VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - "UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 06. 2021
  • VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - "UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea"
    MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, amefanya kikao na wakuu wa wilaya ambapo amewaeleza kuwa wwe tayari kwani uteuzi wa Rais Samia unaendelea na wanaweza kujikuta wamebadilishiwa kituo cha kazi...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 183

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband Před 3 lety +5

    Mungu Halali, Asante Mh. Kumteua Mkuu huyu wa Mkoa na kuturudishia Tabasamu na vichekesho vya Baba Wa Taifa vikiambatana na Uchapakazi.

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 Před 3 lety +6

    Raha sana unakuwa na boss ambae muda wote mnacheka tu. But ukileta mzaha kwenye kazi utajuta.

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Před 3 lety +7

    Nakukubaligi sana Mheshimiwa..
    Asante mama Samia kwa hii zawadi...

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 Před 3 lety +9

    Huyu baba mdogo wataifa very charming. This is a great men.

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 Před 3 lety +16

    Mkoa wa manyara utaongoza kwa watu wenye furaha Tanzania

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 3 lety +9

    Babu umeanza kuchekesha ongera sana 🙏🙏🙏👍👍👍🙏🙏

  • @barryryoba1489
    @barryryoba1489 Před 3 lety +6

    Mama Ndie Mtayarishaji Wa Kipindi 👏👏👏😁😁😁

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 Před 3 lety +23

    Anacheka kama alivyokua akicheka baba yake, na ni mchekeshaji sana 🤣

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 Před 3 lety +5

    Du mheshimiwa Makongoro unaporojesha hatari. Kazi njema mkuu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Před 3 lety +15

    Namuona mwalimu Nyerere hapa..

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 Před 3 lety +1

      "Mimi ni mtoto wa Mzee Nyerere lakini mimi sio Mzee Nyerere. Mimi ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, lakini mimi sio Rais wa Manyara. Nimekuja kumwakilisha Rais..." Kazi nzuri Kiongozi, Mungu akusimamie...

  • @abdallahmkumbi1191
    @abdallahmkumbi1191 Před 3 lety +10

    Nyerere ameludi tena

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 Před 3 lety +11

    Mkuuu wetu ametuwacha vinywa wazi kwa furaha na vicheko kubwa ni kufanya kazi kwa umakini na uadilifu asante mkuu wa mkowa mhe makongoro nyerere

  • @geofleylunyelele8024
    @geofleylunyelele8024 Před 3 lety +17

    Anachangamsha Sana yaniii uchangamfu kama Baba wa taifa inapendeza Sana mama umetuludishia mzee

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 Před 3 lety +2

    mungu akubariki uwe Rais au makamu

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 Před 3 lety +3

    Nzuri sana hiii, kazi nzuri

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 Před 3 lety +12

    Kucheka raha,kiukweli tunahitaji sana ucheshi wa aina hii ktk zama hizi.

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 Před 3 lety +8

    Na siyo wewe tu, bali kila Mkuu Wa Mkoa katika nchi hii, yeye ni Rais Wa Mkoa.

  • @reubenimalando8792
    @reubenimalando8792 Před 3 lety +10

    Huyu mh kama nyerere tu story za kuchekesha kwa wingi😁😁😁

  • @adamphinias2457
    @adamphinias2457 Před 3 lety +2

    Like father like son!!

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 Před 3 lety +7

    Sio lazima kiongozi kila mara uwe serious tu lazima utengeneze team work nzuri yenye kujiamini na si uoga

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 Před 3 lety +13

    Makongoro nyerere for presidency

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 Před 3 lety +3

    Daa kizazi cha Nyerere hicho wanafanana mambo fulani fulani hivi

  • @francojohn8488
    @francojohn8488 Před 3 lety +18

    The Great Mwl Julius K Nyerere forever we love u!

  • @princeerick372
    @princeerick372 Před 3 lety

    What goes around, Comes around!!!! I see The Great Nyerere on you, Mungu akusaidie ukatumike vyema

  • @pascalmsechu6874
    @pascalmsechu6874 Před 3 lety +1

    Saw sawa Makongoro...unafaaa Sana man..ila zile tabia za Arusha uko hapana

  • @magellasaid3693
    @magellasaid3693 Před 3 lety +6

    Saaaafi sn, anacheka km baba

  • @jacksonoswago6160
    @jacksonoswago6160 Před 3 lety +4

    Wakiwa serious mnaanza kusema hawana social exposure, wakinuna wananyanyasa wananchi, Makongoro huyu sio wa kufundishwa kazi ya ukuu wa Mkoa , Mama Kamteua anamjua sana, kwa ufupi kama kama humjui Makaongoro anakuwajibisha huku anaendelea kucheka , kucheka kwake ni kama kipaji na upendo aliopewa na /Mwenyezi Mungu akiwa na public, tumwache anayo team kubwa ya watenda kazi.

