Rose Muhando: Nilitaka KUJIUA sababu ya Depression, Rais Kenyatta aliagiza nisirudishwe Tanzania

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 01. 2021
  • Sehemu ya kwanza ya #ChillnaSky, Rose Muhando anafunguka jinsi alivyougua Depression na kulazwa hospitali nchini Kenya kwa miezi kadhaa na jinsi Rais Uhuru Kenyatta alivyomsaidia. Anaeleza jinsi tatizo hilo lilivyomfanya akaribie kujiua na namna alivyopona. Anaelezea kuhusu album yake ijayo, Miamba Imepasuka, kushirikishwa na Size 8 kwenye wimbo Vice Versa na mengine kibao

Komentáře • 204

  • @vjonduso2645
    @vjonduso2645 Před 3 lety +8

    Mjini Homabay, Magharibi mwa Kenya, kuna stadium unaitwa Rose Muhando. Rozzie ni kipenzi chetu huku Kenya.

  • @dwakado
    @dwakado Před 3 lety +74

    WE KENYANS LOVE YOU ROSE,WE APPRECIATE YOUR TALENT!

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 Před 3 lety +23

    We kenyans we love you mummy...our queen...much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joylinecansha2771
    @joylinecansha2771 Před 2 lety +2

    Mama rose mhando nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu tangia nkiwa mtoto mdogo.nilikua nikiona kwa maomo nikiwakumbuka na cheza Kwa nyimbo zako.nina tumaini kua nitakuja kukuona .asante sana

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 Před 3 lety +19

    Comments nyingi niza wakenya kumaanisha kenyans love Rose Mohando, kenya 🇰🇪 tunakupenda sana mami

    • @faithmaria1032
      @faithmaria1032 Před 3 lety +1

      That true Tanzanians were busy killing her , Kwanza hapa CZcams I almost hated you Tube completely

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 Před 3 lety +13

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love u rose continue shining in the word of God.

  • @lydiakemuntookindo7254
    @lydiakemuntookindo7254 Před 3 lety +13

    Mungu yupo nawe rose,from 254 nakupenda mum napenda nyimba zako pia

  • @agnespeter8740
    @agnespeter8740 Před 3 lety +34

    Wao Leo mi wa kwanza naombeni like zangu na mimi kama ninavyowapaga nyinyi

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 Před 3 lety +7

    Ukweli mimi nililia Sana...nikanjifunga siku kadhaa kumwombea Rose...but kabla ya kwenda hospital Mungu alinipa mahono kuhusu Rose...so nilinjua she will make it

  • @janetmshai4651
    @janetmshai4651 Před 3 lety +8

    naturally talented Rose muhando..much love from kenya..

  • @janeferkerubo4443
    @janeferkerubo4443 Před 3 lety +6

    Wakenya twakupenda sana rose

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 Před 3 lety +10

    We Kenyans really love you Mrs Rose Muhando, your songs are great with inspirational messages.
    You are always welcomed at any time of your choice.

  • @helencanan8117
    @helencanan8117 Před 3 lety +9

    May the Lord restore you our sister
    Kenya loves you feel at home

  • @isaackakai5965
    @isaackakai5965 Před 3 lety +3

    Napenda Rose..my late dad left us with the first album of rose days before he died..her songs remind me of the love my dad had for Christ..Rose Napenda Sana nyimbo zako

  • @nafulacaroline6646
    @nafulacaroline6646 Před 3 lety +8

    Good testimony rose here in Kenya we love you so much you are a blessing to many people.God bless you.

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Před 3 lety +5

    Love you mum....
    #TRM... upendo kwa Muhando 😍😍😍

  • @qwesdf6345
    @qwesdf6345 Před 2 lety +2

    Thank you God for giving us rose muhando to be a blessing to us through her songs which are very encouraging and full of messages. I love you rose,from Kenya 🇰🇪and you are welcome to be one of us.watanzania ni watu bure sana hakupendi sababu ya wivu.may God continue to uploft you in your forever in Jesus name 💖

  • @VICTORMUTHENYA
    @VICTORMUTHENYA Před 3 lety +8

    Mungu akubariki mama🔥🔥🔥🔥🔥 #TRM

  • @fashyjoseph3842
    @fashyjoseph3842 Před 3 lety +10

    'Size 8 aliheshimu mafuta, aliheshimu Mungu wangu na huduma yangu, this is deep.

