EXCLUSIVE:Changamoto zinazowakuta wanawake wenye kipato/nafasi kubwa kuliko waume zao/ SABRA MACHANO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 08. 2020
  • Hii ni Interview tuliyoifanya na Mkurugenzi muendeshaji wa ZSSF ambae ameelezea kiundani kuhusu ABUSIVE RELATIONSHIP, na changamoto mbalimbali wanazopitia wanawake walio kwenye ndoa ikiwemo na experience yake yeye mwenyewe, pia tumegusia changamoto za wale walio kwenye nafasi fulani ya juu ama kipato cha juu zaidi ya waume zao Jinsi hali inavyokuwa na magumu wanayopitia
  • Zábava

Komentáře • 21

  • @fraziamsonge4492
    @fraziamsonge4492 Před 4 lety +3

    Hongera Dada una moyo saf sana weng hawapend kuwapa wenzao Kaz wakihis watafamkiwa na kuwazd maendeleo ni kwel watanzania tunaweza kikubwa ni uaminifu tujitahd kwa Hilo tutafka mbal

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 Před 4 lety +4

    Zamaradi umependeza sana MashaAllah

  • @nm1617
    @nm1617 Před 4 lety +1

    Interview nzuri sana .Maswali mazuri sana Zamaradi. Hongera Sabra ,nimependa uwazi na ukweli wa kuelezea uhalisia wa maisha ya wanawake kwa uliyoyaelezea bila kificho au kupindisha . Big up you all.

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 Před 4 lety +3

    Sabra umeongea maneno poit yote nakupenda sana

  • @mwajumajumbe3325
    @mwajumajumbe3325 Před 4 lety +2

    Wanawake tunaweza

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 Před 4 lety +1

    Zamaradi upo smart sana leo mashallah

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 Před 4 lety

    Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Masha Allah , tabaraka Allah. HONGERA sana dada kwa kazi yako , endelea kumtegemea Allah na insha Allah utafika mbali kwa uwezo wa ALLAH. 💗❤❤❤😍

  • @innat04
    @innat04 Před 4 lety

    Sabz well explained about abuse.

  • @a.856
    @a.856 Před 4 lety +1

    Well said hon MD🙏

  • @najma3268
    @najma3268 Před 3 lety

    Umezungumza vzr sana dada , mungu akubariki inshaallah

  • @n.r.narendarsinhvaghela2761

    Super duper tv

  • @fatmayussuf4760
    @fatmayussuf4760 Před 4 lety

    Uko vizuri sabra hongera

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 Před 3 lety

    👌

  • @fraziamsonge4492
    @fraziamsonge4492 Před 4 lety +3

    Kwel Dada single mother wako weng sikuhz wamama weng ndo wanahudumia Familia hata waloolewa na weng wakpata pesa wanaume wakichukua hawarudshi tunayaona meng sana kwenye jamii zetu

  • @khadijamgambo6874
    @khadijamgambo6874 Před 3 lety

    Zamaradi uyo Dada kakulipa umuinterview, km Ally kamsifia basi Mwinyi kamtimua, Muuwaji wa Zanzibar, chipsi chafu zinakusubr mtaani.

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 Před 4 lety +5

    Lakini zama wewe unaulizaga watu personal life zao ila yako husemi kwanini

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 Před 3 lety +1

      Anaona hakuna mtu wakum hoji maswali ambayo yeye anataka kufunguka napia atajihisi hapa hili swali halijaulizwa ki deep so mahojiano hayatakuwa yeye sasa yatabadilika kumuongoza ambaye anaye muhoji😅😅😅😅 fatilia utaona moja amehojiwa na gardna capten Baba kareen.

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 Před 3 lety

      @@kitonekantasha1687 mbona kazi ipo

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 Před 4 lety +1

    Mwanamke wa nguvu huyo!!

  • @imamaliridhwa1884
    @imamaliridhwa1884 Před 4 lety +1

    Katika maisha haya wanawake wamekua watu wa kulia Lia Sana na mbaya zaidi ni wale ambao Wana uwezo au elimu , kitu wanachosahau ni kwamba wanayopitia baadhi Yao ndio hayo hayo tunayopitia baadhi ya wanaume wengine katka ndoa zao au familia zao, wanaume wengi hatufikii malengo yetu sabb upande wa mke wamekushika kila pembe kiasi kwamba kama unafanya kazi Kwa ajili ya familia Yao na sio familia yako, wanaume ni watu tunaostahamili Sana Ila kuna siku tukianza kuyatoa yaliyomo ndani ya ndoa au nyumba zetu tunayofanyiwa na nyinyi wanawake nadhani mutazifunga hizo channel zenu