  • @juliankamugisha9886
    @juliankamugisha9886 Před 3 lety +4

    Like father, like son.....😂😂😂

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 Před 3 lety +7

    Safi

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 Před 3 lety

    Mh Rais wetu, Mama Samia Suluhu Hassan, Mwenyezi akulinde, Kumteua Makongoro nyerere, Kumteua mtoto Edward Sokoine, Hakika Sina cha kukupa zaidi Kukuombea Dua na Maombi kwa wingi, Na InshaAllah Mwenyezi Mungu atapokea Dua na Maombi yangu kwako, ikiwa ni Pamoja na Viongozi wote, Kusema Kweli Umetukumbusha mbali sana Watanzania, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @rahmahersi2116
    @rahmahersi2116 Před 3 lety

    Hongera ..na pole sana.
    Ndugu yangu.

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 Před 3 lety +1

    Mungu akujalie kufa umezaa watoto wenye hekima na busara ni raha sana sasa hv mwl anafurah tu huko kila la heri makongoro iwakilishe mara

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 Před 3 lety

    Hongera sana. Napenda
    Hotuba yako.

  • @charlesaketch3264
    @charlesaketch3264 Před 3 lety +2

    Chapa kazi mkuu mungu akujalie kazi iendelee manyara oyee

  • @geraldngwisija5034
    @geraldngwisija5034 Před 3 lety +1

    Hadi raha

  • @kloppsaturn6891
    @kloppsaturn6891 Před 3 lety +2

    Sijui kwanini but mimi nahisi kama Charles Makongoro Nyerere anafaa kugombea Urais 2025

  • @kloppsaturn6891
    @kloppsaturn6891 Před 3 lety +2

    He is strictly and firm but easy to get along with

  • @happydionice355
    @happydionice355 Před 3 lety +9

    Huwa nacheka Sana kila nikikusikiliza mh makongoro

  • @rahmahersi2116
    @rahmahersi2116 Před 3 lety +1

    Mtoto wa mwalimu
    Una vitukoooo.
    Hujawahi kuwa makuu
    Wa mkoa..mbeleni...

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 Před 3 lety +1

    Mzee oyeeeeeee

  • @hanslikecha4786
    @hanslikecha4786 Před 2 lety

    Raha sana

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 Před 2 lety

    Kweli Mama kakujengea historia. U mcheshi lakini ndani ya ucheshi Kuna shukrani na unyenyekevu kwa wananchi. Unawatia moyo wananchi wa mkoa Wako.

  • @nixonluseno8422
    @nixonluseno8422 Před 3 lety +1

    I am happy to see the former first family playing a role in the adminstration of tanzania

  • @gabrielaniseti1537
    @gabrielaniseti1537 Před 3 lety +2

    Another Nyerere
    The UNIVERSITY OF POLITICA

  • @sadockmahundo5736
    @sadockmahundo5736 Před 3 lety +2

    Makongoro ni Super Genius.

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 Před 3 lety +7

    Maneno hayoooo!!!??

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 Před 2 lety

    Hahahaha 😆😃😃😄😄 Ucheshi wake unafanana na mwalimu nyerere 🙏🙏🙏🙏

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Před 3 lety +12

    Mheshimiwa makongoro ni mchangamfu sana

  • @rahmahersi2116
    @rahmahersi2116 Před 3 lety

    You are fit to be comedy.
    Mtoto wa mwalimu.
    I enjoyed your hotuba.

  • @abasisapi5474
    @abasisapi5474 Před 3 lety

    Hongera Makongoro, kumbe unajua kuongea namna hii?

