JE, HADHI YA MWANAMKE MKRISTO KIIMANI NI SAWA NA MWANAMKE MUISLAMU?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • Je Ukristo na Uislamu unamtazamaje mwanamke katika imani hizo?

Komentáře • 9

  • @rehemanajib6739
    @rehemanajib6739 Před rokem

    Sitaionea haya injili ya Bwana
    Mungu akutumie kwa viwango vya juu

  • @magletchibwana7216
    @magletchibwana7216 Před rokem

    Mbarikiwe

  • @namanndubi3767
    @namanndubi3767 Před rokem

    Ila mwafrika ni binadamu mwenye ubishi ata kabla ajasoma historia kuhusu mathehebu.

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Před rokem +1

    Ukiristo ulianzishwa baada ya issa kuondoka miaka13 akaja papa Paulo ndiyo aliyo anzisha ukiristo na kanisa lakwanza kuhasisiwa ni roman katoliki huyo ndomama wa vikanisa vingine

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Před rokem

      Kanisa lina vita tangu mwanzo ndo maana waliibuka watu , viongozi na wanaojiita watumishi ili kuuharibu ukiristo na kuharibu sura yake.
      Ndio maana wakatokea watumishi waliosoma maandiko na kuyaelewa ndio yakazaliwa madhehebu mengine

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Před rokem

    Sasa mtachambuwaje kitu chamtu wat mwenyewe hayupo si mgetafuta muislamu hapo mkachambuwa pamoja? Mnahuku kesi yenu wenyewe na mnomshitaki hayupo kujitetea hapo haki iko wapi au ndo ukristo unavohukumu hivo?

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Před rokem

      Hatuhukumu . Watumishi wanakufundisheni yaliyo yakweli ukayachunguze ukiwa kwenu , usifikirie ni kuhukumu au kubishana , kayatafakari kwenu

  • @namanndubi3767
    @namanndubi3767 Před rokem

    Ukiristo uloanziswa zama za kale.

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Před rokem

    Dini ya kikiristo haina sheria kama ya kiislam, mfano ndoa zenu mnaozeshaje kisheria,talaka inatolewaje kisheria,mtoto wa nje yandoa sheria inasemaje sababu tunajua kuzini tumekatwazwa sasaje atakae zini akapata mtoto sheria inasemaje?sheria yakurithi mali inasemaje , sheria ya kuzika mtu akifa inasemaje hii sheria yasister kutoolewa kuna andiko wapi mengi mnajitungiatuu ila kwa mandiko hakuna