Ndio wapendwa watamezwa Na Joka ya Zamani wa tumishi wa bongo Shetani Hibirisi ata wa me za ju ya pesa Kueli wats Pe Lekwa Mu GEHANAMungu A mibariki sana Nina wapendwa sana Shalom Shalom
Kweli kabisa tunaona watu saivi hawamwamini Mungu na kuna watu wanalitukana hata neno la Mungu wakijifanya wao Ni manabii kumbe ndani Ni mbwa mwitu kabisa
Mungu awabariki kwa ujumbe was nyimbo . Lakini chungeni waimbaji wa kanisa la AIC Africa mashariki tusije kushikwa na uroho wa densi ambao umetambaa Poole bila kujulikana na umekomaa
2024 still watching the best gospel song. Na ndio mtindo wa kisasa hasa hawa wajiitao manabii
Like zangu kma bdoo unausikiliza huu mwimbo 2021
2023 who's watching like me ❤
The song still as new as it was released....here in 2023, ...
Watching from kenya
salamu kwa mwalimu aliye wafundisha nyimbo hizo MUNGU awabariki wote mlio fanyakazi hiyo
We mama ni nomah kweny kuimba🥰🤩❣️♥️mungu akuweke jmn
Alakni ni n’a penda iyi Wimbo sana ina fundisho la Nguvu ju y’a apostasie Amen Dada mupendua Acha Mungu wa Biblia À kongezeee Baraka kueli Shalom
Who is here in 2020 yani bado naipenda sana hii nyimbo uyu mama anaimba sana
Hakika huu ndo wimbo wangu Bora wa nyakati zote! Ahsante Mungu Kwa kwaya hii
Hâta mimi imeni furahisha sana
These are true singers, filled with the wholly power to deliver.
Mpinga kristo yupo kweli...2021 tuwangapi?...👍👍🙏🙏
Very nice one.thats what's exactly happening nowadays.kongole wanachangombe.napenda Sana kwaya zenu.
Utukufu kwa MUNGU Wa mbinguni, MUNGU awabariki sana, nyimbo zenu nzuri sana, nabarikiwa sana
always my No. 1 choir. christians we ought to be vigilant and ask the Spirit of Discernment
i love this soloist. she blesses my soul
2022 still watching, old is gold
Mungu awabariki..mnatukumbusha kuzipima roho
Marry Halphan nmeona
i love this choir.. they preach the truth
Mubarikiweni sana choir ya aict chang'ombe .ni Charles kyalo nikiwa kitui Nairobi kenya.nyimbo zenu zinanibariki sana .
Mimi in 2023 i still love it..Aic chang'ombe a fav since utotoni wangu nikiwa primary ❤
2020 bado nasikiliza
I remember this song when i was young
2021 baada yakuskia Kuna viatu vya shetani
❤❤ujumbe mzuri sana
Huyu mama yupogo wapi hata niende aniwekee mkono kwenye uso wangu mimii😊
Blessed sana nyie watu mungu awafunulie zaidi na zaidi maana nyimbo zenu zinanguvu za mungu sana ,,, zinafundisha zaidi
Ndio wapendwa watamezwa Na Joka ya Zamani wa tumishi wa bongo Shetani Hibirisi ata wa me za ju ya pesa Kueli wats Pe
Lekwa Mu GEHANAMungu A mibariki sana Nina wapendwa sana Shalom Shalom
2022 still hit
2019 bado naskiliza
Nashuku nyinyi ndio mtakuwa mkitumbuiza watakatifu mawinguni. Kazi njema Mungu awabariki
Hii kway ina masolo wazuri san pia waimbaji wako sawa Mungu awainue
Shalom Shalom thanks
hizi sahizi ndio zimepumbaza macho ya wakristo hawaishi kwa neno bali hufuata mtume nanabii anasema nini!Yesu atuponye
Mungu awabariki sana nafarijika na kuimarika kiroho kila nikisikiliza nyimbo zenu.
Here in 2023
chang'ombe yaani nachanganyikiwa na nyimbo zenu
kweli flola kweli chag'ombe nawakubali sana
Ni nzuri mno.