  • @hamadimsangi1563
    @hamadimsangi1563 Před 3 lety

    Keep it up

  • @queennkya1932
    @queennkya1932 Před 3 lety +4

    Umenipa kuongeza siku kwakwelii

  • @immahkobeh7620
    @immahkobeh7620 Před 3 lety +1

    Hongera SANA mh makongoro jmn mwenye namba za mh makongoro nyerere nakuomba plz nko Siriaz

    • @immahkobeh7620
      @immahkobeh7620 Před 3 lety

      Naiomba namba ya huyu boss wetu wa mkoa wa manyara JMN

  • @laghtnesphilipo489
    @laghtnesphilipo489 Před 3 lety

    Asante mama Samia kutuletea mkuu wa mkoa mwenyetabasamu watu wake mithili ya baba yake,

  • @phoebemmanga6047
    @phoebemmanga6047 Před 3 lety +1

    Hakuna kama mama jamani. Nimefurahishwa na kitendo cha kumuenzi Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kumteua mtoto wake Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa Manyara naona kama baba anaishi. Mungu amsaidie ktk kuongoza Wananchi.

  • @mwasubilasaimoni8506
    @mwasubilasaimoni8506 Před 2 lety

    Nimempenda bure

  • @mzeeally2474
    @mzeeally2474 Před 3 lety +2

    TATIZO HUYU MZEE HAJUAGI KUNUNA, AKINUNA AN ACT UKWELI NI KWAMBA HAJUAGI KUNUNA MZEE YULE.....M

  • @reubenimalando8792
    @reubenimalando8792 Před 3 lety +10

    Kama unatokea Rukwa 😁😁😁😁😁🤣🤣🤣

  • @masilingimbilinyi5589
    @masilingimbilinyi5589 Před 3 lety +1

    Sana mungu akutunze

  • @archnidquasar7314
    @archnidquasar7314 Před 3 lety +1

    Huyu bwana mkubwa alikua kwenye kamati ya maadili ya Ccm kipi kimetokea mpaka ashushwe kiasi hiki dah🤔

  • @davidmihayo4436
    @davidmihayo4436 Před 3 lety +1

    You're as charming as mwl Nyerere was but work hard

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Před 3 lety

    Hongera sana Mama yetu Rais Samia Suluhu kwa kutuletea mzee huyu kwenye uongozi. Hata kama mimi niko Kigoma nitakuwa namfuatilia kwenye mtandao ya kijamii ili nifuahi sana.

  • @plisteradundo7603
    @plisteradundo7603 Před 3 lety +2

    MAKONGORO NYERERE UBARIKIWE

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 Před 3 lety +1

    Mh Makongoro namkubali sana

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Před 3 lety +1

    Makongoro hoyee mungu akusaidie ktk uwongozi wako

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 Před 3 lety +4

    KWELI DAMU HAIPOTEI LIKE FATHER LIKE SON...✍

  • @mauthamani
    @mauthamani Před 3 lety

    Ana passion

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op Před 3 lety +10

    MAKONGORO NI MCHEKESHAJI NA SIO MWANASIASA

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 Před 3 lety +1

    Akili nyingi sana Makongoro.

  • @nusrathussein521
    @nusrathussein521 Před 3 lety +5

    Yuko sawa na baba yake nyerere kicheko tu

  • @sadockmahundo5736
    @sadockmahundo5736 Před 3 lety +4

    Eti mtayarishaji wa kipindi 😂 😂 😂

  • @jastininjano262
    @jastininjano262 Před 3 lety +1

    Nakukubal kiongoz

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 Před 3 lety +1

    Mzee manyara imemfaa amependeza kweli

  • @christinawallasch5228
    @christinawallasch5228 Před 3 lety

    Anatengeza good mood ya kazi, watu wafanye kazi kwa confidence na bila uwoga wa kazi tunategemea kazi nzuri kwako na watendaji wako congratulations Mak.

  • @barakashadrack7695
    @barakashadrack7695 Před 3 lety +3

    Huu mkoa baada ya mwaka 1 kutakuwa na comedy nzr

  • @alluminiumexperttz.12mview13

    Shida ya bongo ukionyesha meno tu umekwisha. Ukweli ni kwamba hapa bongo ukitaka kuwa kiongozi mwenye mafanikio lazma ufanye maamuzi magumu na njia pekee ni kuhakikisha huonyeshi meno kizembe

  • @edgarjoseph5573
    @edgarjoseph5573 Před 2 lety

    Mbona haichekeshi sasa hawa wanacheka nini

  • @reaganlyimo6259
    @reaganlyimo6259 Před 3 lety

    Duh

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 Před 3 lety +1

    Yeye kama baba ake

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 Před 3 lety +2

    Hahaha yani uyu daah mama mtaalishaji WA kipindi😅😅😅

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 Před 3 lety +1

    Hahaaaaaaaaa uwiiiiii

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc Před 3 lety +2

    Apa unaona utafauti Kati ya viongozi na wababe uyuu mzee anabusara na hekima mtizame sebaya ubabe tu kwa watu wake hajajua kama uongozi ni mapito

  • @asengasefu2767
    @asengasefu2767 Před 3 lety

    SSHV NI RAHA

  • @gasirigwaaloyce8739
    @gasirigwaaloyce8739 Před 3 lety +1

    Kazi ndo itatuaminisha zaid japo ni mcheshi

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 Před 3 lety +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Před 3 lety +1

    Anacheka kama baba yake kabisa

  • @deusmathew8990
    @deusmathew8990 Před 3 lety

    Huyo mzee mcheshi sana

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972

    Makongoro nyerere nakupendaga sana, kwa jinsi ulivyo unapendeza sana ukiwa ni muislam, una hekima, subira na utu, unapenda haki, unachokikosa ni uislam tu ili Allah akuridhie na aje akupe maisha ya kudumu huko mbele za haki.

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 Před 3 lety +4

    Kila ukisimama Ni kuchekesha tu.sijaona akiongea mikakati ya kimaendeleo kimkoa kwa nchi yetu hapa tulipofikia na ukipewa nafasi kubwa kam hiyo inabidi uwe siliasi kidogo ili Mambo yaende.huwezi kusimamia watu kwa kuchekesha watakudharau.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Před 3 lety

      Hakuna cha maana hapo hata kidogo. Kweli huu ndiyo uongozi ???? Eti watu wanacheka.

    • @chaomadedo
      @chaomadedo Před 3 lety

      Ila kweli umesema. Achekeshe kweli ila awe serious. Mf Magufuli nimcheshi sana ila jamaa alikuwa hapendi mchezo na kazi labda nakosea nisahihisheni jmni

    • @simongalahenga6858
      @simongalahenga6858 Před 3 lety

      @@chaomadedo hapana hujakosea na hata wasaidizi wake walimfahamu hivyo siyo kila mahali ukienda wew Ni kuchekesha tu.

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 Před 3 lety +1

    gombania urahisi tutakuchagua

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 Před 3 lety +1

    Hp maendeleo nac vicheko

  • @isackmakenziipm6460
    @isackmakenziipm6460 Před 3 lety

    Nadhani makongolo anafaa kuwa Rais

  • @immanada9296
    @immanada9296 Před 3 lety +1

    Mmmhh, cjuw kama kuna kaz hapa

    • @omarjumanne2698
      @omarjumanne2698 Před 3 lety

      Hamna kazi hapo kuna vicheko mambo binafisi yanazungumzwa hakuna kitu hapo

  • @mustyboymaalim2070
    @mustyboymaalim2070 Před 3 lety +1

    Makongoro angefa kupewa naibu rais

  • @yohanaikaya6218
    @yohanaikaya6218 Před 3 lety

    Tufanyieni mpango wa kupata Rais kutokea ukoo wenu maana naona ni watu wenye akili nyingi kiuongozi.

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 Před 3 lety

    😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 Před 3 lety

    Sasa nenda ufanye kazi.

  • @teresiamgimba5498
    @teresiamgimba5498 Před 3 lety +1

    Mtoto was nyoka ni nyoka tu

  • @bonifacemkanga6302
    @bonifacemkanga6302 Před 3 lety +6

    We chekesha tu uache kazi then waseme watoto wa mwl hawakumbukwi

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 Před 3 lety

      Hahahaha

    • @simongalahenga6858
      @simongalahenga6858 Před 3 lety +3

      Nashindwa kuelew kila akisimama Ni kuchekesha tu sijaona anaongea mikakati ya kimaendeleo na kwa nchi yetu hapa tulipofikia ukipew nafasi kam hiyo inabidi uwe siliasi kidogo siyo kuchekesha

    • @nusrathussein521
      @nusrathussein521 Před 3 lety

      Angalia na nafasi yake kwanza

    • @bonifacemkanga6302
      @bonifacemkanga6302 Před 3 lety

      @@nusrathussein521 Rc sio mtu mdogo au unamaanisha

    • @bonifacemkanga6302
      @bonifacemkanga6302 Před 3 lety

      @@simongalahenga6858 kabisa yani

  • @bilalidaah9752
    @bilalidaah9752 Před 3 lety

    Huyu sipendagi nimuone akiwa ngazi kama hizi zaidi ya urais watu wametoka umakondeni,usukumani,ukweleni,upembani wanaongoza nchi lakini mtoto wa mpambanaji wa kupambania taifa unabaki kuteuliwa daaah huwaga inaniuma sana Kama vile mzee wangu