MCHOME: SIMBA ISIWAUME TP MAZEMBE KUJIFUNZA KWA YANGA | WAMETUACHA MBALI SANA | MIFUMO YETU BADO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 05. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
  • Sport

Komentáře • 81

  • @saidjuma8560
    @saidjuma8560 Před měsícem +2

    Mimi namkubali sana mchome ni ndugu yangu mpare wa gonja

  • @augustinemainde
    @augustinemainde Před měsícem +2

    Hongera TP Mazembe Elimu Haina mwisho

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances Před 27 dny +1

    Vyanzo Vya Mapato Umetaja Vitatu 3 ila Umesahau Chanzo Cha Nne Cha Viingilio Vya Mashabiki Uwanjani GATES COLLECTION "

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před měsícem +3

    Watu wanabisha tu bila kufikir hamjaambiwa TP Mazembe kaja kujifunza namna ya kuchukua kombe bali wamekuja kujifunza namna ya uongozi bora na transiformation sasa hapo sijui mnapinga nini na alf hawajalazimishwa bali wamekuja wenyew na isitoshe TP mazembe kapigwa nje ndani na pia kuna mchezaj aligombewa na TP mazemb na yanga na yanga wakaipiku mazembe wakamchukua

  • @CatherineOdede-sp2et
    @CatherineOdede-sp2et Před měsícem +2

    Napenda yanga yangu

  • @user-qo1ei9yk1z
    @user-qo1ei9yk1z Před 19 dny

    Unaogea vizili sana hamia yanga

  • @charlessayi-hc2rg
    @charlessayi-hc2rg Před měsícem +2

    Simba muacheubishi naubishiqenu utawachelewesha kuaminishwa uongo,charles benjamin

  • @izackwiliblod1472
    @izackwiliblod1472 Před 29 dny

    Mashabiki wenzang mchome asiwaumize kichwa uyo ana utindio wa ubongo

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před 29 dny

      hahaha hujajua kua nyie mshabik ndo mna utindio wa ubongo mangungu alishawai kuwaambia hamna akili hamstuki 2

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p Před měsícem

    hongera chama langu yanga

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 Před měsícem +3

    Tatizo Simba ni club ya watu wa mdomo saana na majivuno

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před 29 dny

      exetent umenena jambo na mm hua 2mapishanga kiswahil na hao masha biki wa simba hua wamebarikiwa midomo kama uyo msemaji wao sijawahi kuona anaongea point hata siku moja hua kama mwimba taarabu

  • @fedrickmwailinga7819
    @fedrickmwailinga7819 Před 28 dny

    nilichogudua huyu jamaa anaugomvi na baadhi ya viongozi wa Simba.

  • @davidarabiy3924
    @davidarabiy3924 Před měsícem

    Big up mchome uko poa sana unaongea ukweri kabisa

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 Před měsícem

    Ukitaka mafanyikio kubali kushuka, TP MAZEMBE ni bingwa mara 5 ya CAF CL, wamefika finali ya world cup ya club 2010 na Inter Milan, ila wanajifanya kushuka Ili wajifunze

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 Před měsícem +1

    Hii Nchi INAMIJItu mijingi mijinga sajapata kuona yani tp wakujifunza yanga ili jamaa lipimwe pakunyea ninamashaka litakuwa shoga

    • @fredymwengela6763
      @fredymwengela6763 Před měsícem

      Hakuna shoga ambae anaweza kuwa na akili za Mchome acha ushamba na ujinga we ukiwa unasikiliza tumia akili zako za kuzaliwa ww

  • @AmiriMalenge-kc5jk
    @AmiriMalenge-kc5jk Před měsícem

    Yani siku makolo watapo acha ujinga watafika mbali

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex Před měsícem

    Usisahau ilikuwa ni miaka ya korona piya😂😂😂

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 Před měsícem

    Acha waendelee kubisha sisi tunasonga mbele kisugu endelea kuwadanganya makolo wenzio

  • @user-su7np6sn7s
    @user-su7np6sn7s Před měsícem +1

    Tusiwalaumu hawa masimba jike😂😂😂
    Wao wenyewe wamechanganyana wameathirika kiakili wanajiongelea tu kama wana malaria kichaa😅😅😅
    Wanajiuliza hivi ndo sisi tunaogombania nafasi ya pili? Wakati YANGA ile ya bakuli inafukuzia ubingwa nasio kufukuzia nafasi ya pili
    Sasa umakoloni wanaminyana kupata nafasi yapiki ikiwa machampions wameshatangaza ubingwa
    Sasa makulibwanji wamekua kama vichaa vichaa hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daadekizao

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 Před měsícem

    Baada ya TP Mazembe Mwingine anaekuja kujifunza ni TP LINDANDA 🤔🤔

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z Před měsícem

    Makolo wanaumia hakuna jambo jingine. Wanabisha tu

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 Před měsícem

    Simba walishinda Mara NNE mfululizo kwa kudaidiwa na viporo tu,do vyengine huo ndio ukweli

  • @shabanimbilinyi3829
    @shabanimbilinyi3829 Před 29 dny

    Alafu mbona jamaa kama macho yake yamelegea huyu

  • @frankjekela5278
    @frankjekela5278 Před měsícem

    Tajiri kuwatembelea na kuwasaidia Viwete na mayatima vile vile akiwa anatoa misaada Kuna kitu anajifunza

  • @mtudidaniel9585
    @mtudidaniel9585 Před měsícem

    Huyu Mchome kumbe ana akili Sana, ni kweli kabisa simba ili shine wakati yanga haina ela. Walikuwa natembeza bakuli, mpaka kocha mwinyi zahera alikuwa analipa wachezaji mishahara.
    Ila Yanga ya leo inachukua ubingwa mara tatu mfululizo simba ikiwa na uchumi mzuri kama yanga tu.

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo Před měsícem

    kwani mashabiki wa mazembe wanasemaje achana na awa wehu makolo awa washavurugwa mo hajawamwagia ndani kitanbo

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 Před měsícem

    Bingwa mara kombe la Africa mara 5

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f Před měsícem

    Kujifunza ni muhimu kunanchi kubwa zinajifunza kwa nchi ndogo haya mambo yapo tuu kwa uongozi imara kamayanga

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r Před měsícem

    Ndoo wamesha jiifunza Sasa unabishann?

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Před měsícem +1

    Wanao bisha umu ndan n maKoLo fc 😂 mangungu fc madunduka fc 😂 kitimoto fc

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx Před měsícem

    Kwan mazembe wameitwa na yanga? Si wao ndo wamekuja

  • @edwardshirima6185
    @edwardshirima6185 Před měsícem

    Leo ndiyo nimeamini ni mamluki

  • @AmiriMalenge-kc5jk
    @AmiriMalenge-kc5jk Před měsícem

    Makolo bhana mbona mapovu Sasa au nafasi ya tatu hamuitaki

  • @kulwahemedi1110
    @kulwahemedi1110 Před měsícem

    Uy jamaa ubongo wake umechanganyka na mavi tp wanajifunza nin pale yanga kuingia robo au

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 Před 29 dny

      Sasa unabishana na TP Mazembe? Wao wamesema wamekuja kujifunxa wewe unawakatakia! We we sio kichaa kweli!

  • @LababaZircoijoxboy-hm2ud
    @LababaZircoijoxboy-hm2ud Před měsícem

    Huyo mchome ni mjinga , ni mpumbavu tena ni bwege sana ,,, 😂😂😂😂 ,,,,

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před 29 dny

      achen mchome awakate wenge hamjui mliko ndo maana mkiambiwa ukweli mnatema nyongo kwenye amna mchome yuko sawa 100%

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 Před měsícem

    Mchome wape madini adimu

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 Před měsícem

    MCHOME POKEA MAUA YAKO,NI WANAMICHEZO WACHACHE WAKWELI KAMA WEWE.WAELIMISHE WENZAKO WATAELEWA TU,MEANADAMU SI JIWE

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 Před měsícem

    Unataka kupakwa mafuta tena

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 Před měsícem

    Madunduka mna tatizo la Afya ya akili

  • @hamzayasni2793
    @hamzayasni2793 Před měsícem

    Kwenda uko chawa wenyewe ndio nyie

  • @sulemanmagesa2181
    @sulemanmagesa2181 Před měsícem

    Mjinga msifie kufanikisha Malengo Yako. Mhitimu wa Chuo akajifunze Kwa mhitimu wa Darasa la Saba Kwenye Masomo

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 Před měsícem

    Nchii hii inamaajabu timu imekuwa bingwa wa Africa mara tano ivi ijifunze nini kwa timu ambayo haijafika hata nusu fainali ya kombe la Africa.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Před měsícem

      Zipo Namna Nyingi Zakujifunza. Sio Waje Kujifunza Hicho Mnachofikiria Inawezekana Wamekuja Kitu Ambacho Haamkijui. Hivyo Nivetu Mkae Kwa Kutulia.

    • @marysaimon2213
      @marysaimon2213 Před měsícem +1

      Itawachoma Sana, endelea kuuliza

    • @LinusFrancis-rr8rw
      @LinusFrancis-rr8rw Před měsícem

      Nusu tumeingia ila tumenyimwa goli

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Před měsícem +4

    Tp Mazembe wajifunze nn kwa Yanga mwaka huu 2 wameingia nusu final wameshachuguaga CAf champion league mara mbili au Tatu Uto miaka 25 ndio kwanza kuongia makundi kenge ww kakojoe ulale

    • @husseinmejja8041
      @husseinmejja8041 Před měsícem +6

      Yanga kwa sasa n bora tuache ubishi tuache historia hata yanga ilipaswa kwenda nusu n fitna ndio imewatoa tukubali kwa sasa yanga n bora Africa mashariki

    • @Kuminamoja1995
      @Kuminamoja1995 Před měsícem +3

      Yanga Inamashabiki wengi na wanachama TP mazembe wamekuja kujifunza.

    • @user-md9iy9qn1k
      @user-md9iy9qn1k Před měsícem +2

      Yanga alimpiga TP Mazembe ndan na inje ao hujui 😀😀😀

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Před měsícem +3

      Mmeambiwa isiwaume lakini Cha ajabu mnaumia

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 Před měsícem

      Raja waliwapiga 6 nyie mnaona ajabu kupiga Mazembe