Hongera. Sana kaka stv mbona hata huku kenya tunawakubali endeleeni tu hivyo mko juu tu sana .nisalimieni dada mpendwa,natural girl without meke up but so cute lovenes
Steve mimi ni muganda naipenda comedy zako sana lakini kiswahili ni kigumu kwangu. Naelewa kidogo. Sasa naomba munitafutie mwanamuke mu Tz nifundishwe kiswahili kabisa. Yiyo ni kweli, nataka mrembo mTz. Nasubiri jibu langu.
COMMENT YAKO NIMUHIMU SANA NIPO NASOMA HAPA
MABOSI WANGU 🙏🤝
Steve naomba contact please,,,
🔥🔥🔥
Uhakika mwamba💥💥
😂😂
Daa nakubari kaka
Good job mwamba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Steve wewe kaokote pesa chin 😂😂
Ivi kweli utawezanna na Amado kijicho kutoka mukulanga ni
ousmani kutoka Burundi nakukubali sana
Nimekuwa wa kwanza kama unamkubali stiv mweusi gonga like 👍
Umeweza mwamba
Ila mwanangu Steve Weweni mwehu na hutaki kupona Daah nakuja Buza Kukutembelea🤣🤣🤣
vmk
stv
zall
@@ObadiaMkinga hahaha wakutulisha kuku sikumbili tukanenepeee wapii🤣🤣🤣
Pamoja sana stive😂😂😂😂
Mwamba sitive Kali iyo nakukubali mwanangu daah umetisha pacha wangu
Steve utaniua wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Steve akili zero unataka unenepe wakati hujazoma bt good work congole💪💪
Watanzania nawapenda saana, endeleeni kututoa stress, hasa huyu SteVU Mweusi.
Piga kazi mwamba, mabos wengne wanazingua kweli nakukubali sana, hamadi kichijo😂😂 from India
Chizi aliye vulugwa na maisha
Nakubali Steve
Daaah mzee weye niatari
One Love From Kinindo 🇧🇮 Bujumbura
No 1
kacha kazi kakosa kazi 😂😂😂
Hii njia inatoka 😂😂😂
Nakufatilia zaidi brother Stive... kiswahili kizuri.
Mtu mbad Steve mweusi tunakubal Kaz zako bro💯💥✌️✌️
Good work and keep it up
Kaka stive upo good sanaa
Nakubali mwamba sema uchizi unakua mwingi sometimes punguzaga kwa baadhi ya clip
Kago, headmaster, Steve 🙌🙌🙌
steve jamani mbona karudi gafla😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Steve mweusi usitukane mamba kabla ujavuka mto 😂😂😂. Steve mweusi nakubali Sana wewe na team yako kago na headmaster 👏🏼👏🏼👏🏼
Kali sana brooo 💓💓💓💓
Steve ujue ww ni mjinga sana 😀😀😀😀
Congratulations my big brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwamba nakutafta saana Steve ....
😂😂😂😂 daaah huyu jamaa
Yani steve bana niatari sana❤❤
Kizazi saaana mwamba Steve nakukubali saana mwamba.
best male comedian 2022 2023
Aaah, Steve mweusi.. the best. I like this guy, anaelewa kazi hii kwa ukweli🤣🤣Ukiona hii sura itizame kama kituo cha polisi !!
😂😂😂😂 kaka una ua san unajua sana kaka
Hongera. Sana kaka stv mbona hata huku kenya tunawakubali endeleeni tu hivyo mko juu tu sana .nisalimieni dada mpendwa,natural girl without meke up but so cute lovenes
Steve umekuwa mbig kweli
😂😂😂😂😂 nimependa hyo Mumbai ya panya
Atali sana man
Yani Steven niki kwita mwehu sio kwa ubaya wewe ni boss lakini kwa hii mimi na sema wew baba la baba kweri from Burundi 🇧🇮 bado niko na wewe
Nakukubali bro❤❤❤❤
Pamoja sana kaka uko vzr
Steve nakukubali sana, unafanyaga refreshment ya akil yang vzur sanaaaa😅😅😅❤❤
Kazi MZURI Sana steve mungu akuongoze INSHAALLAH.
Keep going forward Steve world wide ❤️
Steve wewe noma😂😂😂😂😂
Steve unapata wapi ujasiri wakuongea na bos hivo kweli inavio igiza hi ime vuja rikodi
😂😂😂😂😂jmn steven mweus
Hahaaa
Tukutanee mkulangaa 😂😂
Nimecheka hata kabla sijaangalia
Kazi bila marupurupu kweli sio kazi
😆😆👌
Haaaaaaa 😅😅 jmn jmn kaka hakun wa kukufikia ht
hhhhhhhhhhh zitaki kazi
🤣🤣🤣🤣🤣 bangi hiz
Nakukubari sana stiv hata ofisini kwangu kuna mtu alinitukana na kuondoka kama na akarudi
BonGe la kitu 😂😂😂😂😂😂haha 😂
Eti mashavu tafikiri mimba ya panya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Steve hufai kuigwa na jamii daah unanifurahisha sanaaa
God bless you Steve Mweusi..keep the good work
Nikanenepee wap 😂😂😂😂😂😂
Umechanganyikiwa stive hata hao maboy wawili wanakuona chizi alierogwa
Huyu jamaa nomaa
I like your content,much love from 🇰🇪🇰🇪
Yaliyo pita sii ya mbele😂😂😂
Jama noma sana stive awezi kupona
Bro IPO sawa sbb mabos wengine hawan utu wanakulipa pesa yako Kama umeenda kuomba kumbe umeifanyia kazi
Mweusi kweli unazingua mitaa
we stivu wanivunja mbavu mm😊😊😊
Jamani nieee wa Bongo muna matusi aisée 🤣🤣🤣🤣🤣
Kasoro steve, hao wadau wengine wangebadili nguo kwenye hiyo set ya pili
Big up Steve 🤣🤣🤣
Nakupenda sana Steve
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
YAAANI HUYU STEVE 🎉
kazi nzur haidanganyi umeuuwaa noooma
Yani mweusi nagupenda😅😅😅😅 unanifulaisha bro❤
Mweusi unajua😂😂
Weee Steve wewe 😂😂😂😂
umetisha mwamba
254 tunakukubali Steve Bombo
Stevoh my Guy .🔥🔥🔥🥰🤣🤣.love from Mombasa Kenya
Steve ni hatari
😂😂😂
😂😂😂😂❤❤❤
Wewe stive mweusi nakupenda
Good job
Stive acha kaz baada ya kupata kaz😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila Steve
Na hizo nguo ni za Ndaro,nani kagundua???🤣🤣
Steven we lofa sana 🤣
Steve mimi ni muganda naipenda comedy zako sana lakini kiswahili ni kigumu kwangu. Naelewa kidogo. Sasa naomba munitafutie mwanamuke mu Tz nifundishwe kiswahili kabisa. Yiyo ni kweli, nataka mrembo mTz. Nasubiri jibu langu.
Weye ni fresh
nimecheka sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣😂
unajua sana kuigiza Steven
Stive akili yake 😂😂
Man stivo umeweza😂
Umeganda kabic