  • @obegemaxwel6385
    @obegemaxwel6385 Před 3 lety +6

    I love this woman ever since was young upto date ....may you live long mumy

  • @veronicawangari
    @veronicawangari Před 3 lety +6

    Nakupenda bure Rose❤

  • @faithmaria1032
    @faithmaria1032 Před 3 lety +4

    The time Rose alikuwa mgonjwa I was surprised by some Tanzanians , instead wamshikilie Rose ambaye Ni mmoja wao, they were busy killing her every were on social media. Rose karibu kenya 🇰🇪 ikiwezekana hamia kenye na vilango vyako vyote.i as a Kenyan I love you Rose.

  • @beckycheprotich9152
    @beckycheprotich9152 Před 3 lety +3

    I really love you Rose from Kenya

  • @clenisnyongesa3383
    @clenisnyongesa3383 Před rokem

    Uliyopakwa ,kwel nyimbozako zatoka mbinguni tena za bariki. May God give you long life.nis Nelly from Kenya 🇰🇪

  • @scolasticawambui1860
    @scolasticawambui1860 Před 3 lety +2

    Much love from Kenya 🇰🇪 ❤ 💛 💗 💕 💓

  • @paulineandisi8534
    @paulineandisi8534 Před 3 lety +2

    We love you so much rose. You are a big blessing in this century. Big ups from embakasi Kenya

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 Před 3 lety +1

    Rozzzy Nakupenda sana kutoka🙏🇰🇪,Mungu akubariki na kukulinda sana.

  • @vgeegodseed1720
    @vgeegodseed1720 Před 3 lety +5

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love from 254 .more grace in ministry 🙏

  • @joramramoz6644
    @joramramoz6644 Před 3 lety +1

    Tunakupenda sana Rose Muhando 🇰🇪 🇰🇪

  • @elizabethambani5896
    @elizabethambani5896 Před 3 lety +8

    MUNGU ni Mungu tuh mpende msi pende rose unapendwa ❤❤❤

  • @albertkatei8017
    @albertkatei8017 Před 2 lety

    Ur a true blessing to us da Rose watching your testimony in Doha qatar am an East africa

  • @badegesam620
    @badegesam620 Před 11 měsíci

    She is more of evangelist than a musician! I never tire to listen to her.

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 Před 3 lety +3

    🇰🇪Kenya we love you mom,simba wa kike you're unstoppable...twende kazi ya yesu🔥🔥🔥💃💃💃🙏

  • @balancedviewpoint7418
    @balancedviewpoint7418 Před 3 lety +1

    Data Rose mimi binafsi ninakupenda kabisa kutoka rohoni mwangu na ninakumbea sana mungu azidi kukuinua. Mimi mkenya na mfuasi wako wa karibu. Kenya tunakutambua na kukuheshimu saidi. Naomba kwa vyovyote vile kitu chochote kikikufanyikie kamwe. Nehema yake yatosha kwako. Barikiwa dada

  • @catyedokigutu7366
    @catyedokigutu7366 Před 3 lety +2

    From 🇹🇿...mie shabiki wako milele daima.. Ile nyimbo ya nakaza mwendo naipenda kufa...

    • @julius7546
      @julius7546 Před 3 lety +1

      Kutoka kenya twapenda mziki kutoka Tz Sana hasa Choir na mziki wa Tz una message sio kama wa kenya ni matusi na nonsense

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 Před 3 lety +1

    Kenya We love you sister Rose may God keep you safe kipenzi hela bila amani ni bure 🇰🇪♥️🤞

  • @alextercisio5477
    @alextercisio5477 Před 3 lety +12

    Yeah true Kenyans don't have time to judge anyone in time of need

  • @ivylillace
    @ivylillace Před 2 lety

    My Land is Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪I love you Rose you can even come stay with me next time you come to kenya.i love you Rose Muhando

  • @dorisjessy5960
    @dorisjessy5960 Před 3 lety +5

    Umeiongelelea sana vizuri Kenya nimefurahi saana

  • @evoncayden7314
    @evoncayden7314 Před 3 lety +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you.

  • @wamsufitness3217
    @wamsufitness3217 Před 3 lety +1

    Nakupenda Sana Rose your music bless my life 💯🤗💕from 🇰🇪

  • @anthonyushikokoti3383
    @anthonyushikokoti3383 Před 3 lety +2

    I love your music may God lift u 2 levels and expand u and enlarge yr territories blessed rose

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 Před 3 lety +4

    I still listening your song
    From 🇺🇸

  • @lilianrobinah4044
    @lilianrobinah4044 Před 3 lety +1

    Neema y mungu inatosha,,we love u mum rose simba wa kike😂😂nyimbo xako wakenya tunasipenda xan, may God protect u,,🥰🥰🥰🙏

  • @sarahkiarie3180
    @sarahkiarie3180 Před 3 lety +1

    Nakupenda bure Rose you're true worshipper. May God take you to greater heights.You are blessed.

