AALIYAH KWENDA KWA MGANGA KILA SIKU, LULU DIVA KUINGIA KAMA MCHAWI - HELLO MR. RIGHT

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 12. 2023
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
  • Zábava

Komentáře • 57

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 Před 6 měsíci +6

    Wabongo wabunifu ila hawa watangazaji mko juu mubaki hivi watatu yani kila mtu anaongeza ladha fulani ,Mc,Lulu,Aaliyah!yani your chemistry on set and the playfulness I am getting to know people in a whole different way ,thanks for entertaining us ,ila Mganga Mtaalamu leo umeweza 😂😂😂 alafu Aliyah you are such a breath of Fresh air !ah Mc yaaaani wewe!hii kali Bwana 🇩🇪🇰🇪

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Před 6 měsíci +2

    Aliya u are so cute 🥰🥰🥰

  • @isayarichard2162
    @isayarichard2162 Před 6 měsíci +5

    Dj ni mchina au mbona haelewi ? Hii background music iko juu sana

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 Před 6 měsíci +2

    Aaliya mzur sana 🎉🎉❤❤

  • @toxickenya1414
    @toxickenya1414 Před 6 měsíci +8

    The show is good but try to reduce music kwa background please nxt time

  • @googleus4903
    @googleus4903 Před 6 měsíci +12

    HUYO SOPHIE MBONA KAMA SIO YEYE😢😢😢ANATUMIA NINI MAANA KUANZIA SURA MPAKA HIYO SHEPU HAFANANI NA WA KWENYE AMELOWA🤦😢😭

    • @user-iv7dm3xw9v
      @user-iv7dm3xw9v Před 6 měsíci

      Mtu hukua na kubadilika pia alafu camera pia zinachangia kwa mfano snapcharti na camera ya kawaida vitu viwil tofauti nadhan umeelewa mpenzi

  • @saifmohamedalshukairi1592
    @saifmohamedalshukairi1592 Před 6 měsíci +5

    DJ UNAZINGUA SANA NA MZIKI PUNGUZA SAUTI

  • @sophiasimule2182
    @sophiasimule2182 Před 6 měsíci

    Na Enjoy sana na hiki kipindi kwa kweli Much Love guys ❤❤❤❤

  • @danielndei5420
    @danielndei5420 Před 6 měsíci +2

    mbona background music sooo loud,. its not necessary manze,. inaudhi mbaya,..hadi ata huwasikii watu wakiongea
    Sherry amependeza ajab,..

    • @esthermugoli4527
      @esthermugoli4527 Před 6 měsíci

      Yes that’s true and the to reduce to talk it’s takes too much time on that they need to on point look these people they just come for they it’s much time for nothing please l

  • @danielndei5420
    @danielndei5420 Před 6 měsíci +2

    SHIDA YENYU KUBWA NI HAMSOMI COMMENT ZA WATU, MAANA WENGI WANALALAMIKIA BACKGROUND MUSIC INAUDHI AJAB,...

  • @hmanyinja
    @hmanyinja Před 6 měsíci

    Kali Sana Wong leee Niko macho naangalia

  • @user-iv6vn6bf6e
    @user-iv6vn6bf6e Před 6 měsíci +2

    Hello Mr right tz

  • @danielmebaya6118
    @danielmebaya6118 Před 6 měsíci +1

    dj anazingua kipindi kizuri sema anaweka sauti ya mziki mkubwa

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Před 6 měsíci

    Nice 🎉🎉🎉🎉

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 Před 6 měsíci +4

    MC GARA B mwambie dj atoage hiyo mlio wakati wa hoja et

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 Před 6 měsíci

    Sahz hii iko pw sana aiseee

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 Před 6 měsíci

    ❤️❤️❤️⭐️⭐️⭐️

  • @zuenakhassim
    @zuenakhassim Před 6 měsíci +2

    Hiki kipind asa hivi ni cha moto sana

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Před 6 měsíci +1

    Jamani mtavunja ndoa ya Garabi

  • @aminadjuma7555
    @aminadjuma7555 Před 6 měsíci

    Tumeinjoy Leo Sana maana una angalia mpaka narizika

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 Před 6 měsíci +4

    Waaooooo umependeza Sana sijui kwann diamond alikuacha

  • @user-zl9zm3mf4g
    @user-zl9zm3mf4g Před 6 měsíci +1

    A taka mwengine

  • @user-hd7ej1sk6j
    @user-hd7ej1sk6j Před 6 měsíci +1

    Hyo background music jaman

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Před 6 měsíci

    Hahahaaa eleza hisia zako mama i😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Před 6 měsíci +3

    Lulu diva😂😂😂😂😂mganga mtaalamu😂😂😂

  • @BenardMwenge
    @BenardMwenge Před 4 měsíci

    Mm nataka kuja mnapatikana wap

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 Před 4 měsíci

    Garabi naomba no ya Aliya

  • @Josephkp629
    @Josephkp629 Před 6 měsíci

    Ila hamorapa yah kibao

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 Před 6 měsíci

    Ehe mbona mkali wenu alishaoa na mtoto na wanaishi WOTE inakuaje aje hapo

  • @user-yf5nm2jd2o
    @user-yf5nm2jd2o Před 5 měsíci

    nawauliza mbona warembo hawaulizwi waliolewa au Bado

  • @nawarbreezy5943
    @nawarbreezy5943 Před 6 měsíci +3

    Harmorapa Shikamoo

  • @user-yf5nm2jd2o
    @user-yf5nm2jd2o Před 5 měsíci

    niko Saudi arabia

  • @user-yf5nm2jd2o
    @user-yf5nm2jd2o Před 5 měsíci

    mnauliza waume tu

  • @SaudaKhamisi-wm6xy
    @SaudaKhamisi-wm6xy Před 6 měsíci

    Hyu ni sajo wa shilling

  • @user-yf5nm2jd2o
    @user-yf5nm2jd2o Před 5 měsíci

    warembo pia waulizeni waliolewa au bado

  • @JudyLee-hf9cy
    @JudyLee-hf9cy Před 6 měsíci

    Harmorapa nini shida🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-yf5nm2jd2o
    @user-yf5nm2jd2o Před 5 měsíci

    vipi hali zenu

  • @BonifaceApolo
    @BonifaceApolo Před 2 měsíci

    Aaliyah am happy umependeza sana mwambie garab umetisha sana mwamba mm mshabiki sana wa kipindi chenu

  • @user-zl9zm3mf4g
    @user-zl9zm3mf4g Před 6 měsíci

    😂

  • @Catherine-rs7zo
    @Catherine-rs7zo Před 6 měsíci

    Hii show ni 🔥🔥🔥🔥

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Před 6 měsíci

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RahmaKhalid-td9hx
    @RahmaKhalid-td9hx Před 6 měsíci

    😂😂😂😂😂Harmoraper 😂😂😂😂 mwamba huyu hapa

  • @subbyraibrahimu250
    @subbyraibrahimu250 Před 6 měsíci

    😂😂😂😂😂

  • @RosadaMtey
    @RosadaMtey Před 6 měsíci +1

    😅😅😅

  • @RosadaMtey
    @RosadaMtey Před 6 měsíci

    Show kalii😂❤

  • @yakobojoshua3213
    @yakobojoshua3213 Před 6 měsíci

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamirSaid-ip8nn
    @SamirSaid-ip8nn Před 6 měsíci

    Glb utoki masikini dada wa watu atulie