CHOZI LAZIMA LIKUTOKE | ALICHOKIFANYA MWANDALE MBELE YA RAIS SAMIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 06. 2022
  • Mwandale ni binti anaelazimishwa kuolewa na baba yake akiwa bado mwanafunzi kwaajili ya tamaa za mali. Na kutokana na baba yake kutokuwa na uelewa mzuri kuhusu elimu kwa mtoto wa kike anaona amuozeshe binti yake kwa ng'ombe 400, kwa kigezo cha kwamba mtoto wa kike hapaswi kupata elimu. Mwandale anakataa na kukimbilia kwenye Mfuko wa hifadhi ya jamii Equal Opportunity Trust Fund (EOTF). Kwasasa ni mhitimu wa ngazi ya sheria. #mwandale #mrishompoto #eotf2022 #ikulumawasiliano #mamasamia

Komentáře • 154