Sports AM | Wachambuzi waitahadharisha Simba mechi dhidi ya Kagera Sugar

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • “Sio mechi rahis wanapokwenda kucheza Simba na Kagera leo hii” maneno ya mmoja wa wachambuzi kwenye kipindi cha #SportsAM Evana Mallya akiuchambua mchezo wa leo wa NBC Premier League kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba SC.
    Leo Simba itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika dimba la Kaitaba mkoani Kagera.
  • Sport

Komentáře • 3