Kiukweli ni kwamba waigizaji wote wa Donta TV mnajua kuigiza na kutoa fundisho kwa jamii husika popote na sehemu yoyote ile hongereni makamanda one love kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi Sana halafu Leo mmenifurahisha kuweka title fupi hii inamfanya mtazamaji kumfuatilia kuona mwisho inakuwaje kuliko kuweka kichwa Cha habari ambacho mtazamaji akikisoma tu anaelewa moja kwa moja mwisho utakuwaje
ila jamani mumeanza kufeli tambueni ka ma tuna akili pia tuwatizama ila story zenu zinalingana ngani ivyo badrisheni ma historia zenu mana mkiendelea hivyo mtakufeli na mtapotea
Wa pili kutoka Kenya naombeni likes plz alfu wakenya wenzangu tujuane na likes
Vp kuhusu maandano huko
Yako fresh @@wiliamkatala6688
like moja kwanguuu..
Jaman wa 6 mimi like yangu naombeni by magoma studio
Nami leo niwaombe like zenu wapendwa.
Kiukweli ni kwamba waigizaji wote wa Donta TV mnajua kuigiza na kutoa fundisho kwa jamii husika popote na sehemu yoyote ile hongereni makamanda one love kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Like like like kutoka kenya🇰🇪🇰🇪Nawapenda sana donta tv❤❤❤❤
Mambo donta tv❤
❤❤❤❤
Maoni ya move hamtoi lakini kuomba like aaaaaaaah 😂😂😂
Mauwa kwa kunambii umecheza vizuri sana 👌👌❤❤🇧🇮🇧🇮
Hongera sana kunambi dah! Uko vizur chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 fundisho kwa wote
Hum Wewe nimuingizaji muzuri sana kunabi una njuwa ingiza Kabisa
Nalitukanalincheka that was personer 😂😂😂
Duuuuu niatar San
Donta TV aki nawapenda sana sana love Ness aki nampenda
Kunambi pole sana.nawapenda donta❤
Hongera saaaana kunambi ukovizuri
Nice one❤❤❤❤
Mungu wangu kumbe! kawapima tu,yawakuta wenyewe...
12 murundi🇧🇮wa kwanza likes hapa
Safi Sana halafu Leo mmenifurahisha kuweka title fupi hii inamfanya mtazamaji kumfuatilia kuona mwisho inakuwaje kuliko kuweka kichwa Cha habari ambacho mtazamaji akikisoma tu anaelewa moja kwa moja mwisho utakuwaje
👋👋👋
Kunambii ushaharibu scene mapemaa sanaa muda unapewa maji ya kunywa umeshushaa mikono chini safi kabisa kama mtu mzimaa😂😂
Umekwepa na kofi tenaa 😂😂😂
Hongera kunambi kwa kaz nzuri unazofanya. Ukioa mwanamke mjinga dawa yake ni hiyo tu
Kunambi nipe maua yangu sana yan nilikuwa sikuuimaliza ila fikra zangu zimenipa imani muigizaji mzuri sana
Kunambia alifanya vzr kwenye hii movie❤❤❤
Daaaaaah😂😂😂😂😂 hiiii ni motroooooooo🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️💯🙏
Ila Nelly 😂😂😂🙌🙌🙌 me nawapenda tu❤❤❤
❤❤❤❤❤mnanipa furaha na funzo pia good job dear❤❤❤
Wanawake hatuoni ufarume wambigu kabisa nikuomba mwisho mwema vayi wewe hunahuruma namumewako subhanallah 😮😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉
Move nzur mnoo❤❤❤
Waaau kunambi hii movie umeicheza poa sna
Kunambi hapo umeweza😢😂😂
😂😂😂😂😂zezeta kunambi unanichekesha yaajabu
Vai jamani tunza mgonjwa vizuri wa kero 🙆🙆🙆🙆🇰🇪
Umetisha sana kunambi🎉🎉🎉🎉🎉
Na wa sapoti sana.
Kazi nzuri
Kunambi likes 100% hii nayo umeweza bro, nakupenda tu bure 🇰🇪
Mnanipa mafuzo megi jinsi nitaiishi kwa familia yangu mchezo tunaoucheza tuwache
Nyii watu,mnaombanga like za kazi gan,badaya ya kujifunza kazi n kuomba tu like ovio😏
Watafute kazi ya kufanya likes za nn pia nyie
Nzur
Kevin upendezi kuwa na rohoo mbaya ivyo
ila jamani mumeanza kufeli tambueni ka ma tuna akili pia tuwatizama ila story zenu zinalingana ngani ivyo badrisheni ma historia zenu mana mkiendelea hivyo mtakufeli na mtapotea
Duh hii mpya isitokee kwako isikie Kwa jirani😅😅
Ww dada acha kumutesa jaman
Tunachunga na mbambili waitisinema inamafunzo sana kwasisi wakapendapenda
😂😂😂 kunambi umefika kwa zezeta kabisa 😂😂😂
Hi nayo zezeta kweli😂🎉🎉🎉
Kunambi naye anavituko ndo kawa zezeta reo makumbwa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊
Ila Vai unajua kuigiza🎉🎉
Acheni kuigiza uzezeta hawakupenda kuwa hivo😅
Wewe mshamba wawapi? Kwani mwenyewe umegundua ni kuigiza na kuigiza si kiujinga ujinga tuu Hiyo ni mafunzo makubwa.
Nifunzo kubwa kwetu SS wadada jamani ongeleni sana
Like ya pili mm😂
Vai huna adabu, kwendaaaa
Hee kunambi umecheza kali sana wanawake wengine hawapendeki
Kunambi una nifura Hisha kwel
Sisi wanawake tuna roho mbaya naona mke wa kunambi dio kafanya ndondocha kama wewe utakufa vibaya mbwa wewe
Brown wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂utaniua ujue
Movie nzuri ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂braun umeuwa😂😂😂
Mimi Nina swala jamani;- hivi Vae na Maya ni mtu mmoja AU matwins? Nangoja jibu sahihi🙈
Hawana hata undugu
@@Dontaplus what? Seriously! Na vile wafanana jamani..
😢😢 🤲🙏 SUBRA
Mushkj wang kunamb unamufanyia hvo we vai ww
Nmewapa kila mtu like😂😂😂😂😂rudisheni like zangu nyie n mmalizie vedeo kabla ya kucoment
Kuingiza hamjui kuomba like aaaaah
😂😂😂
Kuigiza kunataka UFundi zezeta kachonga panki 😅😅
Kwani kelvin alienda wapi ety
But kunambi sio taira anaangalia kama anapendwa kweli utajutia siku mmoja wewe mke
Kunambi apo umeweza walai😂😂😂😂
❤❤❤
Hahha b4own
nakukubali kunambi😂
Kunambi🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂rudi umalizie vedeo ww
We vayi kwa nini hauna huruma dada
Lakini bana tuleteeni siku moja kabla ya ndoa yangu mbona inachelewa hvi
Kunambi hakika wewe kiboko
Wa pili kutoka Kenya buewasdm Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
jaman vip kuhusu ep ya 13 ya siku 1 kabala ya ndoa yangu au imeisha
Ilitoka na imeisha
Nmewai leo jaman naomba like
Tunachunga nambambili wandug
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kumi no like for me
Shanaiza alienda wapi
Ila hamtufanyii poa😢😢bado hamjapost siku moja kabla ya ndoa ndio hao mnaleta zingine mnaboa
Heeeee na mimba angu staki nmwamgalie kbsa kunambi🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