Wanafunzi kutoka familia maskini watia fora katika mtihani wa KCSE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 07. 2024
  • Mtazamaji Hebu Tafakari Kuishi Katika Mitaa Ya Mabanda, Kukosa Lishe, Kuomba Misaada Ili Kupata Karo. Ndiyo Masaibu Ambayo Baadhi Ya Wanafunzi Waliofanya Vyema Katika Mtihani Wa Kcse Walipitia, Lakini Changamoto Hizi Hazikuwavunja Moyo Wala Kukatiza Tamaa Yao Ya Kubadilisha Maisha Ya Familia Zao. Mwanahabari Wetu Gatete Njoroge Alizungumza Na Watahiniwa Watatu Ambao Walitegemea Ufadhili Kukamilisha Masomo Yao Na Kuandaa Taarifa Ifuatayo.

Komentáře • 2

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je Před 6 měsíci

    Hao watoto usoma sana juu wanajua hakuna kitu wanaeza pata kutoka kwa wazazi isipokuwa masomo

  • @Kissbaby267
    @Kissbaby267 Před 6 měsíci

    Imagine sitting for MOCKs knowing you father is in hospital bed for cancer 🥹 week before sitting for final exams you father dies 🥹 but I thank God my last born brother did extremely good in his KCSE we had to call him with the principal phone after every paper before he sit for any paper we had to call him and make sure he was fine . He was a daddy’s boy when he got home after his last paper he went straight to dad’s grave told him he has finished secondary school and that when the results will be out he will make him proud, on Monday results were out and even before he tell anyone one he went to daddy’s house cried and shouted "Daddy God has done it again " we waited till he finished crying then handed my big sister his phone and jesus my Bro had a B+ !