Heri sifa njema- Mkemwema choir (Official Music video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • #mkemwema #gospelsongs #liveperformance #herisifanjema
    Kitabu cha Mhubiri 7:1 kinatukumbusha kwamba: Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri...! Ujumbe wa wimbo huu wa injili kutoka Kwaya ya Vijana, F.P.C.T Kasulu Mjini Umezaliwa katika mstari huo wa Biblia, tunaamini ukiusikiliza kwa makini wimbo huu, Utabarikiwa zaidi. Asante na MUNGU wa mbinguni akubariki. Amen!
    _________
    Song: Heri Sifa Njema
    Artists: Kwaya ya Vijana, F.P.C.T Kasulu Mjini - Mkemwema Choir
    Video Album: MKE MWEMA
    _________
    ►Tazama nyimbo nyingine kutoka katika Album ya Video ya MKE MWEMA👇🏽👇🏽
    🔘Dunia isikuhadae ~ • Dunia isikuhadae - Mke...
    🔘Kwa Maana ~ • Kwa maana - Mkemwema c...
    🔘Yeriko ~ • Yeriko- Mkemwema choir...
    🔘Njoo Kwangu ~ • Njooni kwangu - Mkemwe...
    🔘Upewe Sifa ~ • Upewe sifa - Mkemwema ...
    🔘Wema ~ • Wema hauozi - Mkemwema...
    🔘Mke mwema ~ • Mke mwema - Mkemwema c...
    🔘Mbiu ~ • Mbiu ilipigwa - Mkemwe...
    _________
    ►Tufikie kupitia Kurasa zetu za Kijamii
    🔘Instagram ~ / mkemwemachoir
    🔘Facebook ~ / mkemwemachoirtz
    🔘Twitter ~ / mkemwemac
    _________
    ►Mawasiliano Zaidi
    📞 Simu: +255 755717519
    📩 Barua Pepe: mkemwemachoir@gmail.com
    _________
    Haki zote zimehifadhiwa©2018.

Komentáře • 77