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 Před 3 lety +3

    Love you Dada Rose mhando

  • @mariammponzi5864
    @mariammponzi5864 Před 3 lety +1

    Mpaka nahisi aibu jamani watanzania huyu no was kwetu tumsapport Mimi ninakupenda Sana Rose from tz

  • @elizakinuthia9218
    @elizakinuthia9218 Před 3 lety +2

    Rose you are indeed a minister of the word of God.bless you

  • @ev.hellenwagio
    @ev.hellenwagio Před 3 lety +4

    It's true sisi wakenya tulisimama kwa pengo,nilifurahi kukujua na kuongea nawewe dada Rose.binti zayuni ni jina ulilonipa nashukuru.we will always pray with you and support you.you are blessed simba wa kike

  • @richardomare3764
    @richardomare3764 Před 2 lety

    Kenyan really appreciate your truly persistence faith,trust,believe,presentable speech ,advices to greater audience.
    God is able.

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 Před 3 lety +7

    Daaah,,,,,, subscribers wanapanda Kwa Kasi sana SNS BIG UP SANAAA

  • @TIMESTARYOUNGSTARS254
    @TIMESTARYOUNGSTARS254 Před 3 lety +4

    TIMESTAR YOUNGSTARS hapa. pia siku moja labda tutapata dada Rose tukafanye colabo pia

  • @Mama-A
    @Mama-A Před 3 lety +1

    Doreen 254 nimechill na sky🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @daisykyungu3109
    @daisykyungu3109 Před 3 lety +6

    Mungu alikuleta Duniani na sababu kubwa, Hongera sana Rose wewe ni Simba wa kike#TRM

    • @AdonisSifa
      @AdonisSifa Před 3 lety

      Malkia Rose muhando 😍😍❣️❣️😍

  • @reubensonga8860
    @reubensonga8860 Před 3 lety +1

    We love you rose from Kenya keep it up

  • @irakozegracia183
    @irakozegracia183 Před 3 lety +4

    Mungu apewe sifa

  • @blessingmmbone6638
    @blessingmmbone6638 Před 3 lety

    We love you dear sister Rose muhando.

  • @joycemweresa2675
    @joycemweresa2675 Před 3 lety +3

    Ukweli mtubu Rose pia mimi nakupenda sana

  • @vickychepkemoi8430
    @vickychepkemoi8430 Před 3 lety +1

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 Před 2 lety

    Amen Rose Muhando God continue to bless you and expand your territories am so happy for you in the fallowing Jesus Christ gave you am your fan am very blessed, asante for the testimony God bless you🙌😅😇😇🙏🙏🙏👏👏👏🔥🔥💕💖💝💓💞

  • @dianamsangawale9925
    @dianamsangawale9925 Před 3 lety +3

    The best of the Queen melody in Africa, nakupenda mama

  • @kenndeymathu3144
    @kenndeymathu3144 Před 3 lety

    Rose Mungu akubariki,thnx umeadmnister so much spiritually.zidi kumtumikia

  • @nancylangat5970
    @nancylangat5970 Před 3 lety +4

    God of another chance we praise your name 🙏🙏🙏🙏

  • @katecaddy7556
    @katecaddy7556 Před 3 lety +1

    We love you rose🇰🇪

  • @onyangomelly5367
    @onyangomelly5367 Před 3 lety +2

    Keep pressing on Rose God is with u

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 Před 3 lety

    Amen Hakika yupo mungu rose anazidi kurudi mtoto love from Kenya , wasilo lijua mungu alitaka kupeleka kiwango kingine nakupenyeza ndani zaidi

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 Před 3 lety

    Kabisaa Rose twakupenda kabisaa..Mungu mbere!

  • @mercykoech1487
    @mercykoech1487 Před rokem

    We love you rose muhando

  • @wanyuakenyuki7318
    @wanyuakenyuki7318 Před 3 lety +1

    May God bless you abundantly I love you and your music always bless me

  • @alextercisio5477
    @alextercisio5477 Před 3 lety +1

    Mum I love u from Kenya am great fun for your songs since I come to know u 2004

  • @keerulanah2024
    @keerulanah2024 Před 3 lety

    Love ❤️ You Rose Muhando...Sifa na Utukufu zimrudie Mungu 🙏🏽

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 Před 3 lety

    Mummy rose muhando in 2004,,2005 your album nibebe,,song sitanyamaza,.ulipalilia imani yangu ndani ya neno yenye mtume james maina ng'ang'a wa Neno alikuwa ameikuza kupitia nyimbo zake..kama ile musa alimlilia mungu,,baba wa mbinguni...radio cassette ndio hadi leo nimeiweka,,,jesu azidi kukuinua na Stephen kasolo jesu akupeleke mbele zaidi...my point is that rose you are a blessing to my life

  • @bettynanjala6848
    @bettynanjala6848 Před 3 lety +1

    Love from Kenya

  • @michaelmick3033
    @michaelmick3033 Před 3 lety

    Thanks very much Rose .we love you am from Kenya tuned from Qatar. I speak to God through your songs Rose.