Good song unagusa sana huu wimbo kwanza unaujumbe mzuri huchoki hata kuusikiliza
Still here 2024 praise the lord
My mom said she loves it so much she is having fun and. she is lovely it
To. Day she is having
fun
10 years later and this prophecy comes to pass, Tujipange Sawa Sawa
Oh my God what a wonderful talent!
2024 naangalia tena asante Mungu
Barikiweni Sana, nyimbo zenu utibu moyo wangu
May God almighty rewards you with all you deserve
Nani tupo 2023
God bless this choir
Mungu awabariki sana mzidi kumtumikia yeye aliye juu
mbarikiwe sana mnaimba vzr sana
Still 2023 rocking
A kind request....can I get the lyrics of this song🙏🙏
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu
God bless your choir
Kabisaaaa
Apostasy Apostasy Apostasy Ba Umbwamito Kuzimu ina ba ngojea sooner Shalom Shalom Shalom ba takatifu y’a Bwana Yesu ADONAI Elohim ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Warakoze
Twabakunda wowe na Vestine ❤️
Kweli kabisa tunaona watu saivi hawamwamini Mungu na kuna watu wanalitukana hata neno la Mungu wakijifanya wao Ni manabii kumbe ndani Ni mbwa mwitu kabisa
Its a blessing
Aiseee kwel naupenda sijui wenzangu nyie kwel unanitia moyo ya kujua kumbe kuna makristo wa uongo
Izaeli Elia ❤
🙏🙏
Hongeren kwaya
last days in deed, tujiadhari sana.
Glory to God,am blessed
I
Mungu aendelee kuwainua kwa kazi nzuri
Daa nabarikiwa Sana
gress Mshunga nabaliki. wasana
2024 bado wimbo naupenda unaendelea kunifunza jambo
wimbo bora sana barikiweni.
Amen.mbarkiwe
Yesu awabariki sana
Nashukul mung kuona Kwaya hii inaimba mung biriki Kaz zao amenii
Ndashima indirimbo zanyu cane icompa nkabagender nkababona
I ❤this song
wooh kweli siku za mwisho!
mungu awabariki maana manabii wa uwongo ni wengi
Mungu awabariki kwa ujumbe was nyimbo . Lakini chungeni waimbaji wa kanisa la AIC Africa mashariki tusije kushikwa na uroho wa densi ambao umetambaa Poole bila kujulikana na umekomaa
2021 amen
Jaman sichokag kuangalia watu hawa wa Mungu
Mko vzur sanaa
Huu ndio wimbo bora kabisa kwangu wa muda wote
Yaa kweli
Wimbo poa xana
mubalikiwe Chang'ombe
2020
Glory to God
Ameen
Huu wimbo kiukweli unatufundisha tujihadhari na shetani
Bwana atawalipa kwa huduma nzuri ya kuitangaza injili yake bwana
Kwakwel hii kwaya ni hatari sana
A very inspiring message,today's reality
2023 naangalia tena kwautukufu wa Mungu nipohai♥️♥️♥️
Ameni nipo macho nabarikiwa
Mungu tusaidie kuona haya
Ni kweli Mungu wa mbinguni awabariki
Mnanikosha nyie watu mpaka najiona simtenda zambi vile
Bado hii wimbo nzuri
Mpen zumalid asikilize
Great song
hakika yesu ni bwan
kila got litapigwa
You are blessed and blessing us too
hakika mungu hawabariki na nyimbo senu izr
good
Nisaindieni aki
napenda hii nyimbo
mwamposa
Nzuri
huuu wimbo watu wa waposa unawahusu 😂😂😂😂 2024
Muhongele mungu awabaliki
Mko vizur.
My all time best choir ever..Natamani ningekua Tanzania😁
Krb Tanzanian
Nice song
@@dorahyonah5306 Asante sana Dorah.uko pande gani Tanzania
Am also a Kenyan but hua natamani kua mtanzania juu ya nyimbo zao as kumsifu Mungu be blessed more
Mungu awabariki wote
hawa watu wanaimba jamani
Janeth Tupa sanaaaaa, yan nyimbo zao karibia zote nazipenda
Janeth Tupa yaani ni hatariiii
2020
Ameni.