Shuhudia mikwaju ya penati iliyoitupa Yanga nje ya Mapinduzi Cup (URA vs YANGA)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 01. 2018
  • Yanga wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar kwa mikwaju ya penati 5-4 na URA ya Uganda baada ya kumaliza dakika 90 bila bao.
  • Sport

Komentáře • 71

  • @micharazomjengo6092
    @micharazomjengo6092 Před 6 lety +5

    Wamebonyezwa kizanzibar bonyeeeeeee

  • @edinaidd970
    @edinaidd970 Před 3 lety

    Mbere mbere yaooooo wapumbavu wamapakaa wooooiooii

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda Před 6 lety

    Hongera sana chirwa

  • @sambegamasatu4561
    @sambegamasatu4561 Před 3 lety

    Yanga mbovu kwenye penalti 🙇🙇🙇🙇😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😤😤😤😤😤😤😤😢😢

  • @joycekombe7052
    @joycekombe7052 Před 6 lety

    Penati ya Raphael Daud ya 🔥🔥🔥

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Před 6 lety

    Penalti kama alopiga Hassan kesi sio nzuri,mtangazaji rekebisha kauli

  • @faisaldanjuma9929
    @faisaldanjuma9929 Před 6 lety

    nice

  • @jabirimabada3967
    @jabirimabada3967 Před 6 lety +7

    Mpira unadunda lakini sio kwenye matope, wameambulia supu yamawe nakachumbali ya miba

  • @hamisgaga1476
    @hamisgaga1476 Před 6 lety +5

    😅😅😅mtangazaji mungu anakuona sio kwa utabili huo

    • @kaidendominic897
      @kaidendominic897 Před 3 lety

      A tip: you can watch movies at Flixzone. Been using it for watching all kinds of movies recently.

    • @bentleefabian5242
      @bentleefabian5242 Před 3 lety

      @Kaiden Dominic definitely, I've been using flixzone for months myself :D

  • @jumaramadhani3876
    @jumaramadhani3876 Před 6 lety +1

    Aisee chirwa kafanyia kusudi yani 😁😁😁😁😁
    Yeni mtangazi wa mpira haendani na sauti yake, anajua kunogesha mambo kwelikweli

  • @sambegamasatu4561
    @sambegamasatu4561 Před 3 lety

    Yangaaa acheni kulalama timu yenu mbovu kwenye penalti 🙇🙇😭😭

  • @wcb4rever600
    @wcb4rever600 Před 6 lety

    Asante chirwa

  • @washmamwenda6519
    @washmamwenda6519 Před 6 lety +2

    Yanga penat bado tukutane VPL; by Cmba,mnyama.

  • @nchodegodalinze5465
    @nchodegodalinze5465 Před 6 lety +3

    chura churan

  • @shebbybongo567
    @shebbybongo567 Před 6 lety +1

    ulaya hiyo penati ingerudiwa, maana kipa amesogea mbele kabla mpigaji hajapiga

  • @khamisjuma5650
    @khamisjuma5650 Před 6 lety

    matokeo ya form four

  • @alexernest896
    @alexernest896 Před 6 lety

    Chirwa's penalty according to FIFA z illegal

  • @cheripapa8853
    @cheripapa8853 Před 6 lety +5

    ugonjwa ulomuua baba mama hawezi pona

  • @joelmusa3832
    @joelmusa3832 Před 6 lety +6

    Mtangazaji kamchongea chirwa kabla hajapiga 😂😂

  • @richardlambert6644
    @richardlambert6644 Před 6 lety

    Chorw unajua bb

  • @fanuelmgaya2755
    @fanuelmgaya2755 Před 6 lety

    Mtu anadai mshahara mnampa apge penat ya misho kweli

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 Před 6 lety

    Hiyo penati goli kipa alitoka kabla ya mpira kupigwa

  • @sapuramastermastersapula7032

    Kwa mpira. Huu hatufiki mbari

  • @alcommwasanjala8477
    @alcommwasanjala8477 Před 6 lety

    Huyo makapu hajui kuongea

  • @justinsumari4330
    @justinsumari4330 Před 6 lety

    tatizo la wachezaji wa tanzania hawana hata nguvu sijui wana kulaga. mifuko alafu huyo msajigwa alisema kwamba chirwa hataingia sasa ame mwingiza ndo ka 2 angusha. alafu hata alipoingia perfomence yake ilikuwa hovyo mipira nyingi amepoteza hovyo. hii timu imesha kuwa shida bhana ahhhhhhhhh.

  • @theonlydayonicedionis3294

    Sasa Chirwa penalty gani anapga hyoo,,si kampa kipa maana hata kuchambua kashindwa! Hakuwa na mood kabisaaa

  • @mahersayd8278
    @mahersayd8278 Před 6 lety +1

    nikweli golkipa ametoka golin kabla ispokua na huyu mpiga nae hakua na malengo ya kushinda penalt kwa jnc alivyojipigia

  • @nelsonmsomba3989
    @nelsonmsomba3989 Před 6 lety

    mikia point 4 wamefungwa magoli 4 wamerudi DSM SAA 4.yanga hamuiwezi nyie mikia

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Před 6 lety

    Uyo mtangazaji ndo katia nuksi ,,,et yanga haina historia ya kupata penat tano

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 Před 6 lety

    Ndiyo Mkuda Nsajigwa na wenzako MKOME kwani Hajib ilikuwa na upungufu gani? Mbona faulu anafunga penalti angekosaje?
    Mnajifanya kuwathamini wageni kuliko wazawa. Mneniboa kinoma. Chirwa anatokea benchi mnampa penalti. Mjipange na VPL.

