Před 6 měsíci +2

    Men wakishikwa they humble 😂

  • @Biancajossy
    @Biancajossy Před 6 měsíci

    but it's better to live in light

  • @josphinenyatero7948
    @josphinenyatero7948 Před 6 měsíci +8

    Thee pluto you have loyal fans no matter what 📌📌📌📌📌📌

  • @mercychemaiyo
    @mercychemaiyo Před 6 měsíci +4

    Wee l love this man anasemanga ukweli ,wakati my Auntie alibuy cooked oil aty promotion kufika hao kuona ni maji ,2days nikaona umeongea.about it

  • @RobertBony
    @RobertBony Před 18 dny

    I wonder,,sasa uyu anajiita watchdog anaumika aje na Mali sio yake,,kama mtu akuombi food chaganya bariga bro,,

  • @user-yg3fq2zb9g
    @user-yg3fq2zb9g Před 6 měsíci +1

    But for real he should mind his own business awachane na maisha ya watu fake or real hata yeye afake

  • @kadkadzo7543
    @kadkadzo7543 Před 6 měsíci +3

    Huyu jamaa akiongea kitu msimdharau,ju anajua anachokisema mwamtusi baadaye ukweli ukijitokeza ....

    • @charitykendi9213
      @charitykendi9213 Před 6 měsíci

      Basi aandikwe kwa serikali ya Ruto,apate CHEO kuu huko

    • @kuria_for_life1
      @kuria_for_life1 Před 6 měsíci

      ​@@charitykendi9213peleka Kuma iko na ukimwi uko umbwa hii

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 6 měsíci +1

    Bona uaaidiwe na mtu then unasahau quickly unaanza kumwanika

  • @agnesjumajombo1774
    @agnesjumajombo1774 Před 6 měsíci +3

    Huyu jamaa progress ya watu inamkosesha usingizi work hard buda utajirike pia wewe

    • @kuria_for_life1
      @kuria_for_life1 Před 6 měsíci

      Uliamua akili hutatumia mumams huyu😂😂😂 peleka kuma na uko

  • @texasviper2042
    @texasviper2042 Před 6 měsíci +1

    nyi wote ni maumbwa apa, mnacomment why

  • @BrianPiethorn-yn1ge
    @BrianPiethorn-yn1ge Před 6 měsíci +4

    We love truth but bring the real person face to face in your platform how will us know if it's crout am real life wewe truth hottest dog in town acha watu watengeneze doh na anything in life wakuscumiwa ole wake then enda Kwa gov't utafute ukweli uko wachana na mavijana

    • @agnesjumajombo1774
      @agnesjumajombo1774 Před 6 měsíci

      Hajawai host mtu ni vitina tu

    • @morrismurimi3275
      @morrismurimi3275 Před 6 měsíci

      Ile umaskini mko nayo😂😂😂 hamuezi elewa what he is doing...the day mtaconniwa mtajua. Truth watch dog si nyanya yenu😂😂😂 En i pray God to fulfill this...i support no one

  • @Festus_Mukavana994
    @Festus_Mukavana994 Před 6 měsíci +5

    Leave Thee Pluto alone, that guy has clean business deals.!!

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Před 6 měsíci

    Aki waluhya tunashida ngani uare bz na maisha ya wanaume wenzako

  • @user-mi6tb6tb4l
    @user-mi6tb6tb4l Před 6 měsíci

    Pluto all through either akue huwa anascript ama ni real I don't care,ata kama mansion ni yake ama si yake i think haiusu anyone,,,go go go thee pluto you are giving some gukas sleepless nights,may God uplift you ❤

  • @Nairobi396
    @Nairobi396 Před 6 měsíci

    Unaonyeshwa documents as who ??????kama nani ?????????

  • @NesBwoy
    @NesBwoy Před 6 měsíci

    Hatukatai ni ukweli but let that watchdog mind his own business Kwan maisha ni mtu yanamhusu vipi?

  • @fnaomi5889
    @fnaomi5889 Před 6 měsíci

    Twende nalonalo 😂😂😂 kwan hii fake Life....God amenisahau ama 😢

  • @Ginimbi_Munyao
    @Ginimbi_Munyao Před 6 měsíci +17

    Huyu jamaa anakuwanga na umama sana, kuchunguza maisha ya watu.

    • @lucymumo6426
      @lucymumo6426 Před 6 měsíci +3

      Hata kuchunguza sio issue,shida yake NI KUDANGANYA about people,he gives proofs that are twisted to sound like ukweli but it's not the truth

    • @lucywanjira5481
      @lucywanjira5481 Před 6 měsíci +2

      N upuzi Ako nayo

    • @Bodyclean544
      @Bodyclean544 Před 6 měsíci

      ​@@lucymumo6426Wacha ujinga the guy anasema vitu za ukwel

    • @dfreednium
      @dfreednium Před 6 měsíci +2

      Kabisaa unafuatilia maisha ya wanaume wezake

    • @MM_NGOMA
      @MM_NGOMA Před 6 měsíci

      Unataka afanye...? GrandGinimbi😂😂😂😂😂

  • @WariahOtongolo
    @WariahOtongolo Před 6 měsíci +11

    Truthwatchdog anamwonea Thee Pluto wivu mbaya. Wivu ni wivu bro and success has nothing to do with age. Ama maguka wetu wote wangekuwa rich na vijana wote poor. The world doesn't work like that!

  • @LoyalLionessMoura3188
    @LoyalLionessMoura3188 Před 6 měsíci

    Mambo ya #SocialMedia ni #Nooma, inavunja wa2 Roho😢😢😢😢

  • @sarahnyakara7185
    @sarahnyakara7185 Před 6 měsíci +2

    Kwani alikupostia wewe ati ukaulizwa na wewe let's hizo document unasema bas

  • @pamelamudogo5551
    @pamelamudogo5551 Před 6 měsíci +3

    The moment I saw this dog on Dan wemas tiktok nikajua kumbe ni kamati roho chafu mara kwa director j mara kwa moha mara mozororachi😅😅

  • @user-wt2fq2vm3d
    @user-wt2fq2vm3d Před 6 měsíci +3

    Kumbe we pia ni MWIZI wa simu na viatu 😢

  • @Alfred671
    @Alfred671 Před 6 měsíci

    Team Kioko nifikishieni hata 500 subs 🥀

  • @laikafrost9203
    @laikafrost9203 Před 6 měsíci

    siku ntaskia mtu ameongelea kioko ndio ntaongea for now it's a bye bye 😂😂😂

  • @djosel
    @djosel Před 6 měsíci

    Best Show

  • @domitilamutua9273
    @domitilamutua9273 Před 6 měsíci

    Mambo ya watchdog ni ya uongo akwende huko....pale kwa Brighton pia alicheat....

  • @Bettyjebet-hd3zq
    @Bettyjebet-hd3zq Před 6 měsíci

    Plutoo ❤ we love you achana na huyu jizi

  • @solomon9756
    @solomon9756 Před 6 měsíci +2

    huyu jamaa ako na udaku kuharibia watu shameless

  • @moureenkagema7981
    @moureenkagema7981 Před 6 měsíci

    Sasa n nn wanauliza Pluto😢