To everyone reading this Keep going. No matter how stuck you feel, no matter how bad things are right now, no matter how hopeless & depressed you feel, no matter how many days you have spent wishing things were different. I promise you won't feel this way forever. Keep going..🙏Bless my day with a follower.🤲🏼 it could mean a lot
Wallah Mimi ni Alexis kutoka Rwanda, but you guys you deserve everything good yaani wawawekee nyora kwenye ...zenu munawapita woooote wakomedians, heshima zenu
Hawa ze bus driver.
Steve utaniua siku moja😂😂😂😂😂😂
mshikaj na mapenz tofauti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Steve na story za jaba😂😂
Ndaro skiza story ww😅😅🤣🤣nimependa pale ndaro anamuula story niyaukweli eeh stive ameinama eti niuongo🤣🤣🤣🙌🙌maua yenu❤❤🎉🎉🎉
Team Ndaro tujuane bsi congratulation watu wangu sna steve na ndaro ❤❤❤ love it from Qatar#Burundi
wapo watu WA aina hii mida ya lunch wanakuja kuhadithia story hazina kitwa wala miguu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Stive alokuruhusu kuvuta cha Arusha ni nani lakini 😂😂😂😂😂🙌🙌Ndaro naye yuko makin kuliza maswali juu ya story😂😂😂😂
Wanapendeza Steve na ndaro napend muwe pamoja iviv❤
Tushajua ni story ya uwongo lakin tumeskiliza mpaka mwisho😂😂😂😂😂😂😂
Ndro na Steven ni mimi mkali wenu kwalike munakumbuka ata kwa movie kama akina amadi kijicho ,dazeti toka drc jamani gongeni like hapa
Visuri nanikweli kukupa ujasiri
Nanikweli
😂😂😂
Weh mkali kwa trainding ya like kwa move za hawa
😂😂😂
Kama unakubali ndaro na steve na kundilote gonga like
we ndaro haujui , we yuda nini😂😂❤❤❤
Nawapenda sana timu Steve na ndaro 😂😂😂❤❤
Jamani kidoti yuko wapi mbona simuoni au steave kafanya mambo analea huko kwanza maana steave kama hayupo vile ila 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 Steve utakuja kuniuwa mbwa wew 😂😂😂 ❤ from 🇧🇮
5
Xxxx
Mr ahhhh😀 na mr machalee mmeweza sana wazito mnafukuzwa hamtoki😎😂
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Hawa the bus driver 😂😂😂
Et hawa za bus driver we jamaa ni muong sn😅😅😅😅
Na uyo hamadi kijicho n yupi , nadai nimuone , then Steve vuka boarder uje Kenya twakupenda sana ,njoo ufanye comedy na victor naaman
Hiyo Naipenda saana Tangu Congo 🇨🇩 vraiment 😂😂😂😅😂
😂😂😂😂😂😂😂 cjajutia mb zangu kabisa bravoo😂😂😂
Ila steve🤣🤣🤣 ❤❤❤❤
ni nani mwingine alikuwa makini kuusikiliza uongo wa steve 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni mm 😂😂
Achana na uongo😂😂alivojichungulia chini
Ndaru anangojea mafuriko apate usafir😅😅😅
Mhhh mambo
@@kankalatz7362 yeah
Ndaro acha utaila mbona unaskiliza kama stor ya kweli😂😂😂😂
watching from THAILAND
😂😂😂😂😂 Steve kwa story❤❤❤❤
😂😂😂😂kumbe kana njaa
Steve mweusi kaka una jua wewe ni mfalme Wa comedy 🎉yani niki Angalia video zako nacheka sana
Inamwixho iyo story 😂😂😂😂 ndo inaenda kuishaaaa 😂😂😂😂
Jaman nmechkaaaa ad machoziii
Much love from malawi 🇲🇼 Nakubali kazi zenu
Team mweusi hivihivo kidigichali🤣
😂 yaani nmetega sikio kusikiza story ya Steve kumbe niya kusubiria chakula
Steve😂😂talented
Nakubar sana ndaro kaka 🤟
This duo is Amazing 🤩😍 much love from Nairobi
hadi ndala zikaachwa lakini wapi 😂😂😂😂😂
Ila Steve jau HAWA THE BUS DRIVER 😂😂😂 Ebu nipen like Kama umecheka kama mm😂
ila steve bhnaa😂😂😂😂😂😂
Mweusi forever
Ngoja kwanza,mbn steve lkn anaeleza story akiangalia ndaro sana😂😂😂...steve mwehuuuuu ati nacheka kama mazuri#hawa the bus drive pumbavu zako 🙌 🙌
Mwisho wa story ni wap stev😂😂😂😂😂
Steve na ndaro 🥰🥰🥰
Unaskia ndaru😂😂😂
Twende laoo team ndaro like basi
Huyo hammad kijicho ndo Nani?
Hamand kijicho napenda tu mfaamu
Weeds
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢
Team steve na ndaro gonga like hap
Ndaro wewe yudaa
Nakubali kazi zenu
😂😂😂😂😂😂😂 Steve na ndaro nawapenda sanaaaaaaa 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Za ndaro na stive🔥🔥
Pikeni tu mwegu nani kaisikia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahmad kijicho jaman ni nani
Kenya tumezoea kupiga full tank hatuna matatizo ya kifedha.
We Yuda nn ???😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂story ya Steve imepinda sana😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu😂😂😂😂
Amadi kijicho anaumwa macho😅
Ndaro na stevu 😅😂😂😂😂😂😂
Kama una kubali vitu vya Steve x ndaro gonga like eeeeee❤
Much love from Zanzibar 🎉🎉
To everyone reading this Keep going. No matter how stuck you feel, no matter how bad things are right now, no matter how hopeless & depressed you feel, no matter how many days you have spent wishing things were different. I promise you won't feel this way forever. Keep going..🙏Bless my day with a follower.🤲🏼 it could mean a lot
apo n poa sanaaaaah
Amen
😂🎉❤🎉 incredible actors in Tanzania
😂😂😂😂et ya uongo
😂😂😂😂😂😂nimecheka 😂😂😂😂😂 huyu bosi stiv bana safisana
Uyu jamaa noma😂
😂😂😂😂𝐞𝐭𝐢 𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐣𝐚𝐚 𝐝𝐮𝐮𝐡 😂
Nawakubali kutoka Kenya kakazangu.🤜🤛
Wee Ndaro Haujui😂😂😂
Ila #ndarotz unajua sana mwanangu 😂😂😂
Nakubali sana😅😅
😂😂😂ndo vs steve
Steve na ndaro jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaaaaan Leo mpak tuuleee uwoo ila hatuondokiiii hapa
Akaenda fruuuuuuuu😂😂😂😂
😂😂😂 akweli Steve umeona akufukuzae hakwambii toka nawakubali sana ❤❤❤
Dah bonge la story
Hahaha teve bwana et "hawa the bus driver"
Team steve hapa gonga like
Tupo ❤❤
Steven una njaa kabisa 😂😂😂😂
Badilikeni mavazi tumeyachoka
Acha ushamba Africa sisi tunaangalia talent
Huyu Steve leo na story za jaba kumbe njaa
Nimecheka kweli da!
Which country is this?
Hiyo story ni ya kweli?😂😂😂steven huyo dada ni mtoto wa John cena?😅😅
Hamjapika mboga😂😂
😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nice🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwaza Leo nipeni like zangu jamani❤
Aziza namkubali
Wallah Mimi ni Alexis kutoka Rwanda, but you guys you deserve everything good yaani wawawekee nyora kwenye ...zenu munawapita woooote wakomedians, heshima zenu
nmependa tuu uyo yuda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🇨🇩🇹🇿🖐️🤝 nawa kubali sna hawa wa jamaa na team lao
😂😂😂😂jamani story za njaaa😂😂
😂😂😂
Bora ukae kimyaaa, ukiongea sana njaa inazidi
🤣🤣🤣nakula penyewe wasile😂😂😂
Njaa ya saa sita mchana
Story nyingi Kula kwenu stevu😮😮😮😮😮😮😮😮
😂😂😂😂😂
Ila Steve sa unachungulia nn
Steve… lofa yayu🤭🤭love from burundi ananiuwa
😂😂😂❤
😂😂