    • @answarkera1719
      @answarkera1719 Před 6 lety

      kwanza refa kaogopa kichapo penalty ya chilwa sio penalty halali kwa mujibu wa sheria za upigaji penalty za mpira wa miguu
      1 golkipa katokea kabla ya mpira kupigwa tazama vizuri alivyopunguza goli
      2 chilwa katishia akanyanyua mguu na kurudisha chini kanunu ukitishia mguu usirudi chini tena hadi upige

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 Před 6 lety +1

    Hiyo penalty ya mwisho ilitakiwa irudiwe coz kipa alitoka kwenye mstari kabla mpira haujapigwa

  • @erastojames2283
    @erastojames2283 Před 6 lety +1

    yamekukuta nawewe et umalufu wako umeixhia wap?

  • @shevalsonmikael5434
    @shevalsonmikael5434 Před 6 lety

    Ivi tutapona lini Yanga ugonjwa wetu wa penalt, maana kila penye penalt Yanga ndio mda wa kutolewa.

  • @almachusrobert9859
    @almachusrobert9859 Před 6 lety

    Ahahaaaaa

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 Před 6 lety +5

    Tumetoka kiume pitieni na kwangu bonyeza picha kushoto utafurahi

  • @kombapascal6369
    @kombapascal6369 Před 6 lety +3

    Kipa alitoka golini kabla ya mpira kupigwa...... Kama like lineman angekuwa makini ingerudiwa....

    • @mudyramadhani3020
      @mudyramadhani3020 Před 6 lety

      haijarudiwa kwa sababu mpigaji alitisha

    • @answarkera1719
      @answarkera1719 Před 6 lety

      kwanza refa kaogopa kichapo penalty ya chilwa sio penalty halali kwa mujibu wa sheria za upigaji penalty za mpira wa miguu
      1 golkipa katokea kabla ya mpira kupigwa tazama vizuri alivyopunguza goli
      2 chilwa katishia akanyanyua mguu na kurudisha chini kanunu ukitishia mguu usirudi chini tena hadi upige

    • @answarkera1719
      @answarkera1719 Před 6 lety

      kutishia hakufuti kanuni ya kurudia penalty pitia upya kanuni za penalty katika sheria za soka
      unaruhusiwa kutishia shart ukinyanyua mguu usirudishe hadi upige ukigusa chini nikosa kama la chilwa.
      nakipa akitoka katika mstari wake pia pigo linarudiwa
      KIKUBWA REFA KATUMIA BUSARA KUKWEPA KIPIGO KATIKA SAIKOLOJIA WAGANDA WANGEJUA NI FITINA KWA UGENI WAO MAANA TAYARI WALIKUWA NA YAKINI WAMENYIMWA GOLI SASA NA PENALTY IKIRUDIWA INGEKUWA VURUGU ISIOAMULIKA

    • @josephvk2365
      @josephvk2365 Před 6 lety

      lg

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 Před 6 lety

    Hahahahaja tumeoshana masaa kupanda boti hahahaha mtangazaji ww haha

  • @jameskabalega8600
    @jameskabalega8600 Před 6 lety +1

    Et huyu nae ni goal keeper yanga bhna

  • @khalfantambwe3424
    @khalfantambwe3424 Před 6 lety +1

    Chirwa anatupigia penalty ya kijinga kabisa....

  • @justinsumari4330
    @justinsumari4330 Před 6 lety

    tatizo la wachezaji wa tanzania hawana hata nguvu sijui wana kulaga. mifuko alafu huyo msajigwa alisema kwamba chirwa hataingia sasa ame mwingiza ndo ka 2 angusha. alafu hata alipoingia perfomence yake ilikuwa hovyo mipira nyingi amepoteza hovyo. hii timu imesha kuwa shida bhana ahhhhhhhhh...

  • @justinsumari4330
    @justinsumari4330 Před 6 lety

    tatizo la wachezaji wa tanzania hawana hata nguvu sijui wana kulaga. mifuko alafu huyo msajigwa alisema kwamba chirwa hataingia sasa ame mwingiza ndo ka 2 angusha. alafu hata alipoingia perfomence yake ilikuwa hovyo mipira nyingi amepoteza hovyo. hii timu imesha kuwa shida bhana ahhhhhhhhh.

  • @justinsumari4330
    @justinsumari4330 Před 6 lety

    tatizo la wachezaji wa tanzania hawana hata nguvu sijui wana kulaga. mifuko alafu huyo msajigwa alisema kwamba chirwa hataingia sasa ame mwingiza ndo ka 2 angusha. alafu hata alipoingia perfomence yake ilikuwa hovyo mipira nyingi amepoteza hovyo. hii timu imesha kuwa shida bhana ahhhhhhhhh.

  • @justinsumari4330
    @justinsumari4330 Před 6 lety

    tatizo la wachezaji wa tanzania hawana hata nguvu sijui wana kulaga. mifuko alafu huyo msajigwa alisema kwamba chirwa hataingia sasa ame mwingiza ndo ka 2 angusha. alafu hata alipoingia perfomence yake ilikuwa hovyo mipira nyingi amepoteza hovyo. hii timu imesha kuwa shida bhana ahhhhhhhhh...