  • @paschalkatangaza5513
    @paschalkatangaza5513 Před 3 lety +1

    Mungu alikuwa anakuandaa ili akupeleke viwango vingine, jina la bwana libarikiwe.

  • @nancylangat5970
    @nancylangat5970 Před 3 lety

    Wooow happy kuskia sifa za kenya ,we love you Rose

  • @kimalinganomhelela8377

    Rose Mhando bado ni muimbaji wa nyimbo za injili ambaye hajafikiwa na muimbaji mwingine hadi sasa.Yuko juu sana.

  • @fannymukobelwa9067
    @fannymukobelwa9067 Před 3 lety

    Mungu akutiye nguvu Da rosé tunakupenda sana

  • @hildanyambura8703
    @hildanyambura8703 Před 3 lety +3

    If you have gone through counseling, you bear witness what Rose is talking about. Get help when you feel a miss about anything in your life. Depression is real.
    Twashukuru sana🇰🇪. Hapa Kenya twakudhamini saaaana. Malkia Mungu akuzidishe nguvu na kulibariki taifa lako. Hongera kwa ukamilifu wako mpya.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Před 3 lety +1

    Huyo mm Sasa uktaka tupgane kabsa mtaje rose muhando vibaya tutapgana Sana nampenda kuliko kitu chochote huyu madame

  • @sharonopondo8579
    @sharonopondo8579 Před 3 lety +1

    Kenya loves you Rose

  • @theindustry6361
    @theindustry6361 Před 3 lety

    Amenibariki kwa muda mrefu mama Rose. Mungu azidi kumuinuwa

  • @neemaalpher8798
    @neemaalpher8798 Před 2 lety

    Balikiwa roz mungu wambinguni akupe kila unalo hitaji

  • @peteromambia8954
    @peteromambia8954 Před 3 lety

    Rose mwando you are so inspirational

  • @reubenreuben2902
    @reubenreuben2902 Před 3 lety

    Nakupenda.sana.roser.muhando

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 Před 3 lety +3

    Safi sana Skye great interview

  • @EliMsuya
    @EliMsuya Před 3 lety +1

    Mungu akubariki mama #TRM we love you

  • @mrambaalphonce2164
    @mrambaalphonce2164 Před 3 lety

    Amen nimebarikiwa sana mama mtumishi wa mungu

  • @allanmibei
    @allanmibei Před 3 lety

    Happy to see you strong Mama... Mungu akupe maisha marefu uendelee kumtumikia

  • @samuelkaranja4199
    @samuelkaranja4199 Před 2 lety

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love Rose from+254

  • @TheGatewayProductions
    @TheGatewayProductions Před 3 lety +1

    Huge thanks for this upload! Depression is devastating but we can beat it!

  • @urbanusmutunga2546
    @urbanusmutunga2546 Před 3 lety

    Much love from Kenya Rose

  • @makakenia7065
    @makakenia7065 Před 3 lety

    Mm mama nakupenda bure ..nkiwa kenya ..love uuuuuuu

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 Před 3 lety

    Pole sana ROSE ILA MUNGU HAMUACHI MJA WAKE MUNGU ATAKUINUA TENA MDOGO WANGU KWELI UTAKUWA MWL MAANA NYAKATI HIZI TULIZONAZO NI HIZO

  • @ibrahimkunei8852
    @ibrahimkunei8852 Před 3 lety

    Rose you are very creative woman may God bless you

  • @Kakwasi
    @Kakwasi Před 3 lety

    Nimezipenda hizo sifa za Mungu. Aliyesimamisha jua, aliyekomesha kiburi Cha pharaoh,

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 Před 3 lety

    Mungu akubariki mtumishi Rose

  • @ezekielenock5470
    @ezekielenock5470 Před 3 lety

    Tunakupenda mama yetu sanaaa usione tuko kimyaa tunakupenda mnooo

  • @flolabapegemwansasu4647

    Rozi mungu akubaliki nafalijika nanyimbo zako

  • @shariffah5278
    @shariffah5278 Před 3 lety

    Love from Germany