MBEGU ZA MITI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • Jambe Seed, Wauzaji wa mbegu bora za miti

Komentáře • 27

  • @wilisonwilliam6484
    @wilisonwilliam6484 Před 23 dny

    Naomba namba unitumie nataka mbegu

  • @absalommmartin2851
    @absalommmartin2851 Před 5 lety

    Asante kwa elimu bora kuhusu njia nzuri za upandaji miti pia na vitu vyakuzingatia kuhusu kilimo cha miti, je ile miti ya awali msimuliaji alikuwa akitueleza ya umri wa miaka mnne na hii ya mkulima ya miaka mitatu ni tofauti ningependa kujua

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  Před 5 lety

      wasiliana na namba zilizo oneshwa katika kipindi, utahudumiwa vizuri

  • @stewarddriver1242
    @stewarddriver1242 Před rokem

    Naomba namba ya Steven mlimbila

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Před 4 lety

    Inapendeza sana

  • @jimmyprotazi2063
    @jimmyprotazi2063 Před 6 lety +1

    Asante kwa kutupa elimu @kilimoBiashara naomba kuuliza mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa Mbegu izo za mkaratuzi zinafaha naomba ushauli

    • @straitnews3441
      @straitnews3441 Před 5 lety +1

      Jimmy Protazi VP babu na mm nipo kagera ninevutiwa na hii kitu especially kwa pines ila ardhi ya bei rahis ndo napata WAP huku

    • @protazipius6281
      @protazipius6281 Před 4 lety

      @@straitnews3441 0755845130 nitafte Gideon kanje tuongee

  • @NTE255
    @NTE255 Před 5 lety +1

    Nashukuru sana kwa afya ya ubingo mnayotupa. Napenda kujua je
    Miti hii ya mbao inaweza kustawi vyema mkoa wa Morogoro Kilosa?
    Na kama inawezekana, je naweza kupata wapi miche ya mikaratusi mkoani Morogoro?

  • @pierresaltary795
    @pierresaltary795 Před 2 lety

    Naweza kupata mbegu ya miti na sio seedling

  • @jessydevis9595
    @jessydevis9595 Před 4 lety

    Mpo wapi

  • @pelezi84
    @pelezi84 Před 6 lety +1

    Asante sana kwa mafunzo mazuri,
    Naomba kuwashauri wadau pia wanaweza kupata elimu zaidi na kukutana na wataalamu kwenye Mitibiashara forum, forum.mitibiashara.or.tz/
    Karibuni sana.

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  Před 5 lety

      wasiliana nao wataalamu kupitia namba zilizooneshwa katika kipindi

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 Před 5 lety

    Hizo mbegu ndo tatizo tunazipataje

  • @mohammedahmedsaeed7048

    Karibuni Nina mpango wa kununua shamba la Miti . Mbegu wa ekari itani kuwa bei gani na kiwango chake?

  • @desmondgideon7683
    @desmondgideon7683 Před 6 lety

    Ningependa kuwekeza katika biashara ya kulima miti na kununua mbegu kutoka kwenu, lakini nilikua na maswali ambayo ningependa kupata majibu, wapi naweza pata shamba nikalima miti? Na kwa kuanzia ni hekari ngapi zinafaa (najua inategemea na mtaji but roughly)?? Na mengi zaidi, sijui hizo namba za simu mlizo weka nikipiga zinaweza kunipa majibu? Asante

  • @avax5717
    @avax5717 Před 6 lety

    Hiyo miti haioti mkoa wa Pwani? Namaanisha maeneo ya Kibaha, vigwaza hivi