Sarah Magesa - ORIO WERE Official Video 2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 04. 2024
  • #SarahMagesa #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #KumbeUpoHivi
    For Booking
    +255767 957191 /+255687733515
    email: msalabamedia@gmail.com
    ©2020 Administered By Msalaba MEDIA

Komentáře • 142

  • @SarahMagesaOfficial

    Mbarikiwe sana marafiki zangu. Tuendelee kuspoti link kama zoe zijeeeeee❤️

  • @whitneykimberly29

    😅Nimeanza kusikia wimbo hivi,mama akatuma ujumbe wa Asante amepata mzigo nimemtumia jana😊...kweli wimbo una masaa yake...ujumbe mzuri sana...

  • @michaelsyengo-bj2bk

    🎉 Recive your praises it's our simple declaration 🤲

  • @JonathanChola-qy3jf

    I will forever love your songs. I don't know Swahili but whenever I listen to your songs I cry

  • @MadilishaSimon-sb9kk

    Wasukuma tunasema wabheja sebha nimefurahi

  • @user-ml5qj1sp8s

    Kazi tamu Sana continue winning and creating great music full of messages 🤲🤲🤲

  • @lizthebrave4798

    Powerful blessings glory to glory favour to grace In Jesus Precious Mighty Name ilove your songs so much

  • @davidjacobkministries1222

    Neema ikujialie Dada

  • @saudalkraidees4034

    Uyu wimbo unatia guvu. Kazi imeisha kwangu but mungu hako na sababu

  • @pstsamlengironi4662

    ❤great song my sister

  • @user-zh5ux6qn8u

    Wapy luhyas in the house jamani, mikono juu

  • @RosemaryGeorge_

    Nakupenda dadangu ❤unabariki moyo wangu

  • @alumasalucy9096

    Amen. Orio Were. Naomba Mungu anikutanishe nawe tuendeleze huu wimbo Kwa kiluhya zaidi . Mungu azidi kukuinua Mama

  • @gracemulei2167

    Glory be to God this song is blessing me so much Sarah barikiwa Sana na mungu akuinue zaidi, kamba nation let's come here $ do something please Ní muvea yesu

  • @musindah4555

    The song is great eventhough I do not understand the language. Love it. Africa is bless with music.

  • @everlyneshiundu4217

    Orio muno Yesu Asante kutukumbuka waluya

  • @rehemashariff3119

    Sarah Mungu anakutumia sana kwa uimbaji wako unanibariki sana na hizi sifa barikiwa mno❤❤❤

  • @fridahkarimi5510

    Annointed of God sister Sarah nyimbo zako zote huwa zinanibariki sana,nikiwa Kenya 🇰🇪 .

  • @AyubuJuma-df4pn
    @AyubuJuma-df4pn Před 21 dnem

    Safi sana mtumishi wa Mungu, nyimbo zako zinaniingia rohoni,

  • @anielytuva9838

    Asante kwa umbali huu be blessed mtumishi Sarah magesa