Watoto wawili wa familia moja wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na mti Kericho

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 05. 2024
  • Watoto wawili wa familia Moja wamenusurika kifo baada ya chumba Chao kuangukiwa na mti Jana jioni kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika Kijiji Cha chebarema eneo bunge la bureti kaunti ya kericho.
    Watoto hao, mmoja mwenye umri wa miaka minne alipata majeraha kichwani huku mwingine w akike mwenye umri wa miaka 21 akiumia kifuani na kwenye jicho lake. Ajali hiyo ilitokea wakati watoto hao walipokuwa wakijikinga mvua katika chumba hicho.

Komentáře • 2