Jamaa amuua nduguye kufuatia mzozo kuhusu ng'ombe Nandi

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 05. 2024
  • Wakazi wa kijiji cha Seretunin wameshangazwa na tukio ambapo mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 28, anadaiwa kumuua kwa kumdunga kisu nduguye mdogo kufuatia mzozo kuhusu uuzaji wa ng'ombe wao.
    wakazi wanasema kuwa jama ahuyo alikuwa mlevi alipomshambulia kakake. Wakazi wanalaumu polisi kwa kushindwa kukabiliana na biashara haramu ya pombe. Wanaitaka hatua za dharura zichukuliwe kushughulikia suala hili na kuzuia maafa zaidi kutokea.

Komentáře • 8

  • @wawerukamau1260
    @wawerukamau1260 Před 13 dny +1

    Pombe ni kisingizio tuu.
    Lengo na thamira haibadiliswi na ulevi.

  • @user-mj8rc8lu1m
    @user-mj8rc8lu1m Před 13 dny

    Mtu wakafanya kile anaitaji anaweza ifanya tu bt c kuzingizia pombe

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 Před 13 dny

    Pombe + mbagi + mukuka = kuua, kujiua, ama reaping

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je Před 13 dny +2

    Yaani unapenda ngombe kuliko ndugu yake?