Surah Al Anbiyaa Alhamdulillah nimeamini Quran ni Pana sana hata Kuna baazi ya movie huwa wanatolea kwenye haya za Quran Alhamdulillah hakika Allah ni mjuzi 😢 Allah Atupe mwisho mwema 🙏
Ndungu zang katika imani tutenge mda wetu kwa kusikiliza Qur'an tukufu na sio kuteng mda,wakusikiliza muzik,kuangalia mamb yakipuuzi;na mengi neyo.hakika tutaenda kuulizwa juu ya wakat tuliutumia kwa kufanyia nni? Tusidanganyike na Dunia na mapambo yalioipamba dunia.
Mashaa Allah ni visa vyenye kuzingatiwa kiukweli,na Allah awasamehe Mitume wote na manabii Dhambi zao na awaingize peponi wao na waumini wanao wafata walio amrisha na kujitenga na walio kataza.Shukran msomaji na mtafusiri bila kusahau waandali Allah awalipe Jazza yenu Aamiin thumma Aamiin.
yasikitisha kuona tafsir ya quran kiswahili ina viewa 13thousand pekee.....ilhali wanamuziki wakipost wanapata milioni kwa wiki moja tu! tutamjibu nini Allah?tafadhali tuwafikishieni wanadamu wote ujumbe huu wa quran ..
mashallah...quraan ikitafsiriwa ina raha yake
Sheikh mm nataka kudawlond mwenyezi mungu akujalie mlango ya kheri hebu tusaidie kudawlond
Mashallah mungu atu nusuru
Subuhanallah kwa utukufu wa Quran molla wetu utufuisha hali yakuwa wa islam ishaallah amine
Allah atupe mema duniani na kesho akhera akatuingize peponi kwa rehema zake
Amin🤲
MashaAllah nyoyo ngumu huwa laini kwa kusikiliza Qur'an tukufu. Nakupata mazingatiwa ndani yke
Allah atuongozee tufuate yalio ya heir kwetu😢
Mashaallah hakika Qur'an ni nzuri
CZcams video download unaweza kutumia nenda Google andika youtube video conventer utakopy link kisha utaweza ku download video yoyote Inshallah
Surah Al Anbiyaa Alhamdulillah nimeamini Quran ni Pana sana hata Kuna baazi ya movie huwa wanatolea kwenye haya za Quran Alhamdulillah hakika Allah ni mjuzi 😢 Allah Atupe mwisho mwema 🙏
Qur ann yetu niraha sana Allah atuhifadhishe
subhana llah tupe mwisho mwema
Mashallah ❤
Allah atuafikishe
..ujumbe mzito wallahi surah al anbiya
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
Ndungu zang katika imani tutenge mda wetu kwa kusikiliza Qur'an tukufu na sio kuteng mda,wakusikiliza muzik,kuangalia mamb yakipuuzi;na mengi neyo.hakika tutaenda kuulizwa juu ya wakat tuliutumia kwa kufanyia nni? Tusidanganyike na Dunia na mapambo yalioipamba dunia.
Kweli kabisa Ndugu, Haji.
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 inshallah
Upo sahihi kabisa. .
❤
Ok inshallah.Allah kher
Mashallah tabarakallah.
MASHAA ALLAH TABARAK ALLAH.
MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran
Amin yarabi
❤
Mashaallah, Allah akuzidishie kwa kazi nzuri
Masha Allah ni raha ilioje ❤ kuisoma Quran tukufu kisha kuijua tafsir yake kwa kiswahili.. .
Mashaa Allah ni visa vyenye kuzingatiwa kiukweli,na Allah awasamehe Mitume wote na manabii Dhambi zao na awaingize peponi wao na waumini wanao wafata walio amrisha na kujitenga na walio kataza.Shukran msomaji na mtafusiri bila kusahau waandali Allah awalipe Jazza yenu Aamiin thumma Aamiin.
Mashallah Allah akulipe kheri nyingi
Mashaallah❤❤❤❤❤❤
Maashallah
mashaallah
Mashaallah
0p😊pp😊😊0
Mashallah
masha allah
masha allah najiskia raha nikiskiliza qruan
Mashaallh
Assalamualaikum kwakweli mungu atawalipa insha Allah Yani napenda San kusikiliza Kur Ani kila asubuhi katika sauti ilio tulia Masha Allah ❤❤❤
❤
tafsir ya Quran ina comet 17 wakat music Zina mamia ya commet
❤
Mashallah mwenyezi mungu atujalie tuwe mwenye kumsujudia na tuweze kuipata pepo hapana apasae kuabudiwa isipokuwa allah pekee
Asalam alekum warahamatul llahu wabarakatu vp tu download full tafsiri the Holy quran ili nisipokua online niweze kusikiliza tafsiri hii inshaallah
Mwenye hikima asiwape ispokua umauti wa Raha Kutokana na kila shari
Naomba kuuliza kama wazazi wako hawakuhudumii hawato ulizwa?
yasikitisha kuona tafsir ya quran kiswahili ina viewa 13thousand pekee.....ilhali wanamuziki wakipost wanapata milioni kwa wiki moja tu! tutamjibu nini Allah?tafadhali tuwafikishieni wanadamu wote ujumbe huu wa quran ..
Allah aendeleye katutiyangufu tumsujudiye
Mashaallwah
huu ndoo utukufu wa mola wetu aliye mbora kuliko kitu chochote.
Qur ann yetu niraha sana Allah atuhifadhishe
Mashaallah
Mashallah
Maashallah
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah