MAKONGORO NYERERE AMKUMBUKA MAGUFULI - "UNAWEZA KUKUTA NDIYE MALAIKA wa MAJIPU HUKO JUU" - UTACHEKA!
Vložit
- čas přidán 19. 07. 2023
- MAKONGORO NYERERE AMKUMBUKA MAGUFULI - "UNAWEZA KUKUTA NDIYE MALAIKA wa MAJIPU HUKO JUU" - UTACHEKA...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
hiyo camon20 mnauzaje
😂
. Mlnlnkjljjjlljnnnnljkl0009 ,klioo
😮m 😮😢😊😮😅🎉😂😢
Kucheka huondoa msongo wa mawazo. Ni faraja! Furaha huunganisha watu pamoja.
Asante Mkuu!
Maji hufuata mkondo daaah watu wanaenjoy Kama enzi za nyerere
Maongoro you are the best leader and comedian uwe invited pale Cheka tu au watu Baki.
Uko vzr kaka unapenda sana kucheka na watu inaonyesha ni Jin's gan unapenda watu
Mzee makongoro ni Noma sanaaa
Jamaa ni comedi sanaaaaa..spice zotee
Ahahahhaa aisee Mungu akuweke zaidi Mh.Makongolo
Namkubali sana Mzee Makongoro.. Good Leader makes happy people around Him...
Unaonyesha ni jinsi gani ulimkubali JPM kuliko shangazi bandari
I like it very nice speech
Tumekumisii sanaaa mkuu wa mkoa wa rukwa huku manyara
Msg sent!!!! Sio milele n RIP JPM
Hongera Nyerere kwa uzao mwema
Mzee uyu anatalent ya comedy
Kama babaake mzee Julius nyerere
Best one in our country
Yupo vizuriii
Makongoro you are atalented comedian and great administrater you are the likes of ronald reagan."big ups"
😂😂😂😂nimecheka.
Unanikumbusha mzee Nyerere
Huyu mzee ni mcheshi 😅😅😅
Unamfanyia mzaha Mwenyezi Mungu eti unamuita mzee dah mhm
Anamaanisha baba yake mzee Nyerere
Nlililegwa na machozi kidogo baadae nkaanza kucheka.
Nyerere kaacha Mtoto ubarikiwe Sana
😂😂😂da! Mzee nakukubal sanaaa
R.i.p Magufuli wangu
Ww mcheshi Sana ❤❤❤ more
Kwa hali hiyo,mkuu utaishi miaka mingi 😂😂
Raha sana,nimecheka sana.
Dah!kweli Mungu akuongoze bro
Ss tunampenda mkuu mkoa mtoto wa nyerere
Njoo DAR Man.....
Mkuu upo vizuri sana .paka umemtaja jembee
Nimecheka sana Mzee makongolo ni mchangamfu sana
Hili jamaa kiukweli linafurahisha kweli
Ni kali mno.
Huyu kumueleaa msikilize mara mbili
Mungu akulinde kiukweli maji yafata mkondo
Makongoro utatuuwa...ha haa haaa
Nimependa ucheshi wako mzee
😂😂😂😂😂😂😂 huyu mzee amenifanya nifurahi pamoja na shida nilizonazo.
Yanga
Makongoro oyee safii
Makongolo uko vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣
Makongoro ni kiongozi mzuri unaeweza kumkabili kama Rafiki bila woga wowote.Anampa furaha masikini na Tajiri wa mbali na wakaribu
😢😢😢
Ni kalama ya uzao hiyo asante
Dah Nyerere kamlandisha mtto wake mpaka utani .Baba wa Taifa J.K.Nyerere jina lako liimidiwe ulitetea Taifa laiti viongozi wakaiga mifumo yako watafika mbali kuwatumikia watanzania Kwa HAKI.
Katakana oyee
Don't joke with our Hero
Kuna kipindi tunahitaji Viongozi kama Hawa. Tunacheka Sana kuounguza mawazo ya maisha magumu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 asee mzee alituachia burudani
Dahh 😅😅😅 t.
Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah
Tunataka mtoto wa baba wa taifa awe Rais naye mwanamke hawezi nchi hii
DHIHAKA, MKIPATA NAFAS MSIMDHIHAKI MAREHEMU, ASANTE.
Izokazi zakuwapa watu wakomedi
Tunacheka nchi nayo inacheka,yani ujinga ni nini??? Ujinga ni muchekeshaji anapocheka wakati yeye ndio anachekesha.
Atakuwa huyo malaika wa majipu lakini sio Wa Mungu
😂😂
😅😅😅😅😅😅 dahh
rai kwa viongozi mashujaa mue mnawajenga watoto wenu kabla hamjaondoka dunian huyu makongoro kwakua alichagua kua mwana siasa basi babake angemwandaa kuwa mwanasiasa shujaa na mzalendo na kusaidia inchi na wanainchi nasio kua comedian wa inchi inakera sana sasahivi tanzania inapasuka navita inakaribia ye yuko busy na kuchekesha viongozi bila manufaa yoyote kwa taifa au wanainchi bure kabsa
Acha upimbi ww kaangalie speech za mwl.nyerere nyingi za kuchekesha
@@moshisamike5537mwambie
Nend kwanz kanunue ped usituandikie pumba
Mungu atatuepusha na vita pia mm sijaona kosa lolote hapo hebu acheni chuki za kijinga
Ww unataka kiongoz awe amenuna tu
😂😂😂😂😂😂
wewe sio mtotto wa nyerere wewe ni mchumia tumbo kwa kutumia baba yako wa kambo nyerere hakua chawa hata ndugu zako awajawaii kua chawa hata siku moja ni wewe unae iga kucheka kama nyerere tu njaa itakuaibisha
Usimkosoe mwenzako wewe umefanya nini cha maana?
Acha ukuma ww tulia na njaa ako
Acha usengeee
Duuh makongoro unachekesha Sana 😅😅
Maongoro you are the best leader and comedian uwe invited pale Cheka tu au watu Baki.
Duu mkuu huyo noma
Hayupo wa kumpa kura mama samia hata tone
Mm Nampa
😂😂😂
